Mchakato ulianza kwa:
Vyama vya upinzani kupigia kelele jambo hili na serikali kupinga.
Serikali ilipoelemewa ikakubali.
Bunge likatunga sheria.
Rais akaunda tume kukusanya maoni kutoka kwa wananchi.
Maoni ya wananchi yakatumika kuandaa rasimu na rasimu ikakabidhiwa kwa bunge lililoundwa maalum kwa ajili hiyo.
Mchakato ukakoma na Bunge likaanza mchakato wa kuandika Katiba bila kuzingatia maoni ya wananchi.
Hatuwezi kusema Bunge litaleta katiba itokanayo na maoni ya wananchi. Unasweza kudhibitisha hilo kwa kuangalia mambo fulani waliyoyapigia kelele wananchi.
Muundo wa Muungano unaozingatiamsingi wa umoja ambao hauwesekani bila kuathiri uhuru wa Zanzibar kwa kuiheshimu katiba yao.
Kuwa na wabunge ambao wanawajibika kwa wapiga kura na wapiga kura wanaweza kuwawajibisha.
Kuwa na serikali ambayo haiundwi na wabunge ili Mawaziri wawajibike kwa Rais badala ya wananchi na rais.
na mambo mengine mengi.
Tunahitaji kujipima na kuona tulikosea wapi:
Bunge Maalum la Katiba lilitawaliwa na wabunge wa jamhuri ya Muungano. Maana yake nini. Wabunge walikuwa wanaandaa katiba kwa maslahi yao.
Hili ni kosa kubwa na muhimu.
Kwa sababu hatutarajii kupata klatiba nyingine ni muhimu kurekebisha kosa hili. Bunge Maalum la Katiba lijalo itabidi wabunge wake wagombee. Moja ya masharti wabunge wake wasiruhusiwe kugombea ubunge mara baada ya bunge hilo kumaliza kazi yake hadi ipite miaka mitano. maana yake tutakuwa na wabunge maalum wasiotetea maslahi yao japo kwa muda huo. Tumeliwa kweli. hatuna la kufanya kulikuwa na OMBWE la uongozi karibu kila nafasi
Elisa
--------------------------------------------
On Wed, 10/1/14, 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] IMEKULA KWETU - KATIBA!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, October 1, 2014, 3:40 PM
Hayawi hayawi yamekuwa. Bunge la
Katiba linamaliza muda wake. Wajumbe wamekula hela vya
kutosha. Wengine wamenawiri. Wengine wamepata mabwana na
wengine wameona.
Kilichokusudiwa na Taifa ni katiba mpya. Pamoja na gharama
zooooote hizo dalili zinaonyesha WATANZANIA TUMELIWA.
Hela imepote bure, Hamna KATIBA mpya.
La haula. Mimi napendekeza wahusika warudishe hela yetu.
Hata kama si asilimia 100. Walao 30% jamani. Huo ndiyo
UUNGWANA.
Wanabidii mwasemaje?
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment