Monday, 3 February 2014

[wanabidii] form za kutafutiwa property ziko tayar

Wakuu katika kuboresha shughuli zetu ziende kwa teknolojia hv sasa tumedesign form 2 tofauti kwa ajili ya watejwa wanaotafuta thamani(property) na wenye thamani(property sellers) ili kuwarahishia wapendwa watejwa wetu kuapply online au manual......Office yetu ipo pale sinza mori jirani na meeda bar, nawaombeni mkaribie uchukue form au uniagize nikutumie kwa email ujaze utupe order za property au kutupa property yako tukuuuzie......properties zinazoshughulikiwa ni;
Nyumba
farms
Yards
Plots
mansion
kupanga, kununua, kuuuza, kukodi jijini Dar es alaaam na mikoani,fee ni ndogo sana na ni kwa ajili ya kufacilitate hii process.

2: Nyumba za bei nafuu jamani nauza maeneo ya bunju A za kuanzia mil 17, 23, 35, 50, ghorofa semini finishe mil 80, nyumba kali sana na fence mil 100
plots- zipo bunju mil 15 na kuendelea, mbezi, luguruni

3: Kuna guest houses zinauzwa mwenge vyumba 11 bei mil 100, vyumba 11 mabibop bei mil 110, kigogo bei mil 230 na zooote zinafanya kazi

4:; Yards na magodown nayo yapo

karibu just call me to pick the form for property application or visit our office located at sinza mori near meeda bar for dicussion and more advise and assistance
0652 314181

0 comments:

Post a Comment