Monday 30 May 2016

Re: [wanabidii] WANACHAMA WA WANACHAMA KATIKA VYAMA VYA SIASA: Magufuli wajibika nalo:

--------------------------------------------
On Fri, 5/27/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] WANACHAMA WA WANACHAMA KATIKA VYAMA VYA SIASA: Magufuli wajibika nalo:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, May 27, 2016, 4:11 PM

Rais ana majukumu mengi. Amiri Jeshi mkuu. Mkuu wa SErikali. Mkuu wa Nchi nakadhalika. Nataka kumkumbusha Rais Magufuli kuwa kama Mkuu wa nchi anao wajibu wa kusaidia na kulinda taasisi za umma vikiwemo vyama
vya siasa.
Kwa hali ilivyo sasa Tanzania inaweza kuendelea kuongozwa na CCM au kukabiliana na hatari ya kuongozwa na watu kwa jina
la chama kwa sababu chama kipo kwa jina tu. Leo katika mahojiano kipindi cha Mijadala Star TV kijana mmoja ameulizwa swali: Una maana vijana wengi ni wanachama wa vyama vya siasa? Jibu lake japo hakutoa ufafanuzi nimelielewa na kuogopa. Amejibu hivi: HAPAHA. KWENYE VYAMA VINGI KUNA WANACHAMA WA WANACHAMA WA VYAMA VYA SIASA.
Japo CCM haina shida katika hili lakini nitaanzia kwake Baada ya CCM kumtema Edward Lowasa asiweze kugombea urais na yeye kuhamia CHADEMA kuna wanachama kadhaa walihama kumfuata. Hao walikuwa wanachama wa Lowasa ndani ya CCM.
Zitto Kabwe alipohama CHADEMA na kuunda ACT kuna wanachadema wengi walihama chama na kumfuata Zitto. Hao walikuwa wanachama wa Zitto ndani ya CHADEMA.
Haya makundi ya waliohama hawakuwa wanachama wa vyama vyao. Walikuwa wanachama wa wanachama. Ukiangalia sana sasa; au ukimuuliza mtu yeyote anayeelewa: nani atagombea urais kupitia CHADEMA mwaka 2020. Wengi kama sio wote watasema Lowasa. Ikatokea akanyimwa kugombea,
kitabomoka. Hiki sio chama. Tunaweza kuangalia jinsi CHADEMA  ilivyompata mgombea urais wake mwaka jana 2015. Mtu mmoja alikwenda akamleta mtu akasema huyu ndiye mgombea. Anasema alifanya hivyo kwa siri. Chama chake akiwemo mtendaji mkuu kama Katibu Mkuu hawakujua. Akaja
mwanachama mpya. Akawa kada ndani ya siku tatu. Akasimamisha mfumo wake wa kumchagua mgombea urais na akagombea yeye. Hiki sio chama.
Mtu ukiondoa historia ya James Mapalala ndani ya CUF unaweza kusema labda CUF ni chama cha siasa. CUF ukiuliza nani atachaguliwa mwenyekiti wake kumrithi Lipumba unaweza kupata majina zaidi ya moja. Hicho ni chama. Lakini tuiangalie CCM: Tunasema Mwalimu Nyerere alishindwa
kumpachika mgombea anayemtaka alipokuwa anang'atuka. Mwinyi pia alishindwa. Ili JK aweze kuupata kwa 'lazima' urais ilibidi aandae mtandao kwa myaka kumi. Mwanzoni mwa 2015 jina la Lowasa lilionekana kuwa lazima atapita bila kelele nyingi. Akakwama. Tukastukia mtu asiyetarajiwa
(Magufuli) anapenya. Hiki ni chama. Wakati wa kumpata mgombea mwenza kulikuwa na majina mengi tu. Likapita la mtu asiyetarajiwa. Magufuli akitarajiwa kumtangaza Waziri Mkuu kulikuwa na majina mengi tu. HIKI NDIYO CHAMA. Tunahitimisha mjadala wa uwezekano wa Rais Magufuli kumrithisha urais mtu
wa chaguo lake. Kama tunavyodhani ndivyo; basi tunaona rais anavyopitia mlolongo mrefu. Kwa nini? Kwa sababu chama kina mfumo wake.
Mimi kumtaka rais Magufuli  kuhakikisha vyama vinakua na kuwa vyama hasa ni kwa sababu mbili:
1)    Ninachosema anakielewa. Yeye ni Mtanzania kuliko alivyo mwana CCM.
2)     Ni wajibu wake kama mkuu wa nchi. Ni wajibu wake kuhakikisha nchi ina chama au vyama vinavyoweza kuliongoza kwa usalama taifa ikitokea CCM
ikawapata viongozi kama wanaomaliza muda wao. Bila hilo wananchi wataamuka kuweka lolote hata jiwe ili kuepukana na bomu hilo.
Elisa Muhingo
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

1 comments: