Chakushukuru, mwanasheriu mkuu huyo wa Zanzibar sasa anafahamu unapokura kura maana yake ni kupiga kura ya ndiyo, na mtu akionekana anapiga kura ya siri, maana yake amepiga kura ya hapana.
Na diyo maana wakatoa haki uchwara ya kupiga kura, eti kwamba ni juu ya mjumbe kuchagua apige kura ya wazi au ya siri.
Utaratibu wa aina hiyo, hata watoto wa darasa la kwanza watauona hauna mpangilio.
Hapo mwanzoni walisema tupige kura za wazi, kura za siri tunamuogopa nani? Na kama Mh Kificho alikuwa akitaka kujua kama kiberiti kina njiti au laa sasa anauhakika, kimejaa, jiti hata moja haijatumika.
On Thursday, 2 October 2014, 8:39, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Utajiju. Jihurumie mwenyewe. Mimi wala sikuhurumii. Mawazo yako ni yako na kila mtu ana yake. Katiba imepita.
On Thursday, 2 October 2014, 9:24, Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:
Hilder,
Pole, nakuonea huruma, na wala sipotezi muda wangu kubishana na wewe. Yaani nina hakika hata mwenyewe hujui unataka kusema nini. Pole.
Date: Thu, 2 Oct 2014 06:20:54 +0000
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR AKAMATWA BAADA YA KUPIGA KURA YA "HAPANA".
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Kura ya siri mnalalamika kura zimeibwa ndio maana CCM imeshinda-wamechakachua na kuingiza kura zao! Zetu zimebadilishwa. Haya sasa uhuru-ya wazi na ya siri kwa atakaye-Ruksa ila karatasi zina rangi tofauti tujue ipi ya bara ipi ya ZNZ.
Ya wazi-kulalamika. Umepewa uhuru ya siri na ya wazi. Unaamua ya wazi kisha unalalama. Hivi unatoka nje ya vikao kisha unataka kupiga kura unakubaliwa-unapinga vipengee na ulikuwa na nafasi ya kuchangia ukakataa. Ni sawa sasa DSM kupata miundominu tunachakachua kabla ya barabara kukabidhiwa. Kata milingoti, ina bulb na milingoti ya chuma, chukua mifuniko na daima kulalamika mafuriko, miundo mbinu mibovu, tunataka barabara iboreshwe utata huu uondoke. Tunapewa-bomoa. Ingia uandike katika unatoka, katiba draft tayari-hutaki, unavunja amnai-Maandamano kieleweke mpaka kufa!! Waende ISIS wakapambane huko. Hapa tunataka kuchangia katika ikamilike, itumike. Tunamkomoa nani kwa kupinga kila kitu daima na sisi tukiwa sehemu muhimu ya maendeleo hayo?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
On Thursday, 2 October 2014, 8:51, Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:
Duniani kote, kura huwa ya siri. Uamuzi huu wa kuifanya kura kuwa ya siri una mantiki na una maana kubwa sana. Kwa uzandiki na udhalimu wao, CCM waliamua kuupinga na kuleta mpya ya mwaka eti kura za wazi. Sasa linawatokea puani. Yale ambayo walitahadharishwa kuwa yatatokea, sasa yanatokea. Wameufyata, wapo kimya, aibu imewashika, kweli kiburi ni mama wa ujinga.
Kura inapokuwa ya siri, maana yake hata mke wako anaweza kupiga kura kinyume na na wewe, kama wewe ni mmoja wa wagombea anaweza asikuchague na bado mkirudi nyumbani kukawa na amani. Pia unampa uhuru mpiga kura kufanya maamuzi yake kwa uhuru, bila woga wowote.
Kwa kuwa waling'ang'ania kura za wazi, na kwa kuwa sasa wanaopiga kura za wazi za hapana wanatishwa na kuundiwa Tume, ni wazi kabisa sasa hila yao imedhihirika, hata kwa wale wavivu wa kufikiria. Kwamba wote wamelazimishwa kupiga kura ya ndio hata kama hawakubaliani na hiyo rasimu, ukipiga kura ya hapana, basi utashughulikiwa, hivyo walilazimisha kura ya wazi ili waweze kuwabaini na baadae waweze kuwashughulikia kwa njia wanazozijua wao. Hili sasa limeeleweka kwa Watanzania. Ni nia ovu, ya kimabavu, kibabe na si ya kistaarabu.
Kwa nini utake kumpiga mtu kwa kupiga kura ya hapana??!! kwa nini usiheshimu maamuzi yake? kwa nini usijiulize hivi kwa nini amepiga kura ya hapana? ni nini ambacho hakiridhiki nacho? je hakina mantiki hicho anachodai? Kwa nini hujiulizi hivi kwa nini kuna wananchi wanataka muundo wa serikali 3? wanataka Mawaziri wasiwe Wabunge? kuwe na ukomo wa vipindi vya kugombea Ubunge? kwa nini madaraka ya uteuzi ya Rais yapunguzwe? Ni nini kinachowafanya wananchi wapendekeze haya? hakuna sababu za msingi za mapendekezo haya? Mstaarabu yoyote hujiuliza maswali haya.
Tunachokiona hivi sasa ni kuwa kura za wazi zinaleta uhasama, chuki na mitafaruku ambayo isingekuwepo kama wangekubali kupiga kura ya siri kama ambavyo siku zote imekuwa. Dhambi hii itawatafuna, na itaendelea kuwatafuna, kwani wanafanya mambo kwa nio ovu, wanaendesha mchakato kwa hila, kwa kutumia wingi wao. Hizi ni mvua za rasha rasha tu, bado mvua za masika, dhambi ya nia ovu na hila chafu itawatafuna na wataingia katika historia kuwa walisababisha haya yatakayotokea. Hawana busara wala hawana heshima kwa watu wengine. Wataumbuka tu. Hawana ustaarabu wa kutafuta maridhiano. Wanachotaka wao ndio hicho hicho. Wamezoea hivyo na hilo litawapa tabu sana kwani zama za chama kushika hatumu zilikwishaisha. Mshahara wa dhambi ni mauti.
Date: Thu, 2 Oct 2014 04:20:26 +0200
Subject: Re: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR AKAMATWA BAADA YA KUPIGA KURA YA "HAPANA".
From: gmdmagafu@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Kura inapokuwa ya siri, maana yake hata mke wako anaweza kupiga kura kinyume na na wewe, kama wewe ni mmoja wa wagombea anaweza asikuchague na bado mkirudi nyumbani kukawa na amani. Pia unampa uhuru mpiga kura kufanya maamuzi yake kwa uhuru, bila woga wowote.
Kwa kuwa waling'ang'ania kura za wazi, na kwa kuwa sasa wanaopiga kura za wazi za hapana wanatishwa na kuundiwa Tume, ni wazi kabisa sasa hila yao imedhihirika, hata kwa wale wavivu wa kufikiria. Kwamba wote wamelazimishwa kupiga kura ya ndio hata kama hawakubaliani na hiyo rasimu, ukipiga kura ya hapana, basi utashughulikiwa, hivyo walilazimisha kura ya wazi ili waweze kuwabaini na baadae waweze kuwashughulikia kwa njia wanazozijua wao. Hili sasa limeeleweka kwa Watanzania. Ni nia ovu, ya kimabavu, kibabe na si ya kistaarabu.
Kwa nini utake kumpiga mtu kwa kupiga kura ya hapana??!! kwa nini usiheshimu maamuzi yake? kwa nini usijiulize hivi kwa nini amepiga kura ya hapana? ni nini ambacho hakiridhiki nacho? je hakina mantiki hicho anachodai? Kwa nini hujiulizi hivi kwa nini kuna wananchi wanataka muundo wa serikali 3? wanataka Mawaziri wasiwe Wabunge? kuwe na ukomo wa vipindi vya kugombea Ubunge? kwa nini madaraka ya uteuzi ya Rais yapunguzwe? Ni nini kinachowafanya wananchi wapendekeze haya? hakuna sababu za msingi za mapendekezo haya? Mstaarabu yoyote hujiuliza maswali haya.
Tunachokiona hivi sasa ni kuwa kura za wazi zinaleta uhasama, chuki na mitafaruku ambayo isingekuwepo kama wangekubali kupiga kura ya siri kama ambavyo siku zote imekuwa. Dhambi hii itawatafuna, na itaendelea kuwatafuna, kwani wanafanya mambo kwa nio ovu, wanaendesha mchakato kwa hila, kwa kutumia wingi wao. Hizi ni mvua za rasha rasha tu, bado mvua za masika, dhambi ya nia ovu na hila chafu itawatafuna na wataingia katika historia kuwa walisababisha haya yatakayotokea. Hawana busara wala hawana heshima kwa watu wengine. Wataumbuka tu. Hawana ustaarabu wa kutafuta maridhiano. Wanachotaka wao ndio hicho hicho. Wamezoea hivyo na hilo litawapa tabu sana kwani zama za chama kushika hatumu zilikwishaisha. Mshahara wa dhambi ni mauti.
Date: Thu, 2 Oct 2014 04:20:26 +0200
Subject: Re: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR AKAMATWA BAADA YA KUPIGA KURA YA "HAPANA".
From: gmdmagafu@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Kwa wale tuliokuwepo muda mrefu tumekuwa tukisikia wanasiasa wakilalamikia kura kwenye uchaguzi mkuu. Kuna mmoja aliwahi kulalamika kuwa alikwenda kupiga kura na familia yake lakini baada ya kuhesabu kura katika kituo alichopiga kura hakupata hata kura za familia yake. Inaonekana upigaji kura kwenye uchaguzi mkuu huwa unakuwa hivi hivi. Nina wasiwasi hata hiyo katiba yao waliyopitisha ikienda kwa wananchi, "itapita" tu kwa mbinu hizo hizo. Hapa mwenye uroho wa madaraka sasa amejulikana. Mwingine alikuwa akisingiziwa tu. Katika nchi zenye demokrasia, kinachoendelea sasa hivi Tanzania kinatosha kabisa kuangusha serikali. Si kwa njia nyingine ila kwa kujiuzuru baada ya kuumbuka.
2014-10-02 2:41 GMT+02:00 Bonny Mgonja <mgonjabonny@hotmail.com>:
Ndio maana waling'ang'anizia kura ya wazi ili kutishia watakaosema HAPANA. Matokeo ya walichokuwa wanakitaka na kilichokuwa kimejificha katika kura ya wazi ndio hicho. Na hiyo ya kupiga kura kwa fax, yote hayo kuna kitu kinatafutwa kwa nguvu nyingi i.e. Katiba ya CCM
---------------------------------------
This message has been sent from a hand held device. My apology for any typos.
> On 1 Oct 2014, at 11:56, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Naam. Tunaonyesha ukomavu wa democrasia.
> Nani anayashangaa haya. nani hakumbuki jinsi walivyokuwa wanapania upigaji wa kura wa wazi na kupinga kabisa ukigaji wa siri.
> Nani anasema CCM haiimarishi demokrasia Tz. bado kidogo
> --------------------------------------------
> On Wed, 10/1/14, F Kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR AKAMATWA BAADA YA KUPIGA KURA YA "HAPANA".
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, October 1, 2014, 7:53 PM
>
> Mwanasheria Mkuu
> Zanzibar Akamatwa baada ya kupiga kura ya Hapana
>
> muda mfupi uliopita Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman
> Masoud baada ya kupiga kura ya wazi ya Hapana kuhusu katiba
> amekamatwa na watu wa idara ya usalama na sasa yupo njiani
> akirejeshwa Zanzibar kama ni kweli anapeleka Zanzibar ama
> Mambwepande .......
>
> Hali hii ni ya hatari na Dodoma tayari kuna tayahari kubwa
> sana , ila hali inawez kuchafuka wakati Wowote visiwani
> Zanzibar kutokana na uonevu huu ambao unafanywa na watawala
> wa CCM .
>
> Hali ilikuwa mbaya Sana mara baada ya kupiga kura kwani
> wabunge wa CCM znz walitaka kumpiga ndio akalazikima
> kutolewa ukumbini chini ya ulinzi mkali na kufungiwa kwenye
> ofisi moja akiwa ameandamana na Pandu Ameir Kificho, Balozi
> Seif Idd, Nahodha , Pinda na baada ya muda aliondolewa hapo
> Akiwa ameandamana nafPandu Kificho kwenye gari yake kupitia
> lango la Waziri Mkuu akiwa ameambatana na msafara wa maafisa
> usalama, na kupelekwa Airport
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment