Friday, 14 February 2014

Re: [wanabidii] Re: d: Ni Ally Awadh wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil

ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

>Nyie watu akili zenu bado ni za ujamaa kuwaza umasikini tu...kama kapiga hela mwajiri afungue shitaka mahakamani atoe vielelezo na atachunguzwa kutokana na vielelezo..zaidi ya hapo kujichukulia sheria mkononi ni kosa kisheria...na lazima jambo hili likemewe kwa ukali...watu siku hizi wapo maofisini kama part time wana deals nyingi..ukiona mfanyakaz anamaendeleo kuliko bosi usishangae mjini hapa..na kama bosi umefuria omba ukopeshwe na sio kuleta majungu... Mungu wangu..natamani kuiona tanzania ambayo watu wake wamejaa neema na kuondokana na mawazo ya kimasikini...ngupula

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment