Habari za asubuhi,

-- Tafadhali pokea CODES hapo chini.

Mwenyekiti wa Mkutano wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu ambaye pia ni Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Mashariki mwa Afrika, Bi. Ann Therese Ndong-Jatta akiendesha mjadala wa kuhitimisha mkutano huo wa siku mbili wa wadau wa elimu kutoka nchi 13 uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conventional Centre (JNICC) jijini Dar es Salaam. (Habari picha na Zainul Mzige)

Mkurugenzi Mwandamizi wa Uendeshaji kutoka Taasisi ya XPRIZE, Matt Keller, iliyona makazi yake nchini Marekani akielezea kuhusu mradi wa XPRIZE unahusisha watoto ambao hawapo shuleni ukiwa na malengo ya kukuza teknolojia ya dunia kwa kutumia uwezo walionao ukilenga watoto wa miaka 5-12 wakati wa kuhitimisha mkutano wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa Joyce Ndalichako akielezea jitihada zitakazofanywa na serikali ya Tanzania katika kuboresha sekta ya elimu kuelekea utekelezaji wa SDG4 kwenye mkutano wa siku mbili wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu uliofanyika jijini Dar es Salaam

Waziri wa Elimu, Rasilimali Watu na Tafiti za Kisayansi wa Mauritius, Leela Dookon Luchoomon (kushoto) akieleza mipango ya serikali yake katika kuboresha elimu wakati wa kuhitimisha Mkutano wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu uliofanyika jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na UNESCO kwa kushirikiana na ILO, UNFPA, UNDP, UNICEF, UN Women, UNHCR pamoja na World Bank.

Balozi wa Canada nchini Tanzania, Ian Myles akizungumza kwa niaba ya nchi wahisani wakati wa kuhitimisha Mkutano wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa Djibouti, Mh. Moustapha Mohamed Mahamoud akiwasilisha mapendekezo ya serikali yake katika kuhitimisha Mkutano wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu uliofanyika jijini Da es Salaam.

Waziri wa Elimu na shule za msingi wa Uganda, Mh. Nansubuga Rosemary Seninde (kulia) akitoa mapendekezo ya serikali yake katika kuboresha elimu kwenye mkutano wa siku mbili wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu uliofanyika jijini Da es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Mh. Mhandisi Stella Manyanya (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Leonard Akwilapo wakiandika mapendekezo muhimu yaliyokuwa yakiwasilisha kwenye mkutano wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu uliofanyika jijini Da es Salaam.

Sehemu ya mawazi wa elimu kutoka Kenya, Uganda, Sudan Kusini, Ethiopia, Somalia, Comoro na Djibouti walioshiriki kwenye mkutano wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu uliofanyika jijini Da es Salaam.

Sehemu ya wadau wa sekta ya elimu kutoka nchi 13 walioshiriki kwenye mkutano wa siku mbili wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu uliofanyika jijini Da es Salaam.

Mwenyekiti wa Mkutano wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu ambaye pia ni Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Mashariki mwa Afrika, Bi. Ann Therese Ndong-Jatta akifuatilia mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiwasilishwa na wadau wa sekta ya elimu wakati wa mkutano huo uliofanyika jijini Da es Salaam.

Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa wa mkutano wa siku mbili wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu uliofanyika jijini Da es Salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) walioshiriki kufanikisha mkutano wa siku mbili wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu uliofanyika jijini Da es Salaam.

Afisa mipango kutoka UNESCO, Bi Faith Shayo (kushoto) akijadiliana jambo na wafanyakazi wenzake wakati wa mkutano wa siku mbili wa mawaziri wa Afrika Mashariki wa kujadili namna ya kufanikisha lengo la nne la elimu (SDG4) kati ya malengo 17 ya dunia ya maendeleo endelevu uliofanyika jijini Da es Salaam.

Na Zainul
Mzige<o:p></o:p>

Waziri wa
Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa Joyce Ndalichako amesema
kwamba wizara yake itashirikiana na wizara nyingine nchini kuhakikisha kwamba
migogoro ya walimu inamalizwa ili kufanikisha utoaji wa elimu kuwa bora na
jumuishi.<o:p></o:p>

Kauli hiyo
aliitoa wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari katika siku ya pili ya
kuhitimisha kwa mkutano ulioshirikisha nchi 13 za Afrika Mashariki kujadili lengo
la nne la elimu kati ya malengo 17 ya maendeleo endelevu (SDGs)<o:p></o:p>

Alisema
kwamba migogoro ya walimu inayogusa mishahara, marupurupu pamoja na mazingira
bora ya kazi linagusa pia Wizara za TAMISEMI na UTUMISHI na kusema kwamba wao
kama wasimamizi wa elimu watakachoweza kufanya ni kuzungumza na wenzao
kuhakikisha kwamba migogoro hiyo inafutwa ili utoaji wa elimu uendane na
mipango ya kitaifa na kidunia ya lengo la maendeleo 2030.<o:p></o:p>

Pamoja na
kujibu swali hilo Prof Ndalichako alizungumzia
kwamba walimu walikuwa ni ajenda muhimu
na humo walikubaliana kwamba mwalimu ni kila kitu katika utoaji wa elimu
na kuwa hawawezi kufanikiwa katika elimu bora na jumishi bila kuwa na walimu
wenye umahiri, wanaowezeshwa kufanya hivyo.<o:p></o:p>

Kutokana na
ukweli huo wamejipanga kuhakikisha kwamba walimu wanapata mafunzo bora nakuwakutanisha kubadilishana uzoefu. <o:p></o:p>

Alisema kila
nchi itakuwa na mpango mkakati wake na kuonesha viashiria kwamba vinatekelezwa
kwa namna gani. Mwisho wa siku mwaka 2030 mataifa yote yanapaswa kuhakikisha
kwamba agenda namba 4 ya maendeleo endelevu ya elimu imetekelezwa.<o:p></o:p>

Alisema
katika mkutano huo wa siku mbili wa mawaziri wa elimu ulioandaliwa na UNESCO kwa
kushirikiana na ILO, UNFPA, UNDP, UNICEF, UN Women, UNHCR pamoja na World Bank wamebainisha
kwamba mikakati ya pamoja ni lazima ichukuliwe ili kufanikisha elimu jumuishi
yenye usawa na ubora kwa watu wote huku ikitoa fursa ya elimu kwa wakati wote.<o:p></o:p>

Alisema
kwamba mkutano ulitambua kwamba elimu haina mwisho, elimu inataka kuwa na mfumo
wa kuwa na maendeleo ya kujifunza kwani mambo hayasimami kutokana na kubadilika
kwa teknolojia, hivyo elimu inayotolewa haina budi kujazia nafasi hiyo kwa
kuwapa uhuru watu kujisogeza zaidi.<o:p></o:p>

Alisema nchi
hizo 13 zimekubaliana kwa pamoja kufikia malengo endelevu 2030 kama yalivyosainiwa
na kila nchi mwaka 2015 kwa kuweka mikakati ili mataifa hayo yaweze kufikia
malengo yanayotakiwa.<o:p></o:p>

Aidha
alisema kama walikubaliana kwanza kuimarisha elimu ya awali kwa lengo la kuweka
msingi wa kujifunzia, kwani ipo methali inayoaminika kwamba samaki mkunje
angali mbichi na taifa likitaka watoto wasome ni lazima kuwaanzia wadogo.<o:p></o:p>

Aidha mataifa hayo yamekubaliana upimaji wa
wanafunzi kufanyika kwa ajili ya kujifunza, ukilenga kutumia matokeo kuandaa
mafunzo kwa wanafunzi. Upimaji uoneshe eneo la ambalo walimu watalazimika
kufanya kazi ya ziada ili wanafunzi wao waelewe.<o:p></o:p>

Mfumo wa
sasa wa kupima umelenga kujua watoto wangapi wamefaulu na wangapi wamefeli.<o:p></o:p>

Ndalichako
alisema ni vyema upimaji huo kutumika kuimarisha mafunzo ya walimu.<o:p></o:p>

Jambo la
tatu ambalo walikubaliana ni kuhakikisha kwamba mtoto wa kike anasoma na wale
wenye mazingira hatarishi pia; na bila kujali kujali mazingira yao nchi
zinatakiwa kuweka mikakati ya elimu
iliyobora kwa wote. <o:p></o:p>

"Suala
muhimu katika elimu ni kupanga mipango sahihi. Takwimu sahihi ni changamoto
kutokana na ukweli kuwa takwimu hazipatikani kwa wakati au hazina usahihi au
hazifanyiwi uchambuzi katika kufanya maamuzi vizuri, " alisema Prof
Ndalichako.<o:p></o:p>

Pia mataifa
hayo yakiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Sudan Kusini, Ethiopia, Somalia, Comoro
na Djibouti yamesisitiza haja ya kuimarisha elimu nje ya mfumo rasmi na kwa
kuwa kuna mfumo wa elimu wa kujiendeleza wa wakati wote mfano wa uhasibu.<o:p></o:p>

Alisema
inafaa kuimarisha mifumo ya elimu nje ya mfumo rasmi bila kusahau elimu ya watu
wazima. Pia wametaka watoto wanaolikoroga kwa sababu moja au nyingine na
kujikuta hawapati masomo ni vyema wakarudishwa shuleni kuendelea na masomo
hivyo ipo haja ya kutengeneza mfumo wa kupata elimu kwa staili hiyo.<o:p></o:p>

"Katika
hili tumekubaliana watoto walionje ya shule wanarudi shuleni au wanatengeneza
mfumo wa kupata elimu" alisema na kuongeza kuwa pia ilionekana ipo haja ya
kuimarisha elimu na ufundi stadi ili elimu hiyo imwezeshe kujiajiri, kujijenga
na kuwa na ujuzi kuendana na soko la ajira. <o:p></o:p>

Aidha alisema
kwamba kunatakiwa kuanzishwa kwa kampeni
maalumu ya kufichua wasichana wasiopelekwa shule ili kuwepo mwenedelezo wa kilamtu kuingia shule.<o:p></o:p>

WAKATI huo
huo serikali ya Uganda imesema itaongeza nguvu katika shule za awali kuimarishamsingi wa utoaji elimu kwa watu wake.<o:p></o:p>

Kauli hiyo
imetolewa na Waziri wa Elimu na shule za msingi wa Uganda, Mh. Nansubuga
Rosemary Seninde wakati akizungumza katika mkutano wa mawaziri wa Afrika
Mashariki kuhusiana na lengo namba 4 la elimu kati ya malengo 17 ya dunia.<o:p></o:p>

Alisema
serikali yake imejikita katika kuhakikisha kwamba waganda wanapata elimu nzurina yenye ushindani ikihakikisha ujuzi na uzoefu katika ujuzi.<o:p></o:p>

Aklisema
nchi yake haiwezi kumpa mtu digrii mpaka awe amefanya "intern" na hilolinasaidia sana kujenga uzoefu wa kile alichosomea.<o:p></o:p>

Alisema
ingawa kuna tatizo la bajeti, mipango ni muhimu kuhakikisha kwamba taifalinatoka katika changamoto za utoaji wa elimu bora.<o:p></o:p>

Alisema
badala ya kusubiri sera, watendaji wanatakiwa kuangalia maeneo ya kuanzia na
kisha kutengenezea taratibu za kubadilishwa kwa sera ili iendane na kasi
inayotakiwa.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment