Monday, 29 September 2014

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Asubuhi hii nimeongoza mjadala kuhusu Katiba, Mahakama ya Kadhi na tafsiri ya nchi kutokuwa na dini

Nimewasikia Maggid, viongozi wa kidini ni wakala wa serikali katika mambo ya ndoa, na vitabu wanavyotumia katika kutoa vyeti ni vya serikali. tofauti iliyopo nikuwa katika kuzivunja makani yanazivunja kikanisa kwa kukunyima sakrament baada ya kubaini misingi ya ndoa imekiukwa. kanisa aliingilii mambo ya mugawanyo wa mali kitu ambacho waislamu wanataka au wanaingilia.

kanisa likishavunja ndoa halikuzuii kuendelea kuishi na mke wako huyo hayo mambo wanakuachia wewe mwenyewe. Padri ukiuka miiko kanisa lina utaratibu wa kiuchunguzi ambapo liki jiridhisha, lina kuondolea huoupadri wako katika kanisa japo halikuzuii kuwa muchungaji makanisa mengine, unaweza pia kuonywa, kusimamisha kwa muda n.k.

Mfano mdogo ni wajuzi ambapo Papa alimsimaisha kazi askofu mparaguai yaliyesaidia kuficha mapri wahalifu, haya mambo hayahitaji serikali wanaumalizana wao kwa wao asiye ridhika anakata rufaa ngazi ya juu mpaka kwa papa. sasa kama kila dhehebu litakuja na mahaka zake tutakuwa na mahakama ngapi maana hata hao waislam wanatofauti zao hivyo sheria hizi zitakuwa tata, waislamu wanashindwa nini kumaliza mambo yao misikitini ilimradi tu hawavunji sheria za nchi. kuvunja sharia za nchi kama kupiga wazinzi mawe mpaka wafe. sheria za nchi hata jambazi hatakiwi kuuawa mpaka haukumiwe kifo na mahaka ya nchi na rais atie mkono.

Tatizo kubwa la waislamu limejikita kwenye mgawanyo wa mali, nani azike maiti, msikiti ni mali ya nani n.k, kanisa aliingii huko wala makanisa (katoliki) ni mali ya kanisa hata kama umelijenga mwenyewe kesho unaweza kuhamishwa na ukalicha, Lakini kwa waislamu na baadhi ya madhehebu mengini majengo yale ni mali za watu binafsi, na wakifaraka hapo ndio utaona.

Haya mambo yasiruhusiwe

On Mon, Sep 29, 2014 at 9:46 AM, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye6BfPo5TV_hb4iUz-cyvcM6Ac58CM1DfdDTujf5h8xfSA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--
mission without implementation is hallucination

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment