Thursday, 2 October 2014

Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

Maana yake kama hatutaki tuepushe. Kuonywa kuwa njia hii ni mbaya hakumaanishi upite ila usipite
--------------------------------------------
On Thu, 10/2/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, October 2, 2014, 7:06 PM

Wengine wanamlaumu Jk akiposema
serikali tatu jesh litachukua nchi....wengine humuhumu
tuliokuwa tunalaumu kauli hiyo tumeanza kusema ENL akichukua
nchi,Jeshi litapindua. ..kaz kwelikweli...Ngupula

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>Siku ukiona Huyo jamaa kauchukua urais ujue Mwamnyange
anaingia magogoni kuokoa jahazi lisizame
>--------------------------------------------
>On Wed, 10/1/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa
kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
> To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, October 1, 2014, 6:39 PM
>
> Ndugu Elisa,acha kumtumia Nyerere
> kama hilizi....mwalimu alifanya mema mengi,lkn pia
kuna
> mengi alikosea....kama mwalim angelikuwepo
> leo,angempendekeza Lowassa,kwan ana kila sifa. Kwa
lowassa
> ujinga mwingi mlioushuhudia  usingefanyika ...huyo
> Salim,hebu msahau kabisaaaa,na ukitaka Tz imeguke,ni
hapo
> mawazo yako yatapofanyiwa kazi....na kwa kukuambia
tu,kama
> ikibidi mzanzibar,bas sio Salim ni Shein...ngupula
>
>  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >Mambo mengine mawili yanayoweza  kumsumbua au
> kumkwamisha kabisa Lowasa ni 1) Kukataliwa na Baba wa
Taifa
> 1995
> >2) kuwa na wapange wengi jambo linalodhibitisha
> uwezekano wa kuwa na mali nyingi na pia kuashilia
uwezekano
> wa kuwa na liserikali likubwa kupita kawaida maana wote
hao
> inabidi awashukuru 'kwa kazi kubwa' wanayofanya.
> >Namsubiri salimu Ahmed salim maana naye anatajwa
> >--------------------------------------------
> >On Thu, 9/25/14, mngonge franco <mngonge@gmail.com>
> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa:
Mchapa
> kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Thursday, September 25, 2014, 9:48 AM
> >
> > Kama CCM watampitisha
> > basi kawa rais moja kwa moja na pengine hakuna
sababu
> ya
> > kupiga kura tusipompigia jeshi litachukua nchi.
Maana
> > tumekwishatishwa na wakubwa
> >
> > 2014-09-25 9:28
> > GMT+03:00 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>:
> > KATIKA
> > makala mbili nilizoandika na kuchapishwa katika
gazeti
> hili
> > wiki mbili zilizopita, nilijaribu kuanisha sifa
za
> kihaiba
> > na kikazi za mwananchi anayefaa kuwa Rais wetu wa
> > tano.Nashukuru
> > kwa mrejesho niliopokea kutoka kwa wasomaji wengi
na
> > walionitia shime niendelee na makala hizi.
Nawashukuru
> pia
> > waandishi wenzangu wa makala, akiwemo mwandishi
mahiri
> na
> > mkongwe, Johnson Mbwambo, kwa kurejea maudhui ya
> makala
> > yangu katika andiko lake lililochapishwa katika
gazeti
> hili
> > toleo Na. 370 la Septemba 10-16, 2014.Nakubaliana
> > kwa kiasi kikubwa na hofu aliyoonyesha juu ya
uwezekano
> wa
> > wagombea kukidhi sifa nilizozianisha, pamoja na
> hitimisho
> > lake kwamba wagombea waliokwishajitokeza hadi
sasa
> wana
> > ombwe kubwa la kifalsafa.Nilisitisha
> > kwa muda makala hizi kutokana na uzito wa maoni
> niliyopokea
> > kutoka kwa watu mbalimbali, wakiwemo viongozi
> waliojijengea
> > heshima kubwa katika nchi yetu. Wengi wa waliotoa
> maoni
> > walienda mbali na kunishauri niandike kitabu
kuhusu
> wasifu
> > wa wagombea.Wengine
> > waligutuka nilipohitimisha makala yangu kwa ahadi
ya
> kuanza
> > kuwajadili wagombea mmoja baada ya mwingine,
wakidhani
> > kwamba nitakuwa nakwenda mbali mno! Aidha, wapambe
wa
> > wagombea nao wamekuwa na wasiwasi kwamba
nitawabeba
> baadhi
> > ya wagombea na kuwaharibia wagombea wao.Baadhi
> > ya wasomaji na wapambe wa wagombea wamenishauri
kwamba
> > niache kuwajadili wagombea na niwaachie wananchi
> waamue
> > wenyewe. Nimekataa ushauri wao huu wa kuwachia
> wananchi
> > waamue wenyewe, na hivyo naendelea na uchambuzi
wangu
> wa
> > wagombea wote waliojitokeza na
> watakaojitokeza.Nimeamua
> > kujitwika jukumu hili hatarishi kama sehemu ya
wajibu
> wangu
> > wa kijamii katika kuchangia kuiepusha nchi kupata
> kiongozi
> > atakayetushtukiza bila kumjua sawasawa kabla
hajaingia
> > madarakani. Ukimwacha Mwalimu Nyerere, marais
wetu
> waliopita
> > na aliyepo walitushtukiza.Hatukumjua
> > vizuri Mzee Mwinyi kabla hajawa Rais, na vivyo
hivyo
> kwa
> > Mzee Mkapa. Wote hawa walipatikana kwa mtindo
> unaofanana:
> > waliibuliwa bila kujitutumua wao wenyewe kuutaka
urais
> kwa
> > udi na uvumba kama ilivyo kwa wagombea wa
leo.Mzee
> > Mwinyi aliibuliwa na Kamati Kuu ya CCM, wakati
Mzee
> Mkapa
> > aliibuliwa na Mwalimu Nyerere pasipo kutarajiwa.
> Bahati
> > nzuri waliibuliwa katika mtindo usiotia shaka sana
kwa
> > sababu ni uzao wa taasisi za kueleweka kwa wakti
ule,
> ambazo
> > ni Mwalimu mwenyewe na Kamati Kuu ya CCM ya wakati
huo
> > ambayo isingekuwa rahisi kuitilia shaka katika
maamuzi
> > yake.Pengine
> > tulimjua kidogo Rais Kikwete kabla ya kuingia
> madarakani kwa
> > sababu alijinadi vya kutosha kabla hajaingia
ikulu
> mwaka
> > 2005. Jina la Rais Kikwete lilianza kuwika kwa
upana
> wake
> > kwa mara ya kwanza mwaka 1995 alipochukua na
kurudisha
> fomu
> > ya kugombea urais kwa mbwembwe, sambamba na
swahiba
> wake
> > mkuu wa wakati huo, Ndugu Edward Lowasa.Tangu
> > wakati huo tuliendelea kumwagiwa sifa kemkem juu
ya
> Rais
> > Kikwete hadi anaingia madarakani mwaka 2005. Kwa
hiyo,
> > hatukujua upande wa pili wa Rais Kikwete kwa maana
ya
> >

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment