Huyo Mheshimiwa Cheyo tayari amekwishanasa kwenye nyavu za mafisadi hivyo tangu sasa mhesabu kama agent wao. Ameshindwa hata kutumia ujanjaujanja kama wengine waliokwishanasa moja kwa moja anaonyesha msimamo wake kwamba ni mpinzani wa wapinzani. Nafikiri jibu la anasimamia maslahi ya nani wote tunalijua . Habari yake kwishei. Historia yake kama mpinzani imeishia hapo na pengine tumuombe arudi bila kinyongo ambako panamlipa yeye binafsi kwa sasa
2014-09-28 10:33 GMT+03:00 'Nickson ngajilo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
huyu mzee cheo ni mnafiki kwanza ameshazeeka,hana maana ni mpuuziOn Sunday, September 28, 2014 9:05 AM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Sikupenda Cheyo alivyomwambia Warioba,pumzika,kazi yako imekwisha...mi nafikiri warioba ana hoja za msingi,hivyo sio suala la kumdhihaki tu mzee wa watu kwa kauli za kejeli kama hivyo....pili sikupenda yeye kama mpinzani katika nchi kumuambia Mheshimiwa Mboe kuwa kapumzike ulime mashamba.Niliona ni kama kauli za kinafiki kwani katiba hata iliyopatikana ni lazima watu waielewe na waikubali kwa uzuri wake na waikatae kwa ubaya wake yeye kama mpinzani anajua kazi hiyo ni lazima ifanywe na upinzani..nahisi yeye angechangia hoja zake na sio kunyooshea vidole watu. Lakini,mara nyingi namuona mzee huyu kama msalitimsaliti fulani hivi wa wenzake....labda ni mtazamo wangu tu au ndio mtindo wenyewe wa siasa....sijui.
Ngupula
'Nyabenda' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Ngupula, ungetufafanulia , Cheyo alikuwa akitetea maslah yake yepi??!!, sioni kama ni wakati wa kunyooshea watu vidole Bali ni wakati wa kujenga hoja
>Sent from Huawei Mobile
>
>'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>>Leo nimekuwa nikisikiliza bunge maarumu la katiba,na haswa mzee Cheyo. Sijapenda kabisa jinsi alivyokuwa akiwasilisha hoja zake. Nilichokiona kwake ni unafiki mkubwa na kulinda maslahi yake kwa gharama ya maslahi ya wengi. Ndipo nilipojua unafiki ni kipaji na ndani ya kipaji hakunaga aibu...ngupula
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment