Wednesday 25 May 2016

Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

Elisa,
Unanionea. Nisingeweza kukaa kimya huku nikishambuliwa na Kamala kiujanjaujanja. Alianza kusema mimi nina uraia wa nchi nyingi. Nikanyamaza.
Hii ya kuhoji uzalendo wangu sikuweza kulinyamazia kabisa. Turudi kwenye mada.
em

2016-05-25 15:29 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Tunajadili hatma ya taifa letu. Tunajadili upatikanaji wa viongozi wetu. Tunawajadili viongozi wetu kuwa na malengo, kuweka misingi lakini kwa kutokuwa na ushawishi wa nani afuate misingi ikabomoka. nyerere aliweka msingi Mwinyi akabom oa. mkapa alilipa madeni JK akaleta mengine kwa sababu mkapa hakuweza kumuweka atakayeyaendeleza. mada hii inalenga kumshawishi rais wetu kuliona hilo. Wametajwa watu ambao ameanza nao ambao akiwalea wanaweza kulinda mafanikio yao. Huo ni mstakabali wa taifa letu. naona kamala na Mganda mnaenda nje kidogo na kuna madhara makubwa kusema mambo ya mtu binafsi. Haikuwa maana yangu wakati naandika mada.
Elisa
--------------------------------------------
On Wed, 5/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Wednesday, May 25, 2016, 6:49 PM

 Kamala,Mimi si
 mwanasiasa. Sikukimbia nchi. I would have loved to serve
 Tanzania but fate had it that after I graduated my father
 died and the onlyway I could help my 2 little
 sisters continue their education is get a job in America and
 bring them here. So you can call me what you
 maybut I do not regret contributing to my
 sister's education something I would not have been able
 to do if I had returned to Tanzania and
 startlooking for a job. Lakini wote
 waliokimbia azimio la Arusha walitaka Tanzania iwe kama
 ilivyo baada ya Mwinyi kufuta azimio la Arusha na
 ndiosababu wanakula bila kunawa, bila
 aibu.em
 2016-05-25 6:31
 GMT-04:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:
 Tumpe muda gan si ndo huu? Yaan wewe bado tu
 unahofu na Magu???
 Kukimbia nchi mbona wewe unakaribia marekani?
 Wewe n mzalendo kweli????
 On May 25, 2016 1:14
 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
 wrote:
 Kukimbia nchi si
 uzalendo. Nina hakika walikimbia kwa sababu azimio liliziba
 mianya ya kutumia nafasi zao kujitajirisha.em

 Sent from my iPad
 On May 25, 2016, at 4:53 AM, J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
 wrote:

 Muganda.

 What is the problem with makonda au polepole na
 other youth working with Magu? Wenye akili walikuwepo zaidi
 ya hao labda wa karibu ni Salim Ahmed Salimu, hayati
 sokoine. Tentemeke Sanga, Mzee Lwizandekwe, Jackson Makweta
 to mention but a few.
 Kipindi cha Nyerere watu kadhaa waliokuwa na
 elimu walikimbia nchi kukwepa Sera ya ujamaa ya kulingana
 kila kitu kwa wote vinginevyo wangeweza kupatkana warith
 murua kuliko hawa ambao Nyerere alilazimika kuwafanya
 specimen.
 On May 25, 2016 11:07
 AM, "'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via
 Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Mtu anayemlinganisha
 Nyerere na hawa watawala wa sasa, ni dhahiri hakumjua
 Nyerere vizuri!
 LKK  

     On Wednesday, May 25,
 2016 9:04 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

  Bado Magufuli ana nafasi ya kufanya masahihisho ya
 makosa waliyofanya watangulizi wake. Yatakayomsaidia ni
 haya:
 1) Kuna makosa yaliyofanyika na watangulizi wake.
 2) magufuli ana akili za kuyaelewa yote.
 3) Ana nia njema na taifa hili na anajua hawezi kuyatimiza
 yote anayoyawaza kulielekeza taifa hili katika kipindi cha
 myaka 10.
 4) haya tunayoyajadili anayasoma na ana akili ya kujua
 tunasema nini. Ndiyo maana tunayasema wala hatusemi
 kujifurahisha.

 --------------------------------------------
 On Wed, 5/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
 Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Wednesday, May 25, 2016, 2:19 AM

  JKamala,Kwa sababu naijua CCM. Ilimshinda
  Nyerere mpaka akalazimika kurudisha multiparty. I am
  essentially an optimist by nature,but not like
  this. Akina Mkapa, Kikwete, Lowassa wote walilelewa na
  Nyerere, lakini walikuwa chui waliovaa ngozi za kondoo.
  Unaposemawatu walioonekana wenye vichwa
  walilazimika kumkimbia Nyerere unamaanisha the likes of
  Kambona? What did he do to show alikuwakichwa? Si
  alifika London akabaki tu kunywa pombe. Angalia watu ambao
  Magufuli anaona ni mahiri. Makonda? Na huyu waziri
  aliyefukuzwa kazi karibuni?I am an optimist who
  has been turned around by realities on the
  ground.em
  2016-05-24 12:11 GMT-04:00
  J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:
  Muganda.
  Kwann unaamini wasioshabikia anachokifanya Magu
  watawashinda wale wanoshabikia? Pessimistic mbaya hiyo.
  Harafu ujue kosa kubwa alilolifanya Nyerere
  nikutokuwalea watu makini wa kimrith. Wale walioonekana
  vichwa walilazimika kumkimbia Nyerere apart from Magufuri
  anayewakumbatia na kuwalea vyema wakimsaidia kutekeleza
  dhana yake ya hapa job tu
  On May 24, 2016 6:11
  PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
  wrote:
  Elisa,Hatujawahi kuwa na rais mzuri, makini,
  mzalendo kama Julius Nyerere. Lakini hata kabla hajaodoka
  wenzake, kuanzia Mwinyi walihakikisha Unyerere unafutwa
  nakushindwa. Ndivyo hivyo itakavyokuwa na
  Magufuli. Sidhani kila mtu ndani ya CCM anashabikia
  anachofanya mheshimiwa. Hence my conclusion kwamba
  utashindwa.Nyerere alituwekea misingi kwa miaka
  23 lakini katika kipindi cha miaka miwili tu Mwinyi
 alianza
  kuifuta akaja kumalizia Mkapa. Tuombe Mungu tuwepo halafu
  tuje tupimemaneno yako na ya
  kwangu.em
  2016-05-24 7:10 GMT-04:00
  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  Afadhali ungesema Umagufuli
  ''unaweza kushindwa'' kuliko kusema
  ''utashindwa'. Ninatamani tuwepo wote wakati
 huo
  tukumbushane. Umagufuli unaweza kuendelea mpaka rais wa
 tatu
  kutoka kwake. Kuna sababu nyingi: Watu walichoka na
 kuonewa
  na watu waliokuwa ndani ya CCM. Wakafikia kuichukua CCM.
 CCM
  imenusulika kwa sababu ya kusambaratika upinzani. Baada ya
  hapo CCM kumpata Magufuli akainusulu. Asipopepesuka
  ataendelea kuishi baada yake. Kingine ni hiki cha kutafuta
  watu na kuanza kuwalea. Sikumuongeza Makonda kwenye orodha
  ya wanaolelewa makusudi. Magufuli akilenga kumuweka mrithi
  na akatumia njia zinazotajwa humu, basi umagufuli utaishi
  baada yake.

  --------------------------------------------

  On Tue, 5/24/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
  wrote:

   Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
  Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

   To: "wanabidii@googlegroups.com"
  <wanabidii@googlegroups.com>

   Date: Tuesday, May 24, 2016, 1:20 AM

   Ndani ya

   CCM hakuna linaloweza kutabirika. Unyerere ulishindwa

   kuendelea, Umwinyi ulishindwa na vile vile Umkapa na

   Ukikwete.Hata Umagufuli utashindwa

   tu.em

   2016-05-23 16:30 GMT-04:00

   'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

   Kumbukumbu zizizo rasmi na zilizo

   rasmi Tanzania zinaonyesha marais wote waliotangulia

   walishindwa kuwaweka watu watakaorithi nafasi zao mara
  baada

   yao kumaliza vipindi vyao.

   Mwalimu Nyerere inasemekana alishindwa kuhakikisha
  chaguo

   lake linapita na badala yake Ndugu Ali Hasan Mwinyi

   akaichukua nafasi hiyo. Inasemekana chaguo la Mwalimu

   alikuwa Ndugu Salim Ahmed Salim.

   Ndugu Ali Hasan Mwinyi angalau huyo tunafahamu hakuwa
  na

   chaguo. Ushawishi wake uliporomoka sana na karibu
  Mwalimu

   Nyerere alikuwa strongman. Hotuba zake zinazotoka kila
  mara

   kwenye luninga zinajieleza. Mwalimu Nyerere alifanikiwa

   kumpigia chepuo Ndugu Mkapa kwa hiyo Mwinyi
  hakufanikiwa

   kumpachika chaguo lake.

   Wakati wa Benjamin Mkapa kung'atuka ilionekana alikuwa
  na

   chaguo lake japo kwa umahili wake haikuwa rais kumjua.

   Lakini kuna dalili kuwa Jakaya Kikwete hakuwa chaguo
  lake.

   Wakati wa mkutano mkuu wa CCM kuteua mgombea Mkapa
  alitoa

   hotuba iliyoashilia anammaanisha JK, lakini bado hakuwa

   chaguo lake.

   Ndugu JK ameng'atuka. Alijitahidi kwa uwazi tena bila

   kificho kutaka kurithiwa na chaguo lake. Sitakuwa
  nimekosea

   nikiongeza kuwa kwa matamshi ya wanafamilia chaguo hilo

   halikuwa la JK peke yake bali lilikuwa la familia yake.

   Pamoja na makeke yote hayo mwisho wake JK hakurithiwa
  na

   chaguo lake. Kuna hisia kuwa ni Mkapa aliyefanikiwa

   kushawishi chaguo. Kama kuna ukweli ndani yake basi
  Magufuli

   alipita kwa uwezo wake na ushawishi wa Mkapa.

   Dr. Magufuli ndiyo anaaza. Ana myaka minne iliyosalia
  lakini

   aweza kuendelea mpaka myaka kumi.

   Dr Magufuli anaonyesha anaweza kurithiwa na chaguo lako
  kwa

   sababu kadhaa, zikiwamo zifuatazo:

   1)      Mtangulizi wake (JK) kama ilivyokuwa kwa
  Mwinyi

   haonekani kuwa anaweza kuwa na ushawishi mkubwa kuliko

   Magufuli wakati ukifika. Badala yake Magufuli anaweza
  kuwa

   na ushawishi mkubwa kiasi cha watu hata kutamani
  kubadili

   katiba ili aendelee japo hawezi kukubali. Hii inampa
  nafasi

   ya kuwapendekezea watanzania nani awe mrithi wake.

   2)      Mwendo wa Dr. Magufuli ana uwezekano wa kuwa
  na

   idadi ya watu ambao yeyote kati yao akichaguliwa
  atakuwa

   mteule wake. Mfano: (1) Jinsi ambavyo Naibu Speaker

   alivyoingizwa, sitashangaa kama 2025 atajitokeza
  kugombea.

   Akigombea baada ya kulelewa enzi hizi ngumu kutokuwa
  chaguo

   lake. (2) Tunamuona Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman
  Daffo.

   Ukimuangalia sana, hatofautiani na Magufuli katika
  mambo

   Fulani. Matamshi yake hayaonyeshi ubandia au uigizaji

   wowote. Huyu namtilia shaka kuwa yuko analelewa. (3)
  Wakati

   watu waliposema Humphrey Polepole anapigania ukuu wa
  Wilaya

   niliwashangaa. Na naamini Polepole hakuwa na haraka ya

   kuupata Ukuu wa Wilaya. Kama angependa kupigania
  angeutafuta

   uwaziri. Kitendo cha kumteua kwa nafasi ambayo
  kimuonekano

   ni ya chini kwake sitafanya kosa nikisema amepelekwa
  kwenye

   nafasi hiyo ya chini ili apande polepole na kufikia
  2025

   atakuwa ameupata uzoefu ambao kwa sasa unaonekana hana
  na

   labda watanzania watakuwa wamemjua zaidi. (4) Kwa mwendo
  huu

   Magufuli anaweza kuweka chaguo lake hata chama cha
  upinzani

   ili mradi kufika siku zile atakayepita awe mmoja kati
  ya

   walengwa wake.

   Kama huu nio mkakati wake basi Baada ya Magufuli
  umagufuli

   utaendelea. Kama hakuwa amekusudia hivyo nitashangaa
  sana

   kama hataanza.

    --

    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

    Kujiondoa Tuma Email kwenda

    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

   Utapata Email ya

    kudhibitisha ukishatuma

    Disclaimer:

    Everyone posting to this Forum bears the sole

   responsibility

    for any legal consequences of his or her postings,
  and

   hence

    statements and facts must be presented responsibly.

   Your

    continued membership signifies that you agree to this

    disclaimer and pledge to abide by our Rules and

   Guidelines.

    ---

    You received this message because you are subscribed
  to

   the

    Google Groups "Wanabidii" group.

    To unsubscribe from this group and stop receiving

   emails

    from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

    For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

   --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

   Everyone posting to this Forum bears the sole
  responsibility

   for any legal consequences of his or her postings, and
  hence

   statements and facts must be presented responsibly.
  Your

   continued membership signifies that you agree to this

   disclaimer and pledge to abide by our Rules and

   Guidelines.

   ---

   You received this message because you are subscribed to

  statements and facts must be presented responsibly. Your

  To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment