Friday, 10 October 2014

Re: [wanabidii] Ulinzi wakati wa makabidhiano ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa

Sasa itakuwaje siku ya uzinduzi (inauguration) wa hiyo katiba baada ya referendum?
 
Gosbert Christopher Mutasingwa
Project manager
Agriculture, Nutrition and Good Governance
Rulenge Ngara diocese
P.O.BOX 107
BIHARAMULO

0784 857 775/0758 491 247


On Wednesday, October 8, 2014 5:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Kulikuwa na Tishio la Bokho haram au Alshabaab??
--------------------------------------------
On Wed, 10/8/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Ulinzi wakati wa makabidhiano ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, October 8, 2014, 8:56 AM

Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi David
Misime ameeleza kuwa kutokana na tukio la kihistoria ambalo
litafanyika tarehe 08.10.2014 ambapo Mh. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mh. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar watakabidhiwa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa
ulinzi umeimarishwa katika maeneo yote ya Mkoa wa Dodoma
hususani Dodoma Mjini.

Ufuatiliaji
wa taarifa mbalimbali na kuzifanyia kazi umeimarishwa zaidi,
doria za miguu, magari, pikipiki na mbwa na farasi nazo
zimeimarishwa. Pia vyombo vyote vya dola
tumeimarisha zaidi ushirikiano hasa kubadilishana taarifa
mbalimbali na wote mitaani kufuatilia tukio hili muhimu kwa
kutumia mbinu zote walizo nazo.

Niwahakikishie
wananchi wa Mkoa wa Dodoma na wageni wote kuwa ulinzi na
usalama umeimarishwa tunachowaomba ni ushirikiano wao pale
watakapomtilia mashaka mtu yeyote au jambo lolote wajulishe
Polisi haraka nao watalifanyia kazi. Pia wenye nyumba za
kulala wageni waimarishe ulinzi kwenye maeneo yao ya
biashara na kuwapa maelekezo sahihi wafanyakazi wao na
wakitilia shaka mgeni yeyote watoe taarifa polisi.

Pia
wananchi wote pamoja na wageni wote watii sheria bila
shuruti na yeyote anayepanga kukiuka sheria ili kuvunja
amani na utulivu atashurutishwa kwa nguvu zote kwa mujibu wa
sheria za nchi na kwa mamlaka waliyopewa Jeshi la
Polisi.

Taarifa
hii imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment