Wednesday, 1 October 2014

[wanabidii] Mkutano sekta ya mawasiliano 'Connect to Connect Summit' waendelea Dar

[caption id="attachment_51499" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0221.jpg" alt="Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA 'Connect-to-Connect Summit' unaofanyika jijini Dar es Salaam.  " width="640" height="375" class="size-full wp-image-51499" /> Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA 'Connect-to-Connect Summit' unaofanyika jijini Dar es Salaam.  [/caption][caption id="attachment_51498" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0229.jpg" alt="Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA 'Connect-to-Connect Summit' unaofanyika jijini Dar es Salaam.  " width="640" height="412" class="size-full wp-image-51498" /> Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA 'Connect-to-Connect Summit' unaofanyika jijini Dar es Salaam.  [/caption][caption id="attachment_51500" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0210.jpg" alt="Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma (kushoto) akiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura wakiwa katika mkutano huo." width="640" height="427" class="size-full wp-image-51500" /> Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma (kushoto) akiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura wakiwa katika mkutano huo.[/caption][caption id="attachment_51507" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0079.jpg" alt="Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge (kulia) wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa katika mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam." width="640" height="427" class="size-full wp-image-51507" /> Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge (kulia) wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa katika mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption][caption id="attachment_51504" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0177.jpg" alt="Wa pili kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura, akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (wa tatu kulia) viongozi hao pamoja na maofisa kutoka sekta hiyo walikutana kimazungumzo ya kuangalia namna ya kushirikiana katika utendaji kazi. Mkutano huo umeandaliwa na TTCL kwa kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia." width="640" height="400" class="size-full wp-image-51504" /> Wa pili kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura, akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (wa tatu kulia) viongozi hao pamoja na maofisa kutoka sekta hiyo walikutana kimazungumzo ya kuangalia namna ya kushirikiana katika utendaji kazi. Mkutano huo umeandaliwa na TTCL kwa kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.[/caption][caption id="attachment_51502" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0199.jpg" alt="Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (katikati) akijadiliana jambo na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (wa pili kulia). Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge." width="640" height="431" class="size-full wp-image-51502" /> Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (katikati) akijadiliana jambo na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (wa pili kulia). Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge.[/caption][caption id="attachment_51501" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0205.jpg" alt="Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (katikati). Wa kwanza kulia Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge." width="640" height="420" class="size-full wp-image-51501" /> Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (katikati). Wa kwanza kulia Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge.[/caption][caption id="attachment_51503" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0189.jpg" alt="Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (mwanamama pichani) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo yao juu ya ushirikiano kikazi. Wengine ni maofisa waandamizi kutoka pande zote wa sekta ya mawasiliano." width="640" height="469" class="size-full wp-image-51503" /> Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (mwanamama pichani) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo yao juu ya ushirikiano kikazi. Wengine ni maofisa waandamizi kutoka pande zote wa sekta ya mawasiliano.[/caption][caption id="attachment_51505" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0132.jpg" alt="Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA 'Connect-to-Connect Summit' wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam." width="640" height="433" class="size-full wp-image-51505" /> Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA 'Connect-to-Connect Summit' wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption][caption id="attachment_51508" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0041.jpg" alt="Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA 'Connect-to-Connect Summit' wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam." width="640" height="420" class="size-full wp-image-51508" /> Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA 'Connect-to-Connect Summit' wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption][caption id="attachment_51506" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_0126.jpg" alt="Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA 'Connect-to-Connect Summit' wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam." width="640" height="414" class="size-full wp-image-51506" /> Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA 'Connect-to-Connect Summit' wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption]

_______________________________________________________
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment