Sunday, 28 September 2014

Re: [wanabidii] CHADEMA HUWALIPA WAANDAMANAJI

Siyo kwamba mwizi haanajaribu na akili, mwizi ana akili nyingi tu. Walisomeshwa kuibia wenzao na ndiyo maana wanajaribu kuwalaghai wenzao. Hivi hapa jamvini anayewezo kutusimulia historia ya kuanzishwa kwa vikosi vya majeshi, polisi, nusanusa. Binafsi huwa najiuliza kiukweli vikundi hivi vipo kwa faida ya nani?  Kama vyama vya upinzani huwalipa waandamanaji na hao wanaozuia waadamanaji nani uwaamrisha na kuwalipa? kama ni wananchi nisingetemea wawazuie wanaowalipa wakiandamana kukataa kuibiwa na wajanja wachache. Hebu nitegulie kitendawili hiki

2014-09-28 21:02 GMT+03:00 Erick Maro <rikmaro@gmail.com>:

Nimeipenda hiyo kwamba "wazazi wengine waliuza n'gombe ili kupeleka n'gombe wengine shule "  Naweza kusema ni kweli kabisa.

On Sep 26, 2014 1:27 AM, "De kleinson kim" <dekleinson@gmail.com> wrote:

Am just thinking.
Point iko wapi hapa? Watu wananunuliwa ili wahamasishe watu kuandamana kwa mambo yasiyo ya msingi? Au wanahamasishwa kuandamana kutetea haki zao?
Mbona wanausalama wakitafuta habar huvaa uhusika hata kwa kuwa kichaa ili mradi ukweli upatikane?!!!

Ninachokiona ni waliolala kuamshwa na kuonyeshwa njia (kama kweli iko hivyo) kuna shida gani hapa!!

Mnalazimisha familia zao kutoka ili nini? Wakitoka inaweza kuwa 2+3=5 na wasipotoka 4+1=5.
Jibu tunalotafuta ni x+y=5. Tunataka x na y zituletee 5 hatujali inakujaje either kwa namba yoyote. Ina maana itafika mahali nadai haki yangu kupitia uwakilishi wa CDM then mtanilazimisha nikamchukue mke na watoto wa mbunge tuongozane nao, si ndio!!!!

Mafi ya kuku kapisa nyie watu. What if family zao haziko interested na politics? What if zimeridhika na hali ila baba yao ana macho ya kuona maskini wakipata mateso? What if their family hawako interested with anything mzee anafanya? Yawezekana wanamshauri aachane na harakati daily kw sababu zao za kimazingira n.k.

Msifikirie n macho tu. Kuwa na macho 2 sio kuona sana. Vipofu wengi tu hawaoni ila akishika pesa anajua bei gani. Au harufu anamjua mtu!!!

Yaani kama mmesoma basi wazazi wengine waliuza ng'ombe kupeleka ng'ombe zengine shule. (to some of.... Not all of us)

karibuni jamvini. ;-(

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment