Friday 27 May 2016

Re: [wanabidii] KUMALIZA VITA KIMAREKANI: Dunia itakuwepo?

Inafikirisha.
em

2016-05-27 10:04 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mkenya huyu ni jasiri sana. Amefanya mengi ambayo watangulizi wake yamewashinda. Nina maana ya Barak Husein Obama rais wa Marekani. Leo ametembelea Hiroshima mahala ambapo mwaka 1945 Ndege ya marekani ilidondosha bomu la Nyuklia na kumaliza vita a pili huko Japan. Sijui sana vita hiyo lakini niliwahi kusikia kama sio kusoma kuwa Japan ilitumia vibaya jeshi lake. Japan iliwaonea sana wachina katika vita hiyo. Japan ilitaka kulidhoofisha jeshi la Marekani. Japan walikuwa wabishi kiasi kibiko cha mbwa mwizi ndiyo ilikuwa dawa. Marekani ilichoamua ni kutupa mabomu mawili ya ATOMIC huko Hiroshima na jingine Nagasaki na kuua watu wengi sana. Baada ya bomu hilo Japan haikuwa na hamu tena ya kuendelea na vita. Nadhani hadi sasa japan haina hamu na vita yoyote. Sijui vizuri kama mabomu hayo yalitumbukizwa katika vikozi vya jeshi la Japan ila najua raia walikufa kuliko askari.
Leo Obama ametembelea eneo hilo na kutoa hotuba moja kwa uangalifu. Hakuomba msamaha na anakili kuwa baada ya bomu hilo lililoua sana vita iliisha. Lo! Kazi kweli.
Myaka ya themanini wakati Iran na Iraq zikipigana vita iliyochukua muda mrefu, Marekani ilirudia mchezo huo. Iliipatia Iraq silaha za maangamizi (Biological weapons) na Sadam akazitumia dhidi ya majeshi ya Iran. Ayatollah Ruholah Khomein alichofanya ilikuwa kusimamisha vita kuliko kuendelea kuwaangamiza zaidi watoto wa watu. Naam. Nita hiyo iliisha. Ilikuwa inasumbua namna ya kuimaliza. Watu walikufa sana. Kila upande ulikuwa ngangali. Bahati mbaya duniani wengi walimshabikia Sadam Husein na alipotumia silaha alizopewa na Marekani nani angemnyooshea kidole. Yakaisha tu. Ni silaha hizo ambazo Bush alikwenda kuzifuata na kumpindua Sadam licha ya kutozikuta silaha hizo.
Njia hii ya kimarekani ikitumika kusuluhisha migogoro ulimwengu utabaki kweli?
 --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence
  statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the
  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

 Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment