Wednesday, 1 October 2014

Re: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR AKAMATWA BAADA YA KUPIGA KURA YA "HAPANA".

Naam. Tunaonyesha ukomavu wa democrasia.
Nani anayashangaa haya. nani hakumbuki jinsi walivyokuwa wanapania upigaji wa kura wa wazi na kupinga kabisa ukigaji wa siri.
Nani anasema CCM haiimarishi demokrasia Tz. bado kidogo
--------------------------------------------
On Wed, 10/1/14, F Kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR AKAMATWA BAADA YA KUPIGA KURA YA "HAPANA".
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, October 1, 2014, 7:53 PM

Mwanasheria Mkuu
Zanzibar Akamatwa baada ya kupiga kura ya Hapana

muda mfupi uliopita Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman
Masoud baada ya kupiga kura ya wazi ya Hapana kuhusu katiba
amekamatwa na watu wa idara ya usalama na sasa yupo njiani
akirejeshwa Zanzibar kama ni kweli anapeleka Zanzibar ama
Mambwepande .......

Hali hii ni ya hatari na Dodoma tayari kuna tayahari kubwa
sana , ila hali inawez kuchafuka wakati Wowote visiwani
Zanzibar kutokana na uonevu huu ambao unafanywa na watawala
wa CCM .

Hali ilikuwa mbaya Sana mara baada ya kupiga kura kwani
wabunge wa CCM znz walitaka kumpiga ndio akalazikima
kutolewa ukumbini chini ya ulinzi mkali na kufungiwa kwenye
ofisi moja akiwa ameandamana na Pandu Ameir Kificho, Balozi
Seif Idd, Nahodha , Pinda na baada ya muda aliondolewa hapo
Akiwa ameandamana nafPandu Kificho kwenye gari yake kupitia
lango la Waziri Mkuu akiwa ameambatana na msafara wa maafisa
usalama, na kupelekwa Airport









--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment