Friday, 10 October 2014

Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo

Dawa ni kuwapambanisha kwenye Mdahalo. Hapo ndipo atakayeonekana mwenye sera za maana na ambaye amepitwa na wakati.
Ukimtaja humu utashambuliwa na nyigu Lakini mdaahalo utaonyesha usee wa ndani ambao unaonekana na nje sasa
--------------------------------------------
On Fri, 10/10/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, October 10, 2014, 8:46 AM

Raia Mwema: Kuna mazungumzo miongoni mwa viongozi wa CCM na
serikalini kwamba Membe anatajwa na Edward Lowassa kuwa
ndiye adui yake mkubwa au kwa lugha nyingine, ndiye mchawi
wake kisiasa. Madai haya unayazungumziaje? Ni
kweli? 


Membe: Unajua katika masuala haya ya siasa, wapo wanaoamini
kwamba ni lazima uwe na maadui wa kisiasa. Inawezekana
kujitokeza misimamo ikatofuatiana kuhusu masuala fulani ya
msingi katika mambo haya ya uongozi wa nchi na hasa nchi
ambayo bado iko kiwango fulani cha umasikini kama
Tanzania.
Mimi nimekuwa nikiamini katika kuongoza kwa misingi
ya ulinzi wa raslimali za nchi, maadili yanayojenga uongozi
bora na imara pamoja na kulinda, kutetea na kupigania hadhi
ya nchi yetu popote duniani. 
Mtu ambaye pengine haamini katika misimamo hiyo kama
yangu, si ajabu akatajwa kuwa ni adui yangu kisiasa, kwa
sababu viongozi wenzangu wengi wanajua ninachokiamini na
hata Rais Kikwete naye anajua ninachokiamini kama ilivyo kwa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na viongozi wengine
wengi.
Ni vizuri kwa viongozi kusimamia imani ya wananchi
kwa Serikali yao, ndiyo msimamo wangu. Kwa hiyo; kama ni
suala la uadui, haiwezi kuwa uadui mwingine wowote zaidi ya
kutofautiana kimtazamo katika masuala ya uongozi.

Na. D. Dilunga . 
Raia Mwema




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment