Thursday, 2 October 2014

Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

Jamani 

Huyu Lowasa kawalipa nini?


Field Marshal





-------- Original message --------
From 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date: 02/10/2014 19:06 (GMT+03:00)
To 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Subject Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa


Wengine wanamlaumu Jk akiposema serikali tatu jesh litachukua nchi....wengine humuhumu tuliokuwa tunalaumu kauli hiyo tumeanza kusema ENL akichukua nchi,Jeshi litapindua. ..kaz kwelikweli...Ngupula

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Siku ukiona Huyo jamaa kauchukua urais ujue Mwamnyange anaingia magogoni kuokoa jahazi lisizame
>--------------------------------------------
>On Wed, 10/1/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
> To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, October 1, 2014, 6:39 PM
>
> Ndugu Elisa,acha kumtumia Nyerere
> kama hilizi....mwalimu alifanya mema mengi,lkn pia kuna
> mengi alikosea....kama mwalim angelikuwepo
> leo,angempendekeza Lowassa,kwan ana kila sifa. Kwa lowassa
> ujinga mwingi mlioushuhudia  usingefanyika ...huyo
> Salim,hebu msahau kabisaaaa,na ukitaka Tz imeguke,ni hapo
> mawazo yako yatapofanyiwa kazi....na kwa kukuambia tu,kama
> ikibidi mzanzibar,bas sio Salim ni Shein...ngupula
>
>  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >Mambo mengine mawili yanayoweza  kumsumbua au
> kumkwamisha kabisa Lowasa ni 1) Kukataliwa na Baba wa Taifa
> 1995
> >2) kuwa na wapange wengi jambo linalodhibitisha
> uwezekano wa kuwa na mali nyingi na pia kuashilia uwezekano
> wa kuwa na liserikali likubwa kupita kawaida maana wote hao
> inabidi awashukuru 'kwa kazi kubwa' wanayofanya.
> >Namsubiri salimu Ahmed salim maana naye anatajwa
> >--------------------------------------------
> >On Thu, 9/25/14, mngonge franco <mngonge@gmail.com>
> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa
> kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Thursday, September 25, 2014, 9:48 AM
> >
> > Kama CCM watampitisha
> > basi kawa rais moja kwa moja na pengine hakuna sababu
> ya
> > kupiga kura tusipompigia jeshi litachukua nchi. Maana
> > tumekwishatishwa na wakubwa
> >
> > 2014-09-25 9:28
> > GMT+03:00 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>:
> > KATIKA
> > makala mbili nilizoandika na kuchapishwa katika gazeti
> hili
> > wiki mbili zilizopita, nilijaribu kuanisha sifa za
> kihaiba
> > na kikazi za mwananchi anayefaa kuwa Rais wetu wa
> > tano.Nashukuru
> > kwa mrejesho niliopokea kutoka kwa wasomaji wengi na
> > walionitia shime niendelee na makala hizi. Nawashukuru
> pia
> > waandishi wenzangu wa makala, akiwemo mwandishi mahiri
> na
> > mkongwe, Johnson Mbwambo, kwa kurejea maudhui ya
> makala
> > yangu katika andiko lake lililochapishwa katika gazeti
> hili
> > toleo Na. 370 la Septemba 10-16, 2014.Nakubaliana
> > kwa kiasi kikubwa na hofu aliyoonyesha juu ya uwezekano
> wa
> > wagombea kukidhi sifa nilizozianisha, pamoja na
> hitimisho
> > lake kwamba wagombea waliokwishajitokeza hadi sasa
> wana
> > ombwe kubwa la kifalsafa.Nilisitisha
> > kwa muda makala hizi kutokana na uzito wa maoni
> niliyopokea
> > kutoka kwa watu mbalimbali, wakiwemo viongozi
> waliojijengea
> > heshima kubwa katika nchi yetu. Wengi wa waliotoa
> maoni
> > walienda mbali na kunishauri niandike kitabu kuhusu
> wasifu
> > wa wagombea.Wengine
> > waligutuka nilipohitimisha makala yangu kwa ahadi ya
> kuanza
> > kuwajadili wagombea mmoja baada ya mwingine, wakidhani
> > kwamba nitakuwa nakwenda mbali mno! Aidha, wapambe wa
> > wagombea nao wamekuwa na wasiwasi kwamba nitawabeba
> baadhi
> > ya wagombea na kuwaharibia wagombea wao.Baadhi
> > ya wasomaji na wapambe wa wagombea wamenishauri kwamba
> > niache kuwajadili wagombea na niwaachie wananchi
> waamue
> > wenyewe. Nimekataa ushauri wao huu wa kuwachia
> wananchi
> > waamue wenyewe, na hivyo naendelea na uchambuzi wangu
> wa
> > wagombea wote waliojitokeza na
> watakaojitokeza.Nimeamua
> > kujitwika jukumu hili hatarishi kama sehemu ya wajibu
> wangu
> > wa kijamii katika kuchangia kuiepusha nchi kupata
> kiongozi
> > atakayetushtukiza bila kumjua sawasawa kabla hajaingia
> > madarakani. Ukimwacha Mwalimu Nyerere, marais wetu
> waliopita
> > na aliyepo walitushtukiza.Hatukumjua
> > vizuri Mzee Mwinyi kabla hajawa Rais, na vivyo hivyo
> kwa
> > Mzee Mkapa. Wote hawa walipatikana kwa mtindo
> unaofanana:
> > waliibuliwa bila kujitutumua wao wenyewe kuutaka urais
> kwa
> > udi na uvumba kama ilivyo kwa wagombea wa leo.Mzee
> > Mwinyi aliibuliwa na Kamati Kuu ya CCM, wakati Mzee
> Mkapa
> > aliibuliwa na Mwalimu Nyerere pasipo kutarajiwa.
> Bahati
> > nzuri waliibuliwa katika mtindo usiotia shaka sana kwa
> > sababu ni uzao wa taasisi za kueleweka kwa wakti ule,
> ambazo
> > ni Mwalimu mwenyewe na Kamati Kuu ya CCM ya wakati huo
> > ambayo isingekuwa rahisi kuitilia shaka katika maamuzi
> > yake.Pengine
> > tulimjua kidogo Rais Kikwete kabla ya kuingia
> madarakani kwa
> > sababu alijinadi vya kutosha kabla hajaingia ikulu
> mwaka
> > 2005. Jina la Rais Kikwete lilianza kuwika kwa upana
> wake
> > kwa mara ya kwanza mwaka 1995 alipochukua na kurudisha
> fomu
> > ya kugombea urais kwa mbwembwe, sambamba na swahiba
> wake
> > mkuu wa wakati huo, Ndugu Edward Lowasa.Tangu
> > wakati huo tuliendelea kumwagiwa sifa kemkem juu ya
> Rais
> > Kikwete hadi anaingia madarakani mwaka 2005. Kwa hiyo,
> > hatukujua upande wa pili wa Rais Kikwete kwa maana ya
> >

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment