Wednesday 25 May 2016

Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

Muganda.

Nilichokuhoji na ulichonijibu mbona n mjadala mzuri tu wenye kuelimisha sasa huyu mama anaita matusi. Mbona nimekuhoji na wewe ukanijibu vyema nikaelimika? Eti Muganda kwenye swali langu la wewe kuish marekan umeona tusi lolote mkuu? Is there any person who should decide for you kwamba umetukanwa?.

Kwenye mijadala naamini katk kuhoji bila kuangalia eti umri. Nimekulia kwenye jamii ambayo kumhoji mkubwa ni tusi linalostahiri adhabu mbaya sana. Kwa mfano niliwahi kuhoj mchungaji kwenda kutibiwa Hosp wakat anatuombea tusiugue/tupone nikatwisha viboko badala ya kujibiwa.

Kimsingi sijaporomosha tusi lolote kwako bwana Muganda na sjjafukuzwa jukwaa hili kwa kumtusi mtu. Naomba nieleweke hivyo usilishwe maneno mkuu

On May 26, 2016 3:01 AM, "'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kaka Elisa Muhingo,
Ni kweli mtu--yaani tabia ya mtu ni muhimu katika uongozi  lakini muhimu zaidi sana katika zama hizi za uutandawazi wizi na siasa za vyama vingi,   misingi iliyowekwa Kikatiba ni muhimu sana.  Misingi hiyo inaepusha mtawala au kikundi ya  watawala kuwa fisadi.  Ufisadi  wa EPA, Deep Green, Twin Towers, Richmond, Escow, Lugumi and many more ni ishara kwamba  mkataba kati ya watawala na watawaliwa  (Katiba ya Nchi)  katika Jamhuri yetu ni dhaifu sana. Ni ishara mkataba una  matobo makubwa sana yanayowezesha watawala  kukwapua mali za  wana wa nchi kilaini tena bila kuchukuliwa hatua zinazoweza kukomesha au kupunguza kwa kiasi kikubwa ufisadi nchini.  Naye Rais  wetu Magufuli --ni kweli anaonekana kuwa na dhamira ya kuirejesha nchi katika nidhamu ya uongozi, lakini  asipolielewa hili  tatizo la msingi na akalifanyia  kazi--hata atende mema kiasi gani--tuendako giza litakuwa nene zaidi  kuhusu ufisadi angamizi ndani  ya Jamhuri yetu na  mamilioni wataendelea kuumia kwa ufukara.

On Wednesday, May 25, 2016 8:29 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Tunajadili hatma ya taifa letu. Tunajadili upatikanaji wa viongozi wetu. Tunawajadili viongozi wetu kuwa na malengo, kuweka misingi lakini kwa kutokuwa na ushawishi wa nani afuate misingi ikabomoka. nyerere aliweka msingi Mwinyi akabom oa. mkapa alilipa madeni JK akaleta mengine kwa sababu mkapa hakuweza kumuweka atakayeyaendeleza. mada hii inalenga kumshawishi rais wetu kuliona hilo. Wametajwa watu ambao ameanza nao ambao akiwalea wanaweza kulinda mafanikio yao. Huo ni mstakabali wa taifa letu. naona kamala na Mganda mnaenda nje kidogo na kuna madhara makubwa kusema mambo ya mtu binafsi. Haikuwa maana yangu wakati naandika mada.
Elisa
--------------------------------------------
On Wed, 5/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 25, 2016, 6:49 PM

Kamala,Mimi si
mwanasiasa. Sikukimbia nchi. I would have loved to serve
Tanzania but fate had it that after I graduated my father
died and the onlyway I could help my 2 little
sisters continue their education is get a job in America and
bring them here. So you can call me what you
maybut I do not regret contributing to my
sister's education something I would not have been able
to do if I had returned to Tanzania and
startlooking for a job. Lakini wote
waliokimbia azimio la Arusha walitaka Tanzania iwe kama
ilivyo baada ya Mwinyi kufuta azimio la Arusha na
ndiosababu wanakula bila kunawa, bila
aibu.em
2016-05-25 6:31
GMT-04:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:
Tumpe muda gan si ndo huu? Yaan wewe bado tu
unahofu na Magu???
Kukimbia nchi mbona wewe unakaribia marekani?
Wewe n mzalendo kweli????
On May 25, 2016 1:14
PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
Kukimbia nchi si
uzalendo. Nina hakika walikimbia kwa sababu azimio liliziba
mianya ya kutumia nafasi zao kujitajirisha.em

Sent from my iPad
On May 25, 2016, at 4:53 AM, J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
wrote:

Muganda.

What is the problem with makonda au polepole na
other youth working with Magu? Wenye akili walikuwepo zaidi
ya hao labda wa karibu ni Salim Ahmed Salimu, hayati
sokoine. Tentemeke Sanga, Mzee Lwizandekwe, Jackson Makweta
to mention but a few.
Kipindi cha Nyerere watu kadhaa waliokuwa na
elimu walikimbia nchi kukwepa Sera ya ujamaa ya kulingana
kila kitu kwa wote vinginevyo wangeweza kupatkana warith
murua kuliko hawa ambao Nyerere alilazimika kuwafanya
specimen.
On May 25, 2016 11:07
AM, "'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mtu anayemlinganisha
Nyerere na hawa watawala wa sasa, ni dhahiri hakumjua
Nyerere vizuri!
LKK  
 
    On Wednesday, May 25,
2016 9:04 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
 
  Bado Magufuli ana nafasi ya kufanya masahihisho ya
makosa waliyofanya watangulizi wake. Yatakayomsaidia ni
haya:
1) Kuna makosa yaliyofanyika na watangulizi wake.
2) magufuli ana akili za kuyaelewa yote.
3) Ana nia njema na taifa hili na anajua hawezi kuyatimiza
yote anayoyawaza kulielekeza taifa hili katika kipindi cha
myaka 10.
4) haya tunayoyajadili anayasoma na ana akili ya kujua
tunasema nini. Ndiyo maana tunayasema wala hatusemi
kujifurahisha.

--------------------------------------------
On Wed, 5/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Wednesday, May 25, 2016, 2:19 AM
 
  JKamala,Kwa sababu naijua CCM. Ilimshinda
  Nyerere mpaka akalazimika kurudisha multiparty. I am
  essentially an optimist by nature,but not like
  this. Akina Mkapa, Kikwete, Lowassa wote walilelewa na
  Nyerere, lakini walikuwa chui waliovaa ngozi za kondoo.
  Unaposemawatu walioonekana wenye vichwa
  walilazimika kumkimbia Nyerere unamaanisha the likes of
  Kambona? What did he do to show alikuwakichwa? Si
  alifika London akabaki tu kunywa pombe. Angalia watu ambao
  Magufuli anaona ni mahiri. Makonda? Na huyu waziri
  aliyefukuzwa kazi karibuni?I am an optimist who
  has been turned around by realities on the
  ground.em
  2016-05-24 12:11 GMT-04:00
  J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:
  Muganda.
  Kwann unaamini wasioshabikia anachokifanya Magu
  watawashinda wale wanoshabikia? Pessimistic mbaya hiyo.
  Harafu ujue kosa kubwa alilolifanya Nyerere
  nikutokuwalea watu makini wa kimrith. Wale walioonekana
  vichwa walilazimika kumkimbia Nyerere apart from Magufuri
  anayewakumbatia na kuwalea vyema wakimsaidia kutekeleza
  dhana yake ya hapa job tu
  On May 24, 2016 6:11
  PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
  wrote:
  Elisa,Hatujawahi kuwa na rais mzuri, makini,
  mzalendo kama Julius Nyerere. Lakini hata kabla hajaodoka
  wenzake, kuanzia Mwinyi walihakikisha Unyerere unafutwa
  nakushindwa. Ndivyo hivyo itakavyokuwa na
  Magufuli. Sidhani kila mtu ndani ya CCM anashabikia
  anachofanya mheshimiwa. Hence my conclusion kwamba
  utashindwa.Nyerere alituwekea misingi kwa miaka
  23 lakini katika kipindi cha miaka miwili tu Mwinyi
alianza
  kuifuta akaja kumalizia Mkapa. Tuombe Mungu tuwepo halafu
  tuje tupimemaneno yako na ya
  kwangu.em
  2016-05-24 7:10 GMT-04:00
  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  Afadhali ungesema Umagufuli
  ''unaweza kushindwa'' kuliko kusema
  ''utashindwa'. Ninatamani tuwepo wote wakati
huo
  tukumbushane. Umagufuli unaweza kuendelea mpaka rais wa
tatu
  kutoka kwake. Kuna sababu nyingi: Watu walichoka na
kuonewa
  na watu waliokuwa ndani ya CCM. Wakafikia kuichukua CCM.
CCM
  imenusulika kwa sababu ya kusambaratika upinzani. Baada ya
  hapo CCM kumpata Magufuli akainusulu. Asipopepesuka
  ataendelea kuishi baada yake. Kingine ni hiki cha kutafuta
  watu na kuanza kuwalea. Sikumuongeza Makonda kwenye orodha
  ya wanaolelewa makusudi. Magufuli akilenga kumuweka mrithi
  na akatumia njia zinazotajwa humu, basi umagufuli utaishi
  baada yake.
 
  --------------------------------------------
 
  On Tue, 5/24/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
  wrote:
 
   Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
  Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
 
   To: "wanabidii@googlegroups.com"
  <wanabidii@googlegroups.com>
 
   Date: Tuesday, May 24, 2016, 1:20 AM
 
   Ndani ya
 
   CCM hakuna linaloweza kutabirika. Unyerere ulishindwa
 
   kuendelea, Umwinyi ulishindwa na vile vile Umkapa na
 
   Ukikwete.Hata Umagufuli utashindwa
 
   tu.em
 
   2016-05-23 16:30 GMT-04:00
 
   'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 
   Kumbukumbu zizizo rasmi na zilizo
 
   rasmi Tanzania zinaonyesha marais wote waliotangulia
 
   walishindwa kuwaweka watu watakaorithi nafasi zao mara
  baada
 
   yao kumaliza vipindi vyao.
 
   Mwalimu Nyerere inasemekana alishindwa kuhakikisha
  chaguo
 
   lake linapita na badala yake Ndugu Ali Hasan Mwinyi
 
   akaichukua nafasi hiyo. Inasemekana chaguo la Mwalimu
 
   alikuwa Ndugu Salim Ahmed Salim.
 
   Ndugu Ali Hasan Mwinyi angalau huyo tunafahamu hakuwa
  na
 
   chaguo. Ushawishi wake uliporomoka sana na karibu
  Mwalimu
 
   Nyerere alikuwa strongman. Hotuba zake zinazotoka kila
  mara
 
   kwenye luninga zinajieleza. Mwalimu Nyerere alifanikiwa
 
   kumpigia chepuo Ndugu Mkapa kwa hiyo Mwinyi
  hakufanikiwa
 
   kumpachika chaguo lake.
 
   Wakati wa Benjamin Mkapa kung'atuka ilionekana alikuwa
  na
 
   chaguo lake japo kwa umahili wake haikuwa rais kumjua.
 
   Lakini kuna dalili kuwa Jakaya Kikwete hakuwa chaguo
  lake.
 
   Wakati wa mkutano mkuu wa CCM kuteua mgombea Mkapa
  alitoa
 
   hotuba iliyoashilia anammaanisha JK, lakini bado hakuwa
 
   chaguo lake.
 
   Ndugu JK ameng'atuka. Alijitahidi kwa uwazi tena bila
 
   kificho kutaka kurithiwa na chaguo lake. Sitakuwa
  nimekosea
 
   nikiongeza kuwa kwa matamshi ya wanafamilia chaguo hilo
 
   halikuwa la JK peke yake bali lilikuwa la familia yake.
 
   Pamoja na makeke yote hayo mwisho wake JK hakurithiwa
  na
 
   chaguo lake. Kuna hisia kuwa ni Mkapa aliyefanikiwa
 
   kushawishi chaguo. Kama kuna ukweli ndani yake basi
  Magufuli
 
   alipita kwa uwezo wake na ushawishi wa Mkapa.
 
   Dr. Magufuli ndiyo anaaza. Ana myaka minne iliyosalia
  lakini
 
   aweza kuendelea mpaka myaka kumi.
 
   Dr Magufuli anaonyesha anaweza kurithiwa na chaguo lako
  kwa
 
   sababu kadhaa, zikiwamo zifuatazo:
 
   1)      Mtangulizi wake (JK) kama ilivyokuwa kwa
  Mwinyi
 
   haonekani kuwa anaweza kuwa na ushawishi mkubwa kuliko
 
   Magufuli wakati ukifika. Badala yake Magufuli anaweza
  kuwa
 
   na ushawishi mkubwa kiasi cha watu hata kutamani
  kubadili
 
   katiba ili aendelee japo hawezi kukubali. Hii inampa
  nafasi
 
   ya kuwapendekezea watanzania nani awe mrithi wake.
 
   2)      Mwendo wa Dr. Magufuli ana uwezekano wa kuwa
  na
 
   idadi ya watu ambao yeyote kati yao akichaguliwa
  atakuwa
 
   mteule wake. Mfano: (1) Jinsi ambavyo Naibu Speaker
 
   alivyoingizwa, sitashangaa kama 2025 atajitokeza
  kugombea.
 
   Akigombea baada ya kulelewa enzi hizi ngumu kutokuwa
  chaguo
 
   lake. (2) Tunamuona Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman
  Daffo.
 
   Ukimuangalia sana, hatofautiani na Magufuli katika
  mambo
 
   Fulani. Matamshi yake hayaonyeshi ubandia au uigizaji
 
   wowote. Huyu namtilia shaka kuwa yuko analelewa. (3)
  Wakati
 
   watu waliposema Humphrey Polepole anapigania ukuu wa
  Wilaya
 
   niliwashangaa. Na naamini Polepole hakuwa na haraka ya
 
   kuupata Ukuu wa Wilaya. Kama angependa kupigania
  angeutafuta
 
   uwaziri. Kitendo cha kumteua kwa nafasi ambayo
  kimuonekano
 
   ni ya chini kwake sitafanya kosa nikisema amepelekwa
  kwenye
 
   nafasi hiyo ya chini ili apande polepole na kufikia
  2025
 
   atakuwa ameupata uzoefu ambao kwa sasa unaonekana hana
  na
 
   labda watanzania watakuwa wamemjua zaidi. (4) Kwa mwendo
  huu
 
   Magufuli anaweza kuweka chaguo lake hata chama cha
  upinzani
 
   ili mradi kufika siku zile atakayepita awe mmoja kati
  ya
 
   walengwa wake.
 
   Kama huu nio mkakati wake basi Baada ya Magufuli
  umagufuli
 
   utaendelea. Kama hakuwa amekusudia hivyo nitashangaa
  sana
 
   kama hataanza.
 
    --
 
    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
    Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 
   Utapata Email ya
 
    kudhibitisha ukishatuma
 
    Disclaimer:
 
    Everyone posting to this Forum bears the sole
 
   responsibility
 
    for any legal consequences of his or her postings,
  and
 
   hence
 
    statements and facts must be presented responsibly.
 
   Your
 
    continued membership signifies that you agree to this
 
    disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 
   Guidelines.
 
    ---
 
    You received this message because you are subscribed
  to
 
   the
 
    Google Groups "Wanabidii" group.
 
    To unsubscribe from this group and stop receiving
 
   emails
 
    from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
    For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
 
   --
 
   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 
   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
   Disclaimer:
 
   Everyone posting to this Forum bears the sole
  responsibility
 
   for any legal consequences of his or her postings, and
  hence
 
   statements and facts must be presented responsibly.
  Your
 
   continued membership signifies that you agree to this
 
   disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 
   Guidelines.
 
   ---
 
   You received this message because you are subscribed to

  statements and facts must be presented responsibly. Your

  To unsubscribe from this group and stop receiving emails

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment