Friday 27 May 2016

RE: [wanabidii] KUMALIZA VITA KIMAREKANI: Dunia itakuwepo?

Elisa. Hii kali. Sasa warusi wachina na kijana wa panki kule Korea wananyukilia marekaniaedhirisha kiwagwaya. Je anaweza kuwatikisa? It can lead to dissolution ya ulimwengu

Obama yuko kwenye politx tu hakuna cha maridhiana wala nin anajaribu kusafisha sura ya marekan tuuuu

On May 27, 2016 7:57 PM, "Ireneus Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
Katika Sayansi ya siasa (PolSc.) kuna kitu inaitwa realism principles ambazo waasisi wake ni wamarekani wenye asili ya uyahudi na bila kumsahau Henry Kissinger. Moja ya matokeo yake ni sera ya nje ya US ambayo is mostly based and guided by the Darwinian theories I.e the survival of the fittest. Only the strongest will survive. Kwa hiyo moja ya sifa ya kuiongoza Marekani ni kuhakikisha unatenda mambo kwa ajili ya marekani ikiwa ni pamoja na kuongeza influence ya US externally by any means. And that's all about politics - the means justifies the end. So it may be by force / violence or diplomacy! This is America and this is our world. All about balance of power.
Saddam Hussein, Ghadafi, Osama, ISIS, Savimbi, etc were/are products of America. Obama is no different from his predecessors as far as he is an American. He is safeguards the interests of U.S foreign policy.

From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
Sent: ‎27/‎05/‎2016 19:19
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KUMALIZA VITA KIMAREKANI: Dunia itakuwepo?

Walimpa silaha na mafunzo Osama bin Laden kisha wakamuua kama Mtu wao Saadam akawa adui wao. Viongozi wa USA-Majipu. Wakiwa wanaondoka-wanataka msamaha. Akiingia mwingine-utaifa kwanza kupamba juu kutawala wengine na kuwaua. Tunasubiri tu  Obama Foundation ianze kugharimia viwanda bongoland; tumejilamba na za Bush-MCA-T na za Clinton -Clinton Foundation
--------------------------------------------
On Fri, 27/5/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] KUMALIZA VITA KIMAREKANI: Dunia itakuwepo?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 27 May, 2016, 17:04

Mkenya huyu ni jasiri sana. Amefanya
mengi ambayo watangulizi wake yamewashinda. Nina maana ya
Barak Husein Obama rais wa Marekani. Leo ametembelea
Hiroshima mahala ambapo mwaka 1945 Ndege ya marekani
ilidondosha bomu la Nyuklia na kumaliza vita a pili huko
Japan. Sijui sana vita hiyo lakini niliwahi kusikia kama sio
kusoma kuwa Japan ilitumia vibaya jeshi lake. Japan
iliwaonea sana wachina katika vita hiyo. Japan ilitaka
kulidhoofisha jeshi la Marekani. Japan walikuwa wabishi
kiasi kibiko cha mbwa mwizi ndiyo ilikuwa dawa. Marekani
ilichoamua ni kutupa mabomu mawili ya ATOMIC huko Hiroshima
na jingine Nagasaki na kuua watu wengi sana. Baada ya bomu
hilo Japan haikuwa na hamu tena ya kuendelea na vita.
Nadhani hadi sasa japan haina hamu na vita yoyote. Sijui
vizuri kama mabomu hayo yalitumbukizwa katika vikozi vya
jeshi la Japan ila najua raia walikufa kuliko askari.
Leo Obama ametembelea eneo hilo na kutoa hotuba moja kwa
uangalifu. Hakuomba msamaha na anakili kuwa baada ya bomu
hilo lililoua sana vita iliisha. Lo! Kazi kweli.
Myaka ya themanini wakati Iran na Iraq zikipigana vita
iliyochukua muda mrefu, Marekani ilirudia mchezo huo.
Iliipatia Iraq silaha za maangamizi (Biological weapons) na
Sadam akazitumia dhidi ya majeshi ya Iran. Ayatollah Ruholah
Khomein alichofanya ilikuwa kusimamisha vita kuliko
kuendelea kuwaangamiza zaidi watoto wa watu. Naam. Nita hiyo
iliisha. Ilikuwa inasumbua namna ya kuimaliza. Watu walikufa
sana. Kila upande ulikuwa ngangali. Bahati mbaya duniani
wengi walimshabikia Sadam Husein na alipotumia silaha
alizopewa na Marekani nani angemnyooshea kidole. Yakaisha
tu. Ni silaha hizo ambazo Bush alikwenda kuzifuata na
kumpindua Sadam licha ya kutozikuta silaha hizo.
Njia hii ya kimarekani ikitumika kusuluhisha migogoro
ulimwengu utabaki kweli?
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
    Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this Forum bears the sole
  responsibility
  for any legal consequences of his or her postings,
and
  hence
  statements and facts must be presented responsibly.
Your
  continued membership signifies that you agree to
this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
  ---
 
  You received this message because you are subscribed
to
  the
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
  https://groups.google.com/d/optout.
 
  Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
  for any legal consequences of his or her postings, and
hence
  statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
  ---
  You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups "Wanabidii" group.
  To unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit
  https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment