Friday 27 May 2016

RE: [wanabidii] KUMALIZA VITA KIMAREKANI: Dunia itakuwepo?

Nmejaribu kumjadili iijana wa panki lakini hakuna anayekubali kuongeza. Natamani taifa moja kujitosa na kusema naagiza silaha kutoka huko nione Obama atafanya nini. Niliwahikusema ili abadilike lazima kumpa ushirikiano. majuzi kichaa trump aliposema ataongea naye nikatamani wamarekani wampe angalau ulimwengu uonekane kubadilika. Vurugu.
--------------------------------------------
On Fri, 5/27/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:

Subject: RE: [wanabidii] KUMALIZA VITA KIMAREKANI: Dunia itakuwepo?
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, May 27, 2016, 8:37 PM

Elisa. Hii
kali. Sasa warusi wachina na kijana wa panki kule Korea
wananyukilia marekaniaedhirisha kiwagwaya. Je anaweza
kuwatikisa? It can lead to dissolution ya ulimwengu
Obama yuko kwenye politx tu hakuna cha
maridhiana wala nin anajaribu kusafisha sura ya marekan
tuuuu
On May 27, 2016 7:57 PM,
"Ireneus Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:
Katika Sayansi ya siasa (PolSc.)
kuna kitu inaitwa realism principles ambazo waasisi wake ni
wamarekani wenye asili ya uyahudi na bila kumsahau Henry
Kissinger. Moja ya matokeo yake ni sera ya nje ya US ambayo
is mostly based and guided by the Darwinian theories I.e the
survival of the fittest. Only the strongest will survive.
Kwa hiyo moja ya sifa ya kuiongoza Marekani ni kuhakikisha
unatenda mambo kwa ajili ya marekani ikiwa ni pamoja na
kuongeza influence ya US externally by any means. And
that's all about politics - the means justifies the end.
So it may be by force / violence or diplomacy! This is
America and this is our world. All about balance of
power.
Saddam Hussein, Ghadafi, Osama, ISIS,
Savimbi, etc were/are products of America. Obama is no
different from his predecessors as far as he is an American.
He is safeguards the interests of U.S foreign
policy.From:
'Hildegarda
Kiwasila' via Wanabidii
Sent:
‎27/‎05/‎2016
19:19
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject:
Re: [wanabidii] KUMALIZA VITA
KIMAREKANI: Dunia itakuwepo?

Walimpa
silaha na mafunzo Osama bin Laden kisha wakamuua kama Mtu
wao Saadam akawa adui wao. Viongozi wa USA-Majipu. Wakiwa
wanaondoka-wanataka msamaha. Akiingia mwingine-utaifa kwanza
kupamba juu kutawala wengine na kuwaua. Tunasubiri tu 
Obama Foundation ianze kugharimia viwanda bongoland;
tumejilamba na za Bush-MCA-T na za Clinton -Clinton
Foundation
--------------------------------------------
On Fri, 27/5/16, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject:
[wanabidii] KUMALIZA VITA KIMAREKANI: Dunia itakuwepo?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 27 May, 2016, 17:04

Mkenya huyu ni jasiri sana.
Amefanya
mengi ambayo watangulizi wake
yamewashinda. Nina maana ya
Barak Husein
Obama rais wa Marekani. Leo ametembelea

Hiroshima mahala ambapo mwaka 1945 Ndege ya marekani
ilidondosha bomu la Nyuklia na kumaliza vita a
pili huko
Japan. Sijui sana vita hiyo
lakini niliwahi kusikia kama sio
kusoma
kuwa Japan ilitumia vibaya jeshi lake. Japan
iliwaonea sana wachina katika vita hiyo. Japan
ilitaka
kulidhoofisha jeshi la Marekani.
Japan walikuwa wabishi
kiasi kibiko cha
mbwa mwizi ndiyo ilikuwa dawa. Marekani

ilichoamua ni kutupa mabomu mawili ya ATOMIC huko
Hiroshima
na jingine Nagasaki na kuua watu
wengi sana. Baada ya bomu
hilo Japan
haikuwa na hamu tena ya kuendelea na vita.

Nadhani hadi sasa japan haina hamu na vita yoyote. Sijui
vizuri kama mabomu hayo yalitumbukizwa katika
vikozi vya
jeshi la Japan ila najua raia
walikufa kuliko askari.
Leo Obama
ametembelea eneo hilo na kutoa hotuba moja kwa
uangalifu. Hakuomba msamaha na anakili kuwa
baada ya bomu
hilo lililoua sana vita
iliisha. Lo! Kazi kweli.
Myaka ya themanini
wakati Iran na Iraq zikipigana vita

iliyochukua muda mrefu, Marekani ilirudia mchezo huo.
Iliipatia Iraq silaha za maangamizi
(Biological weapons) na
Sadam akazitumia
dhidi ya majeshi ya Iran. Ayatollah Ruholah

Khomein alichofanya ilikuwa kusimamisha vita kuliko
kuendelea kuwaangamiza zaidi watoto wa watu.
Naam. Nita hiyo
iliisha. Ilikuwa inasumbua
namna ya kuimaliza. Watu walikufa
sana.
Kila upande ulikuwa ngangali. Bahati mbaya duniani
wengi walimshabikia Sadam Husein na alipotumia
silaha
alizopewa na Marekani nani
angemnyooshea kidole. Yakaisha
tu. Ni
silaha hizo ambazo Bush alikwenda kuzifuata na
kumpindua Sadam licha ya kutozikuta silaha
hizo.
Njia hii ya kimarekani ikitumika
kusuluhisha migogoro
ulimwengu utabaki
kweli?
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
    Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to
this Forum bears the sole
 
responsibility
  for any legal
consequences of his or her postings,
and
  hence
  statements and
facts must be presented responsibly.

Your
  continued membership signifies that
you agree to
this
 
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
  ---
 
  You received this message because you are subscribed
to
  the
 
Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
 
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit
  https://groups.google.com/d/optout.
 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
 
Everyone posting to this Forum bears the sole
  responsibility
  for any
legal consequences of his or her postings,

and
  hence
  statements
and facts must be presented responsibly.

Your
  continued membership signifies that
you agree to
this
 
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
  ---
 
  You received this message because you are subscribed
to
  the
 
Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
 
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit
  https://groups.google.com/d/optout.
 
  --
 
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email
kwenda
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:
  Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
  for
any legal consequences of his or her postings, and
hence
  statements and facts
must be presented responsibly. Your
 
continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
  ---
  You received this message because you are
subscribed to
the
  Google
Groups "Wanabidii" group.
  To
unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit
 
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment