Mwl. Lwaitama,
Kwa yaliyotokea, kama mpaka sasa CEO wa Precision air hajakuandikia kukuomba msamaha, basi hata yeye hafai kwenye nafasi aliyopo.
afj
wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com]
Sent: Sunday, February 02, 2014 11:06 PM
To: Digest Recipients
Subject: [wanabidii] Digest for wanabidii@googlegroups.com - 11 Messages in 5 Topics
Group: http://groups.google.com/group/wanabidii/topics
§ CD mpya Bongo Tambarare ya FFU-Ughaibuni yatua nchini Ethopia ! [1 Update]
§ The Juu Zaidi KANUISM still Runs to date - Or what do u make of Duale! [1 Update]
§ MAELEZO YA Mwl Lwaitama baada ya Kushushwa kwenye Ndege ya PrecisionAir [4 Updates]
§ MZALENDO ZITO ZUBERI KABWE SASA ATISHIA MAISHA YA CHADEMA [4 Updates]
§ NFIA Bill: As Reps Plan Public Hearing [1 Update]
John KISOMO <jkisomo@gmail.com> Feb 02 08:33PM +0100
CD mpya "Bongo Tambarare" ya Ngoma Africa Band aka FFU ndani ya Ethopia !
Addis Ababa,Ethopia,
Kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band
aka FFU aka Anunnaki Alien Kamanda Ras Makunja amewasili nchini Ethopia kwa
ziara ya siku tatu ya kikazi,kwa ajili ya kuiporomoti CD mpya "Bongo
Tambarare" ,baada ya wadau wa muziki nchini humo kuomba CD hiyo iweze
kupigwa katika vituo vya redio nchini humo.wadau wa Ethopia wamevutiwa sana
na mdundo uliomo ndani ya CD ya "Bongo Tambarare" yenye nyimbo tatu ambayo
inasikika at www.ngoma-africa.com ,habari za uhakika zimetonya kuwa bendi
hiyo pia itaenda nchini urusi kwa mwaliko
maalumu katika maonyesho michezo ya olympiki ya msimu wa baridi mjini
Sochi. Kuwepo kwa hali ya baridi kali na barafu nyingi huko ulaya ! bado
kunaleta maswali mengi juu ya ziara ya wakali hao wa muziki wa dansi FFU !
kama watasafiri na kupiga mzigo ? kama kawaida yao.
Evans MACHERA <evansmachera@yahoo.com> Feb 02 10:13AM -0800
I’d take a bullet for Uhuru, Ruto— Duale
February 2, 2014
Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> Feb 02 11:25AM
Utetezi wa Mhudumu wa Precision
Bariki,
Siwaelewi wale mnaotetea mhudumu wa ndege kunitoa nje ya ndege kwa kumshauri kwa nini hasitoe maelekezo kwa Kiswahili vile eti vile mhudumu mwingine siku nyingine aliisha nitolea maelezo kuwa hivyo ndivyo walivyoelekezwa na wakubwa wao kufanya. Kwanini eti mimi nipate muda wa kwenda kwa wakubwa wa Precision kuwaeleza wakati mimi nilidhani kwa kuwaeleza wahudumu wengi iwezekanavyo basi wao watawaeleza maeelezo yangu wakubwa wao na watabadirisha maelezo haya. Hivi nikienda hoteli nikatoa ushauri kwa wahudumu wa chini juu ya maboresho watanitupa nje ya hoteli au watakwenda wao kwa wakubwa wao na kuwaeleza ushauri wangu. Mimi siwachukulii wahudumu kama mashine za roboti na kampuni nzuri lazima iweke muda wa kupata ushauri wa wahudumu wao kadiri na wao wanavyopata malalamiko ya wanao wahudumia.
Hivi ili swala la mimi kurudia rudia ushauri wangu kwa kila mhudumu anayeniuliza kama najua Kiingereza ilianipe maelezo kwa kutumia Kiswahili( maelezo ambayo hata juu ya mlango wa dharura kwenyewe yametoleawa tafsiri ya Kiswahili) ni swala liliitaji mhudumu kusema kwa hasira eti nitakutoa nje ya ndege na kweli akatengeneza mazingira ya uongo ya kumshaawishi rubani kunitoa nje ya ndege eti nafanya fujo? Hivi kweli mimi nilitarajiwa nitenge muda kuandika kwa uongozi wa juu wa Precision kuwaelezea wahudumu wao wawe wanatoa maelezo yale kwa Kiswahili wakiombwa na abiria wafanye hivyo? Sielewi utetezi huu wa mhudumu kutenda kazi kwa kiburi na kama roboti kunatokana na kunichukia mimi kama mimi au ni kweli kama mtu ungekuwepo pale ukaona mhudumu alivyopoteza muda mwingi kutengeneza mazingira ya kunitoa nje nje ya ndege kwa kudhubutu kumwambia je si ungeweza ukatoa hayo maelezo?
Yaani mtu unatetea mhudumu wa ndege kumwamisha abiri kwenye kiti alichopewa na ndege yenyewe na tayari ameisha kaa na kufunga mkanda amaulizwa kama anajua Kiingereza akasema najua kidogo au hakijui kabisa? Yaani abiria huyu hasiye jua Kiingereza RUKSA kudhalilishwa hata kama maelezo hayo hayo ytayari yamewekwa juu ya mlango wa dharura huo huo kwa tafsiri ya Kiswahili? Potelea mabali HATA kama Cabin Crew Manual ya Precision inasema kitumike Kiingereza kutoa maelezo ya kufungua mlango wa dharura? Huku mhudumu huyo huyo anayatoa maelezo mengine yote kwa abiria wote tafsiri ya Kiswahili hicho hicho?
Yaani ni sawa tu abiria abughudhiwe kwa kuamrishwa kwa kiburi kuondoka kwenye kiti alichoisha kaa na kufunga belti eti vile hajui kiingereza au anajua kidogo kidogo? Yaani mimi ninaambiwa eti NINGEVUMILIA na kunyamazia ujuha huu na eti baadaye , kwa muda wangu ninge kaa chini niuandikie uongozi wa juu wa Precision nieleze haya yote kwenye barua pepe kwa CEO wa Precision KUPUSHA madhara ya KUMSUMBUA mhudumu wa Precision vile hasitaili kuulizwa kwa nusu sekunde kwa nini hasitoe maelezo haya kwa Kiswahili?
Mtu hasiyejua lugha ya taifa Kiswahili ni mtu hasiye na thamani kiasi hiki? Na Mtanzania ananilaumi mimi ( eti mtu wa hadi yangu???) kwa kujitolea kutetea matumizi ya Kiswahili kwa nusu sekunde lakini anamtetea mhudumu anaye dharau mtu hasiyejua Kiswahili wa aina hii, kweli? HUO NDIO USOMI WA AFRIKA, ETI? Mungu ibariki Afrika. Mungu ibariki Tanzania. Nadhani utetezi waina hii ni ule ambao ungemtetea mhudumu wa hoteli ya wazungupekee Afrika ya Kusini aliyekuwa anamkamata Mwaafrika kwa kuingia mgahawa wa wazungu pekee vile eti mhudumu yule alikuwa anatekeleza maelezo ya wakubwa wake, au siyo?
Nawashukuru wanaonikosoa na kunilaumu kwa kutumia nusu sekunde kuwatetea wasiojua Kiingereza na wanadhutu kupanda ndege za Precision badala ya zile shirika jipya la FASTJET amabo wahudumu wao hawawabughudhi abairi wao wanaokaa karibu na milango ya dharura kama wanajua Kiingereza au hapana. Utetezi wao wa Yule mhudumu umenifungua macho kuwa yule mhudumu si yeye pekee hasiye wekea maanani umuhimu ushauri wa mtu anayethubutu kusema hajui Kiingereza.Yule mhudumu sasa utafiti wangu umefanikiwa kujua kuwa jina lake ni MARIAM JUMANNE, miaka 25, na mhudu aliyekuwa kiongozi wake aliyemsikiliza na akamsaidia kutekeleza azma yake ya kunitoa nje ya ndege na kukatisha safari yangu jina lake ni ANGELA MTEMI, miaka 35. Rubani aliyewasikiliza hawa wawili na kuwaamini kuwa mimi nilikuwa nafanay fujo na nilistahili kutupwa nje ya ndege ni INNOCENT MBOYA. Wanahabari mliomo humu nawasihi twendeleze mjadala huu kwa kutafuta hawa jama ni watoto wa nani, walisoma wapi shule tangu msingi, sekondari, na juu.
Mimi nitatimiza miaka 62 tarehe 16 Februari mwaka huu na napenda niweke wazi kuwa ni mtoto wa wakulima marehemu Sylivester Kente Lwaitama na marehemu Lydia Mukaluagaisa Lwaitama wa kijiji cha Bumai, Bugabo, Bukoba Vijijini. Ni motto wa shamba. Hta hivyo tabia yangy ya udadidadisi na kuhohoji imetokana na elimuniliyopata kutoka shule za Katare Primary School, Iluhya Upper Primary School, Ilboru Secondary School, Minaki High School, University of Dar es Salaam, na Aston University in Birmigham, Uingereza.
Nina uhakika tabia yangu iliyoniponza ya kuhohoji mambo na kutetea wanyonge niliambukizwa na walimu wangu wa taasisi hizo nikopata elimu. Labda na wenzangu waliambukizwa tabia zao za kutunisha misuli kwa abiria anayehohoji mambo waliambukizwa na walimu wao wa asasi za elimu walikopata elimu. Labda mimi elimu niliyopata yakudadisidadisi mambo si shahii na labda elimu ya wao yakutii amri na kutafakari juu ya matokeo ya matendo yako baadaye ni sahihi zaidi kataiaka Tanzania ya leo. Sijui!! Nakubali mateso yote nitakayopata kutokana na tabia yangu “mbaya” ya kuudadidisi na kuhohoji mambo kila mara!! Sina wakumlaumu na sirahisi kuibadili katika umri huu wa miaka 62!!! Nitabia hii inayonichonganisha na marafiki zangu wa CCM ninaposema kila mara kuwa mimi ni CCM Mfu na natamani CCM kibwagwe katika uchanguzi wa 2015!!
AMA KWELI SIJIHURUMII VILE HATA SASA NI WAZI SIHIJUTII TABIA HII YA KUDADISIDADISI NA KUHOJIHOJI MAMBO (KAMA NILIVYOELEIMISHWA KUWA TABIA HII INAITAJIKA KATIKA ZAMA HIZI ZA "KNOWLEDGE SOCIETY" NA KUACHANA NA YA ELIMU YA KUKARIRI KARIRIRI KAMA ROBOTI AU "PHOTOCOPIER") NA NINAYAPOKEA KWA UNYEYENYEKEVU MATOKEO YA KUWA NA TABIA HII ( KAMA KULE KUDHALILISHWA NA MHUDUMU HUYU MARIAM JUMANNE NA WASHIRIKA WAKE) !!! NAWASHUKURU WOTE HUMU MTANDAONI WANANINANGA KWA KUMSUBUA MHUDUMU YULE PAMOJA NA WALE MNAONIPA POLE KWA KUDHALILISHWA KATIKA UTETEZI WANGU AMBAO HATA HIVYO HAUKUPANGWA KWA MAKSUDI, WA MATUMIZI YA KISWAHILI KATIKA TASNIA YA MAMBO YA ANGA!!! WOTE MMENIELEIMISHA!!
Mwl. Lwaitama
________________________________
Finnigan wa Simbeye <f_simbeye@yahoo.com> Feb 02 03:34AM -0800
Mwl. Dk Lwaitama,
Huna haja ya kutoa maelezo marefu hapa ili kuwaridhisha baadhi yetu ambao ama hawajui taratibu za kutoa maelezo ndani ya ndege au kwa makusudi yao wenyewe wanaona ulifanyiwa sawa na mhudumu huyo wa Precision kwani nao hawakupendi na labda hata lugha yetu ya taifa hawaipendi maana jambo hili lipo wazi kabisa, hamna haja ya kubishana!!
wa Simbeye
On Sunday, February 2, 2014 2:26 PM, Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:
Utetezi wa Mhudumu wa Precision
Bariki,
Siwaelewi wale mnaotetea mhudumu wa ndege kunitoa nje ya ndege kwa kumshauri kwa nini hasitoe maelekezo kwa Kiswahili vile eti vile mhudumu mwingine siku nyingine aliisha nitolea maelezo kuwa hivyo ndivyo walivyoelekezwa na wakubwa wao kufanya. Kwanini eti mimi nipate muda wa kwenda kwa wakubwa wa Precision kuwaeleza wakati mimi nilidhani kwa kuwaeleza wahudumu wengi iwezekanavyo basi wao watawaeleza maeelezo yangu wakubwa wao na watabadirisha maelezo haya. Hivi nikienda hoteli nikatoa ushauri kwa wahudumu wa chini juu ya maboresho watanitupa nje ya hoteli au watakwenda wao kwa wakubwa wao na kuwaeleza ushauri wangu. Mimi siwachukulii wahudumu kama mashine za roboti na kampuni nzuri lazima iweke muda wa kupata ushauri wa wahudumu wao kadiri na wao wanavyopata malalamiko ya wanao wahudumia.
Hivi ili swala la mimi kurudia rudia ushauri wangu kwa kila mhudumu anayeniuliza kama najua Kiingereza ilianipe maelezo kwa kutumia Kiswahili( maelezo ambayo hata juu ya mlango wa dharura kwenyewe yametoleawa tafsiri ya Kiswahili) ni swala liliitaji mhudumu kusema kwa hasira eti nitakutoa nje ya ndege na kweli akatengeneza mazingira ya uongo ya kumshaawishi rubani kunitoa nje ya ndege eti nafanya fujo? Hivi kweli mimi nilitarajiwa nitenge muda kuandika kwa uongozi wa juu wa Precision kuwaelezea wahudumu wao wawe wanatoa maelezo yale kwa Kiswahili wakiombwa na abiria wafanye hivyo? Sielewi utetezi huu wa mhudumu kutenda kazi kwa kiburi na kama roboti kunatokana na kunichukia mimi kama mimi au ni kweli kama mtu ungekuwepo pale ukaona mhudumu alivyopoteza muda mwingi kutengeneza mazingira ya kunitoa nje nje ya ndege kwa kudhubutu kumwambia je si ungeweza ukatoa hayo maelezo?
Yaani mtu unatetea mhudumu wa ndege kumwamisha abiri kwenye kiti alichopewa na ndege yenyewe na tayari ameisha kaa na kufunga mkanda amaulizwa kama anajua Kiingereza akasema najua kidogo au hakijui kabisa? Yaani abiria huyu hasiye jua Kiingereza RUKSA kudhalilishwa hata kama maelezo hayo hayo ytayari yamewekwa juu ya mlango wa dharura huo huo kwa tafsiri ya Kiswahili? Potelea mabali HATA kama Cabin Crew Manual ya Precision inasema kitumike Kiingereza kutoa maelezo ya kufungua mlango wa dharura? Huku mhudumu huyo huyo anayatoa maelezo mengine yote kwa abiria wote tafsiri ya Kiswahili hicho hicho?
Yaani ni sawa tu abiria abughudhiwe kwa kuamrishwa kwa kiburi kuondoka kwenye kiti alichoisha kaa na kufunga belti eti vile hajui kiingereza au anajua kidogo kidogo? Yaani mimi ninaambiwa eti NINGEVUMILIA na kunyamazia ujuha huu na eti baadaye , kwa muda wangu ninge kaa chini niuandikie uongozi wa juu wa Precision nieleze haya yote kwenye barua pepe kwa CEO wa Precision KUPUSHA madhara ya KUMSUMBUA mhudumu wa Precision vile hasitaili kuulizwa kwa nusu sekunde kwa nini hasitoe maelezo haya kwa Kiswahili?
Mtu hasiyejua lugha ya taifa Kiswahili ni mtu hasiye na thamani kiasi hiki? Na Mtanzania ananilaumi mimi ( eti mtu wa hadi yangu???) kwa kujitolea kutetea matumizi ya Kiswahili kwa nusu sekunde lakini anamtetea mhudumu anaye dharau mtu hasiyejua Kiswahili wa aina hii, kweli? HUO NDIO USOMI WA AFRIKA, ETI? Mungu ibariki Afrika. Mungu ibariki Tanzania. Nadhani utetezi waina hii ni ule ambao ungemtetea mhudumu wa hoteli ya wazungupekee Afrika ya Kusini aliyekuwa anamkamata Mwaafrika kwa kuingia mgahawa wa wazungu pekee vile eti mhudumu yule alikuwa anatekeleza maelezo ya wakubwa wake, au siyo?
Nawashukuru wanaonikosoa na kunilaumu kwa kutumia nusu sekunde kuwatetea wasiojua Kiingereza na wanadhutu kupanda ndege za Precision badala ya zile shirika jipya la FASTJET amabo wahudumu wao hawawabughudhi abairi wao wanaokaa karibu na milango ya dharura kama wanajua Kiingereza au hapana. Utetezi wao wa Yule mhudumu umenifungua macho kuwa yule mhudumu si yeye pekee hasiye wekea maanani umuhimu ushauri wa mtu anayethubutu kusema hajui Kiingereza.Yule mhudumu sasa utafiti wangu umefanikiwa kujua kuwa jina lake ni MARIAM JUMANNE, miaka 25, na mhudu aliyekuwa kiongozi wake aliyemsikiliza na akamsaidia kutekeleza azma yake ya kunitoa nje ya ndege na kukatisha safari yangu jina lake ni ANGELA MTEMI, miaka 35. Rubani aliyewasikiliza hawa wawili na kuwaamini kuwa mimi nilikuwa nafanay fujo na nilistahili kutupwa nje ya ndege ni INNOCENT MBOYA. Wanahabari mliomo humu nawasihi twendeleze mjadala huu kwa kutafuta hawa jama ni watoto wa nani,
walisoma wapi shule tangu msingi, sekondari, na juu.
Mimi nitatimiza miaka 62 tarehe 16 Februari mwaka huu na napenda niweke wazi kuwa ni mtoto wa wakulima marehemu Sylivester Kente Lwaitama na marehemu Lydia Mukaluagaisa Lwaitama wa kijiji cha Bumai, Bugabo, Bukoba Vijijini. Ni motto wa shamba. Hta hivyo tabia yangy ya udadidadisi na kuhohoji imetokana na elimuniliyopata kutoka shule za Katare Primary School, Iluhya Upper Primary School, Ilboru Secondary School, Minaki High School, University of Dar es Salaam, na Aston University in Birmigham, Uingereza.
Nina uhakika tabia yangu iliyoniponza ya kuhohoji mambo na kutetea wanyonge niliambukizwa na walimu wangu wa taasisi hizo nikopata elimu. Labda na wenzangu waliambukizwa tabia zao za kutunisha misuli kwa abiria anayehohoji mambo waliambukizwa na walimu wao wa asasi za elimu walikopata elimu. Labda mimi elimu niliyopata yakudadisidadisi mambo si shahii na labda elimu ya wao yakutii amri na kutafakari juu ya matokeo ya matendo yako baadaye ni sahihi zaidi kataiaka Tanzania ya leo. Sijui!! Nakubali mateso yote nitakayopata kutokana na tabia yangu "mbaya" ya kuudadidisi na kuhohoji mambo kila mara!! Sina wakumlaumu na sirahisi kuibadili katika umri huu wa miaka 62!!! Nitabia hii inayonichonganisha na marafiki zangu wa CCM ninaposema kila mara kuwa mimi ni CCM Mfu na natamani CCM kibwagwe katika uchanguzi wa 2015!!
AMA KWELI SIJIHURUMII VILE HATA SASA NI WAZI SIHIJUTII TABIA HII YA KUDADISIDADISI NA KUHOJIHOJI MAMBO (KAMA NILIVYOELEIMISHWA KUWA TABIA HII INAITAJIKA KATIKA ZAMA HIZI ZA "KNOWLEDGE SOCIETY" NA KUACHANA NA YA ELIMU YA KUKARIRI KARIRIRI KAMA ROBOTI AU "PHOTOCOPIER") NA NINAYAPOKEA KWA UNYEYENYEKEVU MATOKEO YA KUWA NA TABIA HII ( KAMA KULE KUDHALILISHWA NA MHUDUMU HUYU MARIAM JUMANNE NA WASHIRIKA WAKE) !!! NAWASHUKURU WOTE HUMU MTANDAONI WANANINANGA KWA KUMSUBUA MHUDUMU YULE PAMOJA NA WALE MNAONIPA POLE KWA KUDHALILISHWA KATIKA UTETEZI WANGU AMBAO HATA HIVYO HAUKUPANGWA KWA MAKSUDI, WA MATUMIZI YA KISWAHILI KATIKA TASNIA YA MAMBO YA ANGA!!! WOTE MMENIELEIMISHA!!
Mwl. Lwaitama
________________________________
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Kamala J Lutatinisibwa <jlkamala@gmail.com> Feb 02 02:58PM +0300
wanajukwaa,
nimekutana na Mwl Lwaitama katika mitaaa mbali mbali ya mji wa bukoba,
kweli huyu mzee ukimuona hana atofauti na mkulima wa kawaida wa
kijijini bumai, anavaa simpo sana na muda mwingi utembea kwa miguu,
hana makuu na siku hizi amekuwa na tabia ya kuvaa kibaragashehe
kichwani, kama Mwl Lwaitama alivaa kikawaida siku ile, mhudumu wa
ndege alitaka kumtoa ushamba mkulima huyu na kumwonyesha kazi ya
polisi nini na kumtia adabu
lakini kama Mwl L angetinga suti au nguo za bei ghali na kuwa na
business card kubwa au kama angejitambulisha kuwa yeye ni mhadhili
mstaafu wa UDSM na sasa JOKUCO na ana PhD, mwandishi wa vitabu na
machapisho kibao, wale waliofanyia hivi wasinge mtoa nje ya ndege wala
nini
ukawaida Mwl L huu unamfanya aone hali halisi ya maisha ya watanzania
na ni mapambano tosha.
mhudumu hakujua kuwa huyu ni Mwl wa kizungu tena ngazi za juu, laiti
angalijua. na bila shaka kiingereza cha Mariam Jumanne kilikuwa ni
kama cha kwangu cha ze kamu ze go,
--
kamala J Lutatinisibwa
Steven Stey <parokostey@gmail.com> Feb 02 08:58PM +0300
Mwl Kaonewa itabidi kundi lote tuliopanga kwenda booking ya percussion
tusitishe kuomba huduma zao hii naona si vema kupuuza lugha yetu
regardless the numberal of yes we can speak. Sijafurahi
Steven Stey <parokostey@gmail.com> Feb 01 11:05PM +0300
Mi nafikiri tuangalie game kwa macho ZZK vs CDM, kama kweli ZZK ni maarufu
kuliko chama aje jukwaani aweke hadharani huo ndo uzalendo hizi rally kila
mtu anasaka tonge tusipoteze muda, kama mtaniamini wanasiasa wa ukweli
wamesha kufa hawa wa skuhizi nasita kuwaamini
Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> Feb 01 10:07PM
Je, ataongelea vile vile juu ya kupanda kwa bei ya umeme na mapendekezo ya kushusha bei hiyo ili iwe sawa na nchi majirani?
Date: Sat, 1 Feb 2014 06:50:21 -0800
From: misangocharles@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] MZALENDO ZITO ZUBERI KABWE SASA ATISHIA MAISHA YA CHADEMA
To: wanabidii@googlegroups.com
Napata shida wakati mwingine ninapoona mtanzania msomi kabisa anapoacha kujadili mambo ya msingi yenye maslahi ya nchi, kama huduma duni za afya, elimu mbovu, mikataba ya kumaliza nchi ila anang'ang'ania hoja mfu za chama fulani tena kisichokuwa madarakani namna kinavyoendesha shughuli zake. Mtanzania anayesakama wapinzani na kushindwa kuhoji iweje watuhumiwa wakubwa waliotuhumiwa kukwapua fedha za EPA na OGL leo wako huru, wanatesa huku wanyonge waiba kuku na vidani wanasota magerezani. Hawahoji nani anaruhusu kujengwa kwa majengo ya ovyo yanayoanguka na kuua lkn wahusika wanatamba eti hawaguswi; watanzania wanaowasakama baadhi ya wapinzani kwa kuwa na nyumba ndogo, wakati nao wamekimbiwa na wake zao kwa sababu ya umalaya
On Saturday, February 1, 2014 11:28 AM, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
Ndugu Lesian
Ukitaka kujenga hoja jaribu kujiuliza mantiki ya maneno unayotumia. Hapa neno fisadi ujalitendea haki na wala maelezo yako hayaendani na mgogoro halisi uliopo ndani ya CDM kati ya kambi ya Zitto na uongozi wa juu. Hawa viongozi wakiwa kwenye ziara zao mikoani wanayemsema sio Zitto bali CCM iliyo madarakani na wala mshindani wao siyo Zitto bali CCM. Be focused
2014-02-01 Dollar Kussenge <dkusssenge@gmail.com>:
Mugenda amelewa hongo ndogo ndogo kutoka kwa mh.ngengemtoni nyumba nyingi a.k.a muswati wa Tanzania ndani ya cdm
2014-01-31 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Lesian,Sidhahi kuwa hela za ruzuku kazi yake ni kujenga hospitali. Hela ya ruzuku kazi yake ni kujenga chama sasa kama
Chadema wameamua kutumia helikopta kujenga chama hiyo ni mipango yao. Hivi tumeshawahi kumuuliza Cheyo
anatumiaje hela zake za ruzuku?em
2014-01-31 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>:
stey uko sawa
tatizo la CDM hawapend kuonekana wao mafisadi kabisaa, hv kukod midege ya kisasa sjui mihelkopta kwa ajili ya kuzunguka kwa wananchi kunadi uongo dhidi ya zitto jamani na wao wakiambiwa mafisadi watakataa, hv tu wanafuja hela zetu angani na kwenye mabaa na nyama chomas baada ya kutudanganya ktk mikutano yao wanaoongea uongo......Hiii haikubaliki, hz hela za kukodi hwlikopta kwann wasijenge hospitali moja ya mfano waseme hii imejengwa na hadema kwa hela za ruzuku, au shule moja au hata km 2 za bara bara ya lami
kuhangaika na zitto tu, hawa bw ninmgewashaur hv, wapambane kwanza na mambo yao ya ndani ya chama, si waje kutuambia ujinga, inakuaje diwani afukuzwe ktk mkutano wa hadhara, hii ndio nasikia CDM.... wakishamaliza ndio wajiandae kuja kwenye publ;ic watuambie sera
zao tuwapime kama kweli wataweza kutwaa nchi, kwa sasa hapana
On Friday, January 31, 2014 8:37 AM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
----- Forwarded Message -----
This message is eligible for Automatic Cleanup! (emuganda@gmail.com)
Add cleanup rule
| More info
Usitupotezee muda na bites zetu hapa.em
2014-01-31 Steven Stey <parokostey@gmail.com>:
Ni kweli aanzie hapa dar
On Jan 31, 2014 4:13 PM, "MABADILIKO CHADEMA" <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
Baada ya Mabepari kumaliza ziara yao ya kwenda kujikosha mbele ya wajumbe wa baraza kuu la uongozi kwa jinsi walivyoloa ufisadi na kukimaliza chama.,inaonekana ziara hizo hazijazaa matunda yoyote kwakuwa wajumbe wa baraza kuu wamekataa kushawishiwa na Mbowe na Slaa kwani wamebaini hawo ndio chanzi cha Migogoro ndani ya chama nakusababisha chama kuwa na Madeni makubwa.
Baada ya Mafisadi hawo kumaliza sasa ni Zamu ya MZALENDO mtu wa watu wote ambae ni mbunge machachari kuliko wote ndani ya chadema.,
Watanzania tunasubiri kwa hamu ziara hiyo ya Mzalendo huyo zito.,
Kwataarifa zikizopo nikuwa tayari wasiwasi umetanda ndani ya chadema haswa mbowe na slaa kwakuwa wanamjua zito kwa hoja zake Kali.,
(KILA KONA NI MZALENDO, MZALENDO, MZALENDO, ZITO, ZITO, ZITO)
Haya ni maneno ya mikoani ambapo wanamsubiri kijana WAO, mtoto WAO, mbunge wa wote,
(YETU MACHO TWASUBIRI)
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

"Mazika Jack" <mazikac@gmail.com> Feb 02 09:15AM
Yyyyhuhh
Sent from my BlackBerry® Smartphone
-----Original Message-----
From: Steven Stey <parokostey@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 1 Feb 2014 23:05:08
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MZALENDO ZITO ZUBERI KABWE SASA ATISHIA MAISHA YA CHADEMA
Mi nafikiri tuangalie game kwa macho ZZK vs CDM, kama kweli ZZK ni maarufu
kuliko chama aje jukwaani aweke hadharani huo ndo uzalendo hizi rally kila
mtu anasaka tonge tusipoteze muda, kama mtaniamini wanasiasa wa ukweli
wamesha kufa hawa wa skuhizi nasita kuwaamini
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Jeremiah Kibwengo <jerrykibwe@gmail.com> Feb 02 12:54PM
Mtumia wa hii E-mail ni inaonyesha ni mojawapo wa wahusika wanao monitor
hili jukwaa. Je kama watanzania tuna hizi tabia tunategemea kweli Nchi
itaondokana na Umaskini? Badala ya kujadili mambo ya msingi kimaendeleo
tunabakia kila kukicha ni kutunga majungu na upumbavu kwenye majukwaa. Hii
ni aibu sana. Niliwahi kufika Nchi moja huko Bara la Ulaya, nikaulizwa
umetokea wapi, nilipojibu TZ, wakasema hio Nchi ni maskini kwasababu watu
wanatumia mda mwingi kutunga uongo, uzushi na majungu
Sasa source ya mwenye hio E-mail hapo ni hii:- designates 10.182.104.199 as
permitted sender) client-ip=10.182.104.199
Atapatikana tuu, maana nimeona hii IP Address inatumiwa na moja ya mtu
anaye monitor Jukwaa hili.
Cheekless 2011 <ogbakiri@gmail.com> Feb 02 08:57AM +0100
*NFIA Bill:*
*As Reps Plan Public Hearing*
Walter Duru
One special Christmas gift that Nigeria's National Assembly gave to
Nigerians was the second reading of the Bill for an act to establish the
long overdue Nigerian Financial Intelligence Agency (NFIA) at the House of
Representatives, as well as the Public Hearing on same by the Senate.
The second reading on the floor of the House, which was not without
opposition from enemies of the country came as a special yuletide package
to patriotic Nigerians. They have further added to the excitement by fixing
a public hearing on the Bill scheduled to hold on Monday, 3rd February,
2013.
Recent investigations revealed that the Stakeholders may be coming to the
House Public Hearing to adopt the positions earlier presented at the Senate
Public Hearing-total full endorsement of the Bill. Nothing has really
changed.
More worrisome however is the fact that the Financial Action Task Force and
the Egmont group of Financial Intelligence Units- the International
watchdogs are billed to visit Nigeria in February. The visit may not be
unconnected with their attempt to assess the extent of Nigeria's compliance
with international standards as well as to investigate the recent
controversies surrounding the relationship between the Economic and
Financial Crimes Commission and the Nigerian Financial Intelligence Unit.
There is palpable fear that the visit might return Nigeria to their black
books, if nothing is urgently done.
Prior to the House of Reps second reading of the NFIA Bill, well-meaning
citizens were already becoming nervous over the delay, especially,
considering the fact that the Upper Chamber (Senate) had long read it the
second time and even conducted a Public hearing on same.
Following the second reading on the floor of the House in December, 2013,
the Bill was referred to the House Committee on Financial Crimes, Drugs and
Narcotics for further actions. At this stage, the Committee is expected to
consult widely and organize a public hearing on the Bill.
The Bill seeks to establish the Nigerian Financial Intelligence Agency as the
central body in Nigeria responsible for receiving, requesting, analysing
and disseminating financial and other related information to all law
enforcement, security agencies, other relevant authorities, as well as
exchange of intelligence with over 139 Financial Intelligence Units
globally.
In his lead debate on the Bill, the Chairman, House Committee on Drugs,
Narcotics, Financial Crimes and anti-corruption, Hon. Jagaba Adams Jagaba
described it as essential in the war against money laundering and terrorism
financing in Nigeria.
He lamented over the absence of an independent institution with full
paraphernalia to gather intelligence effectively in the war against
terrorism financing, money laundering and other complex crimes in Nigeria;
a situation he blamed for the listing of Nigeria on the Financial Action
Task Force (FATF) high risk countries.
"The Financial Intelligence Unit is essentially to provide Financial
Intelligence to all law enforcement agencies and other relevant agencies
and Ministries such as the Directorate of State Security, Economic and
Financial Crimes Commission, Independent Corrupt Practices and other
related Offences Commission, Nigeria Police Force, Nigeria Customs Service,
Directorate Of Military Intelligence, Nigeria Intelligence Agency, Federal
Inland Revenue, National Drug Law Enforcement Agency, NAPTIP, Federal
Ministry Of Justice, And Federal Ministry Of Finance in the country, as
well as to all financial sectors' regulators such as the Central Bank of
Nigeria (CBN), the Securities and Exchange Commission (SEC), the National
Insurance Commission (NAICOM), and to a large extent to the Federal
Ministry of Industry, Trade and Investment, (FMIT/Special Control Unit on
Money Laundering."
"These agencies want confidentiality in their relationship with the NFIU.
If the NFIU is operating as a department of one of the agencies that is
also interested in the intelligence, the confidence is lost; this is one of
the reasons why this Bill is critical."
Meanwhile, consistent observations by the international community on
Nigeria despite the establishment of the EFCC, is that Nigeria does not
have a single platform for receiving financial intelligence reports.
Earlier in a presentation, Chairman, Senate Committee on Drugs, Narcotics,
Financial Crimes and anti-Corruption, Senator Victor Lar highlighted some
of the major constraints of the NFIU as is presently constituted.
"The "Commission" is the term recognized under the Money Laundering
Prohibition Act, 2011 and not the NFIU, even in areas where the NFIU is the
only recognized entity to perform those functions related to the receipt of
suspicious transaction reports. As such, the law is defective and the NFIU
is constantly confronted with situations where such reports are rendered to
various units of the EFCC, in clear breach and departure from the intended
rationale behind the establishment of the NFIU. A good example is Section 6
of the MLP Act, 2011 as amended in 2012. Further recall that an attempt to
amend Section 6 in December 2012 to read "NFIU" instead of "Commission as
the entity to receive suspicious transaction report in line with
international standard was rejected by the Senate because the NFIU is yet
to be defined in the law; The attendant non-cooperation of other law
enforcement agencies in working with the NFIU is as a result of lack of
confidence in the independence of the NFIU and clear definition of the
mandate of the NFIU which should be distinct from the mandate of the EFCC;
The need for high-level confidentiality in the conduct of the NFIU cannot
be guaranteed as it is currently constituted; Inadequate funding is
hindering the implementation of the core functions of the NFIU as no
separate budgetary provision has been made for it in the EFCC budget."
Just recently, the Financial Action Task Force (FATF)-the global standard
setter against terrorism and money laundering delisted Nigeria from the
list of high risk countries, a feat that would have been impossible if the
NFIA Bill was not at the National Assembly. Prior to the delisting,
Nigerians suffered unimaginable humiliations and losses at the
international economic market.
The implications of being on the FATF target list is that Nigerian
businessmen and women seeking financial instruments and facilities outside
Nigeria or from international financial institutions cannot get them.
Nigerians also faced the same challenges when trying to open accounts in
banks outside the country. Nigerian students who school abroad cannot be
trusted to obtain funding arrangements to continue schooling except they
pay cash.
Available statistics suggest that money laundering enhances terrorism, drug
trafficking and other high profile crimes. A greater percentage of funds
laundered are used for dangerous intercontinental and cross-border crimes,
hence, the urgent need to establish the NFIA.
The Nigeria<http://www.assetrecovery.org/kc/node/52f770df-a33e-11dc-bf1b-335d0754ba85.html>
Financial Intelligence
Unit<http://www.assetrecovery.org/kc/node/43704946-c2ba-11dc-b3c6-89cd5467be12.html>
(NFIU)
is the Nigeria<http://www.assetrecovery.org/kc/node/52f770df-a33e-11dc-bf1b-335d0754ba85.html>n
arm
of the global Financial Intelligence
Unit<http://www.assetrecovery.org/kc/node/43704946-c2ba-11dc-b3c6-89cd5467be12.html>
(FIU<http://www.assetrecovery.org/kc/node/43704946-c2ba-11dc-b3c6-89cd5467be12.html>)
and is presently domiciled within the Economic and Financial Crimes
Commission<http://www.assetrecovery.org/kc/node/7be38a65-a346-11dc-bf1b-335d0754ba85.html>
(EFCC<http://www.assetrecovery.org/kc/node/7be38a65-a346-11dc-bf1b-335d0754ba85.html>)
as a Unit, a situation that has not allowed its potentials to be explored
as a result of undue interference.
The setting up of the NFIU is part of the efforts of the Federal Government
to combat money laundering and the financing of terrorist activities in
Nigeria. Setting up of NFIU in 2005 was also part of the precondition for
the removal of Nigeria from the Financial Action Task Force list of
Non-cooperation countries and territories (NCCTs) in 2006. There is a
consensus that the aim may not be fully achieved if it does not operate
independently.
Investigations revealed that its intelligence findings and recommendations
are usually suppressed by some 'unseen hands', hence, creating
opportunities for the flourishing of the money laundering cartel business
and inadvertently, increase in terrorism activities. The sensitive role of
the FIU in Nigeria in providing intelligence to underpin the work of law
enforcement and security Agencies in Nigeria cannot be over emphasized.
Its functions include: to receive and collect Currency Transactions Reports
(CTRs) and Suspicious Transactions Reports (STRs) and other information
relevant to the money
laundering<http://www.assetrecovery.org/kc/node/810ee012-e14d-11dd-8d28-f13739c882dc.html>
and
terrorist financing activities from financial institutions and designated
non-financial institutions; receive reports on
cross-border<http://www.assetrecovery.org/kc/node/9af22322-c2a3-11dc-b3c6-89cd5467be12.html>
movement
of currency and monetary instruments; analyze and assess the information
and reports it receives; mandatory review of supervisory reports and
criminal referrals; maintain a comprehensive financial intelligence
database for information collection and exchange with counterpart
FIU<http://www.assetrecovery.org/kc/node/43704946-c2ba-11dc-b3c6-89cd5467be12.html>'s
and law enforcement agencies around the world and maintain a network and
link of information with the regulatory authorities and law enforcement
agencies in Nigeria<http://www.assetrecovery.org/kc/node/52f770df-a33e-11dc-bf1b-335d0754ba85.html>
.
Others are: to advise the governments and regulatory authorities on
prevention and combating of economic and financial crimes; liaise with
compliance officers and ensuring strong compliance culture in financial
institutions; provide financial intelligence reports/statistics in the
investigation and
prosecution<http://www.assetrecovery.org/kc/node/b47c4ece-e7c2-11dd-859a-ab8cb1c9747f.html>
of
offenders under the relevant laws; promote public awareness and
understanding of matters relating to economic and financial crimes, money
laundering<http://www.assetrecovery.org/kc/node/810ee012-e14d-11dd-8d28-f13739c882dc.html>
&
financing of terrorist activities and to trail money transactions in banks
and other financial institutions.
The advantages are quite enormous. Part of it will be to meet the
international requirements and standards, as a way of exiting the financial
embargos and sanctions. Apart from adding to the credibility of the
information that will be taken by the FIA, it will enable the Economic and
Financial Crimes Commission (EFCC) to concentrate on operations and
enforcement."
On Monday, 16th December, 2013, at the Senate Public hearing on the Bill,
stakeholders reiterated the need for the urgent establishment of the Agency
and gave their full endorsement to the Bill. Stakeholders at the public
hearing took turns to commend the sponsors of the bill for what they
described as a strategic legislation to strengthen the legal framework in
the war against money laundering, terrorism financing and corruption in
Nigeria.
First on the list was the Attorney General and Minister for Justice, whose
representative declared total support for the passage of the Bill and by
implication, the establishment of the agency. Others were: the Central Bank
of Nigeria, National Intelligence Agency, National Agency for the
Prohibition of Trafficking in Persons (NAPTIP), National Drug Law
Enforcement Agency (NDLEA), the Independent Corrupt Practices and other
related offences Commission, ICPC, the Nigerian Police Force, Directorate
of State Security, National Insurance Commission (NAICOM), National
Accountants of Nigeria and the Civil Society Organisations all threw their
full weight behind the Bill. Only the Economic and Financial Crimes
Commission opposed it.
Ultimately, those arguing that the NFIA will amount to a duplication of the
already existing Anti- graft agencies are obviously ignorant of the dangers
Nigerians are exposed to, by the continued delay in the autonomy and
independence of the NFIU.
The recent clampdown on the operations of the Nigerian Financial
Intelligence Unit by the Economic and Financial crimes Commission clearly
justifies the need for NFIA.
While we wait for the House Public Hearing, every Nigerian must rise in
defense of the creation of the Agency in order to move the anti-graft war
in Nigeria to the next level and safeguard the future of the country.
All hands must be on deck!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
This email is free from viruses and malware because avast! Antivirus protection is active. |
0 comments:
Post a Comment