Hii ni nchi kusadikika
Tarehe 2 Oktoba 2014 12:46 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> aliandika:
Uzushi haukuanzia humu. Basi ulianzia Bungeni.
Tumeshuhudia kwenye taarifa za habari jana Othman akilaumiwa na kusema ameisaliti serikali. Kwa hiyo humu hakuna uzushi ila watu tunakariri tulichokiona Bungeni. Ni kweli jana tumemuona Othman akitolewa bungeni mpaka nje akiwa kwenye gari alilolipanda na halikuwa lake
--------------------------------------------
On Thu, 10/2/14, 'jabir yunus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR AKAMATWA BAADA YA KUPIGA KURA YA "HAPANA".
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, October 2, 2014, 8:47 AM
Attorney General wa
Zanzibar hajakamatwa.
He is
a free man and still holds the post. Hakuna tangazo lolote
kwamba amefukuzwa kazi.
Si kweli hata kidogo
kwamba amekamatwa, ila ni kweli amesindikizwa na maofisa wa
TISS kutoka nje ya ukumbi wa BMK na nje ya eneo la Bunge.
Hakupelekwa Airport kwa sababu mpaka nusu saa iliyopita,
Othman Masoud Othman alikuwa nyumbani kwake mjini Dodoma.
Sitarajii kusoma uzushi humu
mtandaoni. Ila sasa ninaaminishwa kuwa kumbe UZUSHI ni
sehemu ya mawasiliano ya humu mtandaoni.
Hivi kuna mtu anayedhani Attorney General huyu
anaiwakilisha Serikali pale BMK? Sivyo. Ingekuwa hivo kama
Serikali yenyewe ingekuwa na POSITION khs kinachoendelea.
Nasema AG huyu hakutumwa na Rais kusema hili au lile.
Serikali ilikataa kuwa na msimamo ambao angepaswa
kuusimamia. HAAUPO. Sasa ametumia HAKI yake, tena ktk UHURU
KAMILI kuamua kura. Tatizo lake lipi?
Tatizo linabaki kwa wale wasioyaelewa mambo,
lakini hata na wanaoyaelewa isipokuwa wanayazonga kwa
maslahi yao ya kifisadi.
Napenda msimamo alioonesha AG wa Zanzibar - wa
kukataa asiyoyaamini. Na huo ndio USOMI. Mtu mwenye elimu,
tena yake ya sharia, lazima aoneshe TOFAUTI na asiyenayo.
Huyu si kama wanasheria wengine wanaoficha ukweli kwa sababu
ya pesa za kupewa.
Jabir+
-------------------------------------------
On Wed, 10/1/14, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR AKAMATWA BAADA YA
KUPIGA KURA YA "HAPANA".
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, October 1, 2014, 8:56 PM
Naam. Tunaonyesha ukomavu
wa
democrasia.
Nani
anayashangaa haya. nani hakumbuki jinsi walivyokuwa
wanapania upigaji wa kura wa wazi na kupinga
kabisa ukigaji
wa siri.
Nani anasema CCM haiimarishi demokrasia Tz. bado kidogo
--------------------------------------------
On Wed, 10/1/14, F Kitigwa <kitigwa@gmail.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR
AKAMATWA
BAADA YA KUPIGA KURA YA
"HAPANA".
To:
"Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, October 1, 2014, 7:53 PM
Mwanasheria Mkuu
Zanzibar Akamatwa baada ya kupiga kura ya
Hapana
muda mfupi
uliopita Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman
Masoud baada ya kupiga kura ya wazi ya
Hapana kuhusu
katiba
amekamatwa na watu wa idara ya usalama na sasa yupo
njiani
akirejeshwa Zanzibar kama ni kweli
anapeleka Zanzibar ama
Mambwepande
.......
Hali hii ni
ya hatari na Dodoma tayari kuna tayahari kubwa
sana , ila hali inawez kuchafuka wakati
Wowote visiwani
Zanzibar kutokana na
uonevu huu ambao unafanywa na
watawala
wa CCM .
Hali ilikuwa mbaya Sana mara baada ya kupiga
kura kwani
wabunge wa CCM znz walitaka
kumpiga ndio akalazikima
kutolewa
ukumbini chini ya ulinzi mkali na kufungiwa
kwenye
ofisi moja akiwa ameandamana na
Pandu Ameir Kificho,
Balozi
Seif Idd, Nahodha , Pinda na baada ya muda
aliondolewa
hapo
Akiwa
ameandamana nafPandu Kificho kwenye gari yake
kupitia
lango la Waziri
Mkuu akiwa ameambatana na msafara wa
maafisa
usalama, na kupelekwa Airport
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment