--
HOJA NA MAONI YETU WAISLAMU JUU YA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA
KUPITIA SEMINA SHIRIKISHI ZA MTANDAO WA
MISIKITI TANZANIA
SEHEMU YA I: UHUSIANO WA SERIKALI, DINI NA MASHIRIKA YA KIDINI
NA.
HOJA
MAONI
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba
mpya itambuwe kuwepo
1
haitambui
kuwepo
kwa
kwa
Mwenyezi Mungu
na
Mwenyezi Mungu na uhalali
Mamlaka yake juu ya Wanaadamu
wa
mamlaka
ya
Mwenyezi
(kwa mnasaba huu, wananchi wa
Mungu
Tanzania)
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke wazi kutambua
2
haitambui
uhalali
wa Sheria
kwake uhalali wa sheria za
za
Mwenyezi
Mungu.
Hii
Mwenyezi Mungu na kuziheshimu.
inajidhihirisha
kwa kauli
ya
Maana ya serikali kutokuwa na
serikali kutokuwa na dini.
dini iainishwe na kuwekwa wazi
kikatiba.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba
mpya isimlazimishe
mtu
3
inamlazimisha
mtu
kufuata
kufuata taratibu au sheria ambazo
sheria zote hata kama
inakwenda kinyume na imani yake
zinakwenda
kinyume
na
na hivyo kupelekea kuvunja sheria
imani ya dini ya raia husika.
za dini yake.
Kwamba Katiba iliyopo haitoi
Katiba itoe tafsiri yakinifu ya ibada
tafsiri yakinifu juu ya maana
na dini kwa mujibu wa tafsiri ya
4
ya ibada na dini. Tafsiri sahihi
dini husika.
ya maneno dini na ibada ni
muhimu ili kuzuia bughudha
kwa wananchi wanapokuwa
katika matendo ya dini na
ibada.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iruhusu kuchanganya
5
inatenganisha
mamlaka
ya
mamlaka ya nchi na ya dini. Mfano
nchi na mamlaka ya dini. Huu
uwepo wa Mahakama ya Kadhi
ni mfumo Kristo.
itakayoendeshwa
kwa
hazina
ya
serikali.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya itoe tafsiri sahihi ya
6
imetoa tafsiri potofu ya neno
neno HALALI kwa mujibu wa
HALALI. Kwa
mfano
neno
imani ya dini na tafsiri hiyo iwe ni
rizki
halali
linajumuisha
yenye
kukubalika kiutendaji
na
mathalani
hata
rizki
katika
mahusiano
baina
ya
ipatikanayo
kwa
kuuza
mwananchi wa dini husika na
pombe
na
kucheza
bahati
wananchi wengine nje ya dini
nasibu ni halali.
husika.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya itambue na kuipa
7
haiilazimishi
serikali
heshima siku ya Ijumaa kuwa ni
kuitambua
siku ya
Ijumaa
siku maalum ya ibada kwa
kama siku rasmi ya ibada kwa
Waislamu. Hivyo shughuli zote za
Waislamu.
Hii
inasababisha
serikali
zisimamishwe
wakati
wa
usumbufu
mkubwa
kwa
kutekelezwa ibada hiyo.
Waislamu
kutekeleza
ibada
hii hususan
wafanyakazi
na
wanafunzi.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iruhusu na itambue
haitambui
kuwepo
kwa
uwepo wa mahakama za kadhi
8
Mahakama
ya
Kadhi.
Hii
zitazoendeshwa chini ya usimamizi
imepelekea
Waislamu
wa Kadhi Mkuu na Naibu Kadhi
kutohukumiana kwa sheria za
Mkuu
wataokao
chaguliwa
na
Kiislamu ambayo ni sehemu
Waislamu kwa kuzingatia sifa za
ya ibada kwao na vile vile
kielimu katika fani ya sheria ya
kukosekana
kwa msimamizi
Kiislamu na kutambuliwa na Rais
wa haki
inapotokea
mzozo
wa Jamhuri ya Muungano.
baina ya Waislamu.
Kwamba Kutokana na Katiba
Katiba mpya itambue uwepo wa
iliyopo
kutokutambua
tume ya ushauri wa uteuzi wa
mahakama
ya
kadhi
ajira
makadhi na ajira ya makadhi kwa
rasmi za makadhi hazipo.
mahakama za
kadhi
Tanzania
ambayo kikatiba itaitwa Tume ya
Utumishi ya Mahakama ya Kadhi.
9
Tume
hii
itachaguliwa
na
Waislamu. Wajumbe wa Tume hiyo
watakuwa wafuatao:
1. Kadhi Mkuu ambaye atakuwa
mwenyekiti
kutoka bara
au
visiwani;
2. Naibu Kadhi Mkuu ambaye
atakuwa naibu Mwenyekiti kutoka
bara au Visiwani;
3. Kadhi mmoja wa Mahakama ya
Kadhi ya Rufaa atakayechaguliwa
na Waislamu;
4. Wajumbe
watatu
kutoka
mahakama ya kadhi.
Kwamba suala la kugharimia
Katiba
mpya
iilazimishe
serikali
uendeshaji wa mahakama za
kugharimia gharama za kuendesha
10
kadhi linapaswa liwe jukumu
mahakama za kadhi na gharama za
la serikali kupitia mfuko wa
watumishi wote kutoka
kwenye
hazina ya serikali. Hii kwa
mfuko wa hazina ya serikali.
sababu Waislamu ni sehemu
ya walipa kodi. Kama walivyo
raia wengine,
wanastahili
kufaidika kutokana na
kodi
wanazolipa.
Kwamba Mahakama ya Kadhi
Katiba mpya itambuwe uwepo wa
11
haipaswi
kuingiliwa
na
Mahakama ya Rufaa ya Kiislamu.
mahakama
ya
aina yoyote
isiyohukumu kwa sheria ya
Kiislamu.
Kwamba
upo
umuhimu wa kuundwa kwa
Mahakama
ya
Rufaa
ili
kusikiliza kesi za rufaa kutoka
kwenye mahakama ya kadhi.
Kwamba
Waislamu
kwa
Katiba
mpya
itambue
haki
ya
sheria
zilizopo
wanakwazika
Waislamu
kutekeleza
nakufuata
katika
kutekeleza
dini
yao
sheria ya Kiislamu katika ukamilifu
kikamilifu. Inawawia vigumu
wake.
Katika
sehemu
zenye
12
kutekeleza
sheria
kwa
Waislamu
wengi
sheria
ya
mnasaba wa dini yao. Kufuata
Kiislamu ifuatwe katika ukamilifu
sheria za Kiislamu ni sehemu
wake.
Kila
Muislamu katika
ya dini na ibada ya lazima
maeneo
haya
atalazimika
kwa Muislamu, haki ambayo
kuhukumiwa
kwa
sheria
za
katiba iliyopo imetoa uhuru.
Kiislamu.
Katika
maeneo
yenye
Waislamu wachache mahakama za
kadhi
ziwahukumu
Waislamu
katika sheria zote za Kiislamu
isipokuwa za jinai.
Kwamba Katiba iliyopo haitoi
Katiba mpya iweke uthibiti wa
muongozo juu ya ushirikiano
matumizi ya fedha za umma kwa
baina ya serikali na dini au
utaratibu
wa
upendeleo
wa
madhehebu
ya
dini,
hali
madhehebu ya dini yoyote ama
iliyopelekea
kuwepo
kwa
kinyemela au kwa njia ya
13
malalamiko
ya
kuwepo
kwa
urasimishaji
kupitia mikataba
au
upendeleo
maalum
makubaliano.
unaoneemesha
Ukristo
(hususan
Ukatoliki) hususan
katika sekta ya elimu na afya
kwa kutumia hazina ya taifa.
Mathalani
kwa
kupitia
mkataba
wa
ufahamiano
[MoU] baina ya serikali na
kanisa
serikali
hutenga
mamilioni ya fedha za umma
kila
mwaka
kunufaisha
mipango ya afya na elimu ya
kanisa.
SEHEMU YA II: MASUALA YA MUUNGANO NA SERIKALI YA MUUNGANO
NA.
HOJA
MAONI
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya itambue uhalali wa
inatambua uwepo wa serikali
serikali tatu: Serikali ya Zanzibar,
mbili
katika
Jamhuri
ya
Serikali ya Tanganyika na Serikali
14
Muungano,
jambo
ambalo
ya Muungano.
limesababisha utata na kero
kubwa ya muungano hususan
kwa upande wa serikali ya
Zanzibar. Yapo malalamiko
kwa upande
wa
Zanzibar
kuwa wameporwa madaraka
ya kiinchi
(sovereignity)
na
serikali
ya
muungano.
Hii
imepelekea mpaka baadhi yao
kudai muungano uvunjwe.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke utaratibu
inaainisha
tu
maeneo
ya
utaofanya
masuala
15
muungano ambao
chimbuko
yatakayokubalika
kuwa
ya
lake ni makubaliano baina ya
muungano yapitishwe kwa kura ya
viongozi
wa
iliyokuwa
maoni
(referandum)
kwa
Tanganyika na Zanzibar bila
kuzingatia uwiano wa sehemu hizi
ridhaa ya wananchi wa pande
za muungano. Kila upande ukubali
mbili hizi. Hali hii imepelekea
masuala hayo kwa asilimia 75 au
malalamiko
kwamba
zaidi ya wananchi wake ndipo
wananchi hawakuhusishwa.
yaingizwe
katika
orodha
ya
maeneo ya Muungano
Kwamba
Katiba
iliyopo
iko
Katiba mpya
iweke
utaratibu
kimya juu ya mgawo wa
utakaowezesha cheo cha rais wa
madaraka ya rais na naibu
jamhuri ya muungano kiwe cha
16
rais,
mawaziri,
manaibu
kupokezana baina ya pande mbili
waziri kutoka pande mbili za
za muungano yaani Tanganyika na
muungano.
Hii
imepelekea
Zanzibar. Vyeo vya mawaziri na
Wazanzibari
kulalamika
manaibu
mawaziri,
makatibu
kwamba huenda muda mrefu
wakuu wa wizara na makatibu
rais wa jamhuri ya muungano
wakuu wasaidizi katika serikali ya
akatoka bara tu.
muungano
vitolewe
kwa uwiano
uliosawa. Mathalani
waziri akiwa
mtanganyika
naibu
wake
awe
mzanzibari.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke wazi kwamba
haikuweka
wazi
mgao
wa
mali ya asili kama vile madini, gesi
17
maliasili baina ya pande mbili
na mafuta n.k. havitakuwa katika
za muungano. Hii imepelekea
masuala
ya
muungano.
Kila
kuwe
na mvutano
kwamba
upande mmoja wa muungano uwe
iwapo
mafuta
yatapatikana
unamiliki mali ya asili yake.
yawe ni ya muungano au la.
Kwamba
Katiba
iliyopo
iko
Katiba mpya iweke utaratibu za
kimya kuhusu mahusiano ya
kuziwezesha pande zote mbili za
serikali
ya
Zanzibar katika
muungano
(Tanganyika
na
medani
za
kimataifa
kwa
Zanzibar) kuwa na mahusiano na
maeneo yasiyo ya muungano.
mashirikiano na serikali za nje na
Hii imepelekea kuwepo kwa
taasisi za kimataifa bila pingamizi
18
malalamiko
upande
wa
kutoka
kwenye
serikali
ya
Zanzibari
kuwa
hawanufaiki
muungano.
na
wanabanwa
kuwa
na
mahusiano na nchi na taasisi
nyingine
za
kimataifa,
mathalani
kujiunga na
OIC
ambayo ingesaidia utekelezaji
miradi ya mambo yasiyokuwa
ya muungano.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya itambue uwepo wa
haitambui
kuwepo
kwa
Mahakama Kuu ya Katiba ambayo
Mahakama Kuu ya Katiba. Hii
itakuwa na uwezo na nguvu za
imepelekea
kukosekana
kwa
Kisheria
za
kutafsiri vipengere
19
suluhusho
la
utata
mbalimbali
vya Katiba
vyenye
unapojitokeza wa
masuala
utata na pia kubatilisha sheria
mbali mbali ya muungano na
yoyote
itakayotungwa
ambayo
mengineyo. Mathalani, utata
inapingana na Katiba.
wa Zanzibar kama nchi kamili
au
vinginevyo
unashindwa
kupewa
ufumbuzi
wa
kisheria.
Kwamba
Katiba
haitambui
Katiba mpya itambue uwepo wa
20
kuwepo kwa Mahakama Kuu
Mahakama Kuu ya Rufaa ya
ya Rufaa
ya Katiba ambayo
Katiba.
itahusika na kesi za rufaa
kutoka Mahakama Kuu ya
Katiba.
Kwamba
Katiba
iliyopo
iko
Katiba mpya iweke utaratibu wa
kimya juu ya nafasi ya Spika
kupokezana nafasi ya spika na
21
na Naibu Spika wa bunge la
naibu spika baina ya sehemu mbili
Jamhuri
ya
Muungano
ya
za muungano. Yaani spika akiwa
Tanzania.
Tangu
kuasisiwa
mtanganyika
naibu
wake
awe
kwa
muungano
nafasi
hizo
mzanzibari.
Nafasi
hizo
zimekuwa
zikihodhiwa
na
zibadilishwe
kila
baada
ya
watanganyika. Hii imepelekea
uchaguzi mkuu wa rais na
kuwa ni moja ya kero kubwa
wabunge.
za muungano.
22
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya itambue kuwepo kwa
inamtambua
Rais,
Makamu
mawaziri wakuu kwa kila upande
wa Rais na Waziri Mkuu
wa muungano kama wakuu wa
kama viongozi wa juu wa
shughuli za serikali zao. Kisiwepo
Jamhuri
ya
Muungano
ya
cheo cha waziri mkuu wa serikali
Tanzania. Waziri mkuu kwa
ya
muungano.
Shughuli
zake
utaratibu
wa
sasa
hana
zifanywe na makamu wa rais wa
shughuli
na
mamlaka
serikali
ya
muungano,
ambaye
yakinifu upande wa Zanzibar.
ndiye msaidizi mkuu wa rais katika
Cheo hiki si muafaka kwa
serikali ya muungano
hivyo
kisiwe
katika
muungano.
Kwamba
Katiba
iliyopo
iko
Katiba
iweke
utaratibu
wa
23
kimya juu ya uwezekano wa
kuvunjika kwa
muungano iwapo
kuvunjika muungano.
itatokea dharura ya jambo hilo na
ianishe
sababu
zinazoweza
kupelekea
kuvunjika
kwa
muungano.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katika kudumisha uhuru wa maoni
hairuhusu chama
cha
siasa
chama chochote hata kama kina
chenye
lengo
la
kuvunja
malengo ya kuvunjwa muungano
muungano na chenye lengo la
kiandikishwe endapo kinaona kuna
24
kutumia
nguvu
au
maslahi kwa wananchi juu ya hilo
mapambano kufikia malengo
na
kwamba
kuvunjika
kwa
ya siasa.
muungano ndiyo njia iliyobaki ya
kuondoa
dhuluma.
Chama
kiruhusiwe kutumia nguvu kufikia
malengo ya kisiasa endapo njia ya
amani
na
mazungumzo
imeshindikana kuondoa dhuluma.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iruhusu kuwepo kwa
25
hairuhusu kusajili chama cha
chama cha namna hiyo. Hii itatoa
siasa chenye
wafuasi
katika
uhuru kamili kwa raia wa pande
upande
mmoja
tu
wa
mbili hizi kutoa maoni na kutetea
muungano
au
kuendesha
maslahi
na
maendeleo
yao
hata
shughuli zake katika upande
kama ni wachache [bila kujali idadi
mmoja tu wa muungano.
yao]
SEHEMU YA III: HADHI NA MADARAKA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA
NA.
HOJA
MAONI
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya
iruhusu
rais
26
inampa
rais
hadhi
na
kufunguliwa
mashtaka
kwa
kosa
mamlaka makubwa kiasi cha
lolote akiwa ndani au nje ya
kuwa
juu
ya
sheria
madaraka.
Hii
itasaidia katika
(asiyeweza kushitakiwa) kwa
uwajibikaji wa rais na kuzuia
kosa la aina yoyote akiwepo
ufisadi na ubadhirifu wa mali za
madarakani au hata akiwa nje
wananchi kwa kutumia madaraka
ya madaraka
aliyopewa na wananchi.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya isimpe Rais madaraka
27
imempa mamlaka Rais kutoa
ya kutoa msamaha kwa kuwa hili
misamaha kwa watenda kosa
linapelekea kuingilia maamuzi ya
lolote.
mahakama.
Kwamba
Serikali haizingatii
Katiba mpya iweke masharti ya
uwiano
wa
kidini katika
kuzingatia uwiano wa kidini kwa
28
uteuzi
wa
nyadhifa
wateuzi katika uteuzi wa nyadhifa
mbalimbali
serikalini
na
mbalimbali (viongozi na watendaji
vyombo
vyake
(viongozi
na
waandamizi
serikalini)
kuondoa
watendaji
waandamizi).
Hii
hisia za kuwepo upendeleo wa
inapelekea
kuwepo
hisia
za
kidini.
upendeleo na udini.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke wazi kuwa
inampa
madaraka
rais
baraza la mawaziri halitatokana na
kuchagua mawaziri kutokana
wabunge
waliochaguliwa
na
29
na wabunge waliochaguliwa
wananchi, Rais achague mawaziri
na wananchi. Hii imepelekea
kama watendaji wa serikali nje ya
wabunge
kushughulikia
bunge. Mawaziri waingie bungeni
maslahi ya majimbo yao zaidi
kama wawakilishi wa serikali na
kuliko maslahi ya kitaifa.
siyo wawakilishi wa majimbo na
serikali kama ilivyo sasa.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya isimpe madaraka rais,
30
inampa
madaraka
makubwa
mkuu wa Mkoa na wa wilaya ya
rais kiasi cha kuwaweka watu
kumuweka
mtu kizuizini
bila
kizuizini
bila
kufikishwa
kufikishwa mahakamani.
Katiba
mahakamani. Huu ni uvunjifu
mpya isimpe rais mamlaka ya
wa haki za binaadamu.
kimahakama.
Sheria imempa madaraka rais
Katiba mpya iweke utaratibu wa
kuteua
watendaji
wa
Taasisi
kuteuliwa
watendaji
wa
31
ya
Kuzuia
na
Kuondoa
TAKUKURU na Bunge na bila
Rushwa.
Hii
imepelekea
kuingiliwa
utendaji wake
na
Taasisi
hiyo
kushindwa
Mkurugenzi wa Mashitaka ya Jinai.
kutekeleza
majukumu yake
kwa
uhuru
na
kuingiliwa
utendaji wake na Mkurugenzi
wa Mashitaka ya Jinai.
Katiba
iliyopo
inampa
Katiba mpya itoe madaraka kwa
madaraka
rais kuteua
Tume
bunge badala ya rais kuteua Tume
ya Uchaguzi ya Taifa. Hii
ya Uchaguzi ya Taifa. Katiba mpya
32
imepelekea
kuwepo
kwa
vilevile itoe fursa kwa raia kuhoji
malalamiko
ya kutokuwepo
matokeo ya uchaguzi ya rais
tume
huru
ya
uchaguzi.
mahakamani.
Mahakama
na
sio
Kwamba kwa ajili hii matokeo
tume ya uchaguzi kiwe ndicho
ya uchaguzi wa rais pindi
chombo cha kuthibitisha uhalali wa
yanapotangazwa na tume ya
matokeo ya uchaguzi wa rais.
uchaguzi hayawezi kuhojiwa
mahakamani.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya isimpe mamlaka rais
33
inampa
madaraka
rais
ya
kulivunja bunge.
kulivunja
bunge.
Hii
ni
kuwanyima haki wananchi ya
kuendelea kuwa na viongozi
waliowachagua kwa
ridhaa
yao.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke utaratibu wa
34
inampa madaraka
rais ya
uteuzi wa nyadhifa hizo uwe kwa
kuteua Jaji Mkuu, Jaji
kushauriana Rais na Tume ya
Kiongozi, Jaji wa Mahakama
Utumishi wa Mahakama na
Kuu na Jaji wa Mahakama ya
kuidhinishwa uteuzi huo na bunge.
Rufaa bila ya idhini ya bunge.
Hii imepelekea kuwepo kwa
malalamiko
ya
mahakama
hizo kutokuwa
huru katika
kutekeleza majukumu yake.
SEHEMU YA IV: UWAKILISHI WA RAIA KATIKA MIHIMILI MIKUU YA DOLA
NA.
HOJA
MAONI
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke utaratibu wa
haitambui
umuhimu
wa
kuwepo uwakilishi wa dini katika
kuwepo wawakilishi wa dini
vyombo hivyo vilivyotajwa kwa
35
katika vyombo
vifuatavyo:
ajili ya kulinda maadili na maslahi
Bunge, Baraza la Wawakilishi,
ya dini husika.
na Baraza
la
Madiwani,
Mabaraza
ya
Usalama.
Hii
inapelekea
kufanywa
maamuzi ambayo yako nje na
maadili na sheria za dini
husika.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke utaratibu wa
36
inaruhusu
mtu
kujitangaza
wananchi kupendekeza wagombea
kufaa
kwake
katika
kupitia vyama vya siasa au vikundi
kugombea uongozi na hivyo
maalum (wagombea binafsi) ili
kupelekea
mazingira
ya
kupigiwa
kura.
Wananchi
rushwa
na
uongo.
Hii
wapendekeze
na
wawanadi
imepelekea
wanasiasa
wapigiwa kura.
kujipachika
sifa
na
uwezo
wasio nao.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya itoe nafasi kwa
inamzuia
raia
yeyote
mgombea binafsi kugombea katika
kugombea
uongozi
katika
nafsi zote za uongozi kwa sharti ya
37
nafasi yoyote mpaka awe ni
kupendekezwa na kundi la watu
mwanachama wa chama cha
raia
wa
Tanzania wasiopungua
siasa
kilichosajiliwa.
Hii
kumi na moja.
inawanyima
raia
wasio
wanachama
wa
vyama
vya
siasa kushiriki katika shughuli
za uongozi na bila shaka
kuzuia
wenye
sifa
za
kuongoza
taifa
kwa
kigezo
cha
kutokuwa
mwanachama
wa chama cha siasa.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iruhusu uwepo wa
38
inapiga marufuku kuwepo wa
vyama vya kisiasa vya kidini kama
vyama vya kisiasa vya kidini.
ilivyo
katika
nchi
nyingine
mathalani Ujerumani.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba
mpya
iruhusu
39
inapiga
marufuku
kuandikishwa chama
cha kisiasa
kuandikishwa
chama
cha
chenye lengo la kupigania haki,
siasa
chenye
malengo
ya
maendeleo na maslahi ya imani ya
kutetea maslahi na maendeleo
dini husika. Katiba itambue uhalali
ya dini. Hii inatoa tafsiri
wa raia kupigania maslahi na
potofu ya
dini
kutorandana
maendeleo ya dini yake.
na siasa
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke utaratibu wa
40
inatambua
mgawanyo
wa
kuigawa
nchi
katika majimbo
nchi katika mikoa na wilaya
yatayoongozwa
na
serikali
za
n.k.
kiutawala.
Wakuu
wa
majimbo
zitakazochaguliwa
na
mikoa na wakuu wa wilaya
wananchi.
Mkuu
wa
jimbo
wanateuliwa na rais.
achaguliwe na wananchi.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba
mpya
ifute
uwakilishi
inaruhusu
kuwepo
kwa
viti
kupitia viti maalum katika bunge
maalum
vya
wanawake
kwa misingi ya jinsia. Mtu
bungeni kwa misingi ya jinsia.
achaguliwe kwa sifa za kiutendaji
41
Yamekuwepo malalamiko ya
na siyo jinsia yake.
kwamba
baadhi
ya
wanaoteuliwa kwa kigezo cha
jinsia hawana sifa na uwezo
wa
kuongoza
na
kwamba
watu wa jinsia ya kiume
hawapewi
upendeleo
na
kwamba ipo hatari ya kuzuka
mfumo
jike
(kama Kenya
inakoelekea).
Kwamba
Yapo
malalamiko
Katiba mpya iweke utaratibu wa
dhidi
ya
wabunge
kuwawezesha
wapiga
kura
kutowajibika
katika
majimbo
kuwadhibiti
na
kuwawajibisha
42
yao
na
hakuna
utaratibu
wabunge wao ambao hawatekelezi
unaowawezesha wapiga kura
wajibu wao ipasavyo. Katiba mpya
kuwaondoa
wabunge
hao.
iwawezeshe
wapiga
kura
Kwamba
wabunge
hawana
kuwaondoa
wabunge
makazi
katika
sehemu
wasiotekeleza ipasavyo wajibu wao
wanazoziwakilisha.
bila kusubiri kipindi cha uchaguzi
mpya. Katiba iweke masharti ya
mbunge kuwa na makazi katika
jimbo analoliwakilisha.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke utaratibu wa
inatambua
kuwepo
kwa
kujaza
nafasi
ya
mbunge
43
uchaguzi mdogo wa mbunge
inapokuwa
wazi.
Nafasi
ya
pindi
zinapotokea
sababu
mbunge
ijazwe
mathalani
kwa
mbalimbali kama vile kufariki
utaratibu wa chama husika au
kwa
mbunge
n.k.
Hii
kikundi
husika
kumteuwa
imepelekea taifa kugharimika
mwanachama au mtu mwingine
sana kwa ajili ya chaguzi hizi.
kurithi
nafasi
ya
mbunge
aliyeondoka.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke utaratibu wa
44
haitambui uwepo wa serikali
kuunda serikali ya mseto.
ya mseto.
Hii inapelekea
serikali
kuundwa
kwa
uwakilishi wa watu wachache
na hivyo kukosa sifa ya
serikali ya umoja wa kitaifa.
SEHEMU V: HIFADHI NA MATUMIZI YA ARDHI NA RASILIMALI ZA TAIFA
NA.
HOJA
MAONI
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke bayana haki ya
imempa haki mtu ya kumiliki
mtu kumiliki na kutumia mali yake
45
na
kutumia
mali
zake
kwa kuzingatia sheria ya imani ya
atakavyo bila kuchunga sheria
dini yake.
na imani ya dini yake au za
watu
wengine.
(Mathalani
mtu
kurithithisha
mali
yake
atakavyo yeye
kinyume na
sheria ya dini yake)
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba iitake serikali kufanya sensa
46
haizungumzii
umuhimu wa
baada ya kila miaka mitano kujua
sensa
katika
kujua takwimu
idadi ya watu, hali zao na idadi ya
za watu.
Hii
imepelekea
wafuasi wa dini mbalimbali kwa
kutolewa
takwimu
ajili ya maendeleo ya kijamii na
zisizokuwa
rasmi
na
zenye
kuweka uwiano katika kutoa haki
malengo ya upotoshaji.
sawa na huduma kwa raia wake.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya isiruhusu kwa hali
47
imetoa mwanya
kwa
ardhi
yoyote kuwekwa kwa vituo vya
yetu kutumika kwa malengo
kigeni vya kijeshi na upelelezi
ya
ukoloni
mamboleo.
katika Jamhuri ya Muungano wa
Mathalan
haitoi
pingamizi
Tanzania.
kwa
mataifa
ya
nje kuweka
vituo vya kijeshi na upelelezi
katika ardhi ya Tanzania.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iweke wazi kwamba
imeimilikisha
ardhi
kwa
ardhi ni mali ya raia (wananchi) na
serikali yaani kikatiba ardhi ni
serikali ni wakala tu wa raia katika
mali
ya
serikali.
Hii
kugawa ardhi kwa uadilifu na kwa
48
imepelekea
serikali
kuwa na
ridhaa ya raia. Umiliki wa ardhi
mamlaka
ya
kumilikisha
uweze
kuondolewa
kwa
mmiliki
ardhi kwa yeyote bila ridhaa
iwapo
atashindwa
kuiendeleza
ya wananchi, hata kama ikiwa
ardhi kwa miaka mitatu mfululizo.
wanaomilikishwa
ni
wageni.
Raia
aweze
kuuza
ardhi
Imerahisisha
pia
uporwaji
aliyomilikishwa
kwa
raia
unaofanywa
na
wageni
mwingine au kukodisha kwa asiye
(mataifa
ya
kigeni
raia kwa
mkataba
unaoweza
wakishirikiana
na
baadhi ya
kuhuishwa kila baada ya miaka
viongozi)
wa
maliasili
mitatu.
Rais
aweze
kusitisha
zilizoko
chini
ya
ardhi
umiliki wa ardhi wa mtu au
(madini)
na
juu
yake
kikundi kidogo cha watu kwa
(wanyama pori, misitu, mazao
manufaa ya waliyo wengi maadam
ya baharini n.k.)
mmliki
au
wamiliki
watalipwa
fidia inayolingana na thamani ya
ardhi
wanayopoteza
umiliki na
vilivyomo kwa wakati huo
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya itoe maelekezo kwa
haitambui
umilikishaji
wa
sheria za mipango miji kulenga
49
ardhi kwa uwiano wa kidini.
ugawaji wa ardhi kwa kuainisha
Hii
imepelekea
mathalani
maeneo ya dini kwa mujibu wa
upimaji
wa
maeneo
mapya
uwiano wa kidini katika eneo
kupitishwa
bila
kuainisha
husika.
maeneo
maalum
kwa
dini
husika
na
hivyo
kupelekea
mivutano
isiyo
ya
lazima.
Zipo hisia za umilikishaji wa
ardhi
kwa
upendeleo
wa
kidini.
Kwamba
Sheria
za
nchi
Katiba
impe
mamlaka
huru
hazimpi madaraka
Mkaguzi
Mkaguzi
Mkuu wa
Serikali
50
Mkuu
wa
Serikali
kumfungulia
mashitaka
yeyote
kumfungulia
mashitaka
anayetuhumiwa kwa ubadhirifu au
mtumishi
wa
serikali
ufisadi wa mali ya umma.
anayetuhumiwa
kufanya
ubadhirifu
na ufisadi katika
mali ya umma.
Kwamba Katiba iliyopo
iko
Katiba
mpya
ibainishe
wazi
kimya juu ya umiliki, ulinzi,
kwamba mali za asili ni mali za raia
matumizi na udhibiti wa mali
wa Tanzania tu kwa kila upande
51
za asili za Tanzania, zikiwepo
wa muungano na iweke utaratibu
madini, mazao ya
baharini,
madhubuti wa kulinda mali hizi
wanyama pori, misitu n.k. Hii
dhidi ya ufisadi wa ndani na nje.
imepelekea
matumizi
ya
kiholela, ubadhilifu na uporaji
wa mali hizi unaofanywa na
mafisadi wa ndani na nje na
hivyo kuendelea kusababisha
hali ya
umasikini
kwa
Watanzania.
SEHEMU YA VI: VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA WA RAIA
NA.
HOJA
MAONI
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya isiruhusu kwa hali
imetoa
mwanya
kwa ardhi
yoyote kuwekwa kwa vituo vya
52
yetu kutumika kwa malengo
kigeni vya kijeshi na upelelezi
ya
ukoloni
mamboleo.
katika Jamhuri ya Muungano wa
Mathalan
haitoi
pingamizi
Tanzania.
kwa mataifa ya nje kuweka
vituo vya kijeshi na upelelezi
katika ardhi ya Tanzania.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya iendelee
kupiga
haidhibiti
kikamilifu
marufuku kuwepo kwa
tume na
uundwaji kiholela wa tume na majeshi haya yasiyo rasmi na majeshi ya ulinzi nje ya yale kuweka utaratibu thabiti wa kuziba
53 ya serikali. Mathalani tume ya mianya ya kuundwa mengine ya majeshi ya Kikatoliki katika mfano huo.
Jeshi la Ulinzi la Tanzania na kuwepo kwa Jeshi la Wokovu la Wakristo
SEHEMU YA VI: USAWA, HAKI YA KUISHI NA HAKI ZA BINADAMU
NA.
HOJA
MAONI
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba mpya isitishe kuitambulisha
54
inaitambulisha
Tanzania
Tanzania kama nchi ya kijamaa na
kama nchi ya ujamaa tofauti
Watanzania kama wajamaa. Ubaki
na uhalisia wa mazingira ya
mfumo wa siasa ya kujitegemea
kisiasa
na
kiuchumi
na
(kutokuwa
tegemezi
na
kiitikadi yaliyopo nchini
ombaomba).
Kwamba Katiba iliyopo haitoi
Katiba mpya ianishe tafsiri sahihi
55
tafsiri yakinifu
ya
neno
ya USAWA kwa mujibu wa imani
USAWA (mfano usawa katika
za dini ya mtu. Hii itasaidia
mirathi,
usawa
katika
wananchi
kutafsiri USAWA
kwa
majukumu ya mwanamke na
mnasaba wa mafundisho ya imani
mwanamume
katika
jamii
ya dini zao.
n.k).
Kwamba Katiba iliyopo inatoa
Katiba mpya iweke mipaka ya
56
uhuru na haki ya kuishi usio
uhuru na haki ya kuishi yenye
na mipaka na usiotilia maani
kuzingatia uhuru na haki ya kuishi
uhuru na haki za wengine
ya wengine. Mathalani iweke
kuishi.
sheria ya kuuawa kwa mtu
aliyeuwa
mwingine au
watu
wengine kwa dhulma.
Kwamba
Katiba
iliyopo
Katiba isiruhusu mahusiano yoyote
haikatazi mahusiano ya jimai
ya kimapenzi nje ya ndoa na
57
na kimapenzi
nje ya
ndoa
mahusiano ya kimapenzi ya watu
pamoja na mahusiano ya
wa jinsia moja na ndoa ya watu wa
namna hiyo kwa watu wa
jinsia moja. Katiba ipige marufuku
jinsia moja. Hii imepelekea
vitendo
au
utengenezaji
wa
kuporomoka kwa maadili na
mazingira
yanayopelekea
au
mparaganyiko
katika
jamii,
kurahisisha mahusiano ya namna
kuenea
kwa
watoto
wa
hiyo.
mitaani
na
maradhi
ya
ukimwi na maradhi mengine
ya zinaa.
Kwamba
Mfumo wa
Elimu
Katiba mpya iruhusu watu wa dini
58
uliopo
hauwapi
fursa
mbalimbali kuwa na mfumo wa
Waislamu
kuchunga
maadili
elimu
utakaozingatia
imani,
na itikadi ya dini yao. Ipo
maadili, mila, itikadi na desturi za
mitaala ya elimu iliyotofauti
dini zao.
na ile ya elimu ya Mtanzania
ambayo
imeruhusiwa
(Cambridge, Marekani
n.k).
Kwamba
Waislamu
wana
haki ya msingi ya kufuata
mfumo wa elimu wa Kiislamu
kama sehemu ya ibada katika
Uislamu.
43
Kwamba Sheria za nchi
Katiba
mpya
impunguzie
zinampa mamlaka makubwa
madaraka
Mkurugenzi
wa
Mkurugenzi wa Mashitaka ya
Mashitaka ya
Jinai. Imlazimishe
Jinai [DPP] kiasi cha kuwa na
kupeleka
kesi
mahakamani na
hiari
kuifikisha
kesi
isimpe uwezo wa kufuta kesi kwa
mahakamani au kutoifikisha
matakwa
yake.
Uamuzi
wa
au hata kuifuta kabisa bila
kuendelea au kufuta kesi uwe ni
idhini ya hakimu.
wa mahakama.
ANGALIZO: MAONI HAYA YAMEKUSANYWA KWA LENGO LA KUFANIKISHA MCHAKATO WA KUANDIKWA KATIBA MPYA.
HIVYO BASI MUISLAMU YEYOTE ANAWEZA KUENDELEA KUCHANGIA KWA KUZIDISHA VIPENGELE AMBAVYO VIMESAHAULIWA AU KUPUNGUZWA NA VIMEKOSEWA KWANI UKAMILIFU NI WA ALLAH [SUBHAANAHU WA TA'ALA]
WAKUSANYAJI NA WARATIBU WA HOJA NA MAONI
1. Sheikh Salim A. Barahiyaan [LLB Shariah, LLM Shariah & Law]
2. Dr. Abu-Malik Juma [PhD Economics]
TAKWIMU
IDADI YA MIKOA ZILIPOFANYIKA SEMINA SHIRIKISHI
TANZANIA BARA
17
ZANZIBAR
1
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment