Ndugu Watanzania,
Tumeongezewa wiki moja, mpaka September 07, 2012 ili tupate familia moja au zaidi ya kusaidia huyo mtoto na kukamilisha safari yake ya kutoka Arusha
mpaka Toronto. Ubalozi wa Canada Nairobi hautatoa viza bila "host families!" Kwa yaliyotokea karibuni na Mtoto Precious Maduhu, nimeshauriwa jina langu
halikubaliki kwa muda huu. Kama kuna yoyote huko, yuko tayari kukaa na hii familia kwa miezi kama miwili, tafadhali tuwasiliane mara moja.
Ahsanteni sana.
Mabula Sabula
647-856-0106
==========================================================================================
To: tan_toronto@yahoogroups.com; tanzaniaca@yahoogroups.ca
From: mwakatobe@yahoo.com
Date: Thu, 23 Aug 2012 22:14:06 -0700
Subject: [TanzaniaCA] Fw: Eliudi Molel , From Arusha, Miaka 13
From: Mabula Sabula <mabsab@hotmail.com>;
To: mwakatobe@yahoo.com <mwakatobe@yahoo.com>;
Subject: Eliudi Molel , From Arusha, Miaka 13
Sent: Wed, Aug 22, 2012 2:11:50 PM

Wanajumuiya, Kuna hii issue hapa chini. Kwa yoyote mwenyewe uwezo wa kusaidia naomba mcontact Mr. Mabula Sabula. |
From: Mabula Sabula <mabsab@hotmail.com>;
To: mwakatobe@yahoo.com <mwakatobe@yahoo.com>;
Subject: Eliudi Molel , From Arusha, Miaka 13
Sent: Wed, Aug 22, 2012 2:11:50 PM
Ndugu Mwakatobe, Za familia na kazi? Sisi poa kabisa. Huyo mtoto juu ana matatizo ya shingo. Anahitaji "plastic surgery." Sickkids wamekubali kumutibu baada ya sponsor ya wazungu fulani wa "Circle of Friends." Mtoto na Baba hawana pa kufikia. Matibabu kama miezi miwili. Mimi kwa sasa, nimepumzika mke wangu anasafiri na pia nimehama kikazi na nyumbani. Wanahitaji translation pia. Sickkids wameniomba kusaidia kutoka jumuia ya Watanzania. Tunatafuta familia moja au zaidi ambazo zinaweza kukaa na huyo mtoto na baba. Nimeahidi kujibu Ijumaa hii." Tufanyenje?" Familia zitakazopatikana nitaunganisha hospitali moja kwa moja. Mabula Sabula 647-856-0106 |
__._,_.___
.
__,_._,___
0 comments:
Post a Comment