Mkoloni hakuwa mjinga kutenga makazi ya maofisa wa serikali na kuyaweka Keko maeneo ya Mgulani. Eneo kubwa lote Keko matangini, chang'ombe, Kurazini quarters za polisi na yakaja makambi ya JKT baadae, maghorofa ya police na vyuo vyao. Kila mji na wilaya/zone ina nyumba za police-magomeni, iala etc. Makahimu na viongozi huko Oysterbay, Upanga etc ambako baadae nyumba hizo zimeuzwa watu wanaporomosha maghorofa wanapangisha kwa $. Kwa ufanisi kazini, kutenga makazi ya Jeshi, police, Magistrate/Lawyers wa serikali ni muhimu kwa ufanisi na ulinzi. Hata Walimu walikuwa na nyumba zao za GVT. Ujamaa umetufanya tuone huu ni utengano, polisi na raia budi wawe marafiki tuchanganyike. Uwezo mdogo wa GVt na ukuzi wa sekta mbali mbali umefanya polisi wakae Uraiani. Imagine-kipato na ukubwa wa familia yake na anapanga vyumba visivyomtosheleza uraiani, anakosa hata hela ya kulipa kodi, anamkopa mwenye nyumba miezi. Anaadhirika. Atakuwa na ufanisi huyu? Anacheza bao mtaani na hao waharifu au ni watoto mwenyenyumba yake ambaye hajamlipa kodi, kamkopa hela au chakula dukani kwake. Na kama ni hakimu kapanga upande au vyumba au nyumba-ufanisi hupo hapo na mbakaji ni mtoto wa baba mwenye nyumba au jirani etc?
Ije hii ya police au JWTZ kuhusika na kuzuia vurugu ambapo mmojawapo au baadhi wameuawa. Jee, huyu mtu-police akaae uraiani hana ulizi, kapanga ndani ya nyumba au kajenga huko anaishi kwake akihusika au kutohusika ktk mabomu ya machozi atakuwa salama? Watu watatumia excuse yoyote hiyo ya chuki zao ktk masuala ya kisiasa au ya jamii ya kuthibiti uhalifu au kukamata wahalifu mtaani na kumtolea yeye au familia yake kisasi. Kuna haja ya kufikiria upya kuhusu watu/watumishi wa vyombo vya sheria kukaa uraiani vichochoroni bila ulinzi au kuishi wao kiholela.
Inashangaza kulinganisha na ulaya ambapo tunaona wakimwagiwa maji ya kuwasha na kutumiwa mabomu ya machozi na magari yao ni heavy and powerful yanarusha maji mbali hasa. Tunaona raia na polisi yanavyobondana na polisi kuumia hata kuua. Tumeona S.Africa walivyoua over 30+ wafanyakazi waliogoma kuandamana na kwenda na silaha za jadi na wengine kuwa na silaha iliyopiga risasi na kuua askari mmoja. Vipigo vya raia huko Ulaya UK, USA, Ugiriki katika maandamano na wanavyotiwa ktk makarandika wanapelekwa rumande- twaviona ktk TV. Twasoma ktk mitandao na kuona ktk TV matukio ya raia kuingia mahala kufanya mauaji mengine ya kutisha kwa matumizi za silaha au kubaka na kuua; vitoto kuingia na silaha kuua wenzao shuleni, jumba la starehe, bar etc na kuua; kuvamia bank, duka la vito kuiba bila au na kuua; mlinzi kuua mtu kwa kumshuku n.k. Hakuna utakatifu huko na Camera zipo kila kona na barabara kutokana na uhalifu. Akiambiwa ajisalimishe hazingatii analoambiwa anakula mtutu. Aonae Ulaya na nchi za marekani watakatifu labda hasomi mitandao au kuangalia TV za nje.
Tuagiza watu wavamie police Uraiani si jambo jema hata kidogo.Tunapopigana na Police au vyombo vya sheria kwa ufahari wa kisiasa au kulinda uovu ktk jamii tunaunda chuki nao na tunawapa nafasi watu wabaya wafanye mambo yao ktk jamii au nchi yetu. Police hatofika kwa haraka kule ambako mlipigana nae, majambazi yataingia na kupoma mara yanapoona kumetokea mapigano kwani wanajua si police au JWTZ, FFU wataitika wito kwa haraka. Kama tu mahodari wa kuzuia mauaji-tunamchoma kibaka aliyeiba simu na kumshindilia mawee, kumwagia petroli na picha zinatoka kibao ktk magazeti na TV zetu; mauaji vijijini daily kwa kisingizio cha uchawi Idadi ya mauaji kwa mwaka kwa eneo hutolewa magazetini; anauliwa mwalimu wa sensa kapokea posho; nyumba hadi nyumba ndugu zetu vibaka huingia na kupora; tunakata vidole na kuua albino na vilema wengine. Mbona hawa wanasiasa hatujaona kufika viviji vya mauaji haya yatokeayo majimboni, vijijini daily wilaya mbali mbali na kukithiri Mikoa fulani fulani nyumba 10+ kuchomwa za mtu eti mchawi, watu vijana , vitoto na vizee kuuawa. Tunachukua hatua gani katika majimbo yetu (itasemwa ni kazi ya polisi). Bado ile ya wafugaji kwao wao kulimamahindi, black beans (gwara) na kilimbikiza mifugo kutokana na kipato cha madini mererani au kutokana na biashara mbali mbali na kupeleka mifugo Ruvu, Kilosa, Rufiji, Kilombero, Mikumi, Kisanga, Ihombwe, Msolwa etc na kulishia mashamba ya wakulima ambako huwachapa makora, kupiga mkuki na kuua eti anafukuza mifugo isile mahindi ambako kuwa majani aya mifugo mahindi yakilimwa na mwingine ila yakilimwa Engerosambu, Nainokanoka, Endulen,Kakesio, Landanai, Loiboisiret, Naitolia, Bunda, Magu mahindi ni chakula cha kula binadamu (tena unazungushia miti na miba kibao ya miti ya miba-balanite species) kuzuia mifugo isiingie kula na unaipitishia mbali ya shamba. Mahindi na maharage hayo, mpunga-mchele ni ya kipato (si ya kulisha mifugo ikiwa inamea)balikupakia kuuza sokoni Orbarbar, Terrat, Orkusumet, Bunda, Mwanza, Sirari etc na kusafirisha kupeleka Kenya na mchele wa Bunda, Magu kusafirisha kuuza Zanzibar, DSM na kwingineko. Kulikoni??? Imefika kwa wakulima na waathirika wengine kuamua sasa kutumia sumu kuua mifugo iwatesayo maana mfugani ana hela za kuhoka kesi haiendi. Akiuza ng'ombe mmoja laki 8 anatoa mlungura mkulima atauza mahindi kunia ngapi atoe hongo? Mauaji haya tunayatatuaje majimboni mwetu au tunatafuta sababu za kisiasa tu kuona aliyeuawa mmoja ni zaidi ya wale 30+ wa mauaji ya visingizio vya uchawi (Imani za Kishirikina wanampina na kumuua au kuwachoma moto ndani ya nyumba)tufanyavyo kwa mwaka au mapigani ya Koo (Tarime) na maafa yatokeao au haya ya Wizi wa mifugo na mauaji katika kulishia mashamba ya innocent people na ethnocentrism iliyopo ya kikabila.
Kabla hamjatutia vitani-linganisheni mauaji ya police na haya yote tufanyayo wenyewe maeneo yetu -Mwanza, Tarime (ya koo na wizi wa mifugo hayaishi na risasi hutumika), Sumbawanga, Kigoma na ya mitaani kwa vibaka, vijijini kwa tudhaniao ni wachawi. Wekeni kongamano mjadili ukweli ulivyo kwa kulinganisha na data na kujipimba-umefanya nini jimboni kwako kuzuia mauaji ya koo, kikabila, wafugaji na wakulima hadi leo yale ya police nanyi mnakwenda na mawe na mishale ikawe issue pekee ya kutuingiza vitani? Angalieni mifano ya mauaji mahali kuliko na vita halafu mlinganishe haya matakwa yenu ya kutaka tuuane mtaa hadi mtaa na vyombo vya dola.
Ninaona kama vile tunaangalia issues zetu na matukio katika jamii kwa upeo mdogo tunafanyacho ni externalization of errors. Daima mkosa ni GVT sisi ni Mr and Mrs Clean. Tubadilike.-NIMECHANGIA.
From: Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 29 August 2012, 19:43
Subject: Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 29 August 2012, 19:43
Subject: Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI
Charles,
Mimi nadhani huyo jamaa na maneno yake ya vurugu mnampa kichwa. It is absurd to even discuss his thinking.
Hajui vita, hajui vurugu,hajui ukimbizi na wakimbizi! Anajua kuleta uchochezi tu!
From LR
From LR
--
hata mimi nimeshituka na kusikitishwa na maoni ya ajabu ya kuhamasisha watu kuvunja amani. Nashawishika kuamini kuwa mtoa hoja, hakuwa anatumia akili zake za kawaida!
--- On Tue, 8/28/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, August 28, 2012, 7:07 AM
Kule Zambia wakati wa Vurugu za Uchaguzi ulikimbilia kituo cha Polisi ili kuokoa maisha yako na hata wakati unasoma chuo fulani pale Dar es salaam ulikimbilia polisi baada ya wanafunzi wenzako kutaka kukupiga kwa kukataa kuheshimu maamuzi ya baraza yaliyokuvua cheo fulani baada ya kufanya ufisadi , leo hii unataka polisi wavamiwe ? 2012/8/28 Daud Rwebangila <drwebangila@gmail.com> ModeratorsNi vizuri mkazuia email kama hizi za uchochezi zinazotumwa kwa fake identity zisiendelee kujaridiliwa. Kama wanamtandao na wanajamii ya kitanzania tunao wajibu wa kutunza amani na utengamano wa nchi yetu.Ni lazima tuwe jamii inayofuata sheria. Tutasemaje serikali na jeshi wanavunja sheria kama sisi wenyewe tunakubaliana na kujadiri hoja zinazolenga kuvunja sheria? 2012/8/28 heche suguta <hechesuguta29@yahoo.com> Mimi nadhhani bado tunayo nafasi ya kurekebisha hili jeshi la polisi, kweli kuna shida kubwa sana kwa hili jeshi la polisi, kubwa sana..huwezi amini askari wanashirikiana na vibaka mchana kweupe hilo nimeliona kwa macho yangu yani hapa inatakiwa lifumuliwe liundwe kimaadili...na ueledi..From: Leila Abdul <hifadhi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: info@butmaninternational.com; sematangotours@cybernet.co.tz; serenacarhire@habari.co.tz; sgresort@yahoo.com; sss@habari.co.tz; tours@albatros.co.tz; mia@albatros.co.tz; info@chadema.or.tz; rassingida@pmoralg.go.tz; mhariri@habarileo.co.tz; advertising@dailynews.co.tz; jennie@albatros.co.tz; shidolya@yako.habari.co.tz; sssafaris@cybernet.co.tz; s-s.kolowa@web.de; worldtourstanzania@hotmail.com; unasemaje@radiofreeafricatz.com; mwananchipapers@mwananchi.co.tz; globalpublishers@dar.bol.co.tz; educate@intafrica.com; costech@costech.opc.org; info@satif.or.tz; info@satf.org; eotf@raha.com; eotf@cats-net.com; zitto@chadema.or.tz
Sent: Monday, August 27, 2012 11:29 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: CHOMENI MAKAZI YA POLISI URAIANIWewe umeanza kuchoma hapo kwako ?2012/8/27 LENGAI OLDOINYO <lengai2000@yahoo.co.uk>-- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/ Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--
Mimi nawaambia Watanzania wanaodai haki zao kwa kuandamana kuzichoma nyumba zote za Polisi walizojenga kwa rushwa kwenye makazi yao ya uraiani. Wakija kwa risasi nyie nunueni petroli mkachome nyumba zao. Hatuwezi tena kuvumilia tabia za Polisi wa Tanzania kukisaidia chama cha Mapinduzi CCM kutunyanyasa kwenye nchi yetu. Mambo yaliyofanyika kule Morogoro hatukubali ni lazima tulipe kisasi.-CCM imeshindwa kutoa ajira kwa vijana.-CCM imeweka wawekezaji kwenye ardhi yetu na kuwaruhusu kutupiga risasi.-CCM imeshishwa kuboresha sekta ya elimu.-CCM imeshidwa kuboresha sekta ya afya.-CCM imetangaza vita kati ya jeshi la Polisi na raia wanaitaka ukombozi.-CCM imehamisha fedha za nchi na kuzificha Ulaya.-CCM imeviua viwanda vyote Tanzania na kunyima watu ajira.-CCM imeua mashirika yote ya umma kwa kujiuzia wenyewe kwa bei za kutupa.-CCM imejiuzia majengo ya umma kwa bei za kutupa.-CCM imeuza mahoteli kwa wawekezaji kwa visingizio vya kushindwa kuziendesha.-CCM imekula cha juu katika tenda za kapata wawekezaji wa gesi na mafuta.-CCM inanyima watoto wa wanyonge mikopo ya elimu ya juu.-CCM inakumbatia wezi wa mali za umma.-CCM inachimba madini ndani ya hifadhi za Taifa.-CCM imeuzia watu binafsi ardhi ya nchi kwa mikataba mibovu.-CCM inauza wanyama hai ambao ni rasilimali za Watanzania.-CCM inawinda wanyama na kuwaua kwa faida za wageni.-CCM imeua shirika la reli Tanzania.-CCM imeua shirika la ndege Tanzania.-CCM inafanya biashara ya madawa ya kulevya.-CCM inafanya biashara ya viungo vya ndugu zetu Alibino.-CCM inanyanganya Watanzania ardhi kwenye makao yao ya asili bila fidia.-CCM wanaiba kura kwenye chaguzi mbali mbali.-CCM wanapenda chaguzi zirudiwe ili kupata mwanya wa kuibia Watanzania.-CCM wanajitibu nje ya nchi kwa gharama kubwa na kuwaacha masikini wakifa.-CCM wametoa mikataba mibovu katika sekta ya madini.-CCM wanaingiza bidhaa ambazo sio za viwango nchini.-CCM inaingiza madawa ya binadamu yaliyoisha mda wake.-CCM inatoa maagizo ya kuwaua watu wanaosimamia haki za Wafanyakazi.-CCM wanatembelea magari ya kufahari lakini watoto wa walipa kodi hawana madarasa na madawati.-CCM haitaki Demokrasia Tanzania kwa sababu viongozi wake ni Mafisadi.-CCM wanafanya biashara kwenye maofisi ya umma.-CCM inaongoza kwa kutoa ahadi za wongo kwa wapiga kura.Mimi sasa najiuliza Watanzania wakitoka kudai haki zao za msingi kuna tatizo gani. Kule Ulaya watu wakiandamana kwa amani wanapewa ulinzi na Jeshi la Polisi. Hapa Tanzania jeshi linatumika kuwaua watu wanaodai haki zao. CCM inatumia Jeshi la Polisi kuwanyima Watanzania haki ya kudai huduma muhimu. Tunalipa kodi za kazi gani kama hatupati huduma badala yake Viongozi wanaenda kuficha fedha ulaya. Nalitangazia Jeshi la Polisi kuwa kuanzia leo. Kila raia mtakayempiga risasi tutachoma nyumba zenu zote uraiani kwa kutumia petroli. Viongozi wanatuibia nyie mnawalinda sisi vijana hatukubali hilo.MkereketwaLengai Ole Letipipi.
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/ Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/ Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/ Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/ Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/ Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/ Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/ Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/ Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/ Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/ Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/ Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/ Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment