Thursday, 13 February 2014

Re: [wanabidii] EFD - WAFANYABIASHARA SUMBAWANGA NA ARUSHA WAFUNGA MADUKA

JAMANI,

Yawezekana hayo mnayoyasema ni kweli lakini mimi nikiangalia kwa ndani kabisa tena kwenye pembe ambayo inaonekana kuwa na utusitusi kidogo naona kitu kama SIASA vile imejificha pale. Huenda ikiwekwa wazi hata hiyo jambo linaweza kutatuliwa kwa haraka.
 
K.E.M.S.

On Wednesday, 12 February 2014, 23:59, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com> wrote:
Mbegu,

Kwa hiyo tatizo la msingi hapa ni mfumo wa manunuzi, sasa hebu angalia mchongo unavyokuwa;  inatangazwa tenda, jamaa anatengeza kampuni kama kumi, zote zinaomba, anatofautisha kiwango cha bei kulingana na mchongo alopewa, kisha ile aliyoiwekea bei ndogo inashinda japo kiuhalisia bei ni kubwa, duh kazi kweli kweli.

Kwa hiyo katika hili dili anayeibiwa ni sisi wananchi kwani mfanyabiashara anaikopesha serikali, atarudishiwa, lakini wale jamaa wa mchongo wanazivuta kupitia mlango wa uani fedha za kodi zetu!!!!!

2014-02-13 12:48 GMT+05:30 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:
Sina uhakika, licha ya bei kuwa kubwa kupita kiasi, nasikia wanaelekezwa wakanunue mahali fulani tu. Kama hilo ni kweli, hivi haiwezekani zikaagizwa za kutosha halafu zikauzwa kama simu za mkononi na watu tofauti tofauti ila kila mtu akanunue anakotaka?

Date: Wed, 12 Feb 2014 23:13:45 -0800
From: ipyana75@yahoo.com

Subject: Re: [wanabidii] EFD - WAFANYABIASHARA SUMBAWANGA NA ARUSHA WAFUNGA MADUKA
To: wanabidii@googlegroups.com

Mwl Mwakyembe;

Unachosema ni kweli,suala la kodi halina compromise ni lazima ilipwe na Watz wote,sisi wafanyakazi tunaumia sana kwa kodi,na hii ndio kupanua wigo wa kodi pia tunawataka TRA kuendelea kuwa wabunifu kupanua wigo huu ili kila mmoja awemo ndani yake.

Lakini inapokuja suala la changamoto zilizomo nazo zisifumbiwe macho,tutatue tusonge mbele mana lazima kuna kitu hakiendi sawa ndo zao la hii migomo.

Suala la kutolewa hizi mashine bure au kwa gharama ndogo hata mimi naafiki,kwa kuwa wao ni wakala wa kukusanya kodi sasa logically kwanini auziwe tena kwa gharama kubwa??

Je anapofilisika atafanyia nini hiyo mashine na ina pesa yake mingi tu?Mana akipewa bure siku ameingia mufilisi atairudisha kwa mwenyewe na itaweza kutumika kwa mtu mwingine.

Pia kama TRA wamechakachua bei za hizi mashine siku sio mingi linakwenda watu,mana kuna tetesi kwamba thamani ya hizi mashine haizidi 200elfu lakini wao wanauziwa bei ya kufa mutu,hivyo inawezekana ni kamradi ka waeshimiwa flani.

Napita tu,usubui njema.
 
Reuben
From: Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, February 12, 2014 5:17 PM
Subject: Re: [wanabidii] EFD - WAFANYABIASHARA SUMBAWANGA NA ARUSHA WAFUNGA MADUKA

Na kweli John, miaka yote wafanyakazi ndio wamekuwa wakikabwa kupitia PAYE, huku wao wakikwepa kutokana na mianya iliyopo.

On 12 February 2014 19:29, John George <georgejn2000@gmail.com> wrote:
Wafunge tu. Baadaye watafungua

On 2/12/14, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:
> WAFANYABIASHARA SUMBAWANGA NA ARUSHA WAFUNGA MADUKA
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment