Tuesday, 11 February 2014

Re: [wanabidii] WAKULIMA WAFUNGA BARABARA HUKO MVOMELO

ndio lazima kuwepo kwa by laws ambayo iko ndani ya plum......................kuna vitu vya ajabu watu humu wanalipuka kabisa kwa hasira lakini ukiwauliza suluhu zao hawana.........aaaahk

On Sunday, February 9, 2014 8:36 PM, "hosea.ndaki@gmail.com" <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Mollel, je mkulima kulima kwenye hifadhi ya malisho lenyewe sio kosa? Au? Mbona ukilima katika hifadhi ya serengeti ni kosa?

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, February 9, 2014 3:23:45 PM GMT-0800
Subject: Re: [wanabidii] WAKULIMA WAFUNGA BARABARA HUKO MVOMELO

mfugaji kuingiza mifugo ktk shamba ni kosa...laiti kama kungekua na hy land use planing ktk kijiji kile angekiona, sheria ndogo ambaye na alieingiza mifugo shambani atakua ameshiriki kuitunga ingemhukumu......so shida ni ukosefu wa kuheshimiana tu, na pengina yaweza kua bahati mbaya....nimeshawahi kuchapwa na mzee wangui mzee Melami makuria mollel kisa nikiwa machungani nikiwa nasoma kidato cha 2 nikasinzia kwa kuchoka sana mifugo yote iliishia shambani kwa anko wangu.....wakala wakala kuja kushtuka mifugo ishafika nusu ya shamba kwenda kujaribu kuwaondoa nakutana na baba anakuja mbio...akanikamata nikalamba mboko acha bwana hadi leo najutia ile hali maaan kwa kua ni mtu na shemeji yake na tukio lilikua ni bahati mbaya yakaisha ...ila nadhani ingekua ni leo nadhani ingetafsiriwa hivi hivi kua nimeingiza kwa makusudi....so kuna mazingira meengi sana hapa.....

On Saturday, February 8, 2014 11:05 PM, "hosea.ndaki@gmail.com" <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

Gilbert, ipo pia tabia ya watu kulima kwenye njia za ngombe (ikuwa lya ngombe) kwa lengo la kulipwa punde mifugo ikila hivyo vimahindi, mtu kalima robo heka hajapalilia wala kufanya lolote bado atadai fidia ya milioni tano. Wakati wa nyerere zilikuwepo hifadhi za asili (ngitili) zilikuwa maalumu kwa malisho ya mifugo, ilipoingia siasa ya vyama vingi wakajimilikisha kwa nguvu na kuanza kulima.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: gilbert maganda <glbmaganda@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>,"aramakurias@yahoo.com" <aramakurias@yahoo.com>
Date: Saturday, February 8, 2014 9:26:41 PM GMT-0800
Subject: Re: [wanabidii] WAKULIMA WAFUNGA BARABARA HUKO MVOMELO

Bila kumung'unya maneno naomba jibu/majibu, kwanini mfugaji/wafugaji waingize mifugo yao ndani ya shamba lilolimwa? Je! Wakulima wamelima/wanalima  kwa ajili ya malisho ya ng'ombe za wafugaji?

Aksante.

Sent from Yahoo! Mail on Android

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment