Monday, 3 February 2014

Re: [wanabidii] MZALENDO ZITO ZUBERI KABWE SASA ATISHIA MAISHA YA CHADEMA

mgonge wewe umehudhuria ziara zao zote sasa? sisi tunafuatilia, au na weee ushaanza kutaka kumrithi makene....ulimsikiliza tundu l;issu itv kile kipindi maalum cha kuhoji viongozi.....mazungumzo yake meengi ni zitto na ccm kidogo.......hawa wanaishi kwa kuogopa kivuli cha zitto, kwann usienda uwashaur wajipange kuanza kuongelea masuala ya kitaifa, kero za maji, folen za kutisha dar,umeme, gas, katiba, elimu, ajira nk...na sehemu zingine wafanye kwa pesa kidogo wanazopata kusaidia kama anavyofanya mh Ndesamburo, Mho Lowassa nk....cjawahi kuwaona kina mh Lissu, Mbowe, Slaa, wakifanya vitu kama hivyo wapo ni kukimbila majukwaani tuuuu, zito, ccm....
Tungetaka viongozi wanaofanya kwa vitendo....juzi kati mh kinana anashiriki sana ktk kazi za maendeleo, ni vzr viongozi waingie vijijini wahubiri siasa na kushiriki ktk kazi za maendeleo, Mwl nyerere ndiio strategy yake alokua akifanya.....hz siasa za kuruka za chop[a ni za kifisadiiiiiiii kataa ila kuna siku utakubali tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

On Saturday, February 1, 2014 12:28 AM, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
Ndugu Lesian

Ukitaka kujenga hoja jaribu kujiuliza mantiki ya maneno unayotumia. Hapa neno fisadi ujalitendea haki na wala maelezo yako hayaendani na mgogoro halisi uliopo ndani ya CDM kati ya kambi ya Zitto na uongozi wa juu. Hawa viongozi wakiwa kwenye ziara zao mikoani wanayemsema sio Zitto bali CCM iliyo madarakani na wala mshindani wao siyo Zitto bali CCM. Be focused

2014-02-01 Dollar Kussenge <dkusssenge@gmail.com>:
Mugenda amelewa hongo ndogo ndogo kutoka kwa mh.ngengemtoni nyumba nyingi a.k.a muswati wa Tanzania ndani ya cdm

2014-01-31 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:

Lesian,
Sidhahi kuwa hela za ruzuku kazi yake ni kujenga hospitali. Hela ya ruzuku kazi yake ni kujenga chama sasa kama
Chadema wameamua kutumia helikopta kujenga chama hiyo ni mipango yao. Hivi tumeshawahi kumuuliza Cheyo
anatumiaje hela zake za ruzuku?
em

2014-01-31 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>:

stey uko sawa
tatizo la CDM hawapend kuonekana wao mafisadi kabisaa, hv kukod midege ya kisasa  sjui mihelkopta kwa ajili ya kuzunguka kwa wananchi kunadi uongo dhidi ya zitto jamani na wao wakiambiwa mafisadi watakataa, hv tu wanafuja hela zetu angani na kwenye mabaa na nyama chomas baada ya kutudanganya ktk mikutano yao wanaoongea uongo......Hiii haikubaliki, hz hela za kukodi hwlikopta kwann wasijenge hospitali moja ya mfano waseme hii imejengwa na hadema kwa hela za ruzuku, au shule moja au hata km 2 za bara bara ya lami
kuhangaika na zitto tu, hawa bw ninmgewashaur hv, wapambane kwanza na mambo yao ya ndani ya chama, si waje kutuambia ujinga, inakuaje diwani afukuzwe ktk mkutano wa hadhara, hii ndio nasikia CDM.... wakishamaliza ndio wajiandae kuja kwenye publ;ic watuambie sera zao tuwapime kama kweli wataweza kutwaa nchi, kwa sasa hapana

On Friday, January 31, 2014 8:37 AM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
----- Forwarded Message -----

Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (emuganda@gmail.com) Add cleanup rule | More info
Usitupotezee muda na bites zetu hapa.
em

2014-01-31 Steven Stey <parokostey@gmail.com>:
Ni kweli aanzie hapa dar
On Jan 31, 2014 4:13 PM, "MABADILIKO CHADEMA" <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
Baada ya Mabepari kumaliza ziara yao ya kwenda kujikosha mbele ya wajumbe wa baraza kuu la uongozi kwa jinsi walivyoloa ufisadi na kukimaliza chama.,inaonekana ziara hizo hazijazaa matunda yoyote kwakuwa wajumbe wa baraza kuu wamekataa kushawishiwa na Mbowe na Slaa kwani wamebaini hawo ndio chanzi cha Migogoro ndani ya chama nakusababisha chama kuwa na Madeni makubwa.

Baada ya Mafisadi hawo kumaliza sasa ni Zamu ya MZALENDO mtu wa watu wote ambae ni mbunge machachari kuliko wote ndani ya chadema.,
Watanzania tunasubiri kwa hamu ziara hiyo ya Mzalendo huyo zito.,
Kwataarifa zikizopo nikuwa tayari wasiwasi umetanda ndani ya chadema haswa mbowe na slaa kwakuwa wanamjua zito kwa hoja zake Kali.,

(KILA KONA NI MZALENDO, MZALENDO, MZALENDO, ZITO, ZITO, ZITO)

Haya ni maneno ya mikoani ambapo wanamsubiri kijana WAO, mtoto WAO, mbunge wa wote,
(YETU MACHO TWASUBIRI)

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment