Tuesday, 11 February 2014

Re: [wanabidii] Mh.Edward Lowassa Ni Mzima wa Afya

Kule kwetu tunasema "Ulusengera mukaso, lukatwala nyoko", ikimaanisha: Ukimuombea kifo mama wa kambo, atakufa mama yako mzazi!!!

Kwa hiyo, wanaomwombea Edo alazwe hospitali au apatwe na balaa lolote, wataambulia kupata majanga wao wenyewe!!!






--------------------------------------------
On Tue, 2/11/14, Friends of Lowassa 2015 <edolowassa2015@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Mh.Edward Lowassa Ni Mzima wa Afya
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, February 11, 2014, 4:42 AM

Uvumi unaoenezwa kuwa
Mh.Edward Lowassa ni mgonjwa mahututi na amekimbizwa
hospitalini ni za UZUSHI na ZENYE UONGO MTUPU!
Ni jambo la kushangaza na lisiloingia akilini kwa
Mtanzania tena bwanamdogo kuanza kusambaza taarifa hizi kwa
mafumbo mafumbo huku akishangilia!
Zifuatazo ni picha latest yaani za sasa hivi hapa
msibani Ada Estates kwenye Msiba wa Marehemu Patrick
Qorro.
MAELEZO KATIKA PICHA.1.Lowassa
akitabasamu na mzee Mkapa mchana huu kwenye msiba wa Mzee
Patrick Qorro.wanaosema yuko mahututi washindwe na
walegee.
2..Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh
Edward Lowassa akisalimiana na mwanazuoni wa siku nyingi
Prof.Issa Shivji katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu
Patrick Qorro jijini dsm muda huu.
3.Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh
Edward Lowassa akimsikiliza mwenyekiti wa taasisi ya mwalimu
Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani
wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm muda huu
 4.Waziri mkuu
mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia
waziri mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph
warioba katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick
Qorro ,Ada Estate dar es salaam



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment