Thursday, 2 October 2014

Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

Tunaipigania nchi yetu....tunataka ukweli usimame na haki itawale...huu ni wakati wa kujenga historia ya maendeleo halisi na sio wizi na porojo zilizowatesa watz kwa miaka mingi .. watz wanahitaji wakifikiria ndege bas waone nga boieng 10 za air tz,zikizunguka afrika nga bas zifike china na dubai....watz wangependa nga waone viwanja vitano vya kimataifa vikifanya kazi...tunahitaji jeuri ya kiuchumi na kisiasa...tunahitaji kutembea vifua mbele.....tunahitaji wazalishwe kwa kasi ya ajabu mabepari si chin ya 100 ndipo tutapokuwa na ujamaa halisi...tunahitaji watz wanaoamini katika pesa na maendeleo,na sio katika umasikini kama ndio uadilifu...ngupula

Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:

Jamani 

Huyu Lowasa kawalipa nini?


Field Marshal





-------- Original message --------
From 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date: 02/10/2014 19:06 (GMT+03:00)
To 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Subject Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa


Wengine wanamlaumu Jk akiposema serikali tatu jesh litachukua nchi....wengine humuhumu tuliokuwa tunalaumu kauli hiyo tumeanza kusema ENL akichukua nchi,Jeshi litapindua. ..kaz kwelikweli...Ngupula

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Siku ukiona Huyo jamaa kauchukua urais ujue Mwamnyange anaingia magogoni kuokoa jahazi lisizame
>--------------------------------------------
>On Wed, 10/1/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
> To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, October 1, 2014, 6:39 PM
>
> Ndugu Elisa,acha kumtumia Nyerere
> kama hilizi....mwalimu alifanya mema mengi,lkn pia kuna
> mengi alikosea....kama mwalim angelikuwepo
> leo,angempendekeza Lowassa,kwan ana kila sifa. Kwa lowassa
> ujinga mwingi mlioushuhudia  usingefanyika ...huyo
> Salim,hebu msahau kabisaaaa,na ukitaka Tz imeguke,ni hapo
> mawazo yako yatapofanyiwa kazi....na kwa kukuambia tu,kama
> ikibidi mzanzibar,bas sio Salim ni Shein...ngupula
>
>  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >Mambo mengine mawili yanayoweza  kumsumbua au
> kumkwamisha kabisa Lowasa ni 1) Kukataliwa na Baba wa Taifa
> 1995
> >2) kuwa na wapange wengi jambo linalodhibitisha
> uwezekano wa kuwa na mali nyingi na pia kuashilia uwezekano
> wa kuwa na liserikali likubwa kupita kawaida maana wote hao
> inabidi awashukuru 'kwa kazi kubwa' wanayofanya.
> >Namsubiri salimu Ahmed salim maana naye anatajwa
> >--------------------------------------------
> >On Thu, 9/25/14, mngonge franco <mngonge@gmail.com>
> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa
> kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Thursday, September 25, 2014, 9:48 AM
> >
> > Kama CCM watampitisha
> > basi kawa rais moja kwa moja na pengine hakuna sababu
> ya
> > kupiga kura tusipompigia jeshi litachukua nchi. Maana
> > tumekwishatishwa na wakubwa
> >
> > 2014-09-25 9:28
> > GMT+03:00 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>:
> > KATIKA
> > makala mbili nilizoandika na kuchapishwa katika gazeti
> hili
> > wiki mbili zilizopita, nilijaribu kuanisha sifa za
> kihaiba
> > na kikazi za mwananchi anayefaa kuwa Rais wetu wa
> > tano.Nashukuru
> > kwa mrejesho niliopokea kutoka kwa wasomaji wengi na
> > walionitia shime niendelee na makala hizi. Nawashukuru
> pia
> > waandishi wenzangu wa makala, akiwemo mwandishi mahiri
> na
> > mkongwe, Johnson Mbwambo, kwa kurejea maudhui ya
> makala
> > yangu katika andiko lake lililochapishwa katika gazeti
> hili
> > toleo Na. 370 la Septemba 10-16, 2014.Nakubaliana
> > kwa kiasi kikubwa na hofu aliyoonyesha juu ya uwezekano
> wa
> > wagombea kukidhi sifa nilizozianisha, pamoja na
> hitimisho
> > lake kwamba wagombea waliokwishajitokeza hadi sasa
> wana
> > ombwe kubwa la kifalsafa.Nilisitisha
> > kwa muda makala hizi kutokana na uzito wa maoni
> niliyopokea
> > kutoka kwa watu mbalimbali, wakiwemo viongozi
> waliojijengea
> > heshima kubwa katika nchi yetu. Wengi wa waliotoa
> maoni
> > walienda mbali na kunishauri niandike kitabu kuhusu
> wasifu
> > wa wagombea.Wengine
> > waligutuka nilipohitimisha makala yangu kwa ahadi ya
> kuanza
> > kuwajadili wagombea mmoja baada ya mwingine, wakidhani
> > kwamba nitakuwa nakwenda mbali mno! Aidha, wapambe wa
> > wagombea nao wamekuwa na wasiwasi kwamba nitawabeba
> baadhi
> > ya wagombea na kuwaharibia wagombea wao.Baadhi
> > ya wasomaji na wapambe wa wagombea wamenishauri kwamba
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment