Mama Hilda isikuumize sana kichwa -Naamini aliyetoa hili ni mwendawazimu na hivyo usibishane naye. Lakini tukirudi upande wa pili wakati naangalia jinsi polisi walivyokuwa wanajaribu kuzuia msafara wa CHADEMA pale Iringa nilipata wasiwasi na kujisahau kwa jeshi letu la polisi.Eti wanazongwa na watu utadhani ni washikaji wanasalimiana huku wakijadiliana ! sasa nikajiuliza ingekuwaje kama mle kwenye kundi la waandamanaji kungekuwa na mjinga mmoja akatumia nafasi hiyo akamchoma kisu polisi na kuchukua bunduki! . Pale yangetokea machafuko makubwa na kuleta tabu kubwa.Nachoshauli mimi kama polisi wanaona hawajajiandaa kuwazuia watu basi wakae huko waliko na kama wanauhakika wanatakiwa kuwazuia na wafanye hivyo maramoja na kwa tahadhari kubwa.Polisi waepuike kwenda maeneo kama hayo bila kuwa na uhakika nini wanatakiwa kufanya na hasa ukizingati atukio la mauaji ambalo bado haijajulikana nani inaweza kuleta ulipizanaji visasi ... Shedrack Maximilian B.Sc. Env.Health Science Bagamoyo District Council, Tanzania shedrack_maximilian@yahoo.co.uk +255(0754)944-504 +255(0715)844-504 --- On Thu, 30/8/12, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment