Thursday 26 May 2016

Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

Elisa,
Una nia njema sana kuleta huu mjadala. Na mimi kama Mtanzania ningetumaini kama unachosema kinawezekana. Lakini kutokana na uzoefu wa siasa zetu
nachelea kusema kuwa itakuwa vigumu MAGUFULI kimrithisha yule anayedhani ataendeleza kasi yake. Nina sababu mbili. Kwanza, vita ndani ya CCM imeshaanza kumkwamisha Magufuli asifanikiwe kung'oa mizizi ya ufisadi. Nasikia kuna baadhi ya mawaziri wanaendesha kampeni za chini chini Magufuli ang'olewe 2020. Pili, hata atakapofanikiwa kuwatimu hawa ndani ya chama bado kuna kundi jengine la opportunists. Hawa ni chuki watakaojivisha ngozi za kondoo ndani ya chama na kuonekana
kama kweli wana moto wa kazi ya Magufuli. Mfano mmoja tu ni hizi safari za kushtukiza. Ghafla, kila waziri au mtendaji serikalini alitaka kuonekana ana ari ya kushtukiza. Walikuwepo awamu zilizopita na hawakufanya kitu. Mkapa ni miongoni mwa waliofanya kazi kwa karibu sana na MWALIMU, yet kuna wakati aliniambia yeye HERO wake alikuwa ni arap MOI, a thief and a killer. Sikuelewa mpaka Mkapa alipoingia Ikulu. Kumbe alitaka kuwa anaother Moi. Sasa wa aina hii watakuwepo wengi tu pindi Magufuli atakapoonekana kutokuwa na ushindani ndani ya chama. Hiyo ndiyo hofu yangu kubwa. Kama nilivyosema, nia yako ni njema lakini haitakuwa rahisi kama wewe ufikiriavyo.
em

2016-05-26 14:04 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Domonick. Kama mjadala huu Magufuli hana muda nao basi hafai kuwa rais. Hili lazima liwe mojq kati ya agenda yake. Kumbuka tunajadili mrithi wake. Kujipanga kusahihisha mambo na kujenga taifa, jambo ambalo atakuwa hajamaliza muda wake uishe halafu asifikirie nani ataezeka jengo alilomaliza kupaua-atakuwa hafai basi. Mimi naamini hii ni agenda yake. Tunamsaidia na kumpa mbinu tunapoijadili
--------------------------------------------
On Thu, 5/26/16, 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, May 26, 2016, 6:02 PM

 Mjadala
 ni mzuri na mkali. Mnahama halafu mnarudi. Tungepta nafasi
 pengine ya kuzungumza na Rais Magufuli huenda hii kwake
 isingekuwa hoja kubwa kwake ingawa ni nzuri. Yeye Rais ana
 ajenda na majukumu na vipaumbele vyake. Na sisi raia
 wazalendo na wasio wazalendo tunapaswa kushiriki kumuunga
 mkono kwa vitendo ili kuleta mapinduzi. Wazalendo wanaweza
 kupaza sauti kila eneo kwa mfano kuwakumbusha raia wote
 kudai risiti baada ya kununua bidhaa kila inavyowezekana
 hili ni hitaji kuu la Rais Magufuli, na raia wasio wazalendo
 ni maadui wa taifa hili haijalishi wapo upande wa utawala au
 upinzani. Wazalendo ni lazima wawe na mkakati wa kipekee wa
 kuleta maendeleo ya taifa. Wazalendo ni lazima sana
 kufikiria namna ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira
 nchini. Wazalendo ni watu wanaoaminika na kuaminiana
 kupigania maslahi ya taifa, ikibidi kuunganisha nguvu zao ni
 wepesi sana ili taifa lisonge mbele. Mhandisi mzalendo
 hatapumzika mapaka ametumia akili yake, maarifa yake na
 ujuzi wake,  vyote mpaka kwenye ukomo wake
 akishirikiana  na wengine kuona raia wanatumia nishati
 ya jua kuchemsha maji ya kunywa. Wazalendo wana uwezo mkuu
 wa kukaa huko waliko wahitaji/raia wa chini/wanyonge. Kwa
 wazalendo hakuna nafasi ndogo, kila nafasi inatumika hata
 kama itawabidi kuungana kujenga kiwanda kidogo cha
 kutengeneza sukari chenye kuajiri watu kumi,nk hawatasita
 kufanya kwa sababu shabaha yao ni kuleta mapinduzi. Nadhani
 Rais Magufuli yuko hivyo.Dominick

     On Thursday, May 26,
 2016 10:17 AM, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:

  Elisa. Katiba sio
 kila kitu. Angalia Kenya wanakatiba ya wananchi lkn nini
 kinaendelea huko
 On May 26, 2016 9:05 AM,
 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
 Points
 (fom both sides) taken. Let us go ahead with the HOJA:
 Magufuli kufanikiwa kumuacha rais wa chaguo lake hivyo
 kuimarisha na kuendeleza mafanikio atakayokuwa ameyafikiwa
 (kama hataharibu).

 --------------------------------------------

 On Thu, 5/26/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa
 kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

  To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Thursday, May 26, 2016, 7:04 AM

  Muganda.

  Nilichokuhoji na ulichonijibu mbona n mjadala

  mzuri tu wenye kuelimisha sasa huyu mama anaita
 matusi.

  Mbona nimekuhoji na wewe ukanijibu vyema nikaelimika?
 Eti

  Muganda kwenye swali langu la wewe kuish marekan
 umeona tusi

  lolote mkuu? Is there any person who should decide for
 you

  kwamba umetukanwa?.

  Kwenye mijadala naamini katk kuhoji bila

  kuangalia eti umri. Nimekulia kwenye jamii ambayo
 kumhoji

  mkubwa ni tusi linalostahiri adhabu mbaya sana. Kwa
 mfano

  niliwahi kuhoj mchungaji kwenda kutibiwa Hosp wakat

  anatuombea tusiugue/tupone nikatwisha viboko badala
 ya

  kujibiwa.

  Kimsingi sijaporomosha tusi lolote kwako bwana

  Muganda na sjjafukuzwa jukwaa hili kwa kumtusi mtu.
 Naomba

  nieleweke hivyo usilishwe maneno mkuu

  On May 26, 2016 3:01 AM,

  "'ananilea nkya' via Wanabidii"
 <wanabidii@googlegroups.com>

  wrote:

  Kaka

  Elisa Muhingo,Ni kweli mtu--yaani tabia

  ya mtu ni muhimu katika uongozi  lakini muhimu
 zaidi sana

  katika zama hizi za uutandawazi wizi na siasa za
 vyama

  vingi,   misingi iliyowekwa Kikatiba ni
 muhimu sana. 

  Misingi hiyo inaepusha mtawala au kikundi ya 
 watawala kuwa

  fisadi.  Ufisadi  wa EPA, Deep Green, Twin
 Towers,

  Richmond, Escow, Lugumi and many more ni ishara
 kwamba 

  mkataba kati ya watawala na watawaliwa  (Katiba
 ya Nchi) 

  katika Jamhuri yetu ni dhaifu sana. Ni ishara
 mkataba una

   matobo makubwa sana yanayowezesha watawala 
 kukwapua mali

  za  wana wa nchi kilaini tena bila
 kuchukuliwa hatua

  zinazoweza kukomesha au kupunguza kwa kiasi kikubwa
 ufisadi

  nchini.  Naye Rais  wetu
 Magufuli --ni kweli anaonekana

  kuwa na dhamira ya kuirejesha nchi katika nidhamu
 ya

  uongozi, lakini  asipolielewa hili  tatizo
 la msingi na

  akalifanyia  kazi--hata atende mema kiasi
 gani--tuendako

  giza litakuwa nene zaidi  kuhusu ufisadi angamizi
 ndani 

  ya Jamhuri yetu na  mamilioni wataendelea kuumia
 kwa

  ufukara.Ananilea Nkya

   E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

      On Wednesday, May 25,

  2016 8:29 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com>

  wrote:

   Tunajadili hatma ya taifa letu.

  Tunajadili upatikanaji wa viongozi wetu.
 Tunawajadili

  viongozi wetu kuwa na malengo, kuweka misingi lakini
 kwa

  kutokuwa na ushawishi wa nani afuate misingi
 ikabomoka.

  nyerere aliweka msingi Mwinyi akabom oa. mkapa
 alilipa

  madeni JK akaleta mengine kwa sababu mkapa hakuweza
 kumuweka

  atakayeyaendeleza. mada hii inalenga kumshawishi rais
 wetu

  kuliona hilo. Wametajwa watu ambao ameanza nao
 ambao

  akiwalea wanaweza kulinda mafanikio yao. Huo ni
 mstakabali

  wa taifa letu. naona kamala na Mganda mnaenda nje
 kidogo na

  kuna madhara makubwa kusema mambo ya mtu binafsi.
 Haikuwa

  maana yangu wakati naandika mada.

  Elisa

  --------------------------------------------

  On Wed, 5/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>

  wrote:

   Subject: Re:

  [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania

  kurithiwa na chaguo lake?

   To: "wanabidii@googlegroups.com"

  <wanabidii@googlegroups.com>

   Date: Wednesday, May 25, 2016, 6:49 PM

   Kamala,Mimi si

   mwanasiasa. Sikukimbia nchi. I would have

  loved to serve

   Tanzania but fate had it

  that after I graduated my father

   died and

  the onlyway I could help my 2 little

  sisters continue their education is get a job in
 America

  and

   bring them here. So you can call me

  what you

   maybut I do not regret

  contributing to my

   sister's education

  something I would not have been able

   to do

  if I had returned to Tanzania and

  startlooking for a job. Lakini wote

  waliokimbia azimio la Arusha walitaka Tanzania
 iwe kama

   ilivyo baada ya Mwinyi kufuta azimio la Arusha

  na

   ndiosababu wanakula bila kunawa, bila

   aibu.em

   2016-05-25 6:31

   GMT-04:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:

   Tumpe muda gan si ndo huu? Yaan wewe bado

  tu

   unahofu na Magu???

  Kukimbia nchi mbona wewe unakaribia marekani?

   Wewe n mzalendo kweli????

   On

  May 25, 2016 1:14

   PM, "Emmanuel

  Muganda" <emuganda@gmail.com>

   wrote:

   Kukimbia nchi si

   uzalendo. Nina hakika walikimbia kwa sababu

  azimio liliziba

   mianya ya kutumia nafasi

  zao kujitajirisha.em

   Sent

  from my iPad

   On May 25, 2016, at 4:53 AM, J

  L Kamala <jlkamala@gmail.com>

   wrote:

  Muganda.

   What is the

  problem with makonda au polepole na

   other

  youth working with Magu? Wenye akili walikuwepo
 zaidi

   ya hao labda wa karibu ni Salim Ahmed Salimu,

  hayati

   sokoine. Tentemeke Sanga, Mzee

  Lwizandekwe, Jackson Makweta

   to mention but

  a few.

   Kipindi cha Nyerere watu kadhaa

  waliokuwa na

   elimu walikimbia nchi kukwepa

  Sera ya ujamaa ya kulingana

   kila kitu kwa

  wote vinginevyo wangeweza kupatkana warith

  murua kuliko hawa ambao Nyerere alilazimika
 kuwafanya

   specimen.

   On May 25, 2016

  11:07

   AM, "'Lutgard Kokulinda

  Kagaruki' via

   Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

   wrote:

   Mtu

  anayemlinganisha

   Nyerere na hawa watawala

  wa sasa, ni dhahiri hakumjua

   Nyerere

  vizuri!

   LKK  

       On Wednesday, May

  25,

   2016 9:04 AM, 'ELISA MUHINGO'

  via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

   wrote:

    Bado Magufuli ana nafasi ya kufanya

  masahihisho ya

   makosa waliyofanya

  watangulizi wake. Yatakayomsaidia ni

  haya:

   1) Kuna makosa yaliyofanyika na

  watangulizi wake.

   2) magufuli ana akili za

  kuyaelewa yote.

   3) Ana nia njema na taifa

  hili na anajua hawezi kuyatimiza

   yote

  anayoyawaza kulielekeza taifa hili katika kipindi
 cha

   myaka 10.

   4) haya

  tunayoyajadili anayasoma na ana akili ya kujua

   tunasema nini. Ndiyo maana tunayasema wala

  hatusemi

   kujifurahisha.

  --------------------------------------------

   On Wed, 5/25/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>

   wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa
 kwanza

   Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

    To: "wanabidii@googlegroups.com"

   <wanabidii@googlegroups.com>

    Date: Wednesday, May 25, 2016, 2:19 AM

    JKamala,Kwa

  sababu naijua CCM. Ilimshinda

    Nyerere

  mpaka akalazimika kurudisha multiparty. I am

    essentially an optimist by nature,but not

  like

    this. Akina Mkapa, Kikwete, Lowassa

  wote walilelewa na

    Nyerere, lakini

  walikuwa chui waliovaa ngozi za kondoo.

  Unaposemawatu walioonekana wenye vichwa

  walilazimika kumkimbia Nyerere unamaanisha the likes
 of

    Kambona? What did he do to show

  alikuwakichwa? Si

    alifika London akabaki

  tu kunywa pombe. Angalia watu ambao

  Magufuli anaona ni mahiri. Makonda? Na huyu waziri

    aliyefukuzwa kazi karibuni?I am an optimist

  who

    has been turned around by realities

  on the

    ground.em

  2016-05-24 12:11 GMT-04:00

    J L Kamala

  <jlkamala@gmail.com>:

    Muganda.

    Kwann unaamini

  wasioshabikia anachokifanya Magu

  watawashinda wale wanoshabikia? Pessimistic mbaya
 hiyo.

    Harafu ujue kosa kubwa alilolifanya

  Nyerere

    nikutokuwalea watu makini wa

  kimrith. Wale walioonekana

    vichwa

  walilazimika kumkimbia Nyerere apart from Magufuri

    anayewakumbatia na kuwalea vyema wakimsaidia

  kutekeleza

    dhana yake ya hapa job tu

    On May 24, 2016 6:11

    PM,

  "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>

    wrote:

    Elisa,Hatujawahi

  kuwa na rais mzuri, makini,

    mzalendo kama

  Julius Nyerere. Lakini hata kabla hajaodoka

    wenzake, kuanzia Mwinyi walihakikisha

  Unyerere unafutwa

    nakushindwa. Ndivyo

  hivyo itakavyokuwa na

    Magufuli. Sidhani

  kila mtu ndani ya CCM anashabikia

  anachofanya mheshimiwa. Hence my conclusion kwamba

    utashindwa.Nyerere alituwekea misingi kwa

  miaka

    23 lakini katika kipindi cha miaka

  miwili tu Mwinyi

   alianza

  kuifuta akaja kumalizia Mkapa. Tuombe Mungu tuwepo
 halafu

    tuje tupimemaneno yako na ya

    kwangu.em

    2016-05-24 7:10

  GMT-04:00

    'ELISA MUHINGO' via

  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

    Afadhali ungesema Umagufuli

    ''unaweza kushindwa'' kuliko

  kusema

    ''utashindwa'.

  Ninatamani tuwepo wote wakati

   huo

    tukumbushane. Umagufuli unaweza kuendelea

  mpaka rais wa

   tatu

  kutoka kwake. Kuna sababu nyingi: Watu walichoka na

   kuonewa

    na watu waliokuwa

  ndani ya CCM. Wakafikia kuichukua CCM.

  CCM

    imenusulika kwa sababu ya

  kusambaratika upinzani. Baada ya

    hapo CCM

  kumpata Magufuli akainusulu. Asipopepesuka

    ataendelea kuishi baada yake. Kingine ni

  hiki cha kutafuta

    watu na kuanza kuwalea.

  Sikumuongeza Makonda kwenye orodha

    ya

  wanaolelewa makusudi. Magufuli akilenga kumuweka
 mrithi

    na akatumia njia zinazotajwa humu, basi

  umagufuli utaishi

    baada yake.

  --------------------------------------------

    On Tue, 5/24/16,

  Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>

    wrote:

   Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa
 kwanza

    Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

     To: "wanabidii@googlegroups.com"

    <wanabidii@googlegroups.com>

     Date: Tuesday, May 24,

  2016, 1:20 AM

     Ndani ya

     CCM hakuna linaloweza

  kutabirika. Unyerere ulishindwa

     kuendelea, Umwinyi ulishindwa na vile
 vile

  Umkapa na

   Ukikwete.Hata Umagufuli utashindwa

     tu.em

     2016-05-23 16:30 GMT-04:00

     'ELISA

  MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

     Kumbukumbu zizizo

  rasmi na zilizo

   rasmi Tanzania zinaonyesha marais wote
 waliotangulia

     walishindwa kuwaweka

  watu watakaorithi nafasi zao mara

  baada

     yao kumaliza

  vipindi vyao.

     Mwalimu Nyerere

  inasemekana alishindwa kuhakikisha

  chaguo

     lake

  linapita na badala yake Ndugu Ali Hasan Mwinyi

     akaichukua nafasi

  hiyo. Inasemekana chaguo la Mwalimu

     alikuwa Ndugu Salim Ahmed Salim.

     Ndugu Ali Hasan Mwinyi angalau huyo

  tunafahamu hakuwa

    na

     chaguo. Ushawishi wake uliporomoka

  sana na karibu

    Mwalimu

     Nyerere alikuwa strongman. Hotuba zake

  zinazotoka kila

    mara

     kwenye luninga zinajieleza. Mwalimu

  Nyerere alifanikiwa

   kumpigia chepuo Ndugu Mkapa kwa hiyo Mwinyi

    hakufanikiwa

     kumpachika chaguo lake.

   Wakati wa Benjamin Mkapa kung'atuka
 ilionekana

  alikuwa

    na

     chaguo lake japo kwa umahili wake
 haikuwa

  rais kumjua.

     Lakini

  kuna dalili kuwa Jakaya Kikwete hakuwa chaguo

    lake.

   Wakati wa mkutano mkuu wa CCM kuteua mgombea
 Mkapa

    alitoa

     hotuba iliyoashilia anammaanisha JK,

  lakini bado hakuwa

   chaguo lake.

     Ndugu JK

  ameng'atuka. Alijitahidi kwa uwazi tena bila

     kificho kutaka

  kurithiwa na chaguo lake. Sitakuwa

  nimekosea

   nikiongeza kuwa kwa matamshi ya wanafamilia
 chaguo hilo

     halikuwa la JK peke

  yake bali lilikuwa la familia yake.

     Pamoja na makeke yote hayo mwisho wake
 JK

  hakurithiwa

    na

     chaguo lake. Kuna hisia kuwa ni Mkapa

  aliyefanikiwa

   kushawishi chaguo. Kama kuna ukweli ndani yake
 basi

    Magufuli

     alipita kwa uwezo wake na ushawishi wa

  Mkapa.

     Dr. Magufuli ndiyo

  anaaza. Ana myaka minne iliyosalia

  lakini

     aweza

  kuendelea mpaka myaka kumi.

     Dr

  Magufuli anaonyesha anaweza kurithiwa na chaguo
 lako

    kwa

   sababu kadhaa, zikiwamo zifuatazo:

   1)      Mtangulizi wake (JK) kama
 ilivyokuwa kwa

    Mwinyi

     haonekani kuwa anaweza kuwa na
 ushawishi

  mkubwa kuliko

   Magufuli wakati ukifika. Badala yake Magufuli
 anaweza

    kuwa

   na ushawishi mkubwa kiasi cha watu hata
 kutamani

    kubadili

     katiba ili aendelee japo hawezi
 kukubali.

  Hii inampa

    nafasi

     ya kuwapendekezea watanzania nani awe

  mrithi wake.

   2)      Mwendo wa Dr. Magufuli
 ana uwezekano wa kuwa

    na

   idadi ya watu ambao yeyote kati yao
 akichaguliwa

    atakuwa

     mteule wake. Mfano: (1) Jinsi ambavyo

  Naibu Speaker

   alivyoingizwa, sitashangaa kama 2025
 atajitokeza

    kugombea.

     Akigombea baada ya kulelewa enzi hizi

  ngumu kutokuwa

    chaguo

     lake. (2) Tunamuona Naibu Waziri wa

  Tamisemi Suleiman

    Daffo.

     Ukimuangalia sana,

  hatofautiani na Magufuli katika

    mambo

     Fulani. Matamshi yake

  hayaonyeshi ubandia au uigizaji

     wowote. Huyu namtilia shaka kuwa yuko

  analelewa. (3)

    Wakati

     watu waliposema Humphrey Polepole

  anapigania ukuu wa

    Wilaya

     niliwashangaa. Na

  naamini Polepole hakuwa na haraka ya

     kuupata Ukuu wa Wilaya. Kama angependa

  kupigania

    angeutafuta

     uwaziri. Kitendo cha kumteua kwa

  nafasi ambayo

    kimuonekano

     ni ya chini kwake

  sitafanya kosa nikisema amepelekwa

  kwenye

     nafasi hiyo

  ya chini ili apande polepole na kufikia

  2025

     atakuwa

  ameupata uzoefu ambao kwa sasa unaonekana hana

    na

   labda watanzania watakuwa wamemjua zaidi. (4)
 Kwa

  mwendo

    huu

     Magufuli anaweza kuweka chaguo lake
 hata

  chama cha

    upinzani

     ili mradi kufika siku zile atakayepita
 awe

  mmoja kati

    ya

     walengwa wake.

   Kama huu nio mkakati wake basi Baada ya
 Magufuli

    umagufuli

     utaendelea. Kama hakuwa amekusudia
 hivyo

  nitashangaa

    sana

     kama hataanza.

      --

      Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

      Kujiondoa Tuma Email

  kwenda

    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

     Utapata Email ya

      kudhibitisha ukishatuma

      Disclaimer:

      Everyone posting to

  this Forum bears the sole

     responsibility

    for any legal consequences of his or her
 postings,

    and

   hence

      statements and facts

  must be presented responsibly.

     Your

    continued membership signifies that you
 agree to this

      disclaimer and pledge to abide by
 our

  Rules and

   Guidelines.

    ---

    You received this message because you are
 subscribed

    to

   the

      Google Groups

  "Wanabidii" group.

      To unsubscribe from this group and
 stop

  receiving

     emails

      from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

      For more options,

  visit https://groups.google.com/d/optout.

     --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

     Kujiondoa Tuma Email

  kwenda

     wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

     Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

     Disclaimer:

   Everyone posting to this Forum bears the sole

    responsibility

     for any legal consequences of his or
 her

  postings, and

    hence

     statements and facts must be presented

  responsibly.

    Your

     continued membership signifies that
 you

  agree to this

   disclaimer and pledge to abide by our Rules
 and

     Guidelines.

     ---

     You received this

  message because you are subscribed to

  the

     Google Groups

  "Wanabidii" group.

     To

  unsubscribe from this group and stop receiving

    emails

     from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

     For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

     --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

     Kujiondoa Tuma

  Email kwenda

     wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

    Utapata Email ya

     kudhibitisha ukishatuma

     Disclaimer:

     Everyone posting to this Forum bears
 the

  sole

    responsibility

     for any legal consequences of his or

  her postings, and

    hence

     statements and facts

  must be presented responsibly.

    Your

     continued membership

  signifies that you agree to this

     disclaimer and pledge to abide by our

  Rules and

   Guidelines.

     ---

   You received this message because you are
 subscribed to

    the

   Google Groups "Wanabidii" group.

     To unsubscribe from this group and
 stop

  receiving

    emails

     from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

     For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

    --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

    Kujiondoa Tuma Email kwenda

    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

    Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

    Disclaimer:

    Everyone posting to this Forum bears the

  sole

   responsibility

    for

  any legal consequences of his or her postings, and

   hence

    statements and facts

  must be presented responsibly. Your

  continued membership signifies that you agree to
 this

    disclaimer and pledge to abide by our Rules

  and

    Guidelines.

    ---

  You received this message because you are subscribed
 to

   the

    Google Groups

  "Wanabidii" group.

    To unsubscribe from this group and stop

  receiving emails

    from it, send an email

  to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

    For more options, visit

  https://groups.google.com/d/optout.

    Everyone

  posting to this Forum bears the sole

  responsibility

    for any legal consequences

  of his or her postings, and

   hence

    statements and facts must be presented

  responsibly. Your

    continued membership

  signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

    Guidelines.

    ---

  You received this message because you are subscribed
 to

   the

    Google Groups

  "Wanabidii" group.

    To unsubscribe from this group and stop

  receiving emails

    from it, send an email

  to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

    For more options, visit

  https://groups.google.com/d/optout.

   --

   Send

  Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

   for any legal consequences

  of his or her postings, and hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

   continued membership signifies that you agree

  to this

   disclaimer and pledge to abide by

  our Rules and Guidelines.

   ---

   You received this message because you are

  subscribed to the

   Google Groups

  "Wanabidii" group.

   To unsubscribe

  from this group and stop receiving emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

   For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

   --

   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   Kujiondoa Tuma Email kwenda

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

    Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

   Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility

   for any legal consequences

  of his or her postings, and hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

   continued membership signifies that you agree

  to this

   disclaimer and pledge to abide by

  our Rules and Guidelines.

  ---

   You received this

  message because you are subscribed to the

  Google Groups "Wanabidii" group.

   To unsubscribe from this group and stop

  receiving emails

   from it, send an email to

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  this Forum bears the sole responsibility for any
 legal

  consequences of his or her postings, and hence
 statements

  and facts must be presented responsibly. Your
 continued

  membership signifies that you agree to this disclaimer
 and

  pledge to abide by our Rules and Guidelines.

  ---

  You received this message

  because you are subscribed to the Google Groups

  "Wanabidii" group.

  To unsubscribe

  from this group and stop receiving emails from it,
 send an

  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to
 this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed
 to the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to
 this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed
 to the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment