Wanaombeza mchungaji Msigwa wote ni wahuni, tuwaogope kama ukoma.
Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
>Kama baadhi ya watendaji wa serikali wanashiriki katika biashara hii,
>utasemaje Msigwa ni msaliti kwa kusema hoja zilizotolewa na gazeti zijibiwe
>na siyo kulalamika tu? Ushahidi ni kwamba tembo wanazidi kuuawa na biashara
>harama ya meno ya tembo bado inaendelea. Utasemaje, katika mazingira haya,
>kwamba serikali imefanikiwa kuzuia kuuliwa kwa tembo na biashara haramu ya
>meno ya tembo? "If the theory doesn't fit the practice, ignore the theory."
>
>
>2014-02-13 10:43 GMT+03:00 mngonge <mngonge@gmail.com>:
>
>> Msigwa siyo msaliti bali msaliti ni huyo Mfutakamba anayetaka kuficha
>> ukweli. Sijui anaficha ukweli kwa maslahi ya nani?. Hivi uzalendo ni
>> kuficha ukweli? Ukitaka kupona ugonjwa ni heri ukamweleza ukweli daktari,
>> tuna matatizo tembo wetu wanauawa maelfu kwa maelfu ya nini kuficha ukweli?
>> Hawa jamaa (wazungu) wanayo technolojia kama vile kutumia satellite kubaini
>> majangili inayoweza kutusaidia kulinda hao tembo wetu. Hakuna ubaya tukawa
>> wazi ili tutafute msaada wa ulinzi kwa vile sisi wenyewe ni kama
>> tumeshindwa. Ends justifies means. Tunasemaje tunayo mikakati madhubuti ya
>> kuwalinda tembo wakati wanazidi kuisha?
>>
>>
>> 2014-02-13 10:25 GMT+03:00 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>:
>>
>> Ipo haja ya kuwapuuza Msigwa na Mwandishi wa Uingereza lakini tukajikita
>>> katika kujiambia ukweli.
>>> Operation zote zilizokwishafanywa na zitakazofanywa output yake
>>> inastahili kusimama kuuwawa tembo na outcome yake ikawa ongezeko la wanyama
>>> hawa.
>>> maelezo yote yanayomtetea Rais wetu yanatoa ushaidi wa kiasi cha meno ya
>>> tembo kilichokamatwa na majangili walioshika bunduki waliokamatwa.
>>>
>>> Ukishasema hivyo basi Msigwa na mwandishi wa habaeri zile anakuwa kasema
>>> kweli. Kweli kuwa tembo wanauwawa. Na ushaidi ni meno yaq tembo mliyokamata.
>>> Ninasema na ninaamini hivyo kuwa mahakamani hatusubirfi wale waliokamatwa
>>> wakiwa na bunduki maporini. wakija hao nami niataamini kuwa hakuna
>>> kinachofanyika. mahakamani tunawasubiri wale waliowatuma washika bunduki.
>>> Wapo. Kama hatuwajui basi hatuna mifumo sahihi ya kujilinda na mali zetu au
>>> tunawalinda. Jamani hao ndio majangili. Tukiwaonea maskini waliopewa
>>> bunduki na kuwaalipa posho kidogo watuletee meno ya tembo basi tutarajie
>>> akina msigwa kuendelea kutwmbia ukweli nasi tutaendelea kuwa'wazalendo' na
>>> akina msigwa tutawaita 'Wasaliti' na tembo watakwisha.
>>>
>>>
>>>
>>> On Thursday, February 13, 2014 8:47 AM, Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>>> wrote:
>>> Kwahiyo Msigwa ni msaliti...
>>> Magiri.
>>> Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.
>>> On Feb 13, 2014 8:38 AM, "Abdalah Hamis" <hamisznz@gmail.com> wrote:
>>>
>>> Umoja wa Wabunge wa Hifadhi ya Wanyamapori na Mazingira (TPGSNRCU),
>>> umemshukia mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msingwa (CHADEMA), ukidai
>>> ni msaliti na mnafiki.
>>>
>>> Umoja huo umesema kauli zilizotolewa na Msigwa alipozungumza na mwandishi
>>> wa gazeti la Daily Mail la Uingereza, kuwa serikali haifanyi juhudi za
>>> kulinda rasilimali hazina ukweli.
>>>
>>> Pia umemtaka Msigwa kuwa mzalendo na kuacha kutoa kauli
>>> zinazolidhalilisha taifa kwa lengo la
>>> kujipatia umaarufu kisiasa kwa mambo yasiyo na chembe ya ukweli.
>>>
>>> Akizungumza na waandishi wa habari jana, katika Ofisi Ndogo za Bunge
>>> mjini Dar es Salaam, Makamu Mwenyekiti wa TPGSNRCU, Athumani Mfutakamba,
>>> alisema serikali imekuwa mstari wa mbele katika kupambana na ujangili.
>>>
>>> Mwandishi wa gazeti la Daily Mail, Martin Fletcher, katika chapisho la
>>> Februari 8 na 9 mwaka huu, alimshutumu Rais Kikwete, akidai ameshindwa
>>> kutimiza wajibu wake wa kuwalinda tembo na faru.
>>> Gazeti hilo lilimnukuu Msigwa, ambaye ni Waziri Kivuli wa Wizara ya
>>> Maliasili na Utalii kuwa, serikali haifanyi juhudi za kulinda rasilimali,
>>> taarifa ambazo hazina ukweli.
>>>
>>> Kwa mujibu wa Mfutakamba, Rais Kikwete yuko mstari wa mbele kupambana na
>>> ujangili na aliidhinisha Operesheni Tokomeza Ujangili.
>>>
>>> "Mheshimiwa Rais amekuwa mstari wa mbele kupinga biashara hii haramu kwa
>>> nguvu zote, kusema haonyeshi juhudi ni kumdhalilisha"
>>>
>>> Alisema mwandishi wa gazeti hilo, alipaswa kumuuliza Mwenyekiti wa Kamati
>>> ya Bunge ya Maliasili na Mazingira, James Lembeli, ili kupata ukweli na si
>>> Msigwa, ambaye ni mjumbe wa kamati hiyo.
>>>
>>> Mfutakamba alisema umoja huo unafikiria kuiomba serikali imtake mwandishi
>>> huyo aombe radhi kwa kuandika taarifa za uongo na udhalilishaji kwa taifa.
>>>
>>> Kwa upande wake, Katibu wa umoja huo, Sylvester Mabumba, alisema
>>> wataitaka serikali imuamuru mwandishi huyo kuomba radhi kutokana na taarifa
>>> hizo.
>>>
>>> Alisema kabla mwandishi huyo hajachapisha habari, alitakiwa kumuuliza
>>> Lembeli na serikali ili apate ukweli wa mambo.
>>>
>>> --- via gazeti la Uhuru
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment