Watu waliochoka wanatapatapa bure, mwacheni zito apumzike, CD hazitamsaidia bali zitamjengea maadui wengi. Ningemshauri zito na wenzake, badala ya kuhangaika na CHADEMA watafute pa kwenda. Mandela hakuwa hivyo mzalendo wa kweli hatembei na CD za kashfa kwa wengine. Alichofanya ni kuanzisha harakati zake mwenyewe na wale waliokuwa wafuasi wake. hatimaye kupatikana kwa uhuru SA.
Nimtabiria kushindwa vibaya katika harakati hizo. haitamsaidia kitu badala yake itamdharilisha mwenyewe. watu wame elimika siyo kama zamani.
pole kijana rafiki zako wasikupoteze kabisa kama alivyo potezwa Kaburu wa kigoma. alikimbilia CCM na kupotelea hukohuko pamoja na Dr. Masumbuko . tulia it is too early for you to think of URAISI. bado hujatosha.
walewale
On Monday, February 10, 2014 2:33 PM, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
Ha haaaaa. Kucopy na ku paste kaaazi kweli kweli. Tangu watu wamekaririshwa na Mwl Nyerere kuhusu mwenendo wa Mwinyi. Sasa wamehamishia kwa Slaa.
On 8 Feb 2014 00:24, "lesian mollel" <aramakurias@yahoo.com> wrote:
-- --kitila nimeipenda sentensi yako ya mwisho....nakunukuu boss....: 'na hivyo slaa hawez kua Rais 2015 kwa kua anaendekeza majungu ya mkewe' kiongozi mzuri ni yule mwenye sifa za busara esp kwa cheo kikuu cha urais BUSARA kwanza la sivyo kila siku ni mtafutano tu na utendaji kushuka na nchi kuyumba, si kila unaloambiwa kufanyia maamuzi hata kitandani mkiwa na mkewo na kesho kufukuza watu kaz, hata nyerere kawwmbia kina Mh Mwinyi na mzee malecela wa juzi aliemnanga mh ED .Sifa ya pili kuuubwa ni tolerance,kuweza kuvumilia mambo flani, kutokua na puupa ktk decission na hii hufanyika kwa consultation kabla ya maamuzi na baada ya uchunguz wa kina......CDM top leaders hata moja ya hz 2 tu nilizoamua kuzitaja hawana na hz sifa zipo kumi ila hz ni za lazima kwa mtu anae wania nafas kubwa ya maamuzi kama urais duniani.....la sivyo ndio utakuta mambo yanaenda kienyejiiiiii ....so ni kweli hafai labda wapambane wapate wabunge weeengi waingi bungeni....Thanx bunge la katiba lina watu flani mmmmh, kina Dk Maselle, mzee mtikila, chipata....ni kasheshe tupu huenda wakasaidia serikali 2 tuwe na amani na lowasa aongozi vzr uchumi upande na watoto wapate elimu bure, ajira na social services improved.....naamini akipata ataweza na tutafurahi pamojaaaaaaa
On Friday, February 7, 2014 8:50 AM, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
--NIMEKUWA kimya kwa muda sasa, nikitafakari mgogoro wa uongozi ndani ya Chadema. Lakini baada ya kimya kirefu, sasa nimeona name nijitokoze ili kueleza kile ninachokifahamu.Kwanza, nikiri kuwa nimeshutushwa na taarifa kwamba Zitto Zuberi Kabwe, yuko mbioni kusambaza CD zinazokikashifu Chadema mikoani. Nasema siungi mkono mradi huu kwa asilimia 1000.Siungi mkono kwa sababu, mradi huu wa Zitto umelenga kudhoofisha Chadema, na kwamba kukidhoofika Chadema ni kutaka kukinufaisha CCM. Hili ni jambo chafu na ambalo halikubariki na wapenda demokrasia nchini.Pili, Ni kiri kwamba ni kweli baadhi ya tuhuma zilizoekezwa kwa Zitto Zuberi Kabwe, siyo za kupika. Zipo za kweli.Hata hivyo, zipo tuhuma nyingi za kupika zilizosukwa kwa ustadi mkubwa na Jack Zoka yule mkurugenzi wa usalama wa taifa ili kufanikisha mradi wake wa kuisambaratisha Chadema.Mpango huo ameusuka kwa njia mbili kubwa. Moja kupitia kwa Zitto mwenyewe wakimwambia Chadema ni watu wa baya na wanataka kukumaliza hata maisha yako.Pili, kupitia kwa Dk. Slaa na Mbowe kwa kuwajaza uongo kwamba Zitto anataka kuivuruga Chadema.Ujumbe kwa Dk. Slaa unapitia kwa mkewe Mama Slaa ambaye ana uhusiano nzuri na Askofu Gwajima ambaye ni swahiba mkubwa wa Zoka.Tabia hii ya Mke wa Dk. Slaa kutumika kuleta mifarakano Chadema haikuanza jana wala juzi.Kwa mfano, alitumika kuanzisha na kukuza mgogoro wa Karatu kwa kumtuhumu mwenyekiti wa Halmashauri ya Karatu, Lazaro Masay kuwa ni mfuasi wa Zitto na hivyo anamhujumu mumewe asigombee urais. Mgogoro uliishia kundwa kwa tume ambazo hazikusaidia hadi mwenyekiti Mbowe mwenyewe kwenda Karatu kutafuta suluhu.Hadi sasa, mgogoro huo bado unafukuta chini kwa chini kwa sababu ya kuchochewa na Mama Slaa.Huyu mama amekuwa hachunguzi maneno ya kusema. Amekuwa mropokaji na mara nyingi amekiingiza chama kwenye mgogoro; ikiwamo ule wa Kawe dhidi ya Mh. Mdee.Dk. Slaa ameelezwa hili mara nyingi sana, lakini kwa kuwa anamsikiliza mkewe na kwa kuwa huyu mama hajui alifanyalo, basi anaendeshwa kama Kondoo.Kama yupo anayebisha kuhusu hili, aje hapa aseme ili nishushe nondo.Hivi tukiweka hapa matendo ya viongozi wengine wa Chadema akiwamo Mama Slaa, Mbowe na Slaa mwenyewe, nani atakayepona?Naye Mbowe ujumbe hufikishwa kwake kupitia kwa baadhi ya mawaziri akiwamo William Lukuvi kwa kisingizio cha wanaitakia mema Chadema.Kimsingi mtu makini hawezi kufurahia chama kila siku kinafukuza watu kwa kisingizio cha "usaliti."Walianza kuwafukuza madiwani wa Arusha, baadaye wakahamia Kahama sasa wamekuwa Mwigamba, Zitto na Dk. Kitila Mkumbo.Kiongozi makini hupenda kubaki na jeshi lake; hata kama wengine ni wagonjwa. Kwa mtaji huu, Slaa hawezi kuwa rais na sababu ni kumuendekeza huyu mkewe.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment