Wednesday, 1 October 2014

Re: [Mabadiliko] RE: [wanabidii] Mtandao wa Wanawake na Katiba Kuelimisha Katiba Inayopendekezwa

Wakati anahojiwa nikamwelewa vibaya sana, na ilikuwa leo niandike maneno yenye sauti kali muno!
--------------------------------------------
On Wed, 10/1/14, Augustine Rukoma <rukomapekee@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [Mabadiliko] RE: [wanabidii] Mtandao wa Wanawake na Katiba Kuelimisha Katiba Inayopendekezwa
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>, "Luke Joe" <djlukejoe@gmail.com>, "info@dewjiblog.com" <info@dewjiblog.com>, "Daniel Mbega" <brotherdanny5@gmail.com>, "Deogratius Rweyunga" <drweyunga@gmail.com>, "Subi Nukta" <subi@wavuti.com>, "Emmanuel Shilatu" <pbuyegu2@gmail.com>, "Othman Michuzi" <othmanmichuzi@gmail.com>, "Ahmad Michuzi" <amichuzi@gmail.com>, "Henry Mdimu" <mdimuz@gmail.com>, "zainul mzige" <zainul.mzige21@gmail.com>, "Jestina George" <jestinageorge@googlemail.com>, "johnbukuku@gmail.com" <johnbukuku@gmail.com>, "GSengo" <albertgsengo@yahoo.com>, "francis godwin" <francisgodwin2004@yahoo.com>, "Josephat Lukaza" <josephat.lukaza@gmail.com>, "uwazi@hotmail.com" <uwazi@hotmail.com>
Date: Wednesday, October 1, 2014, 10:12 AM

Kuna vitu vipo ndani
ya haki ya msingi za raia. mwisho tutaishi haki za wacheza
draft, haki za wamwagilia bustani, haki zavuta za wavuta
sigara, wanywa pombe n.k, huu ni uhuni lakini nawaambia
hakuna katiba itakayotokana na mbuzi

2014-10-01 10:01
GMT+03:00 Deogratius J. Koyanga <deokoyanga@gmail.com>:
Ni lazima watoe mawazo yao, kila kundi
linaweza kueleza tafsiri yao juu ya kinachoendelea kwenye
mchakato huu. tunahitaji uchambuzi makini sana kwenye hili.
DK

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
We are not saying that we can do
this work ourselves. It is God who makes us able to do all
that we do. ( 2 Corinthians 3:5),  Thank you GOD!!!


2014-10-01 9:10
GMT+03:00 Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>:



Mimi si mtaalam wa mambo ya Katiba,
lakini nilikuwa nabadilishana mawazo na mtaalaam akaniambia
kuwa mengi yaliyoingizwa katika katiba hii ya Chenge na
Sitta ni kiini macho. Nitaeleza kwa ufupi: Wanawahadaa
Watanganyika kuwa eti haki za wanawake , za wakulima,
wafugaji, wachimbaji madini, vijana, wasanii zimeingizwa
wakati hazikuwemo katika rasimu ya Tume ya Warioba. Mtaalamu
huyo ameniambia kuwa haki hizo zimewekwa katika section
ambayo huwezi kuzidai iwepo haki hizo zitaminywa au
kunyang'anywa. Ni kama ambavyo baadhi ya haki hizo zipo
hata katika katiba yetu ya sasa ya mwaka 1977. Ila tu
huwezi kwenda mahakamani kuzidai, kwa sababu zimewekwa
katika section ambayo sina jina lake, hivyo huwezi kuzidai.
Naomba wataalamu mnisaidia ni section gani hiyo? hivyo
kuingizwa kwa haki hizo ni kiini macho. Ni vyema NGOS, ASASI
MBALIMBALI NA VYAMA VYA SIASA VIKATOA ELIMU JUU YA HILO.
 
Kinachosikitisha ni kuwa baadhi ya asasi mbalimbali bila
kwenda kwa undani na kujua na kubaini hila zilizopo nyuma ya
pazia ktk katika katiba hii ya CMM na Chenge, wameanza
eti kuunga mkono katiba hii ya Chenge na Sitta WAKISEMA ETI
KUNA HAKI ZA WAKULIMA, WAFUGAJI N.K. Maskini ni wajinga,
naomba elimu iwafikie.  Lakini ni muhimu kutambua kuwa
wapo wale wajinga ambao wanaunga mkono kwa kutojua lakini
wengi wao wanajua ila wanamtumikia bwana. Katika nchi hii
kila mtu anaimba wimbo wa watawala, tunazo NGOs ambazo
hazipo serious, tunao viongozi wa dini wanawatumikia
watawala, wasomi, na vyama vya siasa kama UDP, TLP
n.k. ambavyo navyo ni wale wale wachumia tumbo na
wanaimba wimbo ule ule wa watawala. HIVYO KAZI NI NGUMU
SANA. Taifa la wanafiki na wanaojipendekeza kwa watawala.
Jamani! hata viongozi wa dini? hata wasomi?? NGOs? kweli
umaskini ni balaa!
 
Date: Tue, 30 Sep 2014 21:04:58 +0300
Subject: [wanabidii] Mtandao wa Wanawake na Katiba
Kuelimisha Katiba Inayopendekezwa
From: mushijoa@gmail.com
To: djlukejoe@gmail.com;
info@dewjiblog.com;
brotherdanny5@gmail.com;
drweyunga@gmail.com;
subi@wavuti.com;
pbuyegu2@gmail.com;
wanabidii@googlegroups.com;
othmanmichuzi@gmail.com;
amichuzi@gmail.com;
mdimuz@gmail.com;
zainul.mzige21@gmail.com;
jestinageorge@googlemail.com;
johnbukuku@gmail.com;
albertgsengo@yahoo.com;
francisgodwin2004@yahoo.com;
josephat.lukaza@gmail.com;
uwazi@hotmail.com

[caption id="attachment_51433"
align="aligncenter" width="495"]<img
class="size-full wp-image-51433"
alt="Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof.
Ruth Meena akizungumza katika Kongamano la Wanaharakati
Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya
lililofanyika jijini Dar es Salaam." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0138.jpg"
width="495" height="480" />
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth
Meena akizungumza katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili
masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika
jijini Dar es Salaam.[/caption][caption
id="attachment_51431"
align="aligncenter" width="480"]<img
class="size-full wp-image-51431" alt="Mjumbe
wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akizungumza
katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu
kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es
Salaam." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0181.jpg"
width="480" height="612" /> Mjumbe wa
Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akizungumza katika
Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye
mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es
Salaam.[/caption][caption
id="attachment_51427"
align="aligncenter" width="640"]<img
class="size-full wp-image-51427" alt="Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Lilian Liundi akizungumza
katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu
kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es
Salaam." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0236.jpg"
width="640" height="329" /> Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Lilian Liundi akizungumza
katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu
kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es
Salaam.[/caption][caption
id="attachment_51428"
align="aligncenter" width="511"]<img
class="size-full wp-image-51428" alt="Baadhi
ya wakichangia mada katika Kongamano la Wanaharakati
Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya
lililofanyika jijini Dar es Salaam." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0223.jpg"
width="511" height="480" /> Baadhi ya
wakichangia mada katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili
masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika
jijini Dar es Salaam.[/caption][caption
id="attachment_51426"
align="aligncenter" width="640"]<img
class="size-full wp-image-51426" alt="Baadhi
ya wanachama wa mtandao wa Wanawake na Katiba, TGNP pamoja
na mashirika mengine yanayotetea haki za binadamu wakionesha
mabango yenye jumbe mbalimbali juu ya mchakato wa Katiba
inayopendekezwa." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0245.jpg"
width="640" height="359" /> Baadhi ya
wanachama wa mtandao wa Wanawake na Katiba, TGNP pamoja na
mashirika mengine yanayotetea haki za binadamu wakionesha
mabango yenye jumbe mbalimbali juu ya mchakato wa Katiba
inayopendekezwa.[/caption][caption
id="attachment_51429"
align="aligncenter" width="480"]<img
class="size-full wp-image-51429" alt="Baadhi
ya wakichangia mada katika Kongamano la Wanaharakati
Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya
lililofanyika jijini Dar es Salaam." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_02141.jpg"
width="480" height="572" /> Baadhi ya
wakichangia mada katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili
masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika
jijini Dar es Salaam.[/caption][caption
id="attachment_51430"
align="aligncenter" width="640"]<img
class="size-full wp-image-51430" alt="Baadhi
ya washiriki wa Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala
muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini
Dar es Salaam wakiwa katika kongamano hilo."
src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0211.jpg"
width="640" height="427" /> Baadhi ya
washiriki wa Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala
muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini
Dar es Salaam wakiwa katika kongamano
hilo.[/caption][caption id="attachment_51435"
align="aligncenter" width="640"]<img
src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0205.jpg"
alt="Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Wanaharakati
Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya
lililofanyika jijini Dar es Salaam wakiwa katika kongamano
hilo." width="640" height="427"
class="size-full wp-image-51435" /> Baadhi ya
washiriki wa Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala
muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini
Dar es Salaam wakiwa katika kongamano
hilo.[/caption][caption id="attachment_51434"
align="aligncenter" width="640"]<img
src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0208.jpg"
alt="Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Wanaharakati
Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya
lililofanyika jijini Dar es Salaam wakiwa katika kongamano
hilo." width="640" height="427"
class="size-full wp-image-51434" /> Baadhi ya
washiriki wa Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala
muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini
Dar es Salaam wakiwa katika kongamano
hilo.[/caption]
<strong>MTANDAO</strong> wa Wanawake
na Katiba, TGNP pamoja na mashirika mengine yanayotetea haki
za binadamu wameahidi kushirikiana kutoa elimu ya uraia na
uhamasishaji juu ya Katiba inayopendekezwa baada ya
kutangazwa kwa muda rasmi wa kuanza kwa zoezi hilo kwa jamii
ili kuelimisha zaidi wananchi juu ya Katiba nayopendekezwa.
Kauli hiyo imetolewa katika Kongamano la Wanaharakati
Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya
lililofanyika jijini Dar es Salaam na kuwashirikisha
wanaharakati mbalimbali.
Akifafanua zaidi katika mada yake aliyoiwasilisha
kwenye Kongamano hilo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP,
Lilian Liundi alisema endapo Bunge Maalum la Katiba
Litapitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kwa kura nyingi
za ndiyo kwa Wajumbe wa Bunge hilo, Rais Jakaya Kikwete
atakabidhiwa rasimu hiyo na Kuwa Katiba
Inayopendekezwa.
Alisema baada ya hapo kwa mujibu wa Sheria ya
Mabadiliko ya Katiba utaratibu wa utoaji wa elimu na
uhamasishaji kwa Umma juu ya maudhui yaliyomo kwenye Katiba
inayopendekezwa na Kampeni ya Upigaji wa Kura ya maoni
utafanyika zoezi litakalofanywa na Tume husika na vyama vya
siasa, vyama vya kijamii vinaruhusiwa kushiriki kutoa elimu
ya uraia na uhamasishaji juu ya elimu hiyo.
"...Ratiba kamili ya muda wa kutoa elimu kwa
umma kuhusu maudhui yaliyomo katika Katiba inayopendekezwa
itatolewa kupitia Tanagazo la Gazeti la Serikali (Government
Notice). Kwa madhumuni ya kuelimisha na kuhamasisha wananchi
kuhusu kuipigia kura ya maoni Katiba inayopendekezwa, Tume
italazimika, na vyama vya siasa na vyama vya kijamii
vinaweza kutoa elimu ya uraia na uhamasishaji juu ya Katiba
inayopendekezwa kwa muda usiozidi siku thelathini kuanzia
siku ya kuchapishwa katika Gazeti la Serikali," alisema
Bi. Liundi.
Alisisitiza kuwa kipindi hicho ni muhimu
kuwafanya wananchi wote waelewe kilichomo katika Katiba
inayopendekezwa ili waweze kuona kama masuala yao ya muhimu
yameingizwa katika katiba hiyo kabla ya kuipigia
kura.
Aidha Mkurugenzi huyo alitoa wito hasa kwa
wanawake na makundi ya pembezoni kutumia kipindi hicho
kuisoma na kuielewa Katiba inayopendekezwa kwani ndiyo
sheria mama na itakuwepo kwa muda mrefu kwa ajili ya jamii
yote na hata ya vizazi vijavyo, hivyo ni muhimu kutambua
kuwa katiba hiyo ni ya wananchi wote kwa ujumla na si ya
vyama vya siasa wala kundi fulani katika jamii.
"...TGNP Mtandao wa wanawake na katiba
pamoja na mashirika mengine yanayotetea haki za binadamu
tutaendelea kutumia fursa hiyo kuendelea kuelimisha na
kuraghbisha wananchi kuhusu Katiba inayopendezwa. Hii
itasaidia sana wakati wa kuipigia kura ya maoni juu ya
Katiba inayopendekezwa wananchi wawe wana uelewa wa kutosha
kuhusu yaliyomo katika katiba hiyo na hatimaye wapige kura
wakiwa na maamuzi sahihi," alisema Bi.
Liundi.
Akizungumzia zoezi la kufanya mabadiliko katika
katiba ya 1977, kama walivyokubaliana wajumbe wa Taasisi ya
Kidemokrasia Tanzania (TCD) katika mazungumzo na Rais Jakaya
Kikwete hivi karibuni kwa mujibu wa vyombo vya habari,
kwamba kwa kuwa Katiba Mpya haitakuwa tayari katika uchaguzi
mkuu ujao yafanyike mabadiliko muhimu kwenye katiba ya mwaka
1977 ili iweze kutumika katika uchaguzi huo.
Aliishauri serikali kutoa taarifa rasmi kutoka
katika mamlaka husika za serikali kuhusu suala hili zito na
nyeti kuhusu mabadiliko ya katiba ya 1977 kama sehemu ya
maandalizi ya uchaguzi ujao. Aliongeza kuwa pamoja na kwamba
serikali haijatoa tamko rasmi au mwongozo wa jinsi ya
kuendesha zoezi hilo, baadhi ya vyama vya siasa vimesha
pendekeza mabadiliko wanayotaka yafanyiwe kazi.
"...Pamoja na mapungufu hayo ya taarifa
rasmi, sisi Mtandao wa Wanawake na Katiba tunatoa
mapendekezo yetu ya awali kuhusu mabadiliko katiba ya 1977
endapo yatalazimika kufanyika." Akitaja mapendekezo
hayo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji huyo wa TGNP, alisema Mtandao
wa wanawake na katiba unapendekeza uwiano wa hamsini kwa
hamsini katika nafasi zote za uongozi uingizwe katika
mabadiliko pamoja na uwepo wa tume huru ya uchaguzi masuala
ambayo ni kilio cha muda mrefu cha wananchi.
"Tunatarajia katika marekebisho ya Katiba ya
1977 suala hili la 50/50 katika ngazi za maamuzi litapewa
kipau mbele. Tunadai pia katika mabadiliko ya Katiba ya 1977
sula la mgombea huru lipewe kipaumbele kwani ni wananchi
wengi hususan wanawake wenye uwezo mkubwa lakini si
wanachama wa chama chochote na hawana utashi wa kujiunga na
chama chochote. Iwapo suala la mgombea huru litapitishwa
wanawake na wanaume wengi watapata fursa ya kugombea nafasi
mbalimbali bila kufungwa na chama cha siasa. Hii itapanua
demokrasia na ushiriki katika masuala ya uongozi bila
vikwazo na
ubaguzi."<strong>*Imeandaliwa na www.thehabari.com</strong>
_____________________________________________________
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la
Thehabari.com
Mail address:-
mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717
030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  

          http://joemushi.blogspot.com





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
'Mabadiliko'.

Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

 

 

For more options, visit this group at:

http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Mabadiliko Forum" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.

To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.

Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.

To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/DUB118-W6C2FD91CAF0507E177F9FA5B80%40phx.gbl.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
'Mabadiliko'.

Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

 

 

For more options, visit this group at:

http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Mabadiliko Forum" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.

To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.

Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.

To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACGfZeBcDpKRBLkoZ%2Bu7Mdswt-8gNk0KKtToX5z2%3Dw6f9jcimQ%40mail.gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--
mission without implementation is hallucination




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment