Thursday, 30 August 2012

Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI

Ndugu Chacha ata wewe naona umekumbwa na tatizo la jazba, ndani ya jukwaa hili watu tunaelimishana kwa lugha ya kawaida tu. Kweli ulikuwa na mchango mzuri ila lugha yako kali sana. Ukumbuke historia ya majeshi yetu tangu enzi za kitemi, kikoloni na hadi sasa. Utaona kwamba kila kipindi kina sababu zinazotofautiana kiasi fulani. Utagundua kwamba kwa kuzingatia hali halisi ya sasa polisi ni chombo kinachotakiwa kutumia akili nyingi kuliko nguvu. Unapotumwa kudhibiti kundi la waandamanaji ambao hawana silaha na wala hawajamdhuru mtu ni vyema ukatofautisha na unapotumwa kumdhibiti jambazi au mwizi. Ni kweli utatakiwa kutekeleza amri ya boss wako lakini tumia akili yako kupima unachokifanya, usitegemee kuna mtu atakusifia kwa kuua watu wanaoandamana bila kudhuru wenzao.

Jambo lolote linalohatarisha maisha ya watu ni jambo linaloweza kuwa chanzo cha umwagazi damu kwa sisi wote, usitegemee wewe kwa vile ni askari utakuwa nje ya hilo balaa. Kaulize vizuri mambo yalikuwa Rwanda na Burundi. Polisi na askari wote munakuwa na nguvu kama ilivyo sasa lakini mambo yakibadilika nguvu hiyo rafiki huna. Kawaulize polisi wenzio kilichowakuta huko IKWIRIRI kwa wazaramo na wandengereko tunaowasifia siku zote kwamba ni wapole.
Siungi mkono swala la kuchoma nyumba za polisi ila nawatahadharisha kwamba wakati mwingine pimeni sababu ya kutumia nguvu na ni kaw ajiri ya mslahi ya nani. Ata kama ni amri jaribu kujiuliza madhara sitegemei kwamba sasa hivi tunalo jeshi la polisi kama lile la mkoloni fanyeni kazi kama watanzania wanaitakia amani nchi yetu. Achana na bishara za kumlinda mtu badala ya watu na mali zao
oria
2012/8/30 Chacha Wambura <wamburacm@yahoo.com>
Oldonyo Lengai,
 
Unachohubiri ni matkeo ya kuvuta bangi mbichi na kujaza ujinga kichwani mwako ukidhani kila mtu atakushabikia. Watakuunga mkono wavuta bangi kama wewe, ambao mnadhani kuwa neno utaratibu lililowekwa na wahenga halina maana. Kama unafikiri ni rahisi kuwa kama unavyoota, anza wewe utwangwe risasi, afu tuone kama utaendelea kuhubiri uchuro huo huko kuzimu.
 
Kama mnadhani mnaumwa saaaana na hiyo haki mnayopanua midomo yenu kusema mko katika vita ya ukombozi kuitafuta bila kuzingatia taratibu, basi endelezeni makeke yenu. Dawa yenu ni mkong'oto tu. Hii yako naihusianisha na ndoto ya mchana, ambayo ninyi vijana msioijua vurugu, msioijua vita, msiowahi kuona watu wakifa; ninyi ambao ni matunda ya kizazi kilichoona shule chungu, sasa mnataka kujaribu ujinga kwa kumhusisha kila mtu mnayedhani anashabikia huu ufedhuli wenu.
 
Ukiambiwa hata mtama aina ya serena unachukua miezi mitatu kufikia mavuno, nyie mnataka mvune saa mbili zijazo baada ya kuutupa tu ardhini! Kwa sababu hamna subira, hamzingatii wala kuheshimu taratibu ili mfikishwe kunako mema ya nchi. Mnataka kugrab mambo na vitu visivyowahusu kwa kuwa mnadhani uzembe wenu wenyewe una mkono wa mtu.
 
Endeleeni kuhamasishana kibangi bangi, mkidhani watu wataacha kazi zao na kuja kuwashabikia mkivuruga amani, huku mkiangaliwa tu. Nani kawadanganya?!
 
Maisha bora yaje kwa kila mtu kuchapa kazi. Sio kukaa mkisukuma kete za draft na kuanza kulaumu hata pale ambako hamkutia jitihada, bali mkishadidia mambo ya kuhadithiwa tu na kupiga domo. Daima mtaendelea kuwa na ndoto hasi kama hizo, lakini kizazi chema chenye vichwa vingi hakitawasikiliza wala kukaa kikiwavumilia mkielekea kuleta vurugu zisizo kichwa wala miguu.
 
--- On Thu, 8/30/12, lucas haule <kisacha2003@yahoo.com> wrote:

From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>

Subject: Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 30, 2012, 7:51 AM

Kilichotokea hapa Iringa ni kujipendekeza au matumizi mabaya ya madaraka. Gari zinaingia mjini kwenye maeneo ambayo watu wamepengiwa kufikia, ni msururu kama wa harusi. Unakwenda kuzuia, wangesababisha harai isiyo na sababu. Ni kweli waliokuwa wamesimama pembeni walikasirika. Namsifu kamanda mmoja aliyetumia hekima na kuamua kwa manufaha.

--- On Thu, 8/30/12, shedrack maximilian <shedrack_maximilian@yahoo.co.uk> wrote:

From: shedrack maximilian <shedrack_maximilian@yahoo.co.uk>

Subject: Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 30, 2012, 12:44 AM

Mama Hilda isikuumize sana kichwa -Naamini aliyetoa hili ni mwendawazimu na hivyo usibishane naye.

Lakini tukirudi upande wa pili wakati naangalia jinsi polisi walivyokuwa wanajaribu kuzuia msafara wa CHADEMA pale Iringa nilipata wasiwasi na kujisahau kwa jeshi letu la polisi.Eti wanazongwa na watu utadhani ni washikaji wanasalimiana huku wakijadiliana ! sasa nikajiuliza ingekuwaje kama mle kwenye kundi la waandamanaji kungekuwa na mjinga mmoja akatumia nafasi hiyo akamchoma kisu polisi na kuchukua bunduki! .
Pale yangetokea machafuko makubwa na kuleta tabu kubwa.Nachoshauli mimi kama polisi wanaona hawajajiandaa kuwazuia watu basi wakae huko waliko na kama wanauhakika wanatakiwa kuwazuia na wafanye hivyo maramoja na kwa tahadhari kubwa.Polisi waepuike kwenda maeneo kama hayo bila kuwa na uhakika nini wanatakiwa kufanya na hasa ukizingati atukio la mauaji ambalo bado haijajulikana nani inaweza kuleta ulipizanaji visasi ...

Shedrack Maximilian
B.Sc. Env.Health Science
Bagamoyo District Council, Tanzania
shedrack_maximilian@yahoo.co.uk
+255(0754)944-504
+255(0715)844-504

--- On Thu, 30/8/12, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Subject: Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 30 August, 2012, 8:31

Kama wasemavyo wengine, ni vizuri kuzuia email za namna hii. watu sijui kama wanaelewa kuwa, ikitokea vita au mauaji familia zao nazo zitahanja kama tuonavyo wenzetu Congo, Styria, Libya wanavyohangaika na kufukiwa na vifusi vya nyumba. Vilema vya maelfu ya wananchi Msumbiji, Angola, mauaji na vita vya kila wakati South Sudan, Kivu na yanayotokea Kenya kulipuriwa na waasi wa Somalia; Miji ya Somalia baadhi kuwa maghofu tupu nao huhangainga hadi kufa katika makontaina na kutupwa bongoland ni mfano tosha. Kama kupigana nchini kwao somalia ni kuzuri-mbona wanahanja kutorokea nchi za wenzao na kuleta usumbufu. Mnaanza kupigana kisiasa vyama mbali mbali, yanaingia mapigano ya koo mbali mbali (tunayo tarime hayaishi na vyama mbali mbali vipo huko havijafanikiwa kuyamaliza), jee hivi vya kuua polisi katika makazi yao itakuwaje wananchi wakianza kutia moto nyumba zao au kuwavizia na kuwaua? Vibaka wanasikiliza na ndio maana hata kukiwa na maandamano wanayatumia kuvunja magari ya watu na kuiba, kuingia madukani kupora na kupora wapita njia. Matokeo ya huko mbele ni chama kushindwa kutokana na raia kuona kina vurugu na watu wamepoteza mali waliyoitafuta maisha yao yote na kuamua bora Jini likujualo halikuli likakwisha yakavuka mengine sasa ya kuchukua madaraka kwa mtutu. tukijituma tulipo, kuzalisha mali, kutumia benki zilizopo na uwekezaji tukalima, kufuga kisasa karne hii ya climate change, tuuze value added products weell packaged ndani na nje ya nchi, tunaepuka kuona Siasa ni kimbilio la mafao ya kipato, kupata jina na utukufu. Inakuwaje wakati watu wanatakiwa kuhesabiwa kuwe na maandamano na mihadhara? Hebu tuangalie utata tunaouingiza na mpaka kuleta misuguano na vyombo vya dola. Zima moto madhubuti za kufika haraka kila kona ya mji, miji na vijiji hatuna. Mbanano wa nyumba ni mkubwa. Ikichomwa moja, moto hauna ubaguzi au macho kusema hii ni ya CCM au Chadema, CUF niiache. Moto utalamba mji, mashule, bank, mabanda ya mifugo, huko vijijini utawasha mbuga za hifadhi na wanyana na misitu tegemezi ya maji etc-utazagaa. Hii ndio wanayotaka washabiki wa kuchoma makazi ya polisi uraiani? tunaona miji na misitu iwakavyo ulaya. Wana helikopta za zima moto lakini unawashinda unakula ma hekta na majumba, magari etc. Jee sisi wazima moto kwa kutumia ndoo kwa kupanda ngazi, mti na kipaa jirani yake? Mungu awape busara waonao moto na vita ni mchezo wa mdako. Risasi na Petroli ni vya kuchezea? petroli imeua sana nchi hii kwa uwekaji hovyo majumbani. Ni ajabu kwa mtanzania kushabikia mauaji ya nduguze.

From: Charles Misango <misangocharles@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 29 August 2012, 12:29
Subject: Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI
hata mimi nimeshituka na kusikitishwa na maoni ya ajabu ya kuhamasisha watu kuvunja amani. Nashawishika kuamini kuwa mtoa hoja, hakuwa anatumia akili zake za kawaida!

--- On Tue, 8/28/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, August 28, 2012, 7:07 AM

Kule Zambia wakati wa Vurugu za Uchaguzi ulikimbilia kituo cha Polisi ili kuokoa maisha yako na hata wakati unasoma chuo fulani pale Dar es salaam ulikimbilia polisi baada ya wanafunzi wenzako kutaka kukupiga kwa kukataa kuheshimu maamuzi ya baraza yaliyokuvua cheo fulani baada ya kufanya ufisadi , leo hii unataka polisi wavamiwe ? 
2012/8/28 Daud Rwebangila <drwebangila@gmail.com>
Moderators
Ni vizuri mkazuia email kama hizi za uchochezi zinazotumwa kwa fake identity zisiendelee kujaridiliwa. Kama wanamtandao na wanajamii ya kitanzania tunao wajibu wa kutunza amani na utengamano wa nchi yetu.
Ni lazima tuwe jamii inayofuata sheria. Tutasemaje serikali na jeshi wanavunja sheria kama sisi wenyewe tunakubaliana na kujadiri hoja zinazolenga kuvunja sheria?
 
2012/8/28 heche suguta <hechesuguta29@yahoo.com>
Mimi nadhhani bado tunayo nafasi ya kurekebisha hili jeshi la polisi, kweli kuna shida kubwa sana kwa hili jeshi la polisi, kubwa sana..huwezi amini askari wanashirikiana na vibaka mchana kweupe hilo nimeliona kwa macho yangu yani hapa inatakiwa lifumuliwe liundwe kimaadili...na ueledi..
Wewe umeanza kuchoma hapo kwako ?
2012/8/27 LENGAI OLDOINYO <lengai2000@yahoo.co.uk>
Mimi nawaambia Watanzania wanaodai haki zao kwa kuandamana kuzichoma nyumba zote za Polisi walizojenga kwa rushwa kwenye makazi yao ya uraiani. Wakija kwa risasi nyie nunueni petroli mkachome nyumba zao. Hatuwezi tena kuvumilia tabia za Polisi wa Tanzania kukisaidia chama cha Mapinduzi CCM kutunyanyasa kwenye nchi yetu. Mambo yaliyofanyika kule Morogoro hatukubali ni lazima tulipe kisasi.
 
-CCM imeshindwa kutoa ajira kwa vijana.
-CCM imeweka wawekezaji kwenye ardhi yetu na kuwaruhusu kutupiga risasi.
-CCM imeshishwa kuboresha sekta ya elimu.
-CCM imeshidwa kuboresha sekta ya afya.
-CCM imetangaza vita kati ya jeshi la Polisi na raia wanaitaka ukombozi.
-CCM imehamisha fedha za nchi na kuzificha Ulaya.
-CCM imeviua viwanda vyote Tanzania na kunyima watu ajira.
-CCM imeua mashirika yote ya umma kwa kujiuzia wenyewe kwa bei za kutupa.
-CCM imejiuzia majengo ya umma kwa bei za kutupa.
-CCM imeuza mahoteli kwa wawekezaji kwa visingizio vya kushindwa kuziendesha.
-CCM imekula cha juu katika tenda za kapata wawekezaji wa gesi na mafuta.
-CCM inanyima watoto wa wanyonge mikopo ya elimu ya juu.
-CCM inakumbatia wezi wa mali za umma.
-CCM inachimba madini ndani ya hifadhi za Taifa.
-CCM imeuzia watu binafsi ardhi ya nchi kwa mikataba mibovu.
-CCM inauza wanyama hai ambao ni rasilimali za Watanzania.
-CCM inawinda wanyama na kuwaua kwa faida za wageni.
-CCM imeua shirika la reli Tanzania.
-CCM imeua shirika la ndege Tanzania.
-CCM inafanya biashara ya madawa ya kulevya.
-CCM inafanya biashara ya viungo vya ndugu zetu Alibino.
-CCM inanyanganya Watanzania ardhi kwenye makao yao ya asili bila fidia.
-CCM wanaiba kura kwenye chaguzi mbali mbali.
-CCM wanapenda chaguzi zirudiwe ili kupata mwanya wa kuibia Watanzania.
-CCM wanajitibu nje ya nchi kwa gharama kubwa na kuwaacha masikini wakifa.
-CCM wametoa mikataba mibovu katika sekta ya madini.
-CCM wanaingiza bidhaa ambazo sio za viwango nchini.
-CCM inaingiza madawa ya binadamu yaliyoisha mda wake.
-CCM inatoa maagizo ya kuwaua watu wanaosimamia haki za Wafanyakazi.
-CCM wanatembelea magari ya kufahari lakini watoto wa walipa kodi hawana madarasa na madawati.
-CCM haitaki Demokrasia Tanzania kwa sababu viongozi wake ni Mafisadi.
-CCM wanafanya biashara kwenye maofisi ya umma.
-CCM inaongoza kwa kutoa ahadi za wongo kwa wapiga kura.
 
Mimi sasa najiuliza Watanzania wakitoka kudai haki zao za msingi kuna tatizo gani. Kule Ulaya watu wakiandamana kwa amani wanapewa ulinzi na Jeshi la Polisi. Hapa Tanzania jeshi linatumika kuwaua watu wanaodai haki zao. CCM inatumia Jeshi la Polisi kuwanyima Watanzania haki ya kudai huduma muhimu. Tunalipa kodi za kazi gani kama hatupati huduma badala yake Viongozi wanaenda kuficha fedha ulaya. Nalitangazia Jeshi la Polisi kuwa kuanzia leo. Kila raia mtakayempiga risasi tutachoma nyumba zenu zote uraiani kwa kutumia petroli. Viongozi wanatuibia nyie mnawalinda sisi vijana hatukubali hilo.
Mkereketwa
Lengai Ole Letipipi.
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
  Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    
-- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/ Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  
-- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/ Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/ Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    

-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    

Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment