Kamala
Nani Kati ya Magufuli na Nyerere alikuwa hodari wa kuunda watu wa kumtii. Kuwa na watii wazuri haina maana kuwa una warithi. Kila zama zilikuwa na yake.
Magufuli hajaweza kulinganishwa na Rais yeyote aliyepita. Tusubiri tuone.
Jovin
Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
JKamala,
PS if Nyerere was the problem niambie ni kwa nini mpaka sasa CCM haijapata kiongozi anayeweza kumpiku.
Magufuri naye anayo madhambi yake. He is not as clean as some of you would have us believe. Na hao wachafu wenzake
anaowaonea haya ndio hao hao watakaomwangusha.
em
2016-05-24 19:19 GMT-04:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
JKamala,Kwa sababu naijua CCM. Ilimshinda Nyerere mpaka akalazimika kurudisha multiparty. I am essentially an optimist by nature,but not like this. Akina Mkapa, Kikwete, Lowassa wote walilelewa na Nyerere, lakini walikuwa chui waliovaa ngozi za kondoo. Unaposemawatu walioonekana wenye vichwa walilazimika kumkimbia Nyerere unamaanisha the likes of Kambona? What did he do to show alikuwakichwa? Si alifika London akabaki tu kunywa pombe. Angalia watu ambao Magufuli anaona ni mahiri. Makonda? Na huyu waziri aliyefukuzwa kazi karibuni?I am an optimist who has been turned around by realities on the ground.em2016-05-24 12:11 GMT-04:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:Muganda.
Kwann unaamini wasioshabikia anachokifanya Magu watawashinda wale wanoshabikia? Pessimistic mbaya hiyo.
Harafu ujue kosa kubwa alilolifanya Nyerere nikutokuwalea watu makini wa kimrith. Wale walioonekana vichwa walilazimika kumkimbia Nyerere apart from Magufuri anayewakumbatia na kuwalea vyema wakimsaidia kutekeleza dhana yake ya hapa job tu
On May 24, 2016 6:11 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:--Elisa,Hatujawahi kuwa na rais mzuri, makini, mzalendo kama Julius Nyerere. Lakini hata kabla hajaodoka wenzake, kuanzia Mwinyi walihakikisha Unyerere unafutwa nakushindwa. Ndivyo hivyo itakavyokuwa na Magufuli. Sidhani kila mtu ndani ya CCM anashabikia anachofanya mheshimiwa. Hence my conclusion kwamba utashindwa.Nyerere alituwekea misingi kwa miaka 23 lakini katika kipindi cha miaka miwili tu Mwinyi alianza kuifuta akaja kumalizia Mkapa. Tuombe Mungu tuwepo halafu tuje tupimemaneno yako na ya kwangu.em--2016-05-24 7:10 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Afadhali ungesema Umagufuli ''unaweza kushindwa'' kuliko kusema ''utashindwa'. Ninatamani tuwepo wote wakati huo tukumbushane. Umagufuli unaweza kuendelea mpaka rais wa tatu kutoka kwake. Kuna sababu nyingi: Watu walichoka na kuonewa na watu waliokuwa ndani ya CCM. Wakafikia kuichukua CCM. CCM imenusulika kwa sababu ya kusambaratika upinzani. Baada ya hapo CCM kumpata Magufuli akainusulu. Asipopepesuka ataendelea kuishi baada yake. Kingine ni hiki cha kutafuta watu na kuanza kuwalea. Sikumuongeza Makonda kwenye orodha ya wanaolelewa makusudi. Magufuli akilenga kumuweka mrithi na akatumia njia zinazotajwa humu, basi umagufuli utaishi baada yake.
--------------------------------------------
On Tue, 5/24/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, May 24, 2016, 1:20 AM
Ndani ya
CCM hakuna linaloweza kutabirika. Unyerere ulishindwa
kuendelea, Umwinyi ulishindwa na vile vile Umkapa na
Ukikwete.Hata Umagufuli utashindwa
tu.em
2016-05-23 16:30 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kumbukumbu zizizo rasmi na zilizo
rasmi Tanzania zinaonyesha marais wote waliotangulia
walishindwa kuwaweka watu watakaorithi nafasi zao mara baada
yao kumaliza vipindi vyao.
Mwalimu Nyerere inasemekana alishindwa kuhakikisha chaguo
lake linapita na badala yake Ndugu Ali Hasan Mwinyi
akaichukua nafasi hiyo. Inasemekana chaguo la Mwalimu
alikuwa Ndugu Salim Ahmed Salim.
Ndugu Ali Hasan Mwinyi angalau huyo tunafahamu hakuwa na
chaguo. Ushawishi wake uliporomoka sana na karibu Mwalimu
Nyerere alikuwa strongman. Hotuba zake zinazotoka kila mara
kwenye luninga zinajieleza. Mwalimu Nyerere alifanikiwa
kumpigia chepuo Ndugu Mkapa kwa hiyo Mwinyi hakufanikiwa
kumpachika chaguo lake.
Wakati wa Benjamin Mkapa kung'atuka ilionekana alikuwa na
chaguo lake japo kwa umahili wake haikuwa rais kumjua.
Lakini kuna dalili kuwa Jakaya Kikwete hakuwa chaguo lake.
Wakati wa mkutano mkuu wa CCM kuteua mgombea Mkapa alitoa
hotuba iliyoashilia anammaanisha JK, lakini bado hakuwa
chaguo lake.
Ndugu JK ameng'atuka. Alijitahidi kwa uwazi tena bila
kificho kutaka kurithiwa na chaguo lake. Sitakuwa nimekosea
nikiongeza kuwa kwa matamshi ya wanafamilia chaguo hilo
halikuwa la JK peke yake bali lilikuwa la familia yake.
Pamoja na makeke yote hayo mwisho wake JK hakurithiwa na
chaguo lake. Kuna hisia kuwa ni Mkapa aliyefanikiwa
kushawishi chaguo. Kama kuna ukweli ndani yake basi Magufuli
alipita kwa uwezo wake na ushawishi wa Mkapa.
Dr. Magufuli ndiyo anaaza. Ana myaka minne iliyosalia lakini
aweza kuendelea mpaka myaka kumi.
Dr Magufuli anaonyesha anaweza kurithiwa na chaguo lako kwa
sababu kadhaa, zikiwamo zifuatazo:
1) Mtangulizi wake (JK) kama ilivyokuwa kwa Mwinyi
haonekani kuwa anaweza kuwa na ushawishi mkubwa kuliko
Magufuli wakati ukifika. Badala yake Magufuli anaweza kuwa
na ushawishi mkubwa kiasi cha watu hata kutamani kubadili
katiba ili aendelee japo hawezi kukubali. Hii inampa nafasi
ya kuwapendekezea watanzania nani awe mrithi wake.
2) Mwendo wa Dr. Magufuli ana uwezekano wa kuwa na
idadi ya watu ambao yeyote kati yao akichaguliwa atakuwa
mteule wake. Mfano: (1) Jinsi ambavyo Naibu Speaker
alivyoingizwa, sitashangaa kama 2025 atajitokeza kugombea.
Akigombea baada ya kulelewa enzi hizi ngumu kutokuwa chaguo
lake. (2) Tunamuona Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman Daffo.
Ukimuangalia sana, hatofautiani na Magufuli katika mambo
Fulani. Matamshi yake hayaonyeshi ubandia au uigizaji
wowote. Huyu namtilia shaka kuwa yuko analelewa. (3) Wakati
watu waliposema Humphrey Polepole anapigania ukuu wa Wilaya
niliwashangaa. Na naamini Polepole hakuwa na haraka ya
kuupata Ukuu wa Wilaya. Kama angependa kupigania angeutafuta
uwaziri. Kitendo cha kumteua kwa nafasi ambayo kimuonekano
ni ya chini kwake sitafanya kosa nikisema amepelekwa kwenye
nafasi hiyo ya chini ili apande polepole na kufikia 2025
atakuwa ameupata uzoefu ambao kwa sasa unaonekana hana na
labda watanzania watakuwa wamemjua zaidi. (4) Kwa mwendo huu
Magufuli anaweza kuweka chaguo lake hata chama cha upinzani
ili mradi kufika siku zile atakayepita awe mmoja kati ya
walengwa wake.
Kama huu nio mkakati wake basi Baada ya Magufuli umagufuli
utaendelea. Kama hakuwa amekusudia hivyo nitashangaa sana
kama hataanza.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment