Anayodai hayana msingi wowote, amekuwa mwenyekiti kwa muda gani? Kabla hajagombea nafasi hiyo hakufanya utafiti juu ya chama? Hasa kauli za kuwa CHADEMA ni cha kikabila, kikanda siyo kauli yakuanza kuisikia leo, kauli kama hizo ndiyo silaha tumainiwa ya CCM kutaka kuwaaminisha watu kuwa kuna ukabila na ukanda ndani ya CHADEMA.
Kwa kifupi jamaa huyo ni mmoja ya wachumia tumbo, kwa wengine hatuchelewi kuamini kuwa kamegewa sehemu nono, akilinganisha mdundulizo wa mshahara, bila shaka mizani imakuwa nzito upange wa kitita.
Kwa hiyo wenyeviti waa aina hii ni matapeli tu.
On Tuesday, 4 February 2014, 20:23, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Huyu naona ndiye anayeongozwa kwa ukabila.
em
Sent from my iPhone
Sent from my iPhone
--Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Iramba aachia ngazi:Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilayani Iramba ndugu Joseph Alfayo ameachia ngazi na kukaa pembeni,baada ya kubaini kuwa CHADEMA ni chama cha ukanda,udini na ukabila.Anasema amejiondoa baada ya kusikitishwa kwa kufukuzwa uanachama ndugu Kitila Mkumbo anayetoka Wilaya yake...Kwa maneno machache Alfayo amenukuliwa akisema,"NIMEJIONDOA CHADEMA,NAMUUNGA MKONO MWIGULU NCHEMBA AENDELEE KUWA MBUNGE,NAJIUZULU NAFASI YA UKATIBU CHADEMA IRAMBA,CHADEMA KUNA UKANDA, UKABILA NA UFISADI"
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment