Jovin.
1) Jitahidi kujibu wasome wote. Makala zijazo click reply to all. Kuna watu unawanyima uhondo.
2) Nakubaliana na wewe na wote kuwa Kabla mtu hajatajwa kuwe na uhakika mkubwa kuwa anahusika. Ninadhani utasoma nilipomjubu Karugendo. lakini ni kosa pia kutaka kuendeleza vita ya madawa ya kulevya kwa sababu ya kosa la kifundi la makonda, (la kuwataja watu) pia ni wazi kuwa asingewataja wangejulikana kwa kutajwa na vyombo vya habari.
3) Ninajua kuwa hata katika kesi zote ni juu ya watuhumiwa kujisafisha au wakati wa upelelezi au mahakamani
4) "Ngu naiba" Ni msemo wa kihaya. Unajua pia kuwa watu hutafuta namna ya kutoka katika kosa? Unaamini kuwa wengi wanaotaka tuone kosa la Makonda badala ya ubaya wa madawa huenda ni wanufaika wa biashara hii?
Elisa
--------------------------------------------
On Sat, 2/18/17, 'Jovi kamuntu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] VITA YA MADWA YA KULEVYA: WABUNGE WETU WAKO UPANDE GANI?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, February 18, 2017, 12:41 PM
Mihingo.
Mjadala
wako wote ni mbwembwe tu. Hoja ya msingi haijajibiwa.
Labda
niulize swali rahisi, Je unakubaliana na maagizo ya Viongozi
wakuu wa Serikali kwamba Watuhumiwa wa dawa za kulevya
watajwe baada ya kujiridhisha kuwa kweli
wanahusika?
Mimi
nakubaliana nao 100%. Wewe je?. Pia ieleweke kuwa mimi
nakubaliana na ww kuwa vita dhidi ya madawa ya kulevya ni
yetu sote siyo ya mtu mmoja au kundi moja au kikundi cha
watu. Jovin
On Friday, February
17, 2017 5:56 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Jovin.
Uko sahihi katika kutokuwa sahihi kwako.
Sheria haina upungufu na kmaupo serikali
haijazuiwa mbele kushughulikia tatizo. Kama ulimsikiliza
Rais alidefine serikali. Ndipo akasema kama kuna anayeona
upungufu apeleke mswada bungeni (ambao utakabidhi taasisi
nyingine kushughulikia madawa badala ya serikali) ni vizuri
kusoma alimaanisha nini. Si udhaifu wa sheria
2) Mimi sijui vizuri ukuu wa Bunge juu ya
serikali. najua Bunge huwakilisha wananchi kwa sababu
wamechaguliwa na wananchi. Na rais amechaguliwa na wananchi
hao. Najua Bunge linastahili kuheshimiwa. Hakuna anayeweza
kukosa kuliheshimu. Siamini kuwa bunge litafanya upuuzi
liendelee kuheshimiwa. Wewe ni Mhaya. Unaijua methali
isemayo "Kokunila atajwala olemwa olebayo."
Ukimheshimu anayekaa uchi kwa kuangalia pembeni siku moja
unaamua unamtazama. Unakumbuka 2008 wabunge walipoamua
kutovaa. Akaadhibiwa Zitto. CHADEMA ikaondoa hoja ya List of
shame. Kilichotokea ni wananchi kuamua kutoliheshimu bunge.
Hivyo bunge linaheshimiwa kwa kanuni na kujiheshimu pia na
sawia.
3) Kwamba mimi nina chuki na mtu
binafsi? sijui. lakini najijua. Sina adabu. Hiyo ni mila
yangu. Mtu akiharibu, au nikifikiri ameharibu huwa sijui
ukubwa wake. ndivyo nilivyo toka zamani. ukitaka niambie
nikutumie makala zangu ambazo wengine walidhani zitaniweka
matatani. Naandika makala ya kuisaidia idara ya mahakama
"kuvaa". naona hivyo. Kwa hiyo simchukii mtu. Ila
si mvumilivu ninapoona tunakwenda kulia. Na mtu ninaamini
anajua tunakwenda huko halafu anafanya mambo kama kwamba
haendi tunakokwenda. Simchukii ila siwezi kuuheshimu upuuzi
wake. Tusishabikie siasa kama mpira bali kama dawa ya kutibu
ugonjwa. ukicheza na dawa mtu anakufa. mpira timu
inafungwa.
4) Dawa za
kulevya ni hatari. Kuna wanaoamini makonda alikurupuka
kutaja majina. Sikuwahi kudhani hivyo. Ulikuwa mkakati wa
mfumo. Ninaamini mwizi halali anakamatwa. Hawa waliopimwa
wakakuta walitumia madawa vipimo havikuagizwa baada ya
makonda "kukurupuka". Hakuna cha mwizi halali na
hewa hapa. Wote waliotajwa ni wezi tu. Unajua kubeza
kulikokuwa midomoni mwa wengine kumeyeyuka baada ya kuona
seriousness ya vita. Waliosema wakiitwa polisi kwa masaa
kadhaa watapoteza mamilioni huoni wako kimya sasa? Unaona
wengine wanaanza kuufufua 'UKUTA' uliokwisha vunjika
kuona kama utawaponya. Hizo ni harakati za kutafuta mlango.
Tusaidiane kuyapiga vita madawa. Na haya
tunayoyaandika ni mchango mkubwa.
--------------------------------------------
On Thu, 2/16/17, 'Jovi kamuntu' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] VITA YA MADWA YA KULEVYA: WABUNGE WETU WAKO
UPANDE GANI?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, February 16, 2017, 10:33 AM
Nimefurahi kwa mada yako
nzuri Kaka Elisa. Nimefurahishwa na mambo
yafuatayo:-
1.
Kwamba Bunge lilitunga sheria ya kuzuia madawa
ya kulevya.
Ni kweli kabisa. Basi itumike
ipasavyo kuondoa tatizo hili.
Kama serikali
inaona ina mapungufu, basi ipelekwe tena
Bungeni iongezewe makali.
2.
Bunge lilitumia sheria ya Haki na Kinga ya
Bunge kufanya
hayo unayoyaita upuuzi. Hii
itufundishe kuwa mihimili yetu
mitatu
haijakaa sawa sawa kimadaraka. Huenda mipaka ya hii
mihimili haieleweki sawasawa. Kiongozi wa
Serikali anatakiwa
kufahamu ukuu wa Bunge -
Bunge halipaswi kuwa sehemu ya
serikali na
kwamba Bunge liko juu ya Serikali. Ndugu yangu
lazima tukubaliane kuwa Wabunge kwa ujumla wao
wanastahili
heshima, na Mbunge anaweza
kuongea lolote akiwa Bungeni na
asishitakiwe kwa aliyoyasema. Hizo ni sheria zetu
tulizoziweka wenyewe aidha kwa lengo zuri au
baya.
3.
Mwisho naona Kaka
Elisha una chuki Binafsi na Mbunge fulani
japo ukutaka kutaja majina yake. Vua uchama kwanza, pima
hoja zake kwa ujumla wake ndipo useme kuwa ni
mpuuzi au
hapana.
Mimi
ni kwambie, dawa za
kulevya ni hatari sana na kila mtu
lazima
ayachukie kwa kadri atakavyoweza. Serikali ni taasisi
inaundwa na Rais pamoja na Baraza lake la
mawaziri. Mkakati
aliokuja nao Makonda
ulisaidia kuamusha hisia na baadhi ya
vyombo kuanza kufanya kazi. Mimi nilitegemea zaidi ya
hilo
husuan vyombo vyote vya Serikali
kuandaa Mkakati wa Siri
chini ya kiapo wa
kupambana na janga hili.
Siku
moja kulitokea mwizi akaiba baiskeli na watu
wakaanza kupiga
kelele na kumfukuza, bahati
mbaya waliokuwa wanamkimbiza
wakaelekea
Kusini na kumkamata mwizi hewa wakati mwizi
halisi alikimbia kuelekea Kaskazini. Kwa maoni yangu ni
kwamba kuwataja watu hadharani inaweza
kuwafanya wahusika
hasa wauzaji wa madawa
kutoka nje ya nchi kuelekea kaskazini
tukashindwa kukata mnyororo wa madawa kwa sasa.
Jovin
On Wednesday,
February 15, 2017 10:25 PM, 'ELISA
MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Ndaki.
Hakunaatakayekubali
kupimw. Ila uzuri kila anayetajwa
akifika
Polisi (nadhani) Cha kwanza ni kumpima. Wew utaona
kama mbwembwe hazitayeyuka. Waliokwenda
wanamlaani Makonda
wametoka lugha
imebadilika unadhani kwa nini? Wanaoogopa
kwenda Polisi unadhani kwa nini? Waliopandwa pressure?
Ninaamini jamii ikiiunga Mkono serik\li na
kupuuza
habari za magorofa ya makonda vita
hii ushindi hauko mbali.
Mataifa mengine
watakuja kujifunza. KLwa wabunge wetu
wakubali kupimwa au wapimwe kwa nguvu ndipo tusikie lugha
zao
--------------------------------------------
On Wed, 2/15/17, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] VITA YA MADWA YA
KULEVYA: WABUNGE WETU WAKO
UPANDE GANI?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, February 15, 2017, 12:58
PM
Muhingo,
kama kweli watu wa sheria
wanayachukia madawa
kwa dhati basi
wangekuwa mstari wa mbele
wao kupimwa kwanza kama wanayo
mwilini
na
hapo ndio wakaanza kumshutumu Mheshimiwa
RC
Makonda. Vinginevyo
tuseme kama kaka zangu wakurya kuwa
vita
ni vita tu kila silaha tumia, kuyataja
mateja na
wanaodhaniwa kuwa
ni washirika ni
jambo jema.
2017-02-14 23:34 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Vita
ya
madawa ya kulevya imeanza rasmi. Si kuwa
hakukuwa na
juhudi huko nyuma. La. Ila
sasa imeanza na
msukumo mpya.
Imeanza kwa Mkuu wa Mkoa wa
Dar Es Salaam Paulo Makonda
kuwataja
watu
wanaohisiwa kujihusisha na madawa
hayo.
Mwanzoni alibezwa
na kuambiwa anacheza na dagaa. Baadaye
akaongeza kwa kutaja majina makubwa zaidi.
Hapo ndipo hasa
misimamo tofauti
ilionekana. Wengine wakasema hawawezi
kwenda kwa sababu Mkuu wa
Mkoa hana mamlaka ya
kushughulikia
madawa ya kulevya. Wapo
waliotaja hasara watakayoipata kwa
kuitikia
wito wa Makonda na vitisho vingine
vingi.
Madawa haya yameharibu vijana na
yanaendelea kuwaharibu.
Vijana wasomi,
wasanii wakishajiingiza
katika madawa basi
wanaharibika na kupoteza mwelekeo. Namfahamu kijana
aliyekufa baada ya kunywa dawa za kilimo
zilizokuwa
zimetunzwa na
wazazi wake
nyumbani. Huyo kijana
alikuwa
anamalizia
degree yake ya kwanza ya computer engineering.
Alifukuzwa mara mbili kwa sababu ya
kuharibikiwa akili baada
ya
kutumia madawa
ya kulevya. Alipokosa madawa
na bangi
ikawa
haimtoshi
akaanza kunywa dawa hiyo kidogo kidogo mpaka
ilipomuua; na wazazi waligundua baadaye
sana.
Madhara mengi
tu
huenda kila mmoja ana
mifano yake. Jingine
lililo wasi ni
habari
kuwa wahusika wakuu wa biashara hii ni wanasiasa;
Wafayabiashara wakubwa na wasanii. Katika
orodha ya Makonda
makundi
hayo yote
yalitajwa.
Kati
ya maneno aliyokaririwa
akitumia Ndugu
Makonda ni
kusema Wabunge
(Nadhani baadhi) ni wapuuzi na kuwa hufanya
kazi ya kulala bungeni.
Wakati
ukweli ukiwa kama nilivyoutia katika utangulizi,
Wabunge na Bunge lilitoa msimamo kuhusu
maneno
ya Makonda.
Maneno yoyote aliyotamka mtu au
taasisi
yanawakilisha
msimamo wake
kuhusiana na vita ya madawa ya kulevya.
Wabunge
wetu walijibu juhudi za Makonda
kwa kuzingatia
zaidi maneno
yake kuhusu wabunge badala ya
lengo lake la kupiga vita
madawa ya
kulevya. Sipendi kuungana na
Makonda kuliudhi
bunge letu lakini nataka
kujielekeza kuhusu
matukio
yanayoweza kutumika kulishtua bunge
(likitaka kushtuka) na
kubadili
mwelekeo.
Mifano:
1 Bunge limetunga
sheria kadhaa kuharamisha madawa
ya
kulevya
ikiwemo bangi. Siku moja mbunge
mmoja alisimama
bungeni na kusema kwao
bangi ni halali hivyo
ihalalishwe. Je
huu si upuuzi kwa mbunge
kutamka hivyo? Kama ni upuuzi; yeye
aweza
kuepuka kuwa mpuuzi? Lakini Baada ya
neno kama hili
kutamkwa na mbunge,
wabunge wengine
walipitisha azimio gani
kuhusu upuuzi huo?
Reaction
ya bunge zima kuhusu neno la
mwenzao ndilo linarejesha heshima ya bunge au
kuiondoa.
2 Lakini
tumtafakari mwakilishi
mwingine. Kama
mbunge kuitwa mpuuzi ni kosa
na utovu wa heshima na madaraka
ya Bunge,
bila shaka
viongozi wa miimili mingine pia. Sasa
mtu
anasimama na kusema Rais ni Dictator
uchwara. Mtu huyo
anasimama na kusema
Tanzania inaongozwa na rais wa ajabu
ajabu.
Kosa la rais ni
kusema taifa halijafikia mahala pa
kuomba
chakula kwani japo kuna ukame lakini
mvua
zinazoendelea zaweza kutumika
kulima
chakula kinachopungua!
Maneno kama hayo
japo
yametamkwa nje ya Bunge lakini kwa
sababu yametamkwa na Mbunge ningetarajia bunge
kuwa na
tamko. Kama Bunge likimrudi
mwenzao kama
tulivyoona huko
nyuma linaweka msingi wa
kutoitwa bunge la wapuuzi.
3
Nchi yetu ilipata uhuru 1961. Kabla
ya uhuru
nchi hii imepitia historia ya
ajabu. Zamani za
kale nchi
ilikuwa ni chiefdoms ndogo ndogo.
Watu fulani wakakaa na
kuziunganisha hizo
kabila na chiefdoms na
kutengeneza kitu
kinaitwa
Tanganyika. Baada ya uhuru wa Tanganyika na
Zanzibar, viongozi tuliowachagua
wakafanya
uamuzi wa
kuziunganisha nchi mbili
zilizokuwa huru.
Sasa ni taifa
moja.
Linaitwa Tanzania. Tumelitengeneza wenyewe. Lina
katiba yake. Linatambuliwa hivyo. Lina
changamoto zake ndiyo
maana
tunajadiliaana
namna bora ya kuliimarisha
na
kuliendeleza.
Ni
mfano bora wa kujivunia. Africa inajivunia.
Ni matokeo ya kazi tuliofanya sisi bada
ya
uhuru. Tanzania
si ya
kwanza kuungana
duniani. Mfano mmojawapo ni
Marekani.
Iliunganisha
mataifa zaidi ya 50. Kuliwahi kutokea
wapuuzi
fulani wakati wa utawala wa
Abraham
Linchoin wakitaka
kulitenga taifa (jimbo)
lao. Walipata kichapo kikali
hawajathubutu
tena. Naamini hakuna
Mmarekani anaweza kuhoji
muungano huo
akaishi. Sisi tuna binadamu
mmoja. Tena
ni
mbunge wa bunge letu
linalostahili kuheshimiwa. Akasema
Zanzibar
inatawaliwa na Tanganyika. Na
upuuzi mwingine
mwingi tu. Mbunge huyo
aliapa kiapo kuulinda
Muungano. Sasa
je kitendo chake hicho si
cha kipuuzi? Kama ni cha kipuuzi,
yeye
sio
mpuuzi? Bunge limetoa msimamo gani
kuhusu matamshi
ya mwenzao? Je Bunge
kumnyamazia mbunge wa
namna hiyo sio
kitendo cha kipuuzi?
Nakumbuka Speaker aliyepita aliwahi
kuwafyatukia wananchi kuwa bunge linastahili
kuheshimiwa
baada ya wananchi
kuwashambulia wabunge
kutoana na
matamshi
ya ajabu. Alitumia
kifungu hikihiki kinachombana Makonda.
Alizimwa na wananchi
walipomvamia kwenye vyombo vya
habari.
Alichofanya ilikuwa kuwabana
wabunge wajiheshimu ili taswira
yao mbele
ya umma
wanaowakilishwa bungeni isiendelee
kudhalilika.
4
Nchi yetu; kama
zilivyo nchi
nyingine duniani,
inakabiliwa
na janga la madawa ya kulevya. Vijana wetu
wameharibika na kwa kweli
huo ni uharibifu wa nguvukazi
ya
taifa. Inatarajiwa kuwa wananchi,
viongozi wataungana kupiga
vita uharibifu
huu. Sababu zi wazi kwa nini
watu wote
kuungana. Licha
ya uharibifu uliopo lakini wanufaika wana
uwezo mkubwa kumnunua yeyote. Katika vita kama
hii lazima
usemi wa Bush
baada ya
shambulizi la Septemba 11
litumike:
"Kama
hauko
nasi uko kinyume nasi". Vita hii ngumu. Kuna
waliojaribu na kuishia kusema wanayo orodha
ya
wahusika.
Hawakutaja
hata jina moja. Sasa
amejitokeza kijana
mdogo.
Akawa jasiri
kuwataja watu wanaojihusisha na biashara hii.
Kukanyagana ni jambo la kawaida katika
msafara
wowote. Mtu
kuamua kuingilia safari kwa
sababu ya
kukanyagwa haiingii
akilini.
Kitendo cha wabunge wetu kuungana kutaka
mtu
aliyethubutu aondolewe kazini, si cha
kawaida.
Wabunge
kusema
wizara husika zipo na Mkuu
wa mkoa
haimhusu, ni
ishara mbaya. Haiingii
akilini kuwa viongozi wetu wanaweza
kuonekana wanadhoofisha
juhudi za serikali kushughulikia
janga
hili.
Kimsingi kila mtu
anastahili heshima. Kuheshimiwa kukubwa
huanza kwa mtu kujiheshimu.
Taasisi pia. Kama bunge
haliwezi
kufanya upuuzi hakuna anayeweza
kulidhania hivyo. Kama
wakifanya upuuzi,
hata kama hakuna
aliyewaita haimaanishi
kuwa sio. Kwa kuzingatia kuwa wabunge ni wanansiasa, na
ilitarajiwa wabunge kama wanasiasa kuwa
waangalifu katiko
hoja zao.
La sivyo licha
ya kuitwa wapuuzi kwa
haki,
haiwezekani
wapiga
kura wasitake wawakilishi wao
kuchunguzwa. Hakuna mtu anayeweza kuwaita
wabunge wapuuzi
kama hawafanyi upuuzi.
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send Emails to
wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum
bears
the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies
that
you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You received this message because
you
are subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and
stop receiving
emails
from it, send
an
email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this
Forum bears the sole
responsibility
for
any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements
and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message
because you are
subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To
unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility
for
any
legal consequences of his or her
postings, and hence
statements and facts
must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer
and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the
Google
Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it,
send an email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree
to this
disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment