Wednesday, 1 October 2014

Re: [wanabidii] IMEKULA KWETU - KATIBA!

ukisema hivyo kwa ujumla jumla ni  rahisi kupingwa.
Pamoja na yote wanayofanya bado katika itakuwa mpya. Pengine je, ni ile inayotakiwa  katika mazingira ya mwafaka, ama wengi wape, hilo ndilo naona la kutufikirisha.
Kuhusu kurudisha pesa, well, hamna sababu ya kupoteza muda na ndoto.


On Wednesday, October 1, 2014 3:40 PM, 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Hayawi hayawi yamekuwa. Bunge la Katiba linamaliza muda wake. Wajumbe wamekula hela vya kutosha. Wengine wamenawiri. Wengine wamepata mabwana na wengine wameona.

Kilichokusudiwa na Taifa ni katiba mpya. Pamoja na gharama zooooote hizo dalili zinaonyesha WATANZANIA TUMELIWA.

Hela imepote bure, Hamna  KATIBA mpya.

La haula. Mimi napendekeza wahusika warudishe hela yetu. Hata kama si asilimia 100. Walao 30% jamani. Huo ndiyo UUNGWANA.

Wanabidii mwasemaje?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment