Ndugu wanabidii,
kweli sasa tunatumia vibaya huu ukurasa kwa Kuchafua wenzetu. Happy Katabanzi, please omba Msamaha kwa Mheshimiwa MDEE na Akina mama wote. Sijapenda hii mada uliyo anzisha na hasa kumtusi Mpendwa wetu.
Kama wadau waliotanguli walivyosema, Mapambano juu ya Haki na wanaopunja haki hizo si lelemama. Nakushauri kama hunma talent za halima, usijidhalilishe kwa Kumtusi.
Wewe binafsi level ya Utulivu wako ikoje before you mark or point fingers to the Honest People???
Nilidhani, Ungewashauri hao wnaotumia Nguvu nyingi Kupita Kiasi hata kwa Akina mama na waandishi wa Habari, watumie Nguvu hizo kukabiliana na Uhalifu unaozidi Kushamiri kila uchao, hapa Nchini.
Happy Katabanzi, tumia Karamu na Wino Vizuri na Si Kutukana watu. Nilikuwa mfuatiliaji wa mada zako, from now going forward, I will for good not trouble myself into your articles. Vipi Mada ingekuwa, "HAPPY KATABANZI ,TULIA UZAE".
Ukifika Muda wa Kupata Watoto, the Almighty God will give the room., AND that is in personal
MDEE Pamabana, tuko Nyuma yako KAMANDA Wetu, Usivujwe Moyo na watu wa namna hii.
HAPPY KATABANZI - Jifunze Kusema Ukweli....Kama alivyo Mheshimiwa HALIMA.
--------------------------------------------
On Thu, 10/9/14, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, October 9, 2014, 6:19 PM
Yona
Halima huyo huyo amechaguliwa na wanawake hao hao
unaowasema. Kwanini leo ukosoe mwemyekiti wao waliomchagua
wenyewe. Unadhani hawakujua kuwa hana mtoto?. Mbona kuna
viongozi wengi wa kike wazuri lakini hawako ktk ndoa
na mchango wao ni mkubwa mno kwa jamii.
Sent
from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Date:
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE
Halima Mdee ni mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA ,
huyu anaongoza
kundi kubwa sana la wanawake wanaomtegemea yeye kuwa
kuongozo na kioo chao
kuanzia kwenye ngazi ya famila yake yeye mwenyewe , mumewe ,
watoto na
jamaa zingine wa karibu .
Halafu namshangaa ndugu allan lawa kumshauri Katabazi wakati
yeye mwenyewe
siku chache zilizopita alianzisha mada ya kuhoji wenza wa
wagombea , leo
amekua mbogo dhidi ya Happy .
Jamani waswahili tuwe wavumilivu kwa hoja tofauti , ndio
maana wengin wenu
mnabaki kupiga kelele kwenye keyboads humu bila kuleta
maendeleo na
changamoto zozote katika nchi hii kwa sababu ya ukuda wenu
wa kukataa
kukosolewa na kukataza watu wasiseme mawazo yao .
Tuache huu upuuzi , Tuache watu wawe wazi na uhuru na mawazo
yao as long
hawaja vunja sheria yoyote ya nchi .
2014-10-09 17:24 GMT+03:00 Kilasara Fratern
<kilasara.fratern@gmail.com>:
> Ndugu Allan,
> Umemshauri vyema binti huyu, lakini nionavyo, sikio la
kufa halisikii
> dawa. Mpe muda aterea na uroja zaidi ya huu.
> Kibaya zaidi, hajui maskini binti ya watu kuwa, post
zake zinasomwa na
> kila mtu, wakiwemo baadhi ya waajiri wake; na sijui
anajiamini vipi,
> zitakapotumika dhidi yake! Maana, kwa tabia yake hii,
iko siku,
> atamsababishia 'scandle' mwajiri wake, na sijui
kama atapona! Kwani hata
> akijitetea, ushauri wetu pia nao, unaweza kutumika
kuwa, ulimwengu
> tulishamshauri na kumuonya kwa upendo, kwani pengine
anafanya hivyo kwa
> ulimbukeni wake, lakini kwa vile ni wa akili kibaba na
isiyofundishika,
> atavikosa vya moto na vya baridi pia.
>
> Mpeni muda, kwa maana, 'time is the best
counselor.'
>
> 2014-10-09 16:01 GMT+03:00 'Reuben Mwandumbya'
via Wanabidii <
> wanabidii@googlegroups.com>:
>
>> Comrades;
>> Inaweza kuwa ulevi wa sifa,sasa tembo analitia
maji.
>> Nakumbuka Dada Happy alipokuwa anaanza kazi Chuoni
aliko sasa alipewa
>> sifa nyingi sana sasa may be anaona kamaliza.
>> Kitu ya msingi zingatia ushauri uliopewa otherwise
the otherwise can ruin
>> you Happy.
>>
>> *Reuben*
>>
>> ------------------------------
>> *From:* mngonge franco
<mngonge@gmail.com>
>> *To:* wanabidii@googlegroups.com
>> *Sent:* Thursday, October 9, 2014 3:01 PM
>> *Subject:* Re: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE
>>
>> Huyu Happy Katabazi naona anatafuta umaarufu
asiyouweza. What kind of
>> nonsenses? Nimesoma makala zake kama tatu mfululizo
naona no substance.
>> Mwanzo nilifikiri ni kwa bahati mbaya lakini baada
ya kuisoma na hii basi
>> sina sababu ya kupoteza muda wangu kusoma makala
zake. Mara tulia uzae,
>> yeye kazaa? Kuzaa ni jambo la hiari wala si lazima
hivyo hana sababu ya
>> kuanza kuzun gumzia maisha ya mtu binafsi kama
anapenda hayo basi
>> wadadavuzi wa maisha ya watu watatwambia kuhusu
yake (Happy) aone kama
>> itapendeza.
>>
>> 2014-10-09 14:43 GMT+03:00 Makaveli Markus
<jikomboe@gmail.com>:
>>
>> Kuna mahali unapotea dada yangu Happy, ila
hujagundua. Kuwa mwangalifu
>> sana, fanya kazi zako kwa usahihi, usiingize matope
kwenye maisha yako.
>>
>> Kuna njia za kuzuia kukaribisha uchafu maishani,
hata kama kuna tofauti
>> binafsi na taaisi iliyowahi kukuajiri. Suala la
KUZAA sio LAKO nadhani
>> angekuteua kuwa MSHAURI wake. Kila mtu anazaa kwa
matakwa yake, siyo
>> kushurutishwa.
>>
>> 2014-10-09 14:33 GMT+03:00 'allan lawa' via
Wanabidii <
>> wanabidii@googlegroups.com>:
>>
>> Happiness,
>>
>> ninakushauri jambo moja tu kama unataka kuheshimika
kama Afisa Habari wa
>> Chuo Kikuu chenye wabobezi kibao acha kabisa
kushambulia watu kwani hiyo
>> siyo sifa ya Afisa Uhusiano duniani.
>>
>> Tabia ya kushambulia watu kwenye mtandao kama
ulivyofanya kwa Mbowe na
>> sasa kwa Mdee siyo tu unafifisha tasiwra njema ya
unakofanyia kazi lakini
>> haioneshi kuwa wewe ni msomi kama ambavyo mara zote
umekuwa unajigamba.
>> msomi husawili jambo kwa hoja za haja wala siyo
kushambulia watu au
>> taasisi.
>>
>> ushauri wangu hauna maana ya kuingilia uhuru wako
wa kutoa mawazo lakini
>> ujue wachangiaji na wanaosoma post zako hawawezi
kukutofautisha wewe na
>> mwajiri wako. umekuwa unajinasibu kuwa wewe ni
mwanafunzi wa nguli wa
>> sheria na habari dr. sengondo mvungi (RIP), basi
onesha hivyo kwani mwalim
>> wako huyo ambaye mimi nimemfahamu kwa miaka mingi
tena akiwa mshirika
>> muhimu katika vita vya kupigania uhuru wa vyombo
vya habari he was
>> always full of smiles even when the debates became
so heated.
>>
>> nina hakika hutanishambulia kwa maandishi yangu
haya. take your time
>> (google) soma kazi za information officer au public
relations au public
>> affairs utaona kuwa unatoka nje ya mstari. ukirejea
kwenye mstari
>> utakisaidia zaidi chuo kuliko sasa, kinyume chake
unaviza dhima ya chuo
>> ya kuajiri afisa habari.
>>
>> ushauri wangu unatokana na hazina kubwa ya uzoefu
niliyoilimbika katika
>> tasnia ya habari, afisa habari na uhusiano kwa
vipindi tofauti, mwalim na
>> mhadhiri wa habari na mawasiliano ya umma katika
vyuo kadhaa hapa nchini na
>> mwana jamii.
>>
>>
>>
>> On Thursday, 9 October 2014, 11:22,
'lesian mollel' via Wanabidii <
>> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>
>>
>> duuuh kali ya mwaka, mimi sina comment wadada
mnapambana, haya
>> --------------------------------------------
>> On Thu, 10/9/14, Juma Mzuri
<jumamzuri@gmail.com> wrote:
>>
>> Subject: [wanabidii] HALIMA MDEE,TULIA UZAE
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Thursday, October 9, 2014, 11:07 AM
>>
>> HALIMA
>> MDEE,TULIA UZAE
>> Na Happiness Katabazi
>> MAKUNGWI na wanawake waliotuzidi umri upenda
Kuwaasa watoto
>> wa kike hususani wale walitimiza umri halali wa
kuingia
>> Kwenye mahusiano hususani Kwenye ndoa Kuwa :'
>> Mwanamke yeyote aliyekamilika kuitwa mwanamke na
aliyefundwa
>> anapaswa kufanya vurugu, utundu chumbani wakati
akiwa na
>> mumewe au Mpenzi wake wakifanya tendo la ndoa
'.Nimelazimika
>> kutumia Msemo huo wa Makungwi kwasababu , kwa zaidi
ya wiki
>> Moja sasa tumeshuhudia Mwenyekiti wa Umoja wa
Wanawake
>> (BAVICHA) Halima Mdee (35) akifanya vurugu na
kupingana na
>> amri halali za Jeshi la Polisi Mkoa Kanda Maalum ya
Dar es
>> Salaam.Kamanda
>> wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
alitangaza
>> kuyapiga marufuku maandamano yaliyokuwa
yameandaliwa na Mdee
>> lakini Mdee na wenzake waliipuuza amri hiyo ya Kova
na
>> mwisho wa siku Oktoba 4 Mwaka huu, Mdee na wanawake
wachache
>> wa Chama hicho walijaribu kuandamana wakaishia
>> kusambaratishwa na Polisi na Kukamatwa kupelekwa
Katika
>> Kituo Cha Polisi OysterbayOktoba
>> 6 Mwaka huu, Mdee na wenzake wakafunguliwa Kesi ya
jinai
>> mbele ya Hakimu Janeth Kaluyenda, Wakili wa
Serikali Mkuu,
>> Bernard Kongola alidai Mbali na Mdee washitakiwa
wengine ni
>> Rose Moshi (45), Renina Peter 'Lufyagila',
Anna
>> Linjewile (48), Mwanne Kassim (32), Sophia Angel
(28),
>> Edward Julius (25), Martha Mtiko (27) na Beatu
Mmari
>> (35).Kongola
>> alidai kuwa washtakiwa hao Oktoba 4, 2014, wakiwa
Mtaa wa
>> Ufipa, walikiuka amri halali ya kutawanyika
iliyotolewa na
>> Mrakibu wa Polisi (SP), Emmanuel Tillf kwa niaba ya
Jeshi la
>> Polisi kitendo ambacho ni kinyume na Kifungu cha
124 cha
>> Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16
iliyofanyiwa
>> marekebisho mwaka 2002.Katika
>> shtaka la pili, siku hiyo ya tukio katika eneo
hilo,
>> washtakiwa hao wanadaiwa wote kwa pamoja ,
walifanya
>> mkusanyiko usio halali kwa lengo la kutembea kwenda
kwenye
>> Ofisi ya Rais Ikulu .Alidai kuwa kosa hilo ni
kinyume na
>> Kifungu cha 74 na 75 cha Sheria ya Kanuni ya
Adhabu, Sura ya
>> 16 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.Na
>> washitakiwa Hao walikana Mashitaka ila Masharti ya
dhamana
>> walishindwa kutimiza,Mahakama ikaamuru wapelekwe
gerezani
>> hadi Jana walipopata dhamana.Kesi
>> hiyo ikaairishwa hadi Oktoba 21 Mwaka
huu,itakapokuja
>> kwaajili ya washitakiwa hao kusomewa maelezo ya
awali
>> kwasababu upelelezi wa Kesi hiyo umekamilika.Mdee
>> ni msomi wa Sheria na nimiongoni mwa wanasiasa
wachache
>> vijana wenye ujasiri wa kujitokeza hadharani
kukataa jambo
>> ambalo yeye anafikiri jambo Hilo halina maana.Mimi
>> Nampongeza kwa kipaji hicho tu Cha uthubutu wa
kujitokeza
>> hadharani Mara kwa Mara kupinga licha Mimi binafsi
wakati
>> mwingine uwa sikubalini Sababu zake nyingine
anazotumia
>> kupinga jambo Fulani.Lakini
>> nitajisikia vibaya Kama sitampongeza Mdee ambaye ki
umri
>> tupo sawa ,kwa kuweza kuchaguliwa Kuwa Mwenyekiti
wa
>> BAWACHA.Hakika
>> ameandika historia ya kijana mwenye umri Kama wake
kuaminiwa
>> na Chama Chake kupewa nafasi hiyo ambayo a
anaongoza
>> wanawake ambao ni wanachama wa CHADEMA ambao
wengine
>> wamezidi yeye na mama yake umri.Hongera Mdee kwa
ushindi
>> huo.Maana
>> matendo mengine anayoyatenda ya kuamasisha vurugu,
uzushi ni
>> wazi kabisa anaonekana ni mwali 'msungo'.
Yaani ni
>> mwanamke ambaye hajafundwa Mafundo ya kike au kama
alifunda
>> basi anayapuuza.Anachokifahamu
>> yeye ni Mafunzo ya darasani na siasa chafu za ugovi
ambazo
>> zikazidi kumshushia heshima yake Kwa Wapiga kura
wake wa
>> jimbo la Kawe, Jamii ya wapenda ustaharabu, Amani
na Utawala
>> wa Sheria na wasomi.Kinachonikera
>> kwa Mdee hii tabia yake ya kufanya 'Usela
Mavi'
>> wakati amelelewa Katika familia ya wasomi Kwani
baba yake ni
>> msomi na Mdee Mwenyewe amepata fursa ya kusoma
shule lakini
>> tunamshangaa a ataenda matendo ambayo hawapaswi
kutendewa na
>> mtu Kama yeye.Mdee
>> ni msomi wa Sheria na msomi yoyote wa Sheria, Mwaka
wa
>> kwanza wa shahada ya kwanza ni lazima ufundishwe
somo la
>> Criminal Law ambalo somo Hilo mwalimu pamoja na
mambo
>> mengine anatumia Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya
16 ya
>> Mwaka 2002 ( Penal Code).Na
>> hiyo Sheria inaweka wazi makosa mbalimbali kwa
Kifungu kwa
>> Kifungu Mdee amelisoma na kufaulu somo Hilo na
anafahamu
>> Kuwa ndani ya Sheria Hilo Kuwa kuna kosa la kukaidi
amri ya
>> Jeshi la Polisi, kufanya mkusanyiko haramu Adhabu
zake ni
>> zipi.Lakini
>> Mdee ambaye amekuwa akijitapa eti yeye ni
Mwanasheria mzuri
>> ndiyo amekuwa miongoni mwa wasomi wa Sheria ambao
>> ameshitakiwa Kutenda matendo ya kuvunja Sheria wazi
wazi kwa
>> kukaidi amri ya Jeshi la Polisi iliyokuwa ikimtaka
>> asiandamane kwa Kigezo eti Rais Jakaya Kikwete
ameamualia
>> Ikulu.Nimuulize
>> Halima hivi Rais Kikwete ni Hawara yako,ndigu yako
hadi
>> mkutane sehemu huyo Kikwete akupe mualiko uende
Ikulu ,wewe
>> na hao wafuasi wako bila Katibu wa Rais kujua
mualiko
>> huo?Rais
>> ni Taasisi kwa wale tunaofahamu, hivyo huwezi
kujikurupukia
>> tu ukaamka Leo ukachukua kundi la wahuni wenzio na
mabango
>> juu ukasema unaenda Kumuona Rais Ikulu eti Rais
Kikwete
>> amekupa Mwaliko?Kama
>> siyo kumsingizia Rais na kumchonganisha Rais
Kikwete na
>> Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ni
kitu gani?
>> Maana Kama Rais Kikwete alikualika kweli.Si haraka
sana Rais
>> angetengua amri ya Kamanda Kova ya kuwazuia msiende
kumuona
>> Ikulu?Unafikiri
>> ni kwanini amri ya Kova iliendelea kubaki Kama
ilivyo? Jibu
>> ni Jepesi tu ,Halima ni muongo, Mzushi na aliyekuwa
anataka
>> kujipatia umaarufu wa kijinga Kuwa eti Mwaliko wa
Rais
>> Kikwete amemwalika Ikulu.Alichokuwa
>> akikitafuta Halima ni kutaka kujionyesha yeye
ndiyo
>> Mwenyekiti Mpya wa BAWACHA na kwamba ni ngangari
kweli kweli
>> kuliko Mwenyekiti aliyepita Suzan Lyimo na hivyo
>> anaushawishi mkubwa wa kuweza kuwashawishi
wanachama
>> wanawake wa Chama hicho waweze kuandamana mwisho wa
siku
>> sifa anapata Halima Kuwa ni mwanamke Shujaa na
aliogopi
>> jeshi la polisi, Kumbe ni Ujinga mtupu.Kama
>> Mdee kweli wewe uliogopi Jeshi la Polisi kwanini
ile Oktoba
>> 4 Mwaka huu, mlivyo andamana ,Polisi ilivyo
watawanya
>> ,kwanini wewe uliogopa ksago utakimbia Kwenda
kujificha ili
>> kukwepa kipondo Cha Polisi?Kama
>> wewe ni Shujaa kweli kwanini Oktoba 7 Mwaka huu,
>> ulipofikishwa Katika Mahakama ya Kisutu kwanini
uliyakana
>> hayo Mashitaka?Maana
>> Kabla hujafikishwa mahakamani ulikuwa ukijigamba
kupitia
>> vyombo Vya Habari Kuwa kuandamana ni Haki yako na
hutakiwi
>> kuomba Kibali?Kama wewe ni Shujaa kwanini ulikubali
kupewa
>> dhamana?Shujaa
>> au kamanda gani anaogopa kukaa gerezani kweli licha
ni kweli
>> dhamana ni Haki yako ?Ningekuona Wewe ni Shujaa
kweli
>> usingeomba dhamana ungesema upo Tayari kwenda kukaa
gerezani
>> ili ukiwa gerezani pia huweze kutoa hoja zako kwa
mahabusu
>> wa kike zinazohusu msimamo wako na Chama Chako Cha
kuipinga
>> Katiba iliyopendekezwa Bunge na kujua matatizo
>> yanayowakabili.Kamanda
>> gani akiona kilungu Cha Polisi na Gari za Maji ya
>> kuwasha'Kikojozi' Ana kimbia?Unatakiwa ukae
upambane
>> na Polisi Kwani ulijigamba licha Polisi imekataza
maandamano
>> yenu ,wewe na wanachama wako mtaandamana.Halima
>> Tanzania hii unayoiona hivi sasa watu wanaishi kwa
amani
>> tofauti na nchi za wenzetu , Elewa Kuwa Kuwa watu
walipoteza
>> Uhai wao,Jasho Lao wakaijenga nchi hadi Leo hii
wewe
>> umeikuta,ukasoma, umepata madaraka ambayo ya
kulevya hadi
>> unaanza jeuri ya kukaidi amri ya Jeshi la Polisi na
kuwa Ana
>> aliwataka wanachama wenzako wafanya vitendo Vya
kuvunja
>> Sheria.Mamlaka
>> husika hazitakuacha ufanye huo uhuni wako ambao
mwanamke
>> yeyote mwenye haiba ya kike hawezi kufanya .Na
>> Mbaya zaidi ulichokuwa ukikipigania Cha kutaka Rais
Kikwete
>> asipokee Katiba iliyopendekezwa na Bunge
hujafanikiwa Kwani
>> Jana jioni Kikwete na Rais wa Zanzibar Dk.Mohamed
Shein
>> wameipokea Katiba kutoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti
wa Bunge
>> Maalum la Katiba, Samuel Sitta na tumemshuhudia
Rais
>> alishindwa kuficha hisia zake na akajikuta akitamka
zaidi ya
>> Mara mbili kwamba anayofuraha sana sana kuona tendo
Hilo la
>> Kihistoria ilifanyika chini ya uongozi wa serikali
yake na
>> akasema kabisa Katika ile ni nzuri sana na
awashawishi
>> Watanzania waipigie kura ya ndiyo.Ila
>> Kwa mwanamke ambaye Hana haiba ya kike na Mwanamke
ambaye
>> hajithamini na atambui mambo yapi mwanamke afanye
na mengine
>> asifanye ,atayafanya Kama wewe Halima ambaye
tunakuhesabu ni
>> msomi,kiongozi lakini unashiriki adharani Kutenda
matendo ya
>> kuvunja Sheria.Kiongozi
>> yoyote mzuri anatakiwa awe ni mfano wa kuwaongoza
wafuasi
>> wake wafikie malengo waliyoyakusudia, sasa Mdee
ambaye ni
>> kiongozi lakini unawaongoza wafuasi wako waende
njia isiyo
>> sahihi kwa kishiriki vitendo vya uvunjifu wa sheria
na
>> matokeo yake mmeishia kushitakiwa na kulala
Gerezani na
>> kujitia nuski.Halima
>> tambua kuwa hata kama mwanamke awe na fedha ,mali
,madaraka
>> kiasi gani bado mwanamke anatakiwa hajiheshimu na
afanye
>> matendo ambayo mwanamke anatakiwa atende .Siyo
>> mwanamke asimame hadharani atende matendo ya kihuni
huni
>> ambayo tumezoea kuona yanatendwa wanaume wahuni
wahuni au
>> wanawake wahuni wahuni tu ,Kama wewe
ulivyotenda.Labda
>> ni mwambie Mdee vitendo hivyo vya ukahidi na Kauli
ambazo
>> hazikawii kutolewa kwenye kinywa Cha mwanamke
mwenye haiba
>> ya kike,Hupaswi kujifanya.Wanaopaswa
>> kufanya matendo Kama hayo ni baadhi ya wanawake
kama Asha
>> Ngedere, na wanawake wengine ambao kufanya vitendo
vya
>> kihuni, kusutana na wengine hadi wameunda vikundi
>> vinavyokodisha kwaajili ya kuchamba watu, ambao
wanawake hao
>> wanaofanya vitendo hivyo vya kihuni wanapatikana
sana huko
>> uswahili mitaa ya Mburahati Madoto, Kigogo
Luhanga,
>> Mburahati kwa Binti Kahenga ,vurugu ndiyo sifa zao
tena
>> wanaona fahari kuona watoto wao wanafuata nyayo za
mama zao
>> za kufanya vitendo Vya kihuni na kishenzi.Halima
>> Hupaswi kufanya vitendo vya uvunjifu wa sheria na
vya kihuni
>> huni, waachie wakina Asha Ngedere , wewe unapaswa
hivi sasa
>> ukae katika ofisi mpya ya Bawacha , ubuni mipango
yako
>> yakuwaletea wanachama wako na taifa maendeleo kwa
njia
>> amani.Una
>> mambo mengi ya kufanya siyo kuanzisha maandamano
haramu
>> .Hivi kweli unashindwa kuketi kitako ukaanzisha
hata taasisi
>> yako binafsi ,Ukaanda harambee za kuchangia
kutokomeza mimba
>> za utotoni, au kufanya utafiti wa nini kwanini
wanawake
>> wengi wanashambuliwa na ugonjwa wa UTI na mambo
>> mengine,ukaalika watu wenye Fedha zao wakashiriki
harambee
>> wakachangia Fedha utapata za kuendesha Programu
hizo?Lakini
>> umeama kujigeuza Kituko Mbele ya Jamii ya wanawake
>> wastaarabu ya kushiriki kushinikiza kufanya
maandamano
>> haramu. Kama Fedha, madaraka unayo.Tatizo Lako nini
Mdee
>> hadi unaamua kushiriki vitendo hivyo Vya kihayawani
ambayo
>> bins kushushia heshima?Umri
>> ndiyo huo una unazidi kukutupa mkono na ukae ukijua
hivyo
>> vitendo vya 'Usela Mavi' unavyofanya mwina
mwisho
>> wake.Ebu
>> Mdee achana na usela Mavi , anza kuweka fikra na
matamanio
>> ya siku Moja na wewe uitwe mama wa
Fulani.Mshirikishe
>> Mungu Katika matamanio hayo ,Mungu atakupa mtoto
na
>> ukishampata mtoto ni wazi utakuwa busy sana na
kuangaika na
>> mambo ya mtoto na familia yako kwa ujumla na
utajikuta
>> unaoendokana na vitendo hivyo Vya kihuni ambavyo
mwanamke
>> mkorofi akisha bahatika kupata mtoto wake anaachana
navyo
>> Kwani anaona aliendelea anavyo anakuwa kama
anamdhalilisha
>> mtoto wake.Achana
>> na wazimu huu unaoufanya wa kujifanya wewe ni jike
dume,
>> umesababisha watu kuanza kuhoji Kuwa Mdee ni
mwanamke
>> kweli?Anaujua uchungu wa Mwana?Na je Halima
amebahatika
>> kupata mtoto?Na
>> Wengi wanahoji hivyo kwasababu wanasema wanashangaa
na
>> kujiuliza kuwa hivi Mdee alishawahi kubeba mimba na
akalea
>> mtoto na kuitwa mama hawezi kufanya hayo
anayoyafanya?Wanajiuliza
>> Mdee ni mwanamke wa aina gani ambaye hana uchungu
hadi
>> anaamasisha wanawake wa Chadema waandamane Katika
maandamano
>> haramu ambayo wanaenda kupigwa ma Polisi na
kufunguliwa Kesi
>> mahakamani na hadi wakalala gerezani siku Moja?Na
>> wengine wa nadiriki Kusema Mdee pamoja na usomi
wake na
>> madaraka aliyonayo ,anaitaji kutafutiwa Makungwi
kama Bibi
>> Hindu, Bibi Chau wamfunde ili ajue mwanamke
anatakiwa aweje
>> ,avae mavazi gani, na vitendo gani afanye Mbele za
watu na
>> vipi afanye.Maana
>> licha ya madaraka na usomi aliyonayo,wakati
mwingine
>> tunamshuhudia akitenda na kuongea mambo ambayo
mwanamke
>> aliyefundwa kuwa mwamke na kuwa kiongozi , hapaswi
kuyatenda
>> Kama ya kupayuka payuka ovyo ovyo tena wakati
mwingine kwa
>> hoja zisizo na mashiko.Kuna
>> wanawake wako Tanzania mashughuli dini Kama Dk.Asha
Rose
>> Migiro, Profesa Anna Tibaijuka na wengine Wengi,
huwezi
>> kuwasikia wakifanya vitendo Vya kihuni huni na vya
>> kuamasisha watu Wavunje Sheria.Wao ubishina Kwa
hoja,
>> ustaarabu.Bado
>> namkumbuka aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Wanawake ya
>> Chama cha Tanzania Labour(TLP), Getrude Pwila Enzi
zile Mkuu
>> wa Jeshi la Polisi, IGP- Omar Mahita.Kwa
>> mama huyu alikuwa ni rafiki yangu nalilikuwa
naandika Habari
>> za Chama Cha TLP kinachoongozwa na 'mume wangu
wa
>> zamani', Agustine Mrema.Pwila
>> alikuwa ni mwanamke machachari sana kila uchao
alikuwa
>> akiwaamasisha wanawake wa TLP waandamane Katika
maandamano
>> haramu hadi Wizara ya Mambo ya Ndani huku wakiwa
wamevua
>> Fulana wamebaki na Sidiria tu na walikuwa wakiaa
nje ya ya
>> Wizara ya mambo ya ndani tangu asubuhi hadi jioni
wakitoa
>> maneno ya kulikashfu Jeshi la Polisi, Rais
aliyekuwa
>> madarakani, Benjamin Mkapa na aliyekuwa Msajili wa
Vyama Vya
>> Siasa, Mahundi.Na zoezi Lao la kubaki NA Sidiria
walijifanya
>> zaidi ya Mara tano Kipindi kile Cha Miaka 2002-
2004.Mimi
>> ,Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Jocye Mmasi
tulikuwa ni
>> miongoni mwa waandishi tuliokuwa tukishiriki
maandamano hayo
>> na kuandika Habari.Leo hii Pwila amepotea Katika
ulingoni wa
>> siasa, hasikiki tena na ukizungumza naye anajutia
kitendo
>> kile alichokuwa akijifanya cha kuongoza wanawake wa
TLP
>> kuvua nguo na kubaki na Sidiria pale nje ya Makao
makuu ya
>> Jeshi la Polisi na Wizara ya Mambo ya Ndani.Sasa
>> na wewe Mdee ukae ukijua wewe ni Kama una beep tu,
hata
>> hujamfikia Pwila Kwani Pwila alikuwa anaushawishi
mkubwa kwa
>> wafuasi wake walishapigwagwa sana Polisi lakini
mwisho wa
>> siku walipokuja kutambua uhuni ule waliokuwa
wakiufanya
>> kwanza ulikuwa ukiwadhalilisha wao wenyewe
binafsi.Walikuja
>> kubaini wao kama wanawake wa TLP walichokuwa
wakikipigania
>> kwa njia ya maandamano haramu eti jeshi la Polisi
lina
>> mnyanyasa Mrema ni batiri .Waliachana
>> na vitendo hivyo na ndiyo ikawa Chanzo Cha umoja wa
wanawake
>> TLP kusambaratika na wanawake Wengi kaumua kuiama
TLP
>> kwasababu ya kubaini Pwila alikuwa alikuwa alikuwa
>> akiwaongoza Kutenda vitendo Vya Uvunjifu wa Sheria
ambavyo
>> mwisho wa siku walikuwa wakaishia kupigwa virungu
na Polisi
>> ,kufunguliwa Kesi mahakamani na kupelekwa
gerezani.Sasa
>> wanawake wenye akili timamu ambao mnaoamini Katika
Utii wa
>> Sheria bila shuruti wa Bawacha ,mfano huo Hao juu
wa Pwila
>> msiuupuze Kwani sote ni mashahidi Enzi za
mtangulize wa
>> Halima, Suzan Lyimo akiwa Mwenyekiti wa Bawacha,
>> hakutukiwahi kumshuhudia Lyimo akiwaamasisha
wanawake
>> washiriki vitendo Kama hivyo Vya kuvunja Sheria
Kama
>> afanyavyo Mwenyekiti Mpya wa Bawacha ,Mdee ambaye
hata Ofisi
>> mpya ya Bawacha ajaikaa vizuri, ajaeleza kwa
vitendo
>> vipaumbele vyake ni nini.Pwila
>> hakuwa na elimu kama Mdee ila alikuwa na ushawishi
na Tayari
>> alikuwa ni Mzima , Mdee ni kijana na bado ana Muda
mrefu
>> Mungu akimjalia wa kulitumikia taifa hili na
kujiandalia
>> rekodi safi.Sasa
>> kwa mtindo huu wa Mdee tena mtoto wa kike kutaka
Kupambana
>> na Polisi kwa jeuri ya kijinga na Mbaya zaidi
anawaamasisha
>> wanawake wachama Chake washiriki vitendo hivyo
>> ,vitamsababishia kumporomosha au kumpotea Kwenye
Medani za
>> siasa nchini Kwani Watanzania ni watu wasiyopenda
ni wapenda
>> Amani na utulivu.Tambua
>> Mdee wewe ni kiongozi kijana ,unapofanya mambo
mazuri au
>> Mabaya sifa hizo unazipata wewe na vijana wenzako
kwa
>> ujumla.Hujachelewa
>> unaweza kubadilika licha Tayari umeishaingia Kwenye
rekodi
>> Mbaya ya Watanzania Kuwa Mdee ni kiongozi ambaye
>> analazimisha maandamano ambayo yamekatazwa na
Polisi hivyo
>> wewe ni Mpenda Vurugu.Na
>> Kwa taarifa yako Mdee ,siasa hizo unazotaka
kuzileta hapa
>> Tanzania, haziwezekani,ndiyo maana wewe na Chama
Chako kila
>> mlipokuwa mkijaribu kufulukuta kuhusu kutaka
kufanya
>> maandamano yenu mliyosema mtaandamana nchi nchi,
>> hamjafanikiwa kwasababu Watanzania na vyombo Vya
dola
>> havitaki aina ya siasa mnavyotaka kulileta hapa
nchini
>> .Kwasababu
>> mbinu yenu ya kufanya siasa ilikuwa haina kheri
zaidi ya
>> kutuletea vurugu na mbinu yenu ya kufanya
maandamano
>> imeshadoda sijui mnabuni mbinu gani nyingine ili
iwarejeshee
>> umaarufu kwasababu Tayari Chama chenu kinashuka Kwa
kasi
>> Umaarufu kwasababu mmoja tu ya kulazimisha matendo
>> yanayovunja Sheria Kama maandamano haramu.Mdee
>> tambua hapa Tanzania kuna wanawake wameshika
nyadhifa kubwa
>> na nyeti nchini,lakini wanaojiheshimu na niwatiifu
wa Sheria
>> za nchi Yao, watiifu na Kamwe hutawaona wafanya
vioja Kama
>> unavyofanya wewe Vya kushiriki vitendo Vya Uvunjifu
wa Amani
>> kwa makusudi.Wanawake
>> Hao wengine wapo Kwenye majeshi yetu ,serikalini na
taasisi
>> mbalimbali za kiraia wametulia tulia.Na wanauwezo
wa
>> kusaliti nchi,au kuanzia virugu na wanaushawishi na
mvuto
>> mkubwa sana kuliko wewe lakini wametulia wanaipenda
nchi Yao
>> na wanatii Sheria za nchi bila shuruti.Iweje
>> wewe Mdee ambaye umedhiirisha wazi Huna Nguvu wala
karama ya
>> kushawishi wanawake wote wa Chadema wakatii agizo
Lako la
>> kuwataka wanawake wa Chadema waandamane kupinga
Katiba
>> iliyopendekezwa na Bunge Kwani ndani tulishuhudia
siku ulipo
>> jaribio kuandamana ukashughulikiwa.Ni
>> idadi ndogo sana ya wanawake wa Chadema waliitikia
agizo
>> Lako na wanawake wengine wa Chadema ambao tuna
wafahamu
>> ambao tupo nao mitaani, wasomi na wamama watu
wazima wenye
>> akili timamu na wenye utashi walikata kushiriki
wanasema
>> hawawezi kukubali kuingizwa kwenye matatizo na
Mdee,
>> kwasababu wanamfahamu Mdee ni mtu wa aina gani na
mwisho wa
>> siku watakuja kuonekana wao ni mahayawani Kwani
wasingekuwa
>> mahayawani wasingeitikia wito haramu wa Mdee wa
kwenda
>> kushiriki maandamano haramu na kweli
hawakwenda.Ona
>> sasa ukahidi wako kwa Jeshi la Polisi umekufanya
wewe na
>> wafuasi nane muingie Kwenye orodha ya washitakiwa
Katika
>> Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kwasabu hiyo
Tayari
>> mmeishakuwa ni Kama watumwa wa Mahakama hiyo ambao
mtatakiwa
>> mfike tarehe itakayopangwa wakati ulikuwa na uwezo
kabisa wa
>> kujizua usitende makosa unayoshitakiwa nayo.Sasa
>> utajikuta badala ya kwenda kutimiza majukumu
mengine
>> ,unakwenda kushinda Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu
>> kufuatilia hatima ya Kesi yako.Muulize
>> Mzee Mabere Marando,Agustine Mrema ,Samson Mwigamba
na
>> wengine wanafahamu vizuri madhara ya kushitakiwa
kesi za
>> aina hiyo uliyoshitakiwa nayo hadi leo wamekoma
kushiriki
>> vitendo kama hivyo ulivyoshitakiwa nayo.Mimi
>> napenda sana kukaa nyuma ya wanasiasa wa vyama
vyote na
>> kufualitia matamko wanayoyatoa NA uchapaji Kazi
wao.Ila
>> nachukizwa mwanasiasa yoyote ambaye anaamasisha
wafuasi wake
>> watende matendo ya kuvunja Sheria za nchi na
kuhatarisha
>> Amani ya nchi kwa makusudi.Hii
>> tabia sipendi Kwani mwisho wa siku wanatumia ni
wafuasi siyo
>> viongozi Hao wakuu na hata wanapopelekwaga
gerezani
>> wanasiasa wenye vyeo Vya juu magezera uwaweka
viongozi Hao
>> Kwenye vyumba vyenye hadhi wale wafuasi wa kiongozi
Huyo
>> uwekwa Kwenye selo ya 'Kajambanani'.Mdee
>> Jana Oktoba 8 Mwaka huu, wakati unaondoka Katika
Mahakama ya
>> Kisutu ulitamka baadhi ya maneno Kuwa ulivyolala
gerezani
>> Juzi wala hawajakukomoa.Hivi kwani kuna mamlaka
ilikuwa
>> imepanga kukukomoa ulalae gerezani kwa
makusudi?Kwani
>> ulivyokuwa gerezani ' ulikula Bata'.Huo
>> uongo wadanganye watu ambao Hawajawahi kutembelea
magezera
>> na kupata Habari za Magereza wanayolala mahabusu
na
>> hawajawahi kuona picha za magereza yetu.Kama kule
gerezani
>> ulikolala Juzi ulikuwa 'unakula Bata', kitu
gani
>> sasa kimekufanya urudi uraiani?Hayo
>> ni maneno ambayo umejitutumua tu Mbele za watu ila
naimani
>> ukipata wasaa na kukaa peke yako,HIvi sasa utakuwa
unajua ni
>> kwanini ulitenda makosa yaliyosababishwa ufunguliwe
Kesi
>> mahakamani maana hata Askari Magereza wenyewe
wanaowalinda
>> Wafunga ,mahabusu lakini kila siku wanasema
gerezani siyo
>> sehemu nzuri ya Mtu kupelekwa na ndiyo Mtu yoyote
akitoka
>> gerezani Kama ni muumini wa dini ya Kiislamu
anaenda kufanya
>> Kisomo na Kama ni Mkristo anaenda kufanya Misa
Maalum ya
>> kumshukuru kumalizana na Mkosi wa kulala gerezani
na
>> kushitakiwa mahakamani lakini hajabi wewe mwanamke
wenzetu
>> unashangilia jambo hilo. Ni ajabu sana.Sasa
>> namshangaa Mdee ,anavyotuambia 'amekula
bata'
>> gerezani.Kwa hiyo anaamasisha HIvi sasa Magereza
yetu ni
>> mazuri sana hadi watu tuanze kuvunja Sheria kwa
makusudi
>> huku uraiani ili tupelekwe gerezani nasisi
'Tukale
>> Bata?Nijuavyo
>> Mimi Hakuna bingwa wa Shida na Mara kwa Mara
mahabusu
>> wamekuwa wakinilalamikia Kuwa gerezani siyo kuzuri
na
>> taarifa nilizo nazo ni kwamba baadhi ya mahabusu wa
gereza
>> la Keko wanaokabiliwa na Kesi za Madawa,Mauaji
>> wamegoma.Ule
>> umati uliofika Jana mahakamani kukulaki ukitokea
gerezani,
>> Kwani miongoni mwao ni wanaume, kwanini
usingewauliza ni
>> kwanini wanaume wale walishindwa kuwaruhusu wake
,wapenzi
>> zao washiriki kwenye yale maandamano haramu ambayo
>> yamesababisha ufunguliwe kesi na ulale
gerezani?Baadhi
>> ya wanachama waliofika mahakamani Kisutu Jana
nawafahamu na
>> wengine wana vyeo Vya udiwani nilivyowauliza
kwanini ni
>> wanafki wakamshangilia Mdee Kinafki uwa eti ni
Shujaa lakini
>> Oktoba 4 Mwaka huu,walizuia wake na wapenzi wao wa
kike
>> wasishiriki maandamano haramu yaliyokuwa
yameandaliwa na
>> Mdee walinzijibu wake zao wana watoto na watoto wa
bado
>> wanaitaji mapenzi ya mama zao ,ila Mdee kwakuwa
bado
>> hajajaliwa na Mwenyezi Mungu kupata mtoto
,maandamano Yale
>> yanamfaaa Kwani hata akiumizwa na kupoteza Maisha
Hana
>> Hasara.Jibu
>> hili liliniuma sana na Kusema kweli mla nawe hafi
>> nawe.Misina ushahidi Kama Mdee Hana mtoto na Kamwe
siwezi
>> kumsimanga mwanamke mwenzangu ambaye haja bahatika
kupata
>> mtoto.Na
>> ni lilitimisha kwa kuwaona wanaume wale na baadhi
ya
>> wanawake wa Chama hicho ni wanafki ,wakamshangilia
Mdee
>> kinafki na Kumbe hawampendi Mdee kwa
dhati.Hadharani
>> wanajifanya wanamshangilia Mdee ,ila wakikaa
vipembeni
>> wanamkebehi Mdee.Ni unafki na dhambi ya Haki ya
juu.Mdee
>> unapaswa utambue ndani ya vyama Vyama Vya siasa
vina Siri
>> nzito zilizofichwa kwa baadhi ya viongozi wa vyama
hivyo
>> ambao hata wewe uwenda hufahamu Kama wasiri
hizo.Siku ukija
>> kufahamu ,utatayari.Kama
>> una akili timamu unapaswa ujiulize ni kwanini wewe
na baadhi
>> ya wanachama mmetuhumiwa kutenda makosa hayo
Jumamosi
>> iliyopita chap chap mmefikishwa mahakamani lakini
Mwenyekiti
>> wa Chama Taifa Freeman Mbowe alitoa maneno mazito
ya kutaka
>> viongozi wake wanaandaa maandamano yasiyo na kikomo
na
>> wasiombe Kibali Polisi , Septemba 14 Mwaka
huu,.Siku
>> chache baadae aliitwa Polisi akahojiwa na Polisi
>> wakamsindikiza hadi Uwanja wa Ndege akasafiri
kwenda Nchini
>> Afrika Kusini na hadi Leo kimya bado hajafikishwa
mahakamani
>> Licha anaweza kufikishwa muda wowote DPP akiona Ana
Haja ya
>> kumshitaki.Rais
>> Kikwete kila siku anasema ' akili za kuambiwa
changanya
>> na za kwako'. Hivi vyama vya upinzani vijana
wenzangu
>> msiviingilie kwa pupa sana ,vina siri nzito ndani
yake na
>> hivi vyama tutake tusitake vinawenyewe na hao
wenyewe
>> walivyovianzisha walivianzisha kwa malengo maalum
ambayo
>> siyo yale yaliyowekwa kwenye Katiba za vyama.Sisi
>> wenye bahati kuteta siku moja moja na baadhi ya
viongozi wa
>> vyama hivyo wanatuelezaga mengi na tumeishaona
mengi
>> sana.Minakutazama tu .Shauri yako. .Nenda Taratibu,
Wazaire
>> wasema ' Malembe Malembe'Mdee
>> hayo madaraka iliyopewa yasikutie wazimu, wakiamua
>> walioviunda vyama hivyo ambayo hata siku Moja
huwaoni Kwenye
>> vikao Vya vyama hivyo Vya upinzani, wao wanakaa
Mbali
>> ,wanaviendesha vyama hivyo wakiwa Gizani, wakiamua
siku
>> kukung'oa madarakani , watakusukia ajenda Moja
>> iliyosimama na watakunyang'anya hayo madaraka
na utakuwa
>> Huna la kufanya .Na
>> hao wanaokuvimbisha kichwa Leo maana Tayari
wameisha
>> kufahamu Kuwa wewe ni kiongozi unayependa sifa
,kusifiwa
>> hata ukifanya Ujinga ndiyo watakuwa wa kwanza
kukugandamiza
>> Kuwa ulikuwa ukikiua Chama. Nayasema haya nimeyaona
na siku
>> ya kikufika ndiyo akili itakuwa sawa.Mdee
>> bado hujafikia kipaji Cha ushawishi wanawake
wakuunge mkono
>> Kama kipaji alichokuwaga nacho wanasiasa wanawake
Enzi zile
>> TANU, BIbi Titi Mohamed, Tatu Lameck. Bado
sana.Nimalize
>> kwa kumwambia Halima Mdee Tulia uzae .Mdee
nakushauri
>> zingatia maneno ya Makungwi Kuwa 'mwanamke
anapaswa
>> kufanya vurugu chumbani' siyo barabarani Kama
ufanyavyo
>> .Achana
>> na tabia ya kufanya vitendo vya kihuni ambavyo
unafikiri
>> vitakupa umaarufu wa sifa mbaya. Na Hao
wanaojifanya
>> kukushangilia wengine kupitia mitandao ya kijamii
mwisho wa
>> siku ndiyo watakwa wa kwanza kukuangamiza.Hata
>> waliokuwa wafuasi 52 wa Kesi ya Sheikh Ponda Issa
Ponda
>> ,walipofikishwa mahakamani mwaka jana kwa makosa
kama
>> yako,wao wapambe wao walikuwa na vibweka sana tena
zaidi ya
>> wewe na hadi walikuwa wakitaka kutupiga waandishi
wa Habari
>> lakini kesi Yao ilipoanza kushika kasi akili
iliwakaa
>> sawa,walikuwa wapole na Wakaanza kujikomba kwa
waandishi wa
>> Habari na watumishi wa Mahakama.Sasa
>> na wewe Mdee Jana ilikuwa ni Haki yako kupayuka
Yale maneno
>> uliyopayuka pale Mahakamani, lakini Kesi ikianza
kushika
>> kasi lazima utatulia wale wafuasi wako walikuja kwa
Wingi
>> mahakamani Jana hutauona, idadi ya umati ule
utapungua.
>> Tumeyaona haya.Tusubiri wakati.Haya
>> Bunge Maalum la Katiba limemaliza muda wake Marais
wetu
>> Wawili wa pande zote wamekabidhi wa Katiba
iliyopendekezwa
>> na Bunge.Sijiu sasa kijana mwenzangu Mdee
unajipanga
>> 'utoke vipi' ,mAana ndiyo basi tena Katiba
ya Samuel
>> Sitta imeishapatikana , na Biashara yenu ya
kufanya
>> maandamano haramu ndiyo haina Soko tena mAana
Polisi
>> wameacha tena kuwateka.Na
>> Joti hili sijui kombati mtazivalia
wapi,sitawacheka.Mdee
>> nakushauri ongoza wanawake wenzako wa Bawacha ambao
Wengi
>> nawafahamu ni wanawake na wasichana wanaojiheshimu
Kama
>> wakina Ester Wasira kufikia Malengo mliyojiwekea
>> .Usiwaongoze wanawake wenzako kwenda kufanya
matendo ambayo
>> yamekatazwa NA Sheria.Naendelea
>> kutoa rai kwa Jeshi la Polisi chini ya IGP- Ernest
Mangu,
>> liendelee kufanya Kazi zake kwa mujibu wa Sheria
na
>> lisimuonee haya wala huruma Mtu yoyote hata akiwa
ni
>> mwanamke.Kama mwanamke anashiriki maandamano haramu
basi
>> mwanamke Huyo ni wazi amejizatiti Kupambana na
Polisi,
>> Polisi na Nyie pambaneni naye Kwani Sheria ni
Msumeno.Chanzo:
>> Facebook: Happy Katabazi
>> Blog: www.katabazihappy.blogspot.com
>> 0716 774494
>> Oktoba 9 Mwaka 2014
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
>> for any legal consequences of his or her postings,
and hence
>> statements and facts must be presented responsibly.
Your
>> continued membership signifies that you agree to
this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are
subscribed to the
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
>> from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment