Tuesday, 11 February 2014

[wanabidii] Mh.Edward Lowassa Ni Mzima wa Afya

Uvumi unaoenezwa kuwa Mh.Edward Lowassa ni mgonjwa mahututi na amekimbizwa hospitalini ni za UZUSHI na ZENYE UONGO MTUPU!

Ni jambo la kushangaza na lisiloingia akilini kwa Mtanzania tena bwanamdogo kuanza kusambaza taarifa hizi kwa mafumbo mafumbo huku akishangilia!

Zifuatazo ni picha latest yaani za sasa hivi hapa msibani Ada Estates kwenye Msiba wa Marehemu Patrick Qorro.

MAELEZO KATIKA PICHA.
1.Lowassa akitabasamu na mzee Mkapa mchana huu kwenye msiba wa Mzee Patrick Qorro.wanaosema yuko mahututi washindwe na walegee.

2..Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisalimiana na mwanazuoni wa siku nyingi Prof.Issa Shivji katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm muda huu.

3.Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsikiliza mwenyekiti wa taasisi ya mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm muda huu

 

4.Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia waziri mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph warioba katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro ,Ada Estate dar es salaam

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment