Sio madaktari tu tafuta pia wasomi wenye Phd na maprofesa uone mambo.
On May 1, 2014 2:11 AM, "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- --Nashindwa kuelewa wkt mwingine ni makusudii au ndio mafundisho ya masomo ya udaktariDaktari akikuandikia, cheti anakoroga lugha kiasi kwamba huwez kuelewa alichokiandika ila ukimpa nesi ataisoma, nasema hivyo leo mama yoyo ametoka dispensary ya Kimara kumpeleka mwanangu kupima kuona ana tatizo gani la afya, akaonekana ana malaria na minyoo, lakini sasa maandishi ya dawa alizoziandika mama akashinwa kuyasoma ili anitumie ninunue, namie kufika nyumba nikajaribu kusoma sikuambulia dafuJe ni moja ya sylubus kua daktari awe na mwandiko usiosomeka kirahisi, au wanaamua au ni ethics tuKwanini wasiandike kwa lugha nyepesi kila mtu aweze kuelewaaaawataalam tusaidieni hilinawasilisha
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment