Asante sana mama yetu kwa wosia na maneno mazuri ya kuwatia shime wapambanaji wa kweli na wenye uchungu na maendeleo ya Taifa letu. Jamani inatia kichefuchefu ukiwasikiliza hao ndumilakuwili wanapojigamba wakati wanarudisha kadi za chama imara. Ni bora kuwa na wanachama wachache lkn imara na waaminifu kuliko kuwa na lundo la wanachama wanafiki, wasaka tonge, na pandikizi. Haya ni mageuzi makubwa ndani ya Chadema...Mwenyezi Mungu tutangulie
--Wako watu wasaliti katika vya upinzani nchini. Wamepenyezwa kimkakati na watawala na wanatumika kimkakati wakati husika. Lengo ni kudhoofisa upinzani ili ukose nguvu na hivyo kudhoofisha sauti na nguvu ya umma katika kuwabana watawala kuwajibika kwa wananchi.Huyu hakuwa mpigania nchi na wananchi bali afisa usalama wa maslahi ya watawala. Ni bora kaondoka. Eti aliingiza wanachama 600. Nina uhakika CHADEMA ikimpata mpigania nchi na wananchi wa uhakika kuchukua nafasi yake, muda mfupi ujao chama hicho kinaweza kitapata wanachama elfu sita (6,000) na zaidi kutoka eneo hilo.Tunahitaji upinzani imara kuharakisha maendeleo nchini na joto la upinzani wa kweli ni lazima liwaondoe wasaliti. Tusubiri wasaliti wengi wataondoka katika vyama vyote makini vya upinzani na wapambanaji wa kweli msikate tamaa iwe mvua ya mawe au jua kali, maana hakuna kitu chema kinachopatikana kirahisi.Nawapongeza wote mnaopigania maslahi ya walio wengi katika nchi yetu. Juhudi zenu, uvumilivu wenu na kujitoa kwenu kwa ajili ya taifa hili hakutakuwa bure. Mungu awalinde na kuwabariki sana.Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.comOn Saturday, April 26, 2014 9:14 AM, "'ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
--Naiangali picha ya aliyekuwa katibu mwenezi wa chadema hapa. Cuption inasema 'narudusha vifaa vya CHADEMA'. Huyu mtu hana akili sawasawa. Angekuwa nazo vifaa vya CHADEMA 'asingevirudisha' CCM ila CHADEMA.On Thursday, April 24, 2014 8:41 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Tunakusubiri na wewe Mabadiliko Chadema uhamie uko vile vile.em--2014-04-24 11:48 GMT-04:00 MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com>:
--Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.Mwenyekiti wa Vijana mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga alikabidhi kadi ya CCM kwa viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.Mwenyekiti wa Vijana mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga alihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga kuendelea kuleta maendeleo ya nchini.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment