[caption id="attachment_51873" align="aligncenter" width="538"]<img class="size-full wp-image-51873" alt="Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_20140919_1339121.jpg" width="538" height="480" /> Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing[/caption]
[caption id="attachment_51868" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-51868" alt="Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/download.jpg" width="640" height="429" /> Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing[/caption]
<img class="aligncenter size-full wp-image-51869" alt="Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC01203.jpg" width="640" height="429" />
[caption id="attachment_51870" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-51870" alt="Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC01209.jpg" width="640" height="429" /> Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing[/caption]
<img class="aligncenter size-full wp-image-51871" alt="Nakaaya Ashusha Kitu Kipya Sokoni, Ni Katika Albam Blessing" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC01212.jpg" width="640" height="429" />
<strong>MSANII</strong> wa muziki wa kizazi kipya Nakaaya Sumari hivi karibuni alikonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuzindua albam mpya iendayo kwa jina la Blessing yenye nyimbo kumi na mbili (12).
Albam hiyo ambayo ni albam yake ya pili ilizinduliwa jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashabiki wa muziki wake kutoka mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro. Huku akiungwa mkono na wasanii wenzake kutoka hapa hapa nchini na nje ya nchi.
Uzinduzi huo ulipambwa na burudani kabambe kutoka kwa Hisia, G Nako, Jambo squad wote kutoka Arusha, Naaziz kutoka Kenya, na Nakaaya mwenyewe yote hiyonikumpasapotimsaniimwanzao.
Akizungumza kwa furaha mwanadada Nakaaya Sumari alisema kuwa anawashukuru sana wote waliokuja kumuunga mkono katika uzinduzi wake. "Nawashukuru sana mashabiki wangu kwa kunipa sapoti ya nguvu kwani wa lijitokeza kwa wingi, nimefurahi sana kwani huu ni mwanzo mzuri," alisema Nakaaya.
"Albam hii imebebwa na wimbo wa Blessing ambao ni maalum kwa mwanangu kipenzi kwani yeye ni Baraka kwangu hata napokua mbali naye bado nakua na matumaini na faraja," Nakaaya aliongeza kwa msisitizo.
Albam ya Blessing ipo sokoni sasa na inanyimbo nzuri za kuelimisha, kuburudisha na kuliwaza kama vile Utu uzima dawa, Temana na watu, Blessing, Beautiful, I am an African, Sister sister, Ngufurie, na Mwanamke shujaa, kubwa ni kumpa sapoti kwa kununua albam hii.
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment