Muganda, naungana nawewe kabisa utawala wa sheria ni muhimu sana, ila sheria zetu zimekaa kijamaa sana, ipo haja ya kuangalia tutawasaidiaje matajiri ambao ndo walipa kodi wakubwa. Wakati tunatizama ubaya wa Awadh tuutizame wizi wa huyo kijana kwa jicho lile lile.
Matajiri wanachukuliwa kama ndagu ya chuma ulete, efd zao, mizani zao, foleni za barabara zao, kusimamishwa na trafik bila sababu za msingi, matuta ya barabarani ndo usiseme.
Tumeweka lami barabara ya minjingu kwa siku hata magari kumi hayafiki yanayopita njia ile, lakini mitaa ya oysterbay mikocheni na masaki ukiachilia barabara zinazotumiwa na daladala kwingine ni mashimo matupu hata lami aliyoacha mkoloni imekwisha banduka. Hakuna cha uzunguni kote ni uswahilini. Bado property tax wanalipa, road licence wanalipa achilia msururu wa kodi kwenye mafuta umeme maji muda wa maongezi.
Wanalipa ushuru wa maegesho ambayo hayapo, balaa ukiwa na verosa buti ya gari ikizidi kidogo barabarani umeshapigwa mnyororo.
Ukipeleka kibaka police unambiwa kanunue jalada la kufungulia fail, utambiwa hawana hela za kumlisha mahabusu na utaandika maelezo hadi utaikimbia kesi sasa kwanini wananchi wasimalizane na kibaka mtaani tu.
Matajiri wote wanaishi jela kwa magirili na kuta ndefu za uzio, achilia majibwa na walinzi, camera za usalama na sen'genge za umeme.
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, February 13, 2014 2:50:37 PM GMT-0500
Subject: Re: [wanabidii] Re: Ni Ally Awadh wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil
Hosea, ninachosema ni kwamba tusipofuata na kuimarisha utawala wa sheria na haki za binadamu tunakaribisha arnachy.
em
Sent from my iPhone
> On Feb 13, 2014, at 10:21 AM, <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
>
> Muganda, mbona vibaka wanapigwa kiberiti, picha zipo na wahusika wa tukio wapo na haujawahi watetea. Hebu twambie huyu kijana ana dola laki moja katoa wapi? Muda mwingine tunalaumu wafanyabiashara kwa kunyanyasa wafanyakazi kumbe sio tajiri mwenyewe ni wajiriwa tu kama huyu kijana.
>
> Jupo mama mmoja aliajiriwa kuuza mafuta lake oil cha moto alikiona na akatoka bila kuomba mshahara. Ila pia liwe fundisho kwa matajiri kudhani kuajiri wahindi ndo suluhisho la udokozi.
>
> ----------
> Sent from my Nokia phone
>
> ------Original message------
> From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, February 13, 2014 9:31:23 AM GMT-0500
> Subject: Re: [wanabidii] Fwd: Ni Ally Awadh wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil
>
> Abumuadh,
> Hayo unayoyasema yanapaswa kuamuliwa mahakamani. Na vipi kuhusu majeraha ya kipigo alichopata mlalamikaji?
>
> Sent from my iPhone
>
>> On Feb 12, 2014, at 4:29 PM, abumuadh.assalafi@gmail.com wrote:
>>
>> Lakini upande mwingine mutazame sio kila anaelalamika ndio anahaki.
>> Tulizane kwa ukweli kabisa bila kuweka chuki
>> Mfanya kazi alioajiriwa anadola 100,000. Atazipatia wapi? na nyumba Nairobi viwanja napesa taslim m20???????!!!!!! Hali yakuwa yeye muajiriwa siilikuwa yeye awe muajiri kwa mali hizo???
>> Huyo mwizi kamuibia tajiri yake inavyoonekana
>> Kuibiwa kunauma jamani leo kibaka akipora sim wananchi wanamtia tari na kumwangia mafuta ya taa kwa uchungu wa kuibiwa.
>> Wahindi wezi tena majambazi wa kuiba kwa kalamu, hasa hawa Mabohora
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment