Monday 29 September 2014

Re: [wanabidii] KITABU CHA DK. MVUNGI KINAPATIKANA BURE LHRC

Tunagawa vitabu kwa mikoa yote mpaka nje ya nchi kwa wale walio kwenye mailing list yetu. Tumechapisha vitabu 3000 kulingana na pesa tuliyoweza kuwa nayo. vitabu 2200 vitagawiwa kwa wale waliokwenye mailing list yetu. Vitabu 33 vitapelekwa Central Library kugawiwa kwenye maktaba za mikoa yote, 100 vitabaki kwenye library yetu pamoja na archive na vinavyobaki vitagawiwa kwa wale watakaoonesha uhitaji, pamoja na wageni watakaotembelea Kituo.

Asante.

On Mon, Sep 29, 2014 at 4:12 PM, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:
Kwa style hiyo, vitabu vyote mmelenga viishie Dar. Kwanini msigawe angalau kwa kanda?

Hii sio haki ya binadamu kabisa, kupendelea Mkoa mmoja tu,!!! ?........ mnataka wote tuhamie Dar?

Field Marshal

-------- Original message --------
From Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
Date: 29/09/2014 15:53 (GMT+03:00)
To wanabidii@googlegroups.com
Subject Re: [wanabidii] KITABU CHA DK. MVUNGI KINAPATIKANA BURE LHRC

Kama Happiness alivyotangulia kusema, kitabu hicho kinapatikana bure kwa yule anayehitaji na akaja mapema kabla havijaisha. kwa wale walioko nje ya nchi au nje ya Dar es salaam mnaweza kutupatia anuani zenu na taratibu za kuwatumia zikafanyika, gharama za kutuma zitatolewa na mwenye kuhitaji kitabu.

Napenda kuwajulisha kwamba vitabu vilivyochapishwa siyo vingi kulinganisha na mahitaji, kwa hiyo watapata wachache watakaowahi. 

Asante.

On Mon, Sep 29, 2014 at 2:29 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Dada Happiness Katabazi,
Hakuna njia ya kuwasaidia walio mbali? na walioko nje ya nchi je? au
ni shughuli endelevu??

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Ezekiel J. Massanja
Director of Finance and Administration
Legal and Human Rights Centre
P.O. BOX 75254
Dar es Salaam

Tel: +255 22 2773038, 2773048
Fax: +255 22 2773037
Cel: +255 754 283593

0 comments:

Post a Comment