Mie nadhani ambao hawataki zitumike ni tra wenyewe, mbona mpesa kunamaelekezo ya kiswahili na kizungu?
Iweje wamiliki wa maduka tu ndo wanakomaliwe? Kwa nini zisitumike uwanja wa taifa kwenye mechi ya simba na yanga? Kwa nini agents wa mabasi hawatumii? Kwenye kumbi za disco na kasino mbona hawatumii? Ukienda bar unapewa risiti ya kawaida kwa nini isiwe ya efd?
Hivi vin'gamuzi risiti zake ukiziweka sandukuni baada ya muda zinafutika, sasa tunaokopa pride na finca tunaambiwa tupeleke risiti za tv na sabwufa maandishi yakishafutika si ndo imekula kwetu?
Kwetu nyamiaga yupo tajiri anaitwa rushubo hajui kusoma na kuandika yaani hata jina lake hajui kuandika leo unamwambia atumie efd tena yenye maelekezo ya kizungu, hata tangazo mlomuwekea ni lakizungu, sheria ya efd imeandikwa kizungu, kweli ni haki hii?
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: Kamala J Lutatinisibwa <jlkamala@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, February 13, 2014 10:24:16 PM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] TRA's public notice regarding closing of shops to boycott EFDs
kidhungu cha nini sasa wakati wafanya biashara ni waswahili walio
wengi? ndo maana wanavikataa viko kwenye lugha ngeni. aliyeandika
tangazo hili hajui wasomaji wake. kachanganyikiwa huyu
On 13/02/2014, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
> Hawa TRA wanadhani sharia pekee ndo inafanya kazi? Sheria ni zetu na pindi
> tunapoona zina mushkeli tunazichambua na kuona udhaifu kasha kuzifania
> marekebisho. Lakini siamini kuwa wafanya biashara wanapinga kodi wala
> matumizi ya hizi machine bila sababu. Hapana! Wanayo mambo ambayo serikali
> na hasa TRA wanaong'ang'ania kuwatisha wafanya biashara kuwa watawafungia
> billa hata kuwa sikiliza vizuri. Tatizo la serikali yetu ni kutokuwa
> sikivu. Mbona sasa Pinda kasema suala hili lijadiliwe? Je, amefuta sharia?
> Je, amevunja sharia? La hasha! Anataka kusikiliza kilio cha
> wafanyabiashara.
>
> Tamko hili la TRA limejaa sharia sharia tu. Ni vema kuziheshimu sharia
> lakini kama watungaji sharia walikuwa wana lala tu Mjengoni wakati wenzao
> waliokuwa macho walikuwa wanapiga kelele za ndiooooooooooooooooooooo, je?
> Tumbuke jambo la Kujitoa Uachama kwa wafanyakazi kutoka mifuko ya hifadhi.
> NSSRA waling'ang'ania sharia na kutoa maagizo mengi tu kukataza mwanachama
> kujitoa. Lakini sisi tuliwaambia ni muhimu kujitoa hadi tukawakumbusha kuwa
> 'Mla Mla Leo, Mla jana kala Nini? TRA tulieni wanasiasa wawalainishie
> mambo.
> Vin
>
>
> On 13 February 2014 08:39, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>
>> *PUBLIC NOTICE*
>>
>> Tanzania Revenue Authority would like to inform the general public that
>> the ongoing shop closures is uncalled for and is highly regretted.
>>
>> Let it be known that the issue of EFDs was passed by the Parliament of
>> the
>> United Republic of Tanzania in 2010. This was followed by the official
>> position of the President of the United Republic of Tanzania in his end
>> of
>> month Speech in March 2011 just before the commencement of phase 1 for
>> VAT
>> registered traders.
>>
>> The Vice President of the United Republic of Tanzania Dr. Mohammed Gharib
>> Bilal further reaffirmed this Position on 8th November 2013.
>>
>> The Prime Minister Hon. Mizengo Peter Pinda also wound the Parliamentary
>> Session in December 2013 by cementing the government's position on the
>> EFDs.
>>
>> On 29th of January 2014, The Minister of Finance Hon Saada Mkuya Salum,
>> further gave a statement during the press conference on the government's
>> position giving assurance on the determination to enforce the
>> requirements
>> of law. This was one among the many interventions the Ministry has stated
>> the position to the business community and the General Public.
>>
>> Tanzania Revenue Authority has done the same ever since phase 1 started
>> in
>> 2011 and has continued doing so throughout the second phase awareness
>> until
>> the beginning of the implementation.
>>
>> Where operational issues arose they have been resolved and will continue
>> to be resolved to the satisfaction of all parties.
>>
>> TRA would therefore like to inform the business community that those
>> forcing or persuading others to close shops should refrain from doing so
>> as
>> they are breaking the law by creating chaos unnecessarily. We have also
>> regrettably noted that some of the businesses being forced or persuaded
>> to
>> close are not part of phase 2 implementation of EFD while those who
>> decide
>> to close on their own should do so on their own will and not otherwise.
>> We
>> are also receiving calls and requests for protection from those who do
>> not
>> wish to close shop but only do so because they are being threatened and
>> intimidated.
>>
>> Let it be known that those who are masterminding this unlawful move will
>> be dealt with by the relevant arms of law while those who are being
>> harassed should inform us through the following numbers 0786 800000,
>> 0713800333 and 0800 110016 or by email: info@tra.go.tz
>>
>> "TOGETHER WE BUILD OUR NATION"
>>
>> ISSUED BY THE ACTING COMMISSINER GENERAL
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
--
kamala J Lutatinisibwa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment