Thursday, 30 August 2012

Re: [wanabidii] Kiswahili Sanifu

Ahsante sana kaka Mobhare.  Kwa hivyo siwezi kusema "Watu wasita" ? 

Ni sawa lakini "Watu kumi na wawili" ?

Courage
Oduor Maurice

2012/8/30 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Maurice,
Hapana. Huyo kachapia. Kwenye hizi nambari ze ye asili ya lugha za kibantu tunanyambulisha kidogo ili kukamilisha kivumishi cha idadi, yaani nambari. Nambari hizi ni moja, mbili, tatu, nne, tano na nane, lakini kwenye zile zenye asili ya kiarabu hatufanyi hivyo kwa kanuni za kisarufi na muundo wa sauti unaotumika kwenye Kiswahili. nazo ni sita, saba, tisa (ambayo hutumika zaidi badala ya ile ya kibantu - kenda), n.k.
Matinyi.
 
> Date: Thu, 30 Aug 2012 03:38:06 -0400
> Subject: [wanabidii] Kiswahili Sanifu
> From: mauricejoduor@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com

>
> Nduguzanguni,
>
> Naomba usaidizi. Nimesikia lugha nyengine hii leo kwenya taarifa ya
> habari KTN News ya Nairobi. Mtangazaji alisema 'Watuwa wasita'
>
> Twaweza kusema:
> Mtu mmoja
> Watu wawili
> Watu watatu
> Watu wanne
> Watu watano
> hapo sina tetezi.
>
> Jee twaweza basi kusema: ?
>
> Watu wasita
> Watu wasaba
> Watu wanane
> Watu watisa
> Watu wakumi
> Watu wakumi na mmoja
> Watu wakumi na waili
> nk
> ???
> Yananitatiza haya.
>
> Courage,
> Oduor Maurice
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment