Saturday, 18 February 2017

Re: [wanabidii] VITA YA MADWA YA KULEVYA: WABUNGE WETU WAKO UPANDE GANI?

Mihingo.

Mjadala wako wote ni mbwembwe tu. Hoja ya msingi  haijajibiwa.

Labda niulize swali rahisi, Je unakubaliana na maagizo ya Viongozi wakuu wa Serikali kwamba Watuhumiwa wa dawa za kulevya watajwe baada ya kujiridhisha kuwa kweli wanahusika?

Mimi nakubaliana nao 100%. Wewe je?. Pia ieleweke kuwa mimi nakubaliana na ww kuwa vita dhidi ya madawa ya kulevya ni yetu sote siyo ya mtu mmoja au kundi moja au kikundi cha watu.
 
Jovin



On Friday, February 17, 2017 5:56 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Jovin.
Uko sahihi katika kutokuwa sahihi kwako.
Sheria haina upungufu na kmaupo serikali haijazuiwa mbele kushughulikia tatizo. Kama ulimsikiliza Rais alidefine serikali. Ndipo akasema kama kuna anayeona upungufu apeleke mswada bungeni (ambao utakabidhi taasisi nyingine kushughulikia madawa badala ya serikali) ni vizuri kusoma alimaanisha nini. Si udhaifu wa sheria
2) Mimi sijui vizuri ukuu wa Bunge juu ya serikali. najua Bunge huwakilisha wananchi kwa sababu wamechaguliwa na wananchi. Na rais amechaguliwa na wananchi hao. Najua Bunge linastahili kuheshimiwa. Hakuna anayeweza kukosa kuliheshimu. Siamini kuwa bunge litafanya upuuzi liendelee kuheshimiwa. Wewe ni Mhaya. Unaijua methali isemayo "Kokunila atajwala olemwa olebayo." Ukimheshimu anayekaa uchi kwa kuangalia pembeni siku moja unaamua unamtazama. Unakumbuka 2008 wabunge walipoamua kutovaa. Akaadhibiwa Zitto. CHADEMA ikaondoa hoja ya List of shame. Kilichotokea ni wananchi kuamua kutoliheshimu bunge. Hivyo bunge linaheshimiwa kwa kanuni na kujiheshimu pia na sawia.
3) Kwamba mimi nina chuki na mtu binafsi? sijui. lakini najijua. Sina adabu. Hiyo ni mila yangu. Mtu akiharibu, au nikifikiri ameharibu huwa sijui ukubwa wake. ndivyo nilivyo toka zamani. ukitaka niambie nikutumie makala zangu ambazo wengine walidhani zitaniweka matatani. Naandika makala ya kuisaidia idara ya mahakama "kuvaa". naona hivyo. Kwa hiyo simchukii mtu. Ila si mvumilivu ninapoona tunakwenda kulia. Na mtu ninaamini anajua tunakwenda huko halafu anafanya mambo kama kwamba haendi tunakokwenda. Simchukii ila siwezi kuuheshimu upuuzi wake. Tusishabikie siasa kama mpira bali kama dawa ya kutibu ugonjwa. ukicheza na dawa mtu anakufa. mpira timu inafungwa.

4) Dawa za kulevya ni hatari. Kuna wanaoamini makonda alikurupuka kutaja majina. Sikuwahi kudhani hivyo. Ulikuwa mkakati wa mfumo. Ninaamini mwizi halali anakamatwa. Hawa waliopimwa wakakuta walitumia madawa vipimo havikuagizwa baada ya makonda "kukurupuka". Hakuna cha mwizi halali na hewa hapa. Wote waliotajwa ni wezi tu. Unajua kubeza kulikokuwa midomoni mwa wengine kumeyeyuka baada ya kuona seriousness ya vita. Waliosema wakiitwa polisi kwa masaa kadhaa watapoteza mamilioni huoni wako kimya sasa? Unaona wengine wanaanza kuufufua 'UKUTA' uliokwisha vunjika kuona kama utawaponya. Hizo ni harakati za kutafuta mlango.
Tusaidiane kuyapiga vita madawa. Na haya tunayoyaandika ni mchango mkubwa.
--------------------------------------------
On Thu, 2/16/17, 'Jovi kamuntu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] VITA YA MADWA YA KULEVYA: WABUNGE WETU WAKO UPANDE GANI?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, February 16, 2017, 10:33 AM

Nimefurahi kwa mada yako
nzuri Kaka Elisa. Nimefurahishwa na mambo
yafuatayo:-
1.
Kwamba Bunge lilitunga sheria ya kuzuia madawa ya kulevya.
Ni kweli kabisa. Basi itumike ipasavyo kuondoa tatizo hili.
Kama serikali inaona ina mapungufu, basi ipelekwe tena
Bungeni iongezewe makali.
2.
Bunge lilitumia sheria ya Haki na Kinga ya Bunge kufanya
hayo unayoyaita upuuzi. Hii itufundishe kuwa mihimili yetu
mitatu haijakaa sawa sawa kimadaraka. Huenda mipaka ya hii
mihimili haieleweki sawasawa. Kiongozi wa Serikali anatakiwa
kufahamu ukuu wa Bunge - Bunge halipaswi kuwa sehemu ya
serikali na kwamba Bunge liko juu ya Serikali. Ndugu yangu
lazima tukubaliane kuwa Wabunge kwa ujumla wao wanastahili
heshima, na Mbunge anaweza kuongea lolote akiwa Bungeni na
asishitakiwe kwa aliyoyasema. Hizo ni sheria zetu
tulizoziweka wenyewe aidha kwa lengo zuri au baya.
3.
Mwisho naona Kaka Elisha una chuki Binafsi na Mbunge fulani
japo ukutaka kutaja majina yake. Vua uchama kwanza, pima
hoja zake kwa ujumla wake ndipo useme kuwa ni mpuuzi au
hapana.

Mimi
ni kwambie, dawa za kulevya ni hatari sana na kila mtu
lazima ayachukie kwa kadri atakavyoweza. Serikali ni taasisi
inaundwa na Rais pamoja na Baraza lake la mawaziri. Mkakati
aliokuja nao Makonda ulisaidia kuamusha hisia na baadhi ya
vyombo kuanza kufanya kazi. Mimi nilitegemea zaidi ya hilo
husuan vyombo vyote vya Serikali kuandaa Mkakati wa Siri
chini ya kiapo wa kupambana na janga hili.
Siku
moja kulitokea mwizi akaiba baiskeli na watu wakaanza kupiga
kelele na kumfukuza, bahati mbaya waliokuwa wanamkimbiza
wakaelekea Kusini na kumkamata mwizi hewa wakati mwizi
halisi alikimbia kuelekea Kaskazini. Kwa maoni yangu ni
kwamba kuwataja watu hadharani inaweza kuwafanya wahusika
hasa wauzaji wa madawa kutoka nje ya nchi kuelekea kaskazini
tukashindwa kukata mnyororo wa madawa kwa sasa.

Jovin
 

 


    On Wednesday,
February 15, 2017 10:25 PM, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
 

  Ndaki.
Hakunaatakayekubali kupimw. Ila uzuri kila anayetajwa
akifika Polisi (nadhani) Cha kwanza ni kumpima. Wew utaona
kama mbwembwe hazitayeyuka. Waliokwenda wanamlaani Makonda
wametoka lugha imebadilika unadhani kwa nini? Wanaoogopa
kwenda Polisi unadhani kwa nini? Waliopandwa pressure?
Ninaamini jamii ikiiunga Mkono serik\li na kupuuza
habari za magorofa ya makonda vita hii ushindi hauko mbali.
Mataifa mengine watakuja kujifunza. KLwa wabunge wetu
wakubali kupimwa au wapimwe kwa nguvu ndipo tusikie lugha
zao
--------------------------------------------
On Wed, 2/15/17, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
wrote:

  Subject: Re:
[wanabidii] VITA YA MADWA YA KULEVYA: WABUNGE WETU WAKO
UPANDE GANI?
  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Wednesday, February 15, 2017, 12:58
PM
 
  Muhingo,
  kama kweli watu wa sheria wanayachukia madawa
kwa dhati basi
  wangekuwa mstari wa mbele
wao kupimwa kwanza kama wanayo
  mwilini na
hapo ndio wakaanza kumshutumu Mheshimiwa RC

Makonda. Vinginevyo tuseme kama kaka zangu wakurya kuwa
vita
  ni vita tu kila silaha tumia, kuyataja
mateja na
  wanaodhaniwa kuwa ni washirika ni
jambo jema.
  2017-02-14 23:34 GMT+03:00
  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 
 
  Vita ya
madawa ya kulevya imeanza rasmi. Si kuwa hakukuwa na
  juhudi huko nyuma. La. Ila sasa imeanza na
msukumo mpya.
  Imeanza kwa Mkuu wa Mkoa wa
Dar Es Salaam Paulo Makonda
  kuwataja watu
wanaohisiwa kujihusisha na madawa hayo.

Mwanzoni alibezwa na kuambiwa anacheza na dagaa. Baadaye
  akaongeza kwa kutaja majina makubwa zaidi.
Hapo ndipo hasa
  misimamo tofauti
ilionekana. Wengine wakasema hawawezi

kwenda kwa sababu Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya
kushughulikia
  madawa ya kulevya. Wapo
waliotaja hasara watakayoipata kwa
  kuitikia
wito wa Makonda na vitisho vingine vingi.


  Madawa haya yameharibu vijana na
yanaendelea kuwaharibu.
  Vijana wasomi,
wasanii wakishajiingiza katika madawa basi

wanaharibika na kupoteza mwelekeo. Namfahamu kijana
  aliyekufa baada ya kunywa dawa za kilimo
zilizokuwa
  zimetunzwa na wazazi wake
nyumbani. Huyo kijana alikuwa
  anamalizia
degree yake ya kwanza ya computer engineering.
  Alifukuzwa mara mbili kwa sababu ya
kuharibikiwa akili baada
  ya kutumia madawa
ya kulevya. Alipokosa madawa na bangi
  ikawa
haimtoshi akaanza kunywa dawa hiyo kidogo kidogo mpaka
  ilipomuua; na wazazi waligundua baadaye sana.
Madhara mengi
  tu huenda kila mmoja ana
mifano yake. Jingine lililo wasi ni
  habari
kuwa wahusika wakuu wa biashara hii ni wanasiasa;
  Wafayabiashara wakubwa na wasanii. Katika
orodha ya Makonda
  makundi hayo yote
yalitajwa.
 
 
 
  Kati ya maneno aliyokaririwa
akitumia Ndugu Makonda ni
  kusema Wabunge
(Nadhani baadhi) ni wapuuzi na kuwa hufanya

kazi ya kulala bungeni.
 

Wakati ukweli ukiwa kama nilivyoutia katika utangulizi,
  Wabunge na Bunge lilitoa msimamo kuhusu maneno
ya Makonda.
  Maneno yoyote aliyotamka mtu au
taasisi yanawakilisha
  msimamo wake
kuhusiana na vita ya madawa ya kulevya. Wabunge
  wetu walijibu juhudi za Makonda kwa kuzingatia
zaidi maneno
  yake kuhusu wabunge badala ya
lengo lake la kupiga vita
  madawa ya
kulevya. Sipendi kuungana na Makonda kuliudhi
  bunge letu lakini nataka kujielekeza kuhusu
matukio
  yanayoweza kutumika kulishtua bunge
(likitaka kushtuka) na
  kubadili
mwelekeo.
 
  Mifano:
 
  1       Bunge limetunga
sheria kadhaa kuharamisha madawa
  ya kulevya
ikiwemo bangi. Siku moja mbunge mmoja alisimama
  bungeni na kusema kwao bangi ni halali hivyo
ihalalishwe. Je
  huu si upuuzi kwa mbunge
kutamka hivyo? Kama ni upuuzi; yeye
  aweza
kuepuka kuwa mpuuzi? Lakini Baada ya neno kama hili
  kutamkwa na mbunge, wabunge wengine
walipitisha azimio gani
  kuhusu upuuzi huo?
Reaction ya bunge zima kuhusu neno la

mwenzao ndilo linarejesha heshima ya bunge au kuiondoa.
 
 
 
  2       Lakini tumtafakari mwakilishi
mwingine. Kama
  mbunge kuitwa mpuuzi ni kosa
na utovu wa heshima na madaraka
  ya Bunge,
bila shaka viongozi wa miimili mingine pia. Sasa
  mtu anasimama na kusema Rais ni Dictator
uchwara. Mtu huyo
  anasimama na kusema
Tanzania inaongozwa na rais wa ajabu
  ajabu.
Kosa la rais ni kusema taifa halijafikia mahala pa
  kuomba chakula kwani japo kuna ukame lakini
mvua
  zinazoendelea zaweza kutumika kulima
chakula kinachopungua!
  Maneno kama hayo
japo yametamkwa nje ya Bunge lakini kwa

sababu yametamkwa na Mbunge ningetarajia bunge kuwa na
  tamko. Kama Bunge likimrudi mwenzao kama
tulivyoona huko
  nyuma linaweka msingi wa
kutoitwa bunge la wapuuzi.
 
 
 
  3     
 Nchi yetu ilipata uhuru 1961. Kabla ya uhuru
  nchi hii imepitia historia ya ajabu. Zamani za
kale nchi
  ilikuwa ni chiefdoms ndogo ndogo.
Watu fulani wakakaa na
  kuziunganisha hizo
kabila na chiefdoms na kutengeneza kitu

kinaitwa Tanganyika. Baada ya uhuru wa Tanganyika na
  Zanzibar, viongozi tuliowachagua wakafanya
uamuzi wa
  kuziunganisha nchi mbili
zilizokuwa huru. Sasa ni taifa
  moja.
Linaitwa Tanzania. Tumelitengeneza wenyewe. Lina
  katiba yake. Linatambuliwa hivyo. Lina
changamoto zake ndiyo
  maana tunajadiliaana
namna bora ya kuliimarisha na
  kuliendeleza.
Ni mfano bora wa kujivunia. Africa inajivunia.
  Ni matokeo ya kazi tuliofanya sisi bada ya
uhuru. Tanzania
  si ya kwanza kuungana
duniani. Mfano mmojawapo ni Marekani.

Iliunganisha mataifa zaidi ya 50. Kuliwahi kutokea
wapuuzi
  fulani wakati wa utawala wa Abraham
Linchoin wakitaka
  kulitenga taifa (jimbo)
lao. Walipata kichapo kikali
  hawajathubutu
tena. Naamini hakuna Mmarekani anaweza kuhoji
  muungano huo akaishi. Sisi tuna binadamu
mmoja. Tena ni
  mbunge wa bunge letu
linalostahili kuheshimiwa. Akasema
  Zanzibar
inatawaliwa na Tanganyika. Na upuuzi mwingine
  mwingi tu. Mbunge huyo aliapa kiapo kuulinda
Muungano. Sasa
  je kitendo chake hicho si
cha kipuuzi? Kama ni cha kipuuzi,
  yeye sio
mpuuzi? Bunge limetoa msimamo gani kuhusu matamshi
  ya mwenzao? Je Bunge kumnyamazia mbunge wa
namna hiyo sio
  kitendo cha kipuuzi?
Nakumbuka Speaker aliyepita aliwahi

kuwafyatukia wananchi kuwa bunge linastahili kuheshimiwa
  baada ya wananchi kuwashambulia wabunge
kutoana na matamshi
  ya ajabu. Alitumia
kifungu hikihiki kinachombana Makonda.

Alizimwa na wananchi walipomvamia kwenye vyombo vya
habari.
  Alichofanya ilikuwa kuwabana
wabunge wajiheshimu ili taswira
  yao mbele
ya umma wanaowakilishwa bungeni isiendelee

kudhalilika.
 
 
 
  4       Nchi yetu; kama
zilivyo nchi nyingine duniani,
  inakabiliwa
na janga la madawa ya kulevya. Vijana wetu

wameharibika na kwa kweli huo ni uharibifu wa nguvukazi
ya
  taifa. Inatarajiwa kuwa wananchi,
viongozi wataungana kupiga
  vita uharibifu
huu. Sababu zi wazi kwa nini watu wote

kuungana. Licha ya uharibifu uliopo lakini wanufaika wana
  uwezo mkubwa kumnunua yeyote. Katika vita kama
hii lazima
  usemi wa Bush baada ya
shambulizi la Septemba 11 litumike:
  "Kama
hauko nasi uko kinyume nasi". Vita hii ngumu. Kuna
  waliojaribu na kuishia kusema wanayo orodha ya
wahusika.
  Hawakutaja hata jina moja. Sasa
amejitokeza kijana mdogo.
  Akawa jasiri
kuwataja watu wanaojihusisha na biashara hii.
  Kukanyagana ni jambo la kawaida katika msafara
wowote. Mtu
  kuamua kuingilia safari kwa
sababu ya kukanyagwa haiingii
  akilini.
Kitendo cha wabunge wetu kuungana kutaka mtu
  aliyethubutu aondolewe kazini, si cha kawaida.
Wabunge
  kusema wizara husika zipo na Mkuu
wa mkoa haimhusu, ni
  ishara mbaya. Haiingii
akilini kuwa viongozi wetu wanaweza

kuonekana wanadhoofisha juhudi za serikali kushughulikia
  janga hili.
 


 
  Kimsingi kila mtu
anastahili heshima. Kuheshimiwa kukubwa

huanza kwa mtu kujiheshimu. Taasisi pia. Kama bunge
haliwezi
  kufanya upuuzi hakuna anayeweza
kulidhania hivyo. Kama
  wakifanya upuuzi,
hata kama hakuna aliyewaita haimaanishi

kuwa sio. Kwa kuzingatia kuwa wabunge ni wanansiasa, na
  ilitarajiwa wabunge kama wanasiasa kuwa
waangalifu katiko
  hoja zao. La sivyo licha
ya kuitwa wapuuzi kwa haki,
  haiwezekani
wapiga kura wasitake wawakilishi wao

kuchunguzwa. Hakuna mtu anayeweza kuwaita wabunge wapuuzi
  kama hawafanyi upuuzi.
 
  Elisa Muhingo
 
  0767 187 507
 
       --
 


 
      


 
 
   
   Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
 
 
      
 
 
 
        


 
 
   
  
 
 


       Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
 
 
      
 
 
 
       wanabidii+...@
googlegroups.com 
 
 
 
      Utapata Email ya
 
 
 
       kudhibitisha ukishatuma
 
 
 
      
 
 
 
        


 
 
   
  
 
 


       Disclaimer:
 
 
 
      
 
 
 
       Everyone posting to this Forum
bears
 
    the sole
 
 
 
      responsibility
 
 
 
      
for any legal consequences of his or
 
    her postings,
 
 
 
   
 and
 
 


      hence
 
 
 
      
statements and facts must be presented
 
    responsibly.
 
 
 
   
 Your
 
 


       continued membership signifies
that
 
    you agree to
 
 
 
     this
 


 
       disclaimer and
pledge to abide by our
 
   
Rules and
 
 
 
      Guidelines.
 
 
 
      
 
 
 
       ---


 
 
   
  
 
 


       You received this message because
you
 
    are subscribed
 
 
 
     to
 
 
 
      the


 
 
   
   Google Groups "Wanabidii"


    group.
 
 
 
      
 
 
 
       To unsubscribe from this group and
 
    stop receiving
 
 
 
     emails
 


 
       from it, send an
email to wanabidii+...@
 

  googlegroups.com.
 
 
 
      
 
 
 
      
For more options, visit
 


 
      https://groups.google.com/d/
 
    optout.


 
 
   
  
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
    --
 
 
 
    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 
     
 
 
 
    Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
 


    wanabidii+unsubscribe@

googlegroups.com 
 

 Utapata Email ya
 
   
kudhibitisha ukishatuma
 


 
     


 
 
   
Disclaimer:
 
 
 
    Everyone posting to this
Forum bears the sole
 

 responsibility
 
    for
any legal consequences of his or her postings, and
 
   hence
 
    statements and facts must be presented
responsibly.
  Your
 
    continued membership signifies that you
agree to this
 
   
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 
    Guidelines.
 
 
 
    ---
 
 
 
    You received this message
because you are subscribed
  to
 
   the
 
    Google Groups "Wanabidii"
group.
 
 


    To unsubscribe from this group and stop
receiving
  emails
 
    from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@
  googlegroups.com.
 
 
 
    For more options, visit


   https://groups.google.com/d/
  optout.
 
 
 
 
 
  --
 
  Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@

googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
  ukishatuma
 


 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility
  for any
legal consequences of his or her postings, and hence
  statements and facts must be presented
responsibly. Your
  continued membership
signifies that you agree to this
  disclaimer
and pledge to abide by our Rules and

Guidelines.
 
  ---
 
  You received this message
because you are subscribed to the
  Google
Groups "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
  from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@
  googlegroups.com.
 
  For more options, visit https://groups.google.com/d/
  optout.
 
 
 
 
 
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
  Guidelines.


  ---
 

You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups "Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

   


--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment